ATARI!!😱KU RUDISHWA CONGO KWA KOSA LA MKOKOTA MKE WAKE,ANA SHIKILIWA NA MIGRATION....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 19

  • @AlexKdomore-k8e
    @AlexKdomore-k8e 5 дней назад +1

    First African love home. Ulaya sio mbinguni. Homeless every where America jobless people alot I'm Alex from congo African.

  • @Johnathan-kshindi
    @Johnathan-kshindi 5 дней назад

    Mungu fanya wepesi mungu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏📖

  • @norbertmbeleci9181
    @norbertmbeleci9181 6 дней назад +2

    Ajafungwa na akufungwa lakini😌😌

  • @EMIDISumaili
    @EMIDISumaili 6 дней назад +1

    Niatari kweli daa ok

  • @niahussein5387
    @niahussein5387 6 дней назад +2

    Link mnawez kujaza wote
    Inchi ambayo imekatazwa ni congo tu ko fanyeni kumsaidia pia

  • @MTYONA-t4k
    @MTYONA-t4k 6 дней назад +1

    Sio link

  • @Jonseritv8
    @Jonseritv8 6 дней назад

    Nothing is impossible....... 😢😢
    By swems

  • @fathers19991
    @fathers19991 6 дней назад +1

    Mwanamke mwenyewe malaya yani Sweden Ina sheria kali mno

    • @niahussein5387
      @niahussein5387 5 дней назад

      🥱😢

    • @openglo
      @openglo 5 дней назад

      Ukijaji hayo waweza kukaa bila kuoa maana umezaliwa na.....

  • @Lastbornecadet
    @Lastbornecadet 5 дней назад

    Izi headline zenu mnahandika title kama watoto wa primary dih

  • @Rojo_Rojo
    @Rojo_Rojo 5 дней назад

    Kwani uyo demu anaitwa nani?

  • @Jonseritv8
    @Jonseritv8 6 дней назад +2

    Sijaelewa, nani alisema kwamba watu watoe maoni ikiwa abaki Sweden au atudishwe DRC, ?? Maana najua serikali ikiamua haiwezi kuomba maoni kutoka kwa Raia hasa swala kama hilo.
    By swems

    • @niahussein5387
      @niahussein5387 5 дней назад +1

      Kila nchi na sheria zake kaka mm nipo Sweden ivyo ndo wamesema ko msaidieni tu

    • @Jonseritv8
      @Jonseritv8 5 дней назад +1

      @niahussein5387 Asante
      By swems

    • @NyapambaSadokiSango
      @NyapambaSadokiSango 5 дней назад

      Sasa asaidiwe vp​@@niahussein5387

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 6 дней назад +1

    Duuh..!! December Ndio Mwez Wa Majanga Kweliii