Mpango wa kando ameniroga, Bendera haifuati upepo |Hali Ilivyo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 336

  • @josephichechi7251
    @josephichechi7251 4 года назад +2

    Jalas and Mwakideo....hiyo nyimbo tosha for him for deliverance. Mungu wa Eliya

  • @charlesnganga566
    @charlesnganga566 5 лет назад +9

    Mungu wa Eli ashukisha moto !! Mungu wa Eli ashukisha motoooo!!!!

  • @keangonicholas9386
    @keangonicholas9386 Год назад +2

    If you're still here April 2023 kiss my comment

  • @elizabethsonga6097
    @elizabethsonga6097 5 лет назад +107

    Kama unawatch while soming the comments konga like hapa🤣🤣🤣

  • @winniemutisya7119
    @winniemutisya7119 5 лет назад +20

    He needs prayers of deliverance in Jesus name#the blood of Jesus can break that#atubu apokee Yesu

  • @kristineodhiambo9364
    @kristineodhiambo9364 5 лет назад +54

    So vitu kwa ground imechange saai ni wanaume wanakula fare🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @reinasiata7503
    @reinasiata7503 4 года назад +1

    Mungu wa elia shukisha moto

  • @wykerztv9069
    @wykerztv9069 5 лет назад +5

    That why I can't miss morning show Alex na jalas😂😂😂😂 kapendo hakafuati upepo 😂😂😂😂😂

  • @phoebeangela560
    @phoebeangela560 5 лет назад +3

    Jalash ma bae love yu guys thumbs up

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 5 лет назад +3

    Na ni Mama mwenye amekomaa jamen.mwasitahili hivo wanaume acha pride heshimu ndoa zenu

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 5 лет назад +4

    True,my cuzo alikua na demu hapo Mariakani,baada ya kumwacha my cuzo mr victor ikawa regerege hadi wa leo,

  • @fauzsky5399
    @fauzsky5399 5 лет назад +5

    Hii story ni kama afro cinema😆😆Sad though!!! He needs prayers Gosh😱😱😱😱

  • @jmcohuru1312
    @jmcohuru1312 5 лет назад +1

    When katiba is too good unajipeleka mwenyewe siku ya pili

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 года назад

      😜😜 😂😂😂😂 😜😜

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 года назад

      Kupewa alipewa akapeweka Kweli 💪💪
      Kupewa ya NGUVU!!
      😂😂😂😂

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 лет назад +70

    Pesa ya mwanamke inaumanga hivyo 😂😂kama unaamini pesa ya mwanmke ni ya mwanmke weka like ukisomanga comments😂😂😂😂

    • @dotosalim5090
      @dotosalim5090 4 года назад

      Namm itabidi nimtafute uyu mwanadada maana kuna dume linitapeli

  • @michaelimbiru6739
    @michaelimbiru6739 5 лет назад +2

    Hii ni noma, Mwakideo mpaka aongea in tongues, salaaaaale, mambo gani hiiiiii
    😀😀😀😀😀😀😀

  • @larryhill5844
    @larryhill5844 4 года назад +1

    Eeeeh .hii Kali

  • @robertmaina745
    @robertmaina745 3 года назад +2

    When a woman love she loves for real,but when the love is lost even the devil will hate the scene.

  • @sheilachisika8143
    @sheilachisika8143 5 лет назад +14

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Siku ya pili nilijipeleka mwenyewe nimegwama hapo

  • @aneymaalim704
    @aneymaalim704 3 года назад +1

    Hawa wawili wameshindikana cheki vyenye wanaimba pamoja kukula feya

  • @mercylineabuko9572
    @mercylineabuko9572 5 лет назад +8

    Ndoa na hieshimiwe ,Kula jeuri yako

  • @carolinemuthama1044
    @carolinemuthama1044 4 года назад +2

    These two guys are so funny yaani

  • @pamasaimwashi284
    @pamasaimwashi284 5 лет назад

    Heheheeee Kali hiiii....pendera kutofuata upepo ni hatia saasana

  • @sallychemtai4900
    @sallychemtai4900 4 года назад +2

    Kweli apo ni Mungu anaitajika bure ni ngori 🙄🙄bendera ifwati upepo😂😂😂😂😂😂 hi ni kali sana

  • @aggycherry9400
    @aggycherry9400 5 лет назад +3

    Hii noma but watu wa mipango ya kando jifunze kutulia kwako nyumbani

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 лет назад +8

    Pekejeng inataka concentration huyu alichukulia hiyo mambo ya uchawi akaweka kwa akili😂😂😂😂iko shida hapa

    • @ZeDeH1
      @ZeDeH1 5 лет назад

      😂😂😂😂😂

    • @puritywamboi4040
      @puritywamboi4040 5 лет назад +1

      Haijakufika ndio maana huwezi elewa na uzuri alimwambia kuna ule atakufanya hivo na hatakuambia dear so si mambo na concentration ni iko

    • @puritywamboi4040
      @puritywamboi4040 5 лет назад +1

      Hio ni jini aswa koz anajipata amesoma katiba

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 года назад +1

      @@puritywamboi4040 Jini express kutoka mizimuni katika Bahari Kuu.

  • @geoffreyanthony1488
    @geoffreyanthony1488 5 лет назад

    Yesu wangu. Mungu wa isaac

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 5 лет назад +7

    Who else is reading comments!
    Mungu wa Eliya ashukishe moto wakati akienda kuiba nje hakuita pstr ng'ang's

  • @fauzsky5399
    @fauzsky5399 5 лет назад +2

    Kweli kabisa Alex💯 Lakini na yeye pia hataki kutulia bado hanataka kusoma za inje! 600 ndio ina mutesa👿👿👹👹😂😂😂😂😂

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 года назад

      Wasia kwa majamaa ukitumiwa fare rudisha ama utokelezee Tafadhali ilikuepuka........ Hiyo Madhara.

  • @amosoluoch9770
    @amosoluoch9770 2 года назад +2

    Kwani Eric alikula fare?😂😂😂😂😂

  • @yvonnedaph4296
    @yvonnedaph4296 5 лет назад +2

    kabisa Aleki umesema baba...na bado anataka kufunguliwa asome ingine mpya...huyu akili hakuna

  • @3dbamba_ke828
    @3dbamba_ke828 5 лет назад +5

    Road test ghai jalango yeah🤣🤣🤣🤣

  • @jesuschristlovesyou5831
    @jesuschristlovesyou5831 5 лет назад +14

    Marine spirits bro look for deliverance in a living church

    • @selahselah474
      @selahselah474 5 лет назад

      True

    • @jacintakadogojkm8394
      @jacintakadogojkm8394 5 лет назад

      True

    • @ruthachayo8038
      @ruthachayo8038 4 года назад +1

      Spirit wife atafute deliverance.

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 4 года назад

      Ata yy mwenyewe can do self deliverance atuubu nakuomba google self deliverance.lakini kama bado anaenda kando won't do.

  • @amaa6353
    @amaa6353 5 лет назад +3

    Majini ya Mombasa.

  • @mercyatieno2311
    @mercyatieno2311 5 лет назад +1

    This serious, pastor Nganga yuko wapi jameni,its saad Alex ulikua unacheka jameni

  • @fatmamacharia3593
    @fatmamacharia3593 4 года назад +2

    This is is happening to me and l don't want my Ex again

  • @delilaindashou4580
    @delilaindashou4580 4 года назад

    Pesa ya waniwake noma sana

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 лет назад +1

    Ninyi watangazaji mmenifanya nicheke mpaka walionizunguka wamedhani mimi kichaa😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂, suburini hati ya mashtaka, hamuwezi kunidhalilisha hivi😂😂😂😂😂, eti 🎶🎵Mungu wa Elijah shukisha moto🎵🎵😹😹😹, nimecheka leooooooo

  • @roseamal6694
    @roseamal6694 4 года назад +3

    He needs deliverance.
    He is sleeping with lijini. He needs deliverance

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 лет назад +13

    Iwe funzo na chanzo ya walio ndani ya ndoa anyway vitu kwa ground ni different heehe weka likes za gangster points ya kukula fare tukisonga 😂😂 👇👇👇

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 года назад +1

      😂😂😂😂 Sley king ndiyo hao hula fare

  • @dorrymutheu6717
    @dorrymutheu6717 5 лет назад +2

    Umeshasukumiwa mapepo enda kaombe msamaha

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 5 лет назад +1

    Jalas nakupenda bure jamani 😂😂😂😂😂daktari una vituko

  • @clintonmiller6984
    @clintonmiller6984 5 лет назад +6

    😂 😂 😂 Hawa wawili wamenishinda iyo ni ngoma gani

  • @annmbatha6591
    @annmbatha6591 4 года назад

    Mungu wa Elijah shukisha moto

  • @benjaminbryant6593
    @benjaminbryant6593 5 лет назад

    Waaahh dunia rangile

  • @rickm3692
    @rickm3692 5 лет назад +4

    Hii watu mmasema Eric amefungwa aende deliverance kwa pastor Ng'ang'a... what a joke is that surely?

  • @evansbarasa764
    @evansbarasa764 5 лет назад +7

    atlst wametupa ujanja sasa,men should embrace the same on ladies who eat their fare.....unakula unafungwa,anytime ukienda kwa sponsor mambo inakua different to serve as alesson

  • @aquafishaholicdoha8831
    @aquafishaholicdoha8831 5 лет назад +5

    Madem hatutaishi hivi, nyi mkikula fare si twajikunyata tu haidhuru yanapita but sa nyinyi imefika mnaenda kwa mganga, ah hapana

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 лет назад +7

    😂😂😂😂mnasemanga madem ndio wanakulanga fare kwani huyu Erick ni dem?????😂😂

    • @jackalbert934
      @jackalbert934 5 лет назад +1

      Huyu hakukua men's conference 😂😂😂

    • @estheralbrechtsen8999
      @estheralbrechtsen8999 5 лет назад +1

      👏👏👏👏👏 naona huyo Erick akirudi Mombasa tena

    • @godsfavour5665
      @godsfavour5665 5 лет назад

      @@jackalbert934 😂😂😂balaaa

    • @godsfavour5665
      @godsfavour5665 5 лет назад +1

      @@estheralbrechtsen8999 😂😂😂itabidi kwanza huko ndio atafanyia road test coz huyo lady c mchezo pia

    • @estheralbrechtsen8999
      @estheralbrechtsen8999 5 лет назад +2

      @@godsfavour5665 😂😂😂😂😂😂😂 hapa milele FM hatuhami .

  • @jacklynenyongesa6417
    @jacklynenyongesa6417 5 лет назад

    Ati bendera haifuati upepo...wanaume munapenda kusoma katibaaaaa

  • @bonfacepascal871
    @bonfacepascal871 4 года назад +2

    Alex: Ata siku ya pili ulilazimishwa?
    Aaaah siku ya pili nilijipeleka me mwenyewe😂😂

  • @henrydsouza
    @henrydsouza 5 лет назад +11

    Alikula fare 😂😂😂😂😂😂

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 11 месяцев назад

    kutoka mombasa si rahisi mzee

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 лет назад +6

    Siku ya pili nilijipeleka tu mwenyewe 😂😂😂 hii kitu haipendangi ujinga

  • @dennisochieng9774
    @dennisochieng9774 5 лет назад +3

    Ati ongea na yeye kama anaeza niachilia!!! Hahaha Saitan!

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 5 лет назад +3

    Sijawahi ona jalas amekuwa emotional hivyo amekasirika Sana boyshoud us suffering 🤣🤣but on a serious case wanaume tulieni kwa mabibi zenyu for God's shake 🙏haya ndiyo madhara ya mipango za kando, bibi anateseka na watoto wewe unajifurahisha hiyo ni ujeuri wako

  • @mwimbimiheso5513
    @mwimbimiheso5513 5 лет назад

    waaaa....noma hii

  • @kenyanbae9971
    @kenyanbae9971 5 лет назад +8

    😂😂😂😂 hii kitu imekasirisha jaras yaani ni Kama ako na mpango kibao

  • @wakurasylvester4927
    @wakurasylvester4927 5 лет назад +1

    Ground vitu ni different 😀😀😀😀

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 5 лет назад +1

    Weeeeee n mombasa hiyo

  • @wingstarmsanii9862
    @wingstarmsanii9862 4 года назад

    Hapo iko sawa

  • @josephinelove4832
    @josephinelove4832 5 лет назад

    Nko hapa nitawambia vile mtu hufukwa hahahaaah!!! Kazi rahisi sana huwezi enda kwa mganga ata!

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +5

    jalas munanimaliza haaaaah mango wakando msikie sana muwe wa pole jalas ameseme😂😂😂😂😂😂😂kumbe boy child alikuwa fare😂😂😂😂😂😂mwakideu na jalas wacha tu

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +22

    mungu wa Elijah shukisha moto boy child atateseka yawah wapi pastor Nganga jamani clinic imekuwa moto😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 лет назад +1

      Dadangu hiyo mambo nmejishudia mimi kwa mme wangu, akija kwangu amalala flatt but akirudi kwa mpango wake hyo anajidai sana kua anachapa kasi

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 5 лет назад +1

      @@RoroRoserororo wah dunia hina mambo jamani pole dada

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 лет назад +2

      @@nzisakasau8234watu ndo wana vituko

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 5 лет назад +1

      @@RoroRoserororo kabisa na kama mtu aridhiki na aliye naye huo ndio mshahara

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 лет назад

      @@nzisakasau8234yap bt huyu mwanaume ametumia akili kujua mpango wakando ameharibu mambo, wangu hakutaka kusikia hiyo kabisa hadi nkajitoa

  • @christinemwambushi3590
    @christinemwambushi3590 5 лет назад +2

    Woyii umetupiwa jini na unalala nalo

  • @reginawambua7433
    @reginawambua7433 5 лет назад +6

    Kumbe mambo yamechange, round hii ni ndume wanakula fare😂😂

    • @wakurasylvester4927
      @wakurasylvester4927 5 лет назад +2

      😆😆😆😆😆 Fare itakulwa tuu

    • @faithwangeci53
      @faithwangeci53 5 лет назад +1

      Ati lakini amekula pesa zangu sana.

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 года назад +1

      😂😂😂😂 Team Mafisi wako broke mbaya sana.
      Uchumi umezorota mpaka sasa fare wanakula sasa.
      😂😂😂😂

  • @samsokes4085
    @samsokes4085 4 года назад

    Majini zinamyonya pakajeng

  • @samuelmbuthia9013
    @samuelmbuthia9013 5 лет назад +18

    Pastor Ng'ang'a atafutwe😂😂😂

  • @moiben663
    @moiben663 5 лет назад +2

    Mungu wa Eliya shukisha moto hehehehe......

  • @fatmamacharia3593
    @fatmamacharia3593 4 года назад +2

    Acheni kucheka this happens 😭😭😭😭😭😭😭

  • @oscarloveto7849
    @oscarloveto7849 5 лет назад +3

    mimi mombasa sitafuti mpango wa kando uko, hahahahahahah

  • @kegolijoywine5372
    @kegolijoywine5372 2 года назад

    Sasa mmeelewa kwa nini Pesa ya mwanamke ni ya mwanamke 😂😂😂

  • @prettyaysha7892
    @prettyaysha7892 5 лет назад

    Jamani lilian ulitoa wapi

  • @King-Jack-ryan
    @King-Jack-ryan 5 лет назад +1

    Jalas ground imebadilika wacha mchezo wakando

  • @amaa6353
    @amaa6353 5 лет назад +3

    Jalas na mwakideu mutafungwa mujichunge.yani 600ksh unafungwa

    • @faithwangeci53
      @faithwangeci53 5 лет назад

      😂😂😂😂😂pesa ya wanawake ni noma sana

  • @linetmokogoti7377
    @linetmokogoti7377 5 лет назад +2

    Wanaume mmeanza kukula fair ni sawa tumewajia

  • @ciirulastborn9655
    @ciirulastborn9655 5 лет назад

    Mwakindeu kwenda aki

  • @viginiakanana2997
    @viginiakanana2997 5 лет назад +1

    Pastor nganga atapata mkofi sana n hapo jalas naona unajitetea nikaa Uko n mpango😂😂😂😂

  • @geraldkipkoech1090
    @geraldkipkoech1090 5 лет назад +1

    Uyo madam wa kupiga simu unibamba sana ...

  • @savvanahjuma6107
    @savvanahjuma6107 5 лет назад +1

    haaaa u guys r bomb😂😂😂😂😂

  • @philiswanyonyi9331
    @philiswanyonyi9331 5 лет назад

    Oooh my Goodness saidia boy child.

  • @winnielusava8846
    @winnielusava8846 5 лет назад +1

    Eti nilijipeleka mwenyewe siku ya pili uyo jamaa anafaa afungwe pia mdomo

  • @shickyshickys9502
    @shickyshickys9502 4 года назад +1

    Jalas leo kiherehere ilikuisha🤣🤣🤣🤣🤣 road test tena

  • @rahabwanjiku5992
    @rahabwanjiku5992 5 лет назад +1

    Haya mwimba ya kujidunga haina pole.

  • @Skysport456
    @Skysport456 5 лет назад +2

    Atleast nimeskia mzee wa kwanza kukula fare😂😂😂😂😂😂 vitu kwa ground ni different

    • @asiaboki8625
      @asiaboki8625 5 лет назад +1

      Koech Welton, 😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 года назад

      😂😂😂😂 1:52 wakati huu
      🏃🏃

  • @VJMASTERMIND
    @VJMASTERMIND 5 лет назад +4

    Wanaume wakikula fare... Wanafungwa. Wanawake wakikula fare hamna kitu inafanyika

    • @tabithakamau2608
      @tabithakamau2608 5 лет назад +1

      VJ MASTERMIND Hahaa Hata wewe Nitakutumia fare😂😂😂😂😂😂😂

    • @VJMASTERMIND
      @VJMASTERMIND 5 лет назад +1

      Tabitha Kamau nkupee number

    • @tabithakamau2608
      @tabithakamau2608 5 лет назад

      VJ MASTERMIND sawa na ujue nakutumia Mia sita

    • @VJMASTERMIND
      @VJMASTERMIND 5 лет назад

      Tabitha Kamau mia 6 imelaaniwa, weka 1k na utume location haha

    • @tabithakamau2608
      @tabithakamau2608 5 лет назад

      VJ MASTERMIND Hahaa chonjo

  • @mercylineabuko9572
    @mercylineabuko9572 5 лет назад +3

    Bro nisambazie huyo demu number yake anapeleke kwa huyo mganga

  • @steventhomas672
    @steventhomas672 5 лет назад +2

    Umefungwa kwasababu we ni mwizi...😂😂

  • @sarahkenn9606
    @sarahkenn9606 4 года назад

    Nataka uyu mganga jamani

  • @sherineatieno4196
    @sherineatieno4196 5 лет назад

    Katiba ndio utaacha noma sana😅😅

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 лет назад

    Wanaume mutosheke na wake zenu Maana kama agekuwa faithful hayahayegemukuta

  • @charitynyaga4268
    @charitynyaga4268 5 лет назад +2

    Jara u make me laugh alone

  • @susanmamaafrica6874
    @susanmamaafrica6874 5 лет назад +2

    Lakini jalas Ni wazimu. Unataka kuhost mchawi wapi😂😂😂😂

  • @maggiealf4474
    @maggiealf4474 5 лет назад

    Huyu mwanamke ni illuminate Erick you need deliverance , you have been already intiated, aende kwa Ng'ang'a, Apostle Peter Manyuru or tafuta Evengerlist Fred Okuku on fb utasaidika

    • @rickm3692
      @rickm3692 5 лет назад

      🤣🤣🤣🤣🤣ATI pastor Ng'ang'a.. what a joke!

  • @shekomaina1623
    @shekomaina1623 5 лет назад +1

    Hii Tamaa yenu ona Mazao sasa

  • @faithfoundationministry437
    @faithfoundationministry437 5 лет назад +1

    hii kipindi huwa saa ngapi?

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 5 лет назад +1

    Yani imefika pahali wanaume tunakula fare 😂😂😂 wololooo

  • @musicandnewskenya4270
    @musicandnewskenya4270 5 лет назад +1

    Umang'aa yake Eric imemutoka..nakwakutotesheka na mke wake wa ndoa.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Год назад

    KENYA MNATISHA , HIVI KUNA UWEZEKANO WA MTU KUKUFUNGA USIJIWEZE KTK KUSOMA KATIBA? WENGI WATAFUNGWA. BASI HUYO MFUNGAJI AWE ANATOA TAARIFA KABLA ILI KAMA NI KULIPWA ALIPWE.

  • @njoramichael7051
    @njoramichael7051 5 лет назад +2

    😅🤣😂🤣😂🤣🤣🤣 wanaume wanao kula fare ndo hayo maneno sasa 😅😂🤣😂

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 года назад

      Iwe Funzo kwa wale wengine wa SACCO ya kukula fare. Ni kubaya!! 😂😂😂😂
      Pwagu kampata Pwaguzi!!
      😂😂😂😂

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 года назад

    Alan wakasatan namalunuhaaaaaataah! 🤔 🤸‍♀️🤸‍♀️🤣🤣🤣!