TRAORE AMEIPA IRAN KUIJENGA KISASA BURKINA FASO KAMA DUBAI
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.
Namuomba mungu azidi kumsimamia mwamba wa bukinafaso mwana wa traore
Naamini maneno yako benson muajemi na mrashia ni waki sawa sawa ,kauli zao na matendo yao nayakubali na napendezwa saaana nayo,traore kujiunga nawo ajiunge na kushikana nao kiukamili kwani ni watu waki sawa sawa, santa sana kwa habari zako ,mungu awabariki,amin
Siachi kukufuatilia mwalimu napenda sana habari za hii channel
Mungu tunakuomba mlinde ibrahim twaole huyu nimwamba kweli😅
JPM kaibukia bukinafaso pigakazi kaka🎉🎉🎉
Kweli kuna zawadi kutoka kwa Mungu jamaa Mungu amulinde hata Mimi nafurahia kazi zake
Nakupenda sana mwalimu wanenolamungu niko ujerumani
Asante mwalim tuna kupenda sana
long live captain ibrahim traore....Salute kwako Mwalimu
Kazi nzuri kwake Traore mungu amlinde na Africa yetu viongozi wafuate nyayo zake waepuka utumwa wa magharibi
Na ubinafsi
Yaani huyu Ibrahim traore nampenda kwa ujasili wake tu.
Shukran Mzee wagaza kwatalifa nzur tunakufwatilia tukiwa Oman uwarabun
Maeneo gani
From nairobi kenya nawapata vizuri sana
Haswaaaa mungu yupo naye muda wwote
Ujenzi mwenye makubaliano ya mali kwa mali ndio uchumi Bora.
Ufalme wa Mungu usimame.
Amin
Namuombea maisha marefu kijana Ibrahim Traore
Mungu huwapa mtu sahihi kwa wanaohitaji
Mwenzimungu amlinde nahao manyangau
Allah humma Amiin
Big up mwalimu
African power traoré is the best
Inatakikana Africa zina yni nchi zote za african tuipige chini ulaya tujenge na watu wa bei nafuu tna imara🎉#viva ibrahim
Big up
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Sema kaka ,nchi za Magharibi zitaanguka zikiendelea na misimamo yao.Wanagombana na kila mtu.Wasaau Africa tumeamka tuna Majenzii Tanzania tuwekeze kwa watu wetu
Safi sana mwalim tuna kufatilia kutoka Danmark 🇩🇰🇩🇰🇩🇰❤️🤝🫡
Tz kama uraya..mwenye ndoto zakeee...magu mungu anakuona..
Safi sana kamanda 🎉
Namtakia kila la heri Traore na Mungu atamsaidia
Nice
Sawa kbs mwamba kwa habari za ukweli
Asante kwa Habari
Mwl wa neno la Mungu,ninakukubali sana
Asante kwa Elimu
JPM namkumbuka, 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Safi sana
Nakupata kaka isaya
Mzee isaya nakupata vyema kabisaaa tena nakuelewa huna uchambuz wa hovyo wala braaa braaaa
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Sema kaka
hiii imekaa poa sana
Tatizo la Afrika ni uongozi nakubali sana
Kwasisi wabongo hatuwezikufikahuko mpaka tutakapopata uhuru la sivyo tutaendelea kutumikishwatuu😂.
Mwamba alikuwa anaelekea hku jpm mungu amuweke pema pmoja na wema❤😢 Ameen
Mwambie raisi wa congo asome hapo bos
Jamaa ni mwamba
Ibrahim traole🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Nakupenda sanaaa
***Hawa watawala wa Afrika hawatakawia kumhujumu***Sababu ni vibaraka***
Traore maisha marefu
Tazama congo haina barabara kuokopa mtambo waumeme wakuwasha dunia wao giza wa mpe traore hata miaka10 atengeneze
Safii
África hoooeeee 🇲🇿
Ibrahm traore na magufuli ni Mfano wa viongozi bora wa afrika kwa karne hii
Traor balaa
Umitisha braza
Chapisheni t-shirts za Traore
Huyu mwana BUKINABE Ibrahim Traore ni MAGUFULI mwingine kaibuka tena,Mungu aendelee kumpa ulinzi dhidi ya WANYONYAJI.
Africa viongozi Wengi wachumia matumbo na vibaraka wa MAGHARIBI uckute huyu mwamba Traore watamfanyia hujuma Mpk wafanikiwe maana manyang'au wana umoja kama vyama vya wanga vile
Bokinafaso mnapahati sana
natamani tungekuwa nae hapa ee mlmungu tujalie
Tupen taarifa za kweliii
El capitano Traore
muwe mna wa Tag viongozi wa Tanzania😅😅 wapate makala ya ukuu wa Afrika
Jamani tulicheleewaa sana kukumbatia imani potofu za kutugawa kwa misingi ya dini ukiwa muislamu tukapandikiziwa ugaidi ukitakuleta mawazo ya kutoka kwa wamagharibi unaitwa gaidi viongozi waafrika amkeni
L
🤲🤲🤲🙏🙏🙏❤💯💯🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷💪
Tupe matokeo ya Rwanda
Sijui itakuaje kwa waisraeli wa bongo, maana wanavyoichukia Iran😂😂
Duniani kuna wabishi lakini sijaona anae mkataba huu mwamba
Mataifa yetu mengine wnafiki sana
manyang,au hawakubali kuwekwa pembeni
Kaka watu wa lran walikuwapo blonde la rufiji kea kILIMO lakini walifanyiwa zengwe walifaga hata mbuzi
Sisi tutafika lini uko mana mi celew tunaenda au tunarud
Nyie wachambuzi hewa tuu Mbna hamchambui madudu yanayoendelea nchini kwenu. Magari 100 yote suv yanasindikiza mtu mmoja mkija online mnamsifia mafisadi
Tatizo tukianza kuichambua tz chanel yetu itafungiwa hembu imagen nape alivyokuwa anawaabia watu kuhusu wanavyoshindaga uchaguzi na watu wanamshangilia Sasa watu wa namna hii utawashauri kitu gani wakuelewe Wacha tumsifie traore ndio kipenzi chetu Kwa sasa
Kweli kabisa traore ndio mwamba kwa sasa@@rajabuKilongo-d3h
Habari mzuri lkn za uongo Kila siku tunaskia Russia china na corea wanawasaidia Palestine lkn hatuwaoni mara Wana jeshi kubwa mara silaha lkn kilamtu na mamboyake mwalimu unatupumbaza na uongo tu nimefatilia Hadi nimechoka series Yako ndefu sana😂😂😂
Mwamba umetisha kwani hizi habali una zipataga wapi?👏👏👏
Magulifications of Africa
sijuinizamie brkina faso🙅
Africa kwanza others rest.
Tim russia ina kumbusha tazara imejegwa magharibi hawakupenda china imejenga kama wizi usiku
Hakuna kiongozi hapo,ni swala la muda tu mtakuja kuniambia.Anataka kupambana zaidi na wale anao wachukia kwa sababu zake binafsi,hata kama wazungu walitufanyia mabaya lakini tukumbuke kuna mazuri mengi tu waliyafanya,
Hahaha ukoloni unekuathr
Alafu bongo siasa nyingi
Siyo kijana wa huku anakaa kwao na anakula kwa baba yake.mbaya zaidi wa huku wanajiita chawa kabisaa!.
3:52 napenda habari zako mkuu
kwanza aongoze hadi achoke yeye....kwani si tunataka vyuma kama hivyo
Magorofa malefu Tena mazuri
huku tz ili tupate maendeleo tuwape nafasi wapinzani
Tusubiri
TZ😂😂😂tuna almas .dhahabu..Magufuli ameondoka navyo iweje tusilie😢😢..kkopaaaaaa..miamba watoto wa afrika traoree tutoe kimasomasooo😊😊
Komaa
Isaya nitumie namba yako broo
Wewe bwana anataka kutuponza wenzio tupotee maana watendaji wake wapo bize mitandaoni kuliko kuondoa tatizo husika Lakini pia tunaogopa Roman catholic yetu l
Kwani izo gorofa nazo ziona, ziko burkinafaso ao ndo zitajengwa badae ?
Nilidhani jeshi la bukina ndoo linaijenga bukina hakuna kitu hapo
VIONGOZI WETU WANACHUKUA PESA ZA UMA KUPELEKA WACHEZA SINEMA NA WAIMBAJI NCHI ZA NJEE KWA PESA ZETU😂😂😂😂😂😂
Vp kuhusu wakwetu kafanya nini alipoenda USA
Rest in peace, JPM
Asante sana mwalim Kwa uchambuz mzur.je rais wa xx wa iran ni nani?
Mwakilembe, huu ni mpango wa Urusi yaani Putin ndiye kasuka huu mpango wa Iran kuja Burkina Faso ili kuijenga kisasa Burkina Faso.
Lengo ni kwamba itakapojengwa Burkina Faso na Iran basi nchi zingine za Africa zitatafuta kandarasi za wa Iran na kwa kitendo hicho basi kandarasi nyingi za wazungu zitapoteza soko katika ukanda wa Africa.
Hii ni hesabu kubwa ya Putin ya kuiangusha kabisa marekani na ulaya.
Ujuo wa Magufuli umeibua viongozi wengi waliozibebe fikra zake
🌍👍🫡
𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙢𝙨𝙞𝙢𝙖𝙢𝙞𝙚 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙟𝙖𝙢𝙗𝙤!
Namuomba mungu azidi kumsimamia mwamba wa bukinafaso mwana wa traore
Safi sana
Ibrahm traore na magufuli ni Mfano wa viongozi bora wa afrika kwa karne hii
Safi sana