Shaping Tomorrow: A Glimpse into Dar es Salaam's Transformation into a Mega City 🇹🇿
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Redisscover the world through my lens!
To Advertise your business
Email: pafandiproduction@gmail.com
To support this channel
M-Pesa | Sendwave | WorldRemit
+254114894455 Safaricom 🇰🇪
+255765808391 Vodacom 🇹🇿
Buy Me a Coffee
buymeacoffee.c...
We have Supermarket's , Mini Supermarket's, Complex, and so on....nyingi nyingi sana!!! Huyo Tour Guide labda hafahamu vizuri.
MBUYU or Baobab Tree Nimefurahi saaaana sana Haukatwi!🙏
Huo MBUYU upo hapo very long time! Even that area called MBUYUNI!
Sooo much good memories since our childhood tumeuona MTI WA MBUYU ulikuwepo, tuliukuta na upo mpaka sasa!!! Asante sana kwa serially kwa maamuzi mazuri ya kukataa usikatwe MTI WETU MZURI WA MBUYU!
Dar is coming up well..
I don't want to compare it to Nairobi because Nairobi is like 100years ahead of dar and it still developing very fast...
.. our cities are developing very fast
That's de only way to give hope yourself even if you'll prefer saying 1000 years ahead good for you
First watch
Thank for watching
Brt phase 4 has a total of 30km so boss tv if you dont know why dont you ask?? Like de other time you told him from posta to airport is 5km instead of 14km
Hapo KCB ndio Kenyan embassy nashangaa jamaa hajui
Boss TV si umpeleke na kigamboni Bridge jamani kabla haja ondoka?
Ukilud kenya nisalimie ndugu zangu wapo KISAUNI
mpereke Daraja la kigamboni huyo akalione
I would like to chime in about the increase od Tourism in Tanzania. An American friend of mine shared this with me in Nyc,TANZANIA with its fast paced economic development still feels African and unaffected by western influence. ALSO Tanzania has not reached its potential when it comes to tourist attractions,TH ENTIRE SOUTHERN TANZANAI is practically a virgin territory.
So true
Dada yangu ulikuwa unatafuta tour guide wa kukuonyesha. Dar. Staff like that sasa huyo ndio tour guide ok. Sie yule tour guide mchongo alikuwa anajalibu kukutongoza anyway enjoy Dar every single minute. Drink eat. Sleep. Enjoy maximum in tz we say enjoy full kilo cause life to short
Eeh unamkumbuka mmmh balah. Hapa niko sawa
Baobad tree thousands of years ? sio kweli mdogo wangu sema huyo mbuyu una miaka mingi sana.Tanzania yenyewe haina miaka hiyo 😂😂😂 maelfu
Bro sasa hapo unapinga ni nini? Majengo Ya kilwa,bwagamoyo,zanzibar mbona baadhi yana umri mkubwa sana zaid ya miaka 300-500…? Alaf amesema thousands of years na pia akasisitiza bado hana uhakika so inaweza ikafika miaka maelfu au chini ya maelfu….muktadha zake ni kuwa huo m’buyu una umri mrefu📌
Kilwa, Bagamoyo and Zanziba zilikuwepo since 12 and 13 Centuries, Unazungumza nini wewe.... kama hujui kitu nyamaza!!! Usipinge kitu usichokijua! UTUACHE NA NCHI YETU!🖋📌
@ We fala fala kweli miaka Dunia sasa hivi wanahesabu 2025 sasa wewe aliyekudanganya znz ina miaka maelfu kwa maelfu tokea ianze nani ?Kisiwa kilikuwepo na nyinyi asili yenu nusu watanganyika wapo huko wasambaa na Washelisheli na wacomoro
@ Nimesema maelfu sijasemea century soma komenti kiuhalisia harafu jibu.Msikilie jamaa alivosema miaka elfu 3 sio kalne 1 au 3
@ Nchi yako iko wapi ? Nchi ya wananchi ikijumuishwa na serikali iliyoundwa na misingi ya sheria zilizotungwa na bunge
Franchising is not that advanced in Tanzania! TSN n Shoppers r trying! Shoprite, Games, Uchumi n Nakumatt came n shut down their shops! I think Tanzania prefer shopping at traditional local markets!
Do your research well
Kigamboni Bridge jamani bos TV mpeleke dada kigamboni Bridge apa one
Soon....thanks for watching