I connect my soul to this blessing 🤲🏼 Lord set me free from every bondages, enlarge my territories in every area of my life let me see u that i may keep worshipping u 🤲🏼
Kwa Damu ya Yesu kakayangu mzaliwa wetu wa kwanza naomba afunguliwe kutoka katika kila uonevu wa afui na vifungo vyote vimuachie awe huru tangu leo hii. Kwa nguvu ya Damu ya Yesu imekuwa. Waefeso 1:7
I connect my soul to this blessing 🤲🏼
Lord set me free from every bondages, enlarge my territories in every area of my life let me see u that i may keep worshipping u 🤲🏼
Asante kwa mafundisho,mimi nimefunguliwa ,huduma yangu,jamaa yangu,pia na kanisa langu kwa nguvu ya damu ya Yesu.
Amen, Ee Bwana nguvu zangu nakupenda sana ZABURI 18:1
Amen! 🙏🏽
Following up from Kenya 🇰🇪
Ameen.pastor
Asante Yesu kwa damu yako, nimefunguliwa kwa imani
Ubarikiwe sana mutumishi Kwa mafundisho ila tunaomba namba kwa sisi tuko mbali
Kwa Damu ya Yesu kakayangu mzaliwa wetu wa kwanza naomba afunguliwe kutoka katika kila uonevu wa afui na vifungo vyote vimuachie awe huru tangu leo hii. Kwa nguvu ya Damu ya Yesu imekuwa. Waefeso 1:7
Safari hii sijaelewa kabisaaa
Sikiliza tena kwa utulivu
Natamani kufika hapo, ibada kama hii itakuwa lini, nahitaji kushiriki.
J5 na friday ibada ni kuanzia saa 11 jumamosi ibada inaanza saa tano na jumapili kuanzia saa tatu asubuh
Mahali ni sinza mori TAmwa