Unadhifishaji wa bustani ya Uhuru washika kasi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 31

  • @Peace_4lyf
    @Peace_4lyf 2 года назад +6

    Simnajengewa surely kenya kila mara mtakua mkilia mombasa mamangina ground watu pia walifungiwa and now iko open and people wanaendelea na biashara just hold on hadi ikimalizika hio project mtapewa mahali ata you wont be needing izo umbrella juu mtakua na mahali

  • @isaacwambugu5526
    @isaacwambugu5526 2 года назад

    Poleni tulieni tu,,,mtarudi kazi majaliwa yake MWENYEZI MUNGU

  • @dennismcodhis776
    @dennismcodhis776 2 года назад +5

    Lakini ikitengenezwa zaidi ya apo si mtakua na biashara zaidi?

  • @geoffreyomwanza902
    @geoffreyomwanza902 2 года назад +3

    So we can’t improve the park because somebody will complain

  • @kedaronditi4615
    @kedaronditi4615 2 года назад +2

    Sasa hawataki renovation alafu they'll still complain that county government hainamaendeleo....let them just be patient imalizwe

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 2 года назад +5

    Muvumilie watengeneze jamani coz wanasafisha muji

  • @jameskinuthia4311
    @jameskinuthia4311 2 года назад +5

    Some Kenyans just like complaining regardless of any situation ata waka ambiwa wata pewa pesa bado wata piga kelele enemy's of development

  • @sakiman8825
    @sakiman8825 2 года назад +2

    Hey wait for completion be patient ala namna gani

  • @mohamedasaid7910
    @mohamedasaid7910 2 года назад +1

    The Kenya Government should have a social welfare fund to help such people till the project is finished. They can then charge a small fee to recoup the money spent

    • @jojofresh1019
      @jojofresh1019 2 года назад

      Raila planning to introduce it with 6k but same people want wheelbarrows instead so Kenyans are confused

  • @johnmbugua4923
    @johnmbugua4923 2 года назад

    KENYANS ARE FUNNY, HIYO NI PUBLIC PARK LABDA WAMEKAA HAPO MPAKA WAKASAHAU NI PUBLIC PARK

  • @benedictkiilu6552
    @benedictkiilu6552 2 года назад +2

    Usiwe uwanja umeuzwa. Wa Kenya tutakita kambi hapo siku hio itakuwa kivumbi. Sababu Kuna uvumi ya kuwa bwenyenye fulani asili ya kiarabu kutoka Dubai.... 😢

    • @derrick0063
      @derrick0063 2 года назад

      I have also heard that rumors ni Kama imeuzwa Kama kicc

    • @francismankurambiti5028
      @francismankurambiti5028 2 года назад

      @@derrick0063 🤔😀😀🤣

    • @derrick0063
      @derrick0063 2 года назад

      @@francismankurambiti5028 true bro, I'm just around city hall so such moshene pass by 😅😅

    • @254collins
      @254collins 2 года назад

      Wakambaa na umama

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 2 года назад

    Sasa hawa wanalia nini jemeni 🙄🙄😏😏hawataki uhuru Park ikifanywa renovation

  • @kingsanke
    @kingsanke 2 года назад

    Kenyans na kulalamika

  • @nb6142
    @nb6142 2 года назад +4

    It's a good thing;wavumilie;where is the slavery mummy??

  • @bornfree1595
    @bornfree1595 2 года назад

    Strange how people are being moved away from slums,gikomba etc and you think this is normal?people are dying of hunger and you are busy "renovating"?kenyans may God forgive our sins and fight for our battles, shalom

  • @سلطانسليمانبنجمعة
    @سلطانسليمانبنجمعة 2 года назад

    Government is trying to do their best, while others are just complaining for everything.

  • @derrick0063
    @derrick0063 2 года назад

    Stop propaganda and tell Kenyans the truth!! Uhuru park is sold out to Arab business man just like KICC was sold, this man is doing renovation to set up business of his desire!😢😢

    • @coltunga9494
      @coltunga9494 2 года назад +1

      Jaribu kutumia akili. Jaribu tu.

    • @derrick0063
      @derrick0063 2 года назад

      @@coltunga9494 Sina kabisa naomba unisadie Yako nkipata yangu nitarejesha🤔🤔

    • @dhakomodherooherokoko6037
      @dhakomodherooherokoko6037 2 года назад +2

      Hizo ni uvumi tu...Uhurupark ni mali ya umma..kicc pi ni ya umma

    • @nelsonkiiru7252
      @nelsonkiiru7252 2 года назад

      @@coltunga9494 Don't bother some people are a lost cause!

    • @254collins
      @254collins 2 года назад

      Ruto has brainwashed u _🤣🤣🤣