TRAORE AMETENGENEZA MAGARI YA UMEME HAWATAHITAJI MAGARI KUTOKA NJE YA AFRIKA TENA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 185

  • @boscorutaisile222
    @boscorutaisile222 10 дней назад +30

    Daahh, inaniuma sana sisi mwamba wetu amelala tungekuwa mbali kwakwel

    • @johdanny7816
      @johdanny7816 9 дней назад +3

      Kabisaa tungekua mbali vibaya mno

    • @kubwalao5049
      @kubwalao5049 8 дней назад +1

      Kweli kabisa huyu tulionao hamna kitu

    • @AmanHaonga-y9b
      @AmanHaonga-y9b 8 дней назад

      Kweli tungekua tunakaribia mbinguñi😂😂😂😂😂😂!!!!.

    • @Lastbornecadet
      @Lastbornecadet 6 дней назад +1

      Alale mahali pema , yeye ndo aliacha natengeneza misingi mpaka sasa sarafu ya tz imekua juu ya DRC

  • @SalumMaduhu-u3i
    @SalumMaduhu-u3i 9 дней назад +13

    Naipenda African napia najivunia sana kuwa muafrica

  • @nashonmalisa8939
    @nashonmalisa8939 4 часа назад

    Nakupata vizuri mwl. Na Mungu aendelee kukulinda ili uendelee kutupa mambo mengi na mazuri.

  • @Thehemayouth
    @Thehemayouth 10 дней назад +7

    Asante kaka yangu ibrahim kwa kuamsha Africa 🌍 ♥️ ❤️

  • @SundayMatembo
    @SundayMatembo 4 дня назад

    Much to my respect for this wonderful guy and mighty son of Africa. It is an enticing alarm to our corrupted and less innovative leaders, who ought to puff their belly with peoples taxes. Here, there's more bags of lessons to learn from Ibrahim Traore despite what it may have said for him to be a fledgling politician. I thought perhaps we should seek to vote for these touted unwanted "head of states". They, most likely than not, bring clear chemistry necessary for our growth and they are profusely cramped with capability to peel out axis of our normality. I sometimes wonder, perhaps my lingering thoughts are rather than becloaked with alien's cars from Asia and Europe as our countries embrace, why on earth could we not enshrine our time as Africans to support Burkina Faso?. Let's just cling to these presumptions .Let's just say every African government in Africa purchases "1000" cars or unreel atrocious taxes on importing these cars for governmental use, though not restricted to our local citizens and their production. But it feels scrupulous to reduce taxes and have stretched our hands for a moment to support this plus it follows that as this thing grows we can turn our traditional to other utilities. But my view is, we should start somewhere not necessary for now to judge other things. Much more reducing taxes on them could allow easy shipping and foster innovation across Africa countries. I very much think , more fervently that, we could certain heap the Burki economy for this and other countries would follow the suitcase. These enshrines, perhaps, were supposedly to be sparking points in SADC or ECOWAS or AU and any other African committees rather than embarking cabbage bins for by-takers or by-products of European or Asian utilities. This is our time to extrovert ourselves and refute by-products at any angle by any cost. To my surprise, I didn't and still don't click well in my back seeing these leaders or head of states expletively devouring citizen taxes talking rubbish or nonsense without considering these mighty options. Even then, the meeting, like one which was conducted in Dar es salaam(Tanzania) one day ago from 27 to 28/01/2025 was a very crucial platform to sparks these changes and usher our collective support. Even mighty Rome could not be built by one person or dominion, are we serious if we want to develop and infringed ourselves from the barbaric curtains of Europeans without meekly sheer support from each other??
    Being so impalpable to all these, I prefer to hail my praise to Ibrahim Traore with his formidable capacity to excel Burkina Faso and Africa in exceedingly other stratosphere and bring these collective statement----"We are not all Stupid, we can also do it by our own resources"...
    Hail to thee(Traore), blithe Spirit!
    Bird thou never wert,
    That from Heaven, or near it,
    Pourest thy full heart
    In profuse strains of unpremeditated art.
    Higher still and higher
    From the "BFA" thou springest
    Like a cloud of fire;
    The blue deep thou wingest,
    And singing still dost soar, and soaring ever singest.
    In the golden lightning
    Of the sunken sun, of BFA Armed Forces, the star aroused,
    O'er which clouds are bright'ning,
    Thou dost float and run;
    Like an unbodied joy whose race is just begun.
    Like a Poet hidden
    In the light of thought,
    Singing hymns unbidden,
    Till the world is wrought to know, this mighty guy
    To sympathy with hopes and fears it heeded not:
    Keen as are the arrows
    Of that silver sphere he took,
    Whose intense lamp narrows
    In the white dawn clear
    Until we hardly see, we feel that it is there.
    Better than all measures
    Of delightful sound,
    Better than all treasures
    That in our books are found,
    Thou scorner of the ground lamenting!, but the art I hear shrill my delight.
    GO,GO, TRAORE; the true son of Pan-Africanism like Magufuri, my late President.
    It is so imperative to notice the very thing that every poem craft in here was a just duplication from well the known poem "Ode to a Skylark" - from famous Percy Bysshe Shelley, my favorite poet.

  • @ArafatAbdullahAwadh
    @ArafatAbdullahAwadh 10 дней назад +8

    MaashaAllah mwenye'ezi mungu amlide amiin "In Shaa Allah"

  • @YunisB-x9c
    @YunisB-x9c 10 дней назад +5

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah.
    Jazakallah Kher
    Sheikh Ibrahim Traore
    Fi Amanillah.
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mackjr5291
    @mackjr5291 9 дней назад +5

    Kazi nzuri sana Mwakilembe, naomba uwasiliane na viongozi wa protocal wa Bukinabe ukamhoji mwamba Ibrahimu

    • @AmanHaonga-y9b
      @AmanHaonga-y9b 8 дней назад

      😂😂😂😂Kishetu we!! Sasa ataweza kuongea nae ki troure!!!!😂😂😂😂

  • @robertmaingi4635
    @robertmaingi4635 9 дней назад +4

    Hero in Africa 💯✔️

  • @PaulMau-mv9pj
    @PaulMau-mv9pj 10 дней назад +2

    African hero, Bravo Bravo. Much love, more life God bless you IBRAHIM TRAORE. AFRICA KING.

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 3 дня назад +1

    TZ🇹🇿 TULIKUA NA MWAMBA MAGU OYAA HYO NIABALI NYINGINE WANA MJUA MABEBELU MWAMBA MPAKA COVID 19 imemkimbia sio PW AFRICA✊❤

  • @AnithapaulKarugaba
    @AnithapaulKarugaba 10 дней назад +4

    Mungu amteteee tunazidi kumwombea...❤

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 9 дней назад +3

    Mashallah Allah amuongoze na amlinde rais Ibrahim na aongoze abadilishe Africa yoote kwa jumla ameen...

  • @MaalimYussuf-qy9ic
    @MaalimYussuf-qy9ic 10 дней назад +16

    Sis Tanzanian hadi leo mwenge wa uhuru😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @hassanally446
    @hassanally446 4 дня назад +1

    Upo vizuri mwalimu Isaya tunakupenda mungu akulinde, ila usiingie kwenye mambo ya dini au kuizitofautisha na kuonesha ubora wa imani fulani ni Bora kuliko nyingine, utapoteza watu wewe ni mtu wa watu wote watanzania wote unatufungua kiakikili na kutufanya tujue mengi kupitia wewe
    Mungu akupe Afya njema na umri mrefu ili uendelee kutupa faida

  • @madalanasri2226
    @madalanasri2226 9 дней назад +5

    Blessings 🙏 nyingi sana kwa Traore .

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 10 дней назад +7

    Huyu mwamba mungu azidi kumpa afya na ulinzi Hadi pale atakapotimiza malengo yake juu ya kuliletea maendeleo taifa lake pamoja na kuwazindua waafrica Africa sio masikini ila umasikini tunautka wenyewe kwa viongozi tulipnao au tuliowachagua🙌🙌🙌

  • @feiswalislam8465
    @feiswalislam8465 10 дней назад +2

    Mungu ampe moyo Amennnnnn na ww pia unavo tupa habari mungu akupe nguvu ya kutupa habari

  • @mohamedhaji4827
    @mohamedhaji4827 10 дней назад +3

    Hongera mwalimu mwakilembe kwa taarifa na habari

  • @AmranSeif-e4f
    @AmranSeif-e4f 10 дней назад +3

    Traoré anaweza kbsa mungu amlinde na watu wabaya

  • @OssmanesadiqueOssmane
    @OssmanesadiqueOssmane 10 дней назад +4

    Hongera .issaya..kuendejra.mututhaminisha.waafrica

  • @IsmailAlly-zi4pq
    @IsmailAlly-zi4pq 10 дней назад +5

    Kaka isaya nakukubali sana nimzalendo kama wakweli kaka

  • @bakarimbonjo7182
    @bakarimbonjo7182 10 дней назад +6

    Jah bless more African redeemer,,,

  • @sgjjkwbueow
    @sgjjkwbueow 9 дней назад +1

    Tuimport sasa magari kutoka kwa traore, tumsupport!

  • @hbdina
    @hbdina 9 дней назад +2

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Utaona kuwa mang'anyau hawatupendi,tuwe makini sana wanaokuja nchi kwetu kwa njia ya uwekezaji.Hawataki tuendelee.Waafrika lazima tuwe wabinafsi na maliasili zetu kwa maendeleo ya watu wetu

  • @haidarkhatib-m7b
    @haidarkhatib-m7b 9 дней назад +1

    Hongera sana Raisi wa Afrika.......

  • @DaudiMusa-e3d
    @DaudiMusa-e3d 9 дней назад +1

    Ongera raisi wa dunia❤

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 9 дней назад +1

    Mwenyez mungu ampe maisha marefu yenye afya njema na aendelee kua madarakani

  • @gabrielsango8745
    @gabrielsango8745 5 дней назад

    Hongera sana kwa Captain Ibrahim Traore...

  • @mussaally9048
    @mussaally9048 10 дней назад +1

    Namkubar kwakwe traore mungu alinde mussa Ally

  • @saidmbemba2112
    @saidmbemba2112 9 дней назад +2

    Nakuombab Mungu wa Rehema amtunze Mwamba Traore.

  • @williamsingo-gs3mn
    @williamsingo-gs3mn 9 дней назад +1

    Namkubali sana huyu mwamba Traore

  • @RoylandMwamwende
    @RoylandMwamwende 10 дней назад +1

    Mwalimu umetisha sana

  • @abdallahmohamed3444
    @abdallahmohamed3444 9 дней назад +1

    👏MWAMBA HUYU HAPA

  • @josephmulula440
    @josephmulula440 9 дней назад +1

    Hongera African imeamka mungu amlinde Rais wa Burkinafaso Sihii kama Ruto ambaye ni kibaraka ya wanzungu kwanza Rais ruto anatakiwa awaondoe majeshi ya marekani akuwe kama Rais wa Burkinafaso

  • @muhitira
    @muhitira 9 дней назад +3

    Brother Ibrahim Traore Anajitambua ,na Wengine wapige apo ,Douuuu na Wengine wangeiga apo lngelikua sawasawa Hawa wazungu washenzi hawangeli tutawala na kutulia Mashujaa Wetu❤❤❤IBRAHIM TRAORE ❤❤❤

    • @AbdulAbdulrahman-u7n
      @AbdulAbdulrahman-u7n 9 дней назад +1

      Nawaambiaga tuwafukuze wazungu tutaendelea jambo kubwa kama hili radio zetu TV hazitangazi wazungu wabaya sana

  • @zuberimasoud5728
    @zuberimasoud5728 10 дней назад +1

    Mwambaa abarikiwe sana na Mwenyezi Mungu amlinde dhidi ya Manyangau

  • @idrisDerby
    @idrisDerby 10 дней назад +2

    Mwl. ISAYA BENSON MWAKILEMBE you're the best

  • @hashimkasimu6050
    @hashimkasimu6050 10 дней назад +12

    Gadafi amefufuka kwa sura nyeusi

  • @EliaMwampamba-h3n
    @EliaMwampamba-h3n 9 дней назад +3

    Sisi waTz mwamba wetu kapumzika inaniumiza san😢😢😢

  • @tomborathomas2124
    @tomborathomas2124 10 дней назад +3

    Ukuu wa mwafrica tuko wote Mungu mbele siku zote

  • @ALLYZAHOLO-gr9py
    @ALLYZAHOLO-gr9py 10 дней назад +2

    Namkubali sana uyu mwamba

  • @issatanda4281
    @issatanda4281 10 дней назад +1

    Jamaa mungu azidi kumbarika

  • @NshimirimanaSylvain
    @NshimirimanaSylvain 10 дней назад +1

    Benson ,be courageous and blessed. We follow and learn from in our daily lives

  • @HassanChalamanda
    @HassanChalamanda 10 дней назад +1

    God bless you hiblahim traole

  • @agneskayange2804
    @agneskayange2804 10 дней назад +1

    Mungu alimlinde Ibrahim Troure!!

  • @MorrisGregory-x2b
    @MorrisGregory-x2b 13 часов назад

    Asante kiongoz, but hata mwl Jk Nyerere alijaribu sana Tz iwe nchi ya viwanda na mashirika makubwa ya umma, wenzake wakamsaliti, tulikuwa na kibaha saab- scania, nyumbu, jiji la Dar lilikuwa na viwanda kebekebe, ubungo, chang'ombe, pugu rd, kawe etc kote kulijaa viwanda tena vikubwa, bado morogoro, mwanza , tanga, na kwingine kwingi . africa kuna rahana, tuombe Mungu wafuasi wa Traore awe na wafuasi wazuri na wenye kupenda future maana hata Nyerere wengi wa wafuasi wake hawakuwa karibu na fikra na maono ya mwl. Tena, asante kiongozi.

  • @OnestiMuzyenge-j5t
    @OnestiMuzyenge-j5t 8 дней назад

    Tunamuombea Sana MUNGU awalinde

  • @hawaally2308
    @hawaally2308 8 дней назад

    Hongera sana wananchi wa Bukinafaso. Mlindeni sana Sana kwani ni asset kubwa sana

  • @nassibnassib5691
    @nassibnassib5691 10 дней назад +1

    Fantastic

  • @Pili26Abdullah
    @Pili26Abdullah 7 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤ mungu akulinde

  • @FrankeIgiraneza
    @FrankeIgiraneza 10 дней назад +2

    Kbs✊✊🙏💪

  • @kisagentabirage6693
    @kisagentabirage6693 7 дней назад

    Mtumishi Isaya unajua sana nahitaji namna ya kuwasiliana na ww tafadhali

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 10 дней назад +1

    Allah alinde Ibrahim

  • @LaaajoAlhamdilillah
    @LaaajoAlhamdilillah 9 дней назад

    Masha allah alhamdulillah allah azidishe nema

  • @djnnyandboy564
    @djnnyandboy564 10 дней назад

    MUNGU ampe maisha marefu

  • @kepharichard4183
    @kepharichard4183 6 дней назад

    Jamaa ni super genius

  • @VivecCarol
    @VivecCarol 9 дней назад

    Ila mwalimi umenichekesha sana,... Umeenda kwa kikoloni alafu ukakikataa kiaina hapo ukaonesha uso fulani hivi wa kama unaichukia fulani hivi.. Kisha ukaendelea na uchambuzi.. umenifurahisha sana

  • @Bitunils
    @Bitunils 9 дней назад

    Congratulations 🎊🎈🎉🍾

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 10 дней назад +2

    😂😂😂😂😂kazi kazi

  • @FarYawaka
    @FarYawaka 9 дней назад

    Nimecheka ulivo. Anza habari God Mon hahhaha badaye umejishitukiziya ❤❤❤

  • @AminaKigada
    @AminaKigada 8 дней назад

    Yaanii huyu jamaa nihatarii Sanaa hata magufuli hajafikia huyuu anahitaji ulinzi khaswaa lasivyoo itakua mtihani mungu amlinde indhaalllah😊

  • @EdmondMulumba-p3n
    @EdmondMulumba-p3n 10 дней назад

    Félicitations Ibrahim traore

  • @robertcheruiyot318
    @robertcheruiyot318 7 дней назад

    😮huyu jamaa ingebidi hakutane na traore Leo tz

  • @telesphoramtenga569
    @telesphoramtenga569 9 дней назад

    hongera kwa kutupa taarfa

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar 7 дней назад

    TANZANIA THIS IS NEW GENERATION C KIPINDI VHAKINA WASIRA NA KINA WAZEE MAKAMBA KIKWETE TULIENI WAACHIENI VIJANA WANATAKA MAENDEREO C UFISADI AU UTEMI

  • @victormbega9862
    @victormbega9862 10 дней назад +1

    Safi sana

  • @Abutwalhamwanyuki
    @Abutwalhamwanyuki 10 дней назад +1

    Vizuri sana

  • @kisagentabirage6693
    @kisagentabirage6693 7 дней назад

    Mwakikembe naomba unifikishie salama zangu kwa Rais kijana mdogo moenda watu wake nampenda sana the great President of the world Capt Ibrahim Traole god bless him.

  • @Benedict-e4t
    @Benedict-e4t 9 дней назад

    Nmependa hii kwa kweli🇰🇪

  • @RasuliKhamisi
    @RasuliKhamisi 10 дней назад +1

    Kaka unajuw mpaka unakera Allah akuhifadhi kaka endelea kuwajuza waliy ghafilika

  • @PCbusinessTv
    @PCbusinessTv 10 дней назад

    Huyu mwamba mungu amurinde nakupenda sana isia

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 9 дней назад

    Tunakupata vizuri sana ndugu isaya benson kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu maoni kwangu nikwamba nikuulize kuwa hivi kati ya tanzania na bukinafaso ni ipi yenye uwezo wa kiuchumi na utajiri naomba uniambie kwa sababu naiona nchi yetu kama inauwezo hata kutengeneza hayo magari kama ilivyo sasa kwa mwamba wetu Ibrahim traore

  • @EdmondMulumba-p3n
    @EdmondMulumba-p3n 10 дней назад +1

    Que Dieu le protège ib

  • @MwemajaphetyZackalia
    @MwemajaphetyZackalia 9 дней назад

    Tano👊👊👊👀👅

  • @IssaStay-x3t
    @IssaStay-x3t 5 дней назад

    Africa tunaweza tukiacha kuwa watumwa wa wazungu

  • @kazikazicompany-yl6sd
    @kazikazicompany-yl6sd 10 дней назад +1

    wapo vizur sana

  • @AnzuruniMegare-pf
    @AnzuruniMegare-pf 9 дней назад +3

    Traore ametaka kuwaonyesha ma raisi wa Africa kama. Africa ni zaidi ya magaribi.

  • @kennysabai5695
    @kennysabai5695 10 дней назад +1

    Huyu kweli mwamba

  • @masudihamisi-z6m
    @masudihamisi-z6m 8 дней назад

    aisee broh unanifurahisha sana kutupa updates za huyu jamaa

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 10 дней назад +1

    Maa sha Allah

  • @YusufETlANG
    @YusufETlANG 8 дней назад

    Sawa mwalimu

  • @MugishaThiery-ob8qd
    @MugishaThiery-ob8qd 8 дней назад

    Tuulizie bei wa afrika mu promot wetu

  • @Gaddaf67
    @Gaddaf67 9 дней назад

    Good leader

  • @BernadoLeonard-bc8tf
    @BernadoLeonard-bc8tf 8 дней назад

    Nasi Tanzania tuta mpata tu mwamba Kama traore Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania

  • @Juma-u3t
    @Juma-u3t 9 дней назад

    Jah bless Africa

  • @amaniadrien7372
    @amaniadrien7372 2 дня назад

    hujamaa mimi namuita nabii

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 9 дней назад +2

    Traore anajitambua na anawatumia vizur Russia na China. Na sisi tunapaswa kuiga vitu vizur.

  • @abudoeugenio6903
    @abudoeugenio6903 10 дней назад +1

    Mwambaaaaaaaaaaaaaaa✊✊✊✊✊✊✊✊

  • @maulidisaidimuhani6859
    @maulidisaidimuhani6859 9 дней назад +1

    Kwakweli hapo, umejitahidi sana kuwa muadilifu, na huo ndio uadilifu, Gaidi wa kweli Hawezi kuwa muislamu na muislamu wa kweli hawezi kuwa gaidi kwa muujibu wa mafundisho, wanapo kosea wengi, wanahukumu Dini kwa matendo ya watu. Kama ambavyo muislamu hawezi kuhukumu ukristo kuhalalisha Ushoga eti kwa sababu Askofu mmoja Marekani au popote pale, kubariki ndoa za ushoga, inakuwa sio uadilifu

  • @RobertBaragoma
    @RobertBaragoma 8 дней назад

    Hapa kwetu tumeanza kutengeneza ndege za wahudumu bila ability tuna pululuka tu

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 10 дней назад +2

    Mwalimu je kwel atakuja bongo

  • @gabrielsango8745
    @gabrielsango8745 5 дней назад

    Naomba kuuliza ....
    BurkinaFaso ina jumla ya wananchi wangapi?

  • @AsiaAsi-s3u
    @AsiaAsi-s3u 9 дней назад +3

    Na Tanzania ipo siku atatokea kama traole, tatizo wpoo wanafiki wanashirikiana na mabeberu na kuua

    • @RaibebeBebe
      @RaibebeBebe 9 дней назад

      Labda kiingie chama chengine na sirahisi ila CCM ,Tanzânia ni ya wachache

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar 7 дней назад

    KINAKIKWETE WAMEMUUA MWAMBA YULE TUNGEKUWA MBALI SANAA TANZANIA

  • @FirdausMadina-g5s
    @FirdausMadina-g5s 10 дней назад +3

    Mungu hakuwaumba waafrika wasiwe na akili, ila wazungu ndio wanatufanya tujisahau. Tukumbuke asili yetu na tuthamini Uafrika wetu. Afrika ni tajiri dunia nzima, hawa wezi wazungu wasituzingue.

  • @SafrinhoAbdul
    @SafrinhoAbdul 9 дней назад +1

    Masud kipanya yupo
    Awamshiki mkono mapaka sasa

  • @williammemusi7402
    @williammemusi7402 5 дней назад

    This is the kind of president we would like to have in Africa not looters of public fund

  • @Sixtus-k7v
    @Sixtus-k7v 9 дней назад

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💯💯💯💯🎉🎉🎉

  • @allytemu9872
    @allytemu9872 9 дней назад

    Wewe una sifia nchi za watu kwako m🎉bona hupasfii_!