Watu 36 wakamatwa wakihudhuria harusi usiku katika mtaa wa Umoja, Nairobi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 сен 2024
  • Watu thelathini na sita walikamatwa jana usiku katika mtaa wa umoja wakiwa wamejifungia na kuendeleza hafla ya harusi. Watu hao ambao kando na kukongamana katika eneo moja kinyume na tahadhari iliyowekwa ya watu katika eneo moja wasizidi watu kumi na watano, watu hao walikiuka pia masharti ya kukaa umbali na mita moja na mwenzako na kuzuia mtagusano. watu hao sasa wamepelekwa karantini ambapo watazuiliwa kwa siku kumi na nne na kisha kushtakiwa kw akuhatarisha maisha ya watu.

Комментарии • 99

  • @artist254grafitti7
    @artist254grafitti7 4 года назад +8

    Me ningeoa saa hii siezi ita watu.. pastor na witness, wazazi tutatuma picha na keki. I'd absolutely love it too

  • @user-pk1bb6nf1q
    @user-pk1bb6nf1q 4 года назад +19

    Husbands wa hao mabibi hapo wataenjoy 14 days of peace at home😎😎 Lmao!!

  • @eastafricanqueen2796
    @eastafricanqueen2796 4 года назад +17

    My Somali people stop being arrogant please 🙏

  • @fredmutunga1009
    @fredmutunga1009 4 года назад +17

    Harusi tunayo hatuna😂👌tunayoo 👌🤣 Ndani ya quarantine Sasa kwa kua kichwa ngumu.

  • @yusraadem3109
    @yusraadem3109 4 года назад +4

    Kuna moja hakuitwa harusi akawasetii.

  • @veronicakeribo2962
    @veronicakeribo2962 4 года назад +8

    Ndani kabisaa. Wawekwe siku zaidi. They are joking with life.

  • @mulkiabdullahi4931
    @mulkiabdullahi4931 4 года назад +10

    SubhanaAllah🙆they are out of their minds 😷😱

  • @ahmedmohamed-ge2nq
    @ahmedmohamed-ge2nq 4 года назад +1

    Poleni the husbands of those mums

  • @MrNuff123
    @MrNuff123 4 года назад +1

    hayeee this guy spoke as it is...no one is 100... when you see

  • @abdihire79
    @abdihire79 4 года назад

    Hehe jameni mfate dheria sass bsna arusi mkono tubu bibi yuko srusini jela nayeye bwana nyubani bekekeyake 14 days poleni sana musikiei amri ys gava

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 4 года назад +3

    Ndiyo maana watu wakitandikwa silalamiki coz it's really hard for Kenyans to follow the law and rules 🙆‍♀️without being enforced to them through kichapo cha gsu... Alafu kama kawaida usikie waislamu WA kulalamika ooh ni sisi tu huwa tunaonewa Kenya hii Haram!! Crying babies ever na hawasikiagi "religion of peace" harusi Sasa iko quarantine

    • @yashmunaibrahim5066
      @yashmunaibrahim5066 4 года назад

      It's not about religion my dear ,come on it's all about ignorance kwani Hawa wenye wanashikwa Kwa bar with even some leaders Ni waislamu????

    • @dailyvibes7957
      @dailyvibes7957 4 года назад

      Eunice wairimu basi kwa nini sanamu unao abudu ya mungu Yako na mama yake walikua wana fumigatiwa kwa makanisa si mange wavalisha MA mask.

  • @maryakinyi6672
    @maryakinyi6672 4 года назад +6

    Mbona watu hawaskii jamani huko kenya

    • @janetqatar9889
      @janetqatar9889 4 года назад +2

      Wakenya wengi wao hawasiki

    • @silyadamian5708
      @silyadamian5708 4 года назад +1

      Watanzania mnasikia?

    • @maryakinyi6672
      @maryakinyi6672 4 года назад +1

      @@silyadamian5708 mm nimkenya ila wakenya wenzangu hawajui athari za huu ugonjwa laiti wangejua hadi amerika kumefungwa.

    • @mimimkenya2325
      @mimimkenya2325 4 года назад

      Sad! I wish they saw how desperate patients who can't breath are fighting for their lives. Some ignored the call to shelter-in-place. Si serikali itakufa ni wao watakufa wakicheza. I feel so heartbroken for my people.

  • @rayanqalbi4052
    @rayanqalbi4052 4 года назад +1

    Somali iyo madax adeeeg wax maqla aa ledanka wayay kaxaxabiyeheeee wataa loriga ledinku guray ood mantay cabadkina karay. Waad diden in aad maqashaan waxa wanagsan ee la idin shegay iyo amarka dowlada

  • @mwanakombobakari8902
    @mwanakombobakari8902 4 года назад +1

    Bahali moja mtajua amjui

  • @husseinkalacha8403
    @husseinkalacha8403 4 года назад

    Reer badia

  • @catherinmutheu5337
    @catherinmutheu5337 4 года назад

    My dear Kenyans u can't be serious. My people corona is not a joke. Just obey and all shall be well in God's Mighty name. Lord have mercy on us.

  • @bongasasa3895
    @bongasasa3895 4 года назад

    Dustyfoot nation is pure supersonic! All ninja style wako macho tu wakibonga na kusosi xalwo and buskut in umija Eti corona

  • @vgeegodseed1720
    @vgeegodseed1720 4 года назад

    Hapo ni sawa.sioni shinda wakae huku

  • @seedahmad9574
    @seedahmad9574 4 года назад +1

    Aki wa Kenya wenzangu bona amna masikio

  • @salmanmanji2815
    @salmanmanji2815 4 года назад

    These people they don't want to listen to the Government, They must face the law.

  • @josephinengorwe702
    @josephinengorwe702 4 года назад +1

    Wafungue kabisaa Cox wanacheza na Corona virus hawa hata aibu same on you......others we are crying about Corona virus en others ure enjoying weedings.....Ooh Lord have mercy on us.

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm3381 4 года назад

    Kwa watu hawaokopi hili janga wanalichukulia kuwa muzaa badae wanaanza kuwalaumu serikali wanatakaje sasa take them Kwa quarantine ndio wajue kufwata law nikitu ya mahana

  • @aliyusuf5957
    @aliyusuf5957 4 года назад +1

    Hayeee

  • @pokog6412
    @pokog6412 4 года назад +4

    Functions can be postponed, what is the matter with people? ujinga tupu. If one was positive then the whole lot of you are likely to get it.

    • @Nuurkhalif78
      @Nuurkhalif78 4 года назад

      Fuck yu

    • @pokog6412
      @pokog6412 4 года назад

      @@Nuurkhalif78 Thanks for the insult, are you now going to pray like a hypocrite?

    • @pokog6412
      @pokog6412 4 года назад

      @@Nuurkhalif78 When you are fighting for your life with the virus you will remember the insult you ignorant hypocrite.

  • @hanifaali9526
    @hanifaali9526 4 года назад +2

    Wamebebwa na Mariamu.

  • @ayushachidau6758
    @ayushachidau6758 4 года назад +5

    Ha ha ha

  • @abdulwahiduthari6392
    @abdulwahiduthari6392 4 года назад +3

    Wasomali in wajinga sana

  • @mahmadmahdi6188
    @mahmadmahdi6188 4 года назад

    Serikali ndio wenye wana spread this virus don't trust them

  • @mohamedabdulahi7844
    @mohamedabdulahi7844 4 года назад

    Let dem stay for 14days

  • @kaleg2997
    @kaleg2997 4 года назад +1

    Aki si God anajionea sinema ya bure akiwa mbinguni 😭😂😂

  • @judithkwenge90
    @judithkwenge90 4 года назад +3

    Wakae ndani 14 days tutaongea baadaye

  • @muotinzmultiply88
    @muotinzmultiply88 4 года назад

    Na wenye ndoa....bwana na bibı harusi je???

  • @thezaylians1250
    @thezaylians1250 4 года назад +1

    Bibi harusi kalala ndani

  • @mimahalqaisi4889
    @mimahalqaisi4889 4 года назад

    Wakenya mbona hawaskii jamani duh

  • @citymwacheo4497
    @citymwacheo4497 4 года назад +2

    Wasomali bana wakae hiko vku 100 cz hawasikii

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 года назад

    Hahaha balaa kenya

  • @shaniabright7664
    @shaniabright7664 4 года назад

    Surely kenyans why can't you people obey the law

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 4 года назад

    Hiyo si karantini....ni honeymontin😈😈😈😈

  • @mg10official10
    @mg10official10 4 года назад +1

    Watu wangu woyaa😂😂😂😂😂kichwa ngumu kila mahali🤔

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 года назад

    Watanyooka tu

  • @ayuushdescssfulldy5235
    @ayuushdescssfulldy5235 4 года назад +3

    Watu kama hao wana faa wafungwe

    • @kvfihf6324
      @kvfihf6324 4 года назад

      Hatakama sheria kufatwa lkn wasikose haki zao tena ikizingatiwa wao ni kina mama

    • @lillianak7885
      @lillianak7885 4 года назад +4

      @@kvfihf6324 but corona hapana tambua mama

    • @haliimasacdiya9681
      @haliimasacdiya9681 4 года назад

      @@lillianak7885 Shame on you

    • @lillianak7885
      @lillianak7885 4 года назад

      @@haliimasacdiya9681 shame on them kumbafu corona ujui mama wala ndini yako

    • @haliimasacdiya9681
      @haliimasacdiya9681 4 года назад

      @@lillianak7885 Mind your language

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 4 года назад

    Wawekwe miezi mbiili ama tatu ndo waache ujinga

    • @nasraabassnasraabass1888
      @nasraabassnasraabass1888 4 года назад

      Ujinga gani labda wakae kwako

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 4 года назад

      @@nasraabassnasraabass1888 hawatakaa kwangu juu hawakua kwangu wacha makasiriko funzeni wamama wenu adabu

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo 4 года назад +1

    Sawa kabisa police lakini shida ni ule mwawaweka kwa lorry kama moja mugojwa c ata shikisha hawa wote

    • @catlover8360
      @catlover8360 4 года назад

      The only person who has spoken sense here. Ona Ata the one being interviewed hajui kuvaa mask vizuri🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️in the name of "health"
      Pray for Kenya, pray against this kind of tyranny.

    • @iamTerry389
      @iamTerry389 4 года назад +2

      I guess that's what they wanted. people are warned to keep distance and to stop being in groups and they don't understand, so I don't see anything wrong with them being put together because they were already together kwenye harusi who knows if they are infected or one of them is of which if one was then there is a possibility of others getting it, let them learn a lesson 😷😷

    • @AchieAwiti
      @AchieAwiti 4 года назад +1

      Siwalikuwa pamoja wakisherehekea kama nikuambukizana washaambukizana

    • @catlover8360
      @catlover8360 4 года назад +1

      @@iamTerry389 that is cruel. Let me tell you something. I want you to go online and research the transmissibility of this disease. It spreads through aerolisation, contact with dirty surfaces and can gain entrance into your body through mucous membranes of the EYES. That is why doctors wear face shields. The government told you from day 1 washing hands is the only thing you need to do,masks are not important. Then they said everyone needs to get masks. I want you to understand that if you're going to get this virus, no matter how much social distancing, hand washing, self quarantining you do, you will get it. GOD is your protector. To look down on others for disobeying govt regulations and saying they DESERVE to get this illness is cruel. I don't applaud going against govt regulations, but I am even more against this imposition of government on how people should live their lives. Why? Because if they really cared about our health they would have been honest from the very beginning. Keep laughing at your fellow Kenyans until Your freedoms are also infringed.

    • @haliimasacdiya9681
      @haliimasacdiya9681 4 года назад +1

      @@catlover8360 wordsssss 👏👏👏👏

  • @rapileeilix1677
    @rapileeilix1677 4 года назад

    My somali people you are very idle, sasa kaa quarantine 😂😂 kichwa ngumu

  • @eldodieseltuneauto8163
    @eldodieseltuneauto8163 4 года назад

    5G

  • @dancunandar697
    @dancunandar697 4 года назад +1

    Good job to our policemen

  • @wanjalaspha797
    @wanjalaspha797 4 года назад

    wedding made in hell

  • @paulnjuguna1671
    @paulnjuguna1671 4 года назад

    Yani mnamaanisha honeymoon wakafanyie ndani ya quarantine?,🤣🤣🤣 hii hawatasahau .