Prof Omar Fakih Kuhusu Mwenendo wa Deni la Zanzibar 'Ni Ongezeka la asimilia 400 kwa Miaka Minne'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 3

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 15 дней назад

    Huyu anaeitwa profesa anasema ujenzi wa miradi mikubwa Haina matokeo kwa wananchi,anamaanisha ujenzi wa mahospitali,mashule,barabara na madaraja,masoko,bandari na kila kinachojengwa,
    Profesa wewe zero kabisa dokta mwinyi sio mitano Tena bali 40 hasa

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np 15 дней назад

      hoja yako inajibika tena na mtoto wa darasa la 2 but huko mwisho wa ujumbe wako ndo nimekuelewa hufai kijibiwa mana ukereketwa umekuja

    • @harithwhite589
      @harithwhite589 14 дней назад

      @fahmysaid-zw4np duh,hiyo 40 ndo ilokushitua mpaka unashindwa kujibu😀😀