Mbowe Sumbawanga, Nchii hii imejaa kilio cha umaskini, hamtaruhusu chama hiki kife

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 22

  • @meshackkazungu1948
    @meshackkazungu1948 Год назад +3

    Napenda sana sera za chadema sio za wale wauwaji na wezi

  • @meshackkazungu1948
    @meshackkazungu1948 Год назад +1

    Nchi hii yatz nawakubali wawili tu Mbowe na Lissu Mungu awatetee

  • @renatuskasonso-do1px
    @renatuskasonso-do1px Год назад +1

    Chadema tunduma leo

  • @redemptajerry5446
    @redemptajerry5446 Год назад +2

    hali imekuwa mbaya. maisha magumu. chakula hakuna. Mungu utusaidie sana. maharage kilo 360...Michele hivyo hivyo

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 Год назад

    Ok

  • @jumannerizimbura6750
    @jumannerizimbura6750 Год назад

    Tuone na wananchi unaoelezwa

  • @omarisemgomba-gz9dw
    @omarisemgomba-gz9dw Год назад

    Sabaya

  • @Nabiikatakatatz
    @Nabiikatakatatz Год назад

    Sema najua unaendeleaje kuchchumila mema

  • @mwinyihajikumbao1705
    @mwinyihajikumbao1705 Год назад

    Mbona chadema hakuna demokrasia Kila siku mwenyekiti mbowe tu acha kutudanganya ww

  • @mwinyihajikumbao1705
    @mwinyihajikumbao1705 Год назад

    Zambia Malawi na nchi zingine zilizobadirisha vyama Bado hawaifikii Tanzania Kwa maendeleo mwenyew akili atanielewa

  • @tumainikallaghe6584
    @tumainikallaghe6584 Год назад

    Sema yote usimtaje Mungu kutoa adhabu hata wewe usingekuwepo. Badala ya kuhiniza watu wafanye KAZI wapate maendeleo unahimiza kukusanyika wakimaliza mkutano unawapa chakula au ndio wakaote Moto. Mungu atusaidie atupe viongozi na si wachochezi.

  • @mwinyihajikumbao1705
    @mwinyihajikumbao1705 Год назад

    Harafu kifo hakina mwenyewe hata ww huijui kesho yako

  • @mwinyihajikumbao1705
    @mwinyihajikumbao1705 Год назад

    Hawa wote ni wahuni tu

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 Год назад

      Kama wewe! Mhuni ni anayepinga hoja kwa matusi badala ya kutumia hoja.

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 Год назад

    Hili gaidi ndo mana Sabaya alikuwa analitia adabu, yaani senge

    • @wilfredmmbando689
      @wilfredmmbando689 Год назад +1

      Tulia sindano iingie

    • @shabanadam4476
      @shabanadam4476 Год назад +2

      Acha matusi ww tuliza boli ili sindano ikuingie kwani huyo sabaya wako na aliyekuwa anamtuma leo hii wako wapii xx😍😍

    • @meshackkazungu1948
      @meshackkazungu1948 Год назад

      wabaya wote Mungu kawatanguliza ili viongozi waliobaki watubu wasirudie kuua

    • @kinondoni4668
      @kinondoni4668 Год назад

      @@wilfredmmbando689 Aaaah sio sindano peke yake na drip ya ubongo. Mmh

    • @makelemohuya2723
      @makelemohuya2723 Год назад

      Gaidi na Jambazi namba moja la inchi hii ni CCM, na katiba ya inchi

  • @thomaspascal9641
    @thomaspascal9641 Год назад

    Upumbafu