Asante saaa_na. Sauti ya jangwani mungu awabariki. Ni Laurent kutoka BURUNDI mkoani NGOZI mjini kati. Kutokana na nyimbo zenu nzuri ninajiandaa kuokoka kamiri na ku batizwa kwa maji mengi .ooooo.. Nawapenda waimbaaji wa tanzania. Yaani kwaya za tanzania za wa sabato mungu awa ongezee ngumvu nasi tuzidi kubarikiwa na tuokoke kamiri....amen_amen
Amen,sauti ya jangwani I am convinced,that you have contributed much in my life to glorification.also pastor mbwana aman of God I remember 2007 set lite preach,hope someday nitawaona mbinguni
Naombeni muuweke tena wimbo wa ubatizo, siku hizi siupati you tube! Naamini upo kwenye ulbum moja na huu. Mungu awabariki sana Sauti ya Jangwani, huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu
Hakika, dhambi imetuweka mbali na uso wa Bwana. Asante Yesu kutupatanisha na Muumbaji wetu, Baba wa Mbinguni, Edeni hakika tutarudi tulikokuwa tumefukuzwa, Mbarikiwe waimbaji, nawapenda mno Jangwani.
Musiki wenu ni bora, uimbaji wenu ni bora, mwonekano wenu ni bora na jumbe zenu ni amina. Wpotoshaji msiwasikilize. BWANA anatubariki mno kupitia huduma yenu.
Saut ya jangwani kweli nikiwa Nina Mambo magumu yanayonishinda nikisikia nyimbo zenu namwona yesu pembeni yangu akinifariji Mungu awabariki mnoo awape maisha mema matakatifu
muziki wenu ni bora, uimbaji wenu ni bora, mwonekano wenu ni bora, mavazi yenu ni bora na jumbe zenu ni amina. wayumbishaji msijewasikiliza. Twabarikiwa mno na BWANA kupitia huduma yenu.
Mahubiri haya yanabatilisha maamuzi kuhusa chanjo yaliyochukuliwa na makundi ya uongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato ambao waliyaamua maamuzi hayo bila mamlaka ya kuyaamua. Maamuzi hayo yanabatilishwa, washiriki wakapewa rufaa ili kuwa wa kipekee. ruclips.net/video/UboEMJ6BR2I/видео.html
Hakika, dhambi imetuweka mbali na uso wa Bwana. Asante Yesu kutupatanisha na Muumbaji wetu, Baba wa Mbinguni, Edeni hakika tutarudi tulikokuwa tumefukuzwa, Mbarikiwe waimbaji, nawapenda mno Jangwani.
Saiz ni mwaka 2024 lakin bado narudi kuusikiliza huu wimbo, Bwana azid kuwabariki sana waimbaji wote
Hakika nasikia kama Niko juu Sana sababu ya huo wimbo asante sana waimbaji mlikuwa ndani ya roho kabisa Mimi ni Tohomas kimuyu kutoka machakos Kenya .
Sauti yajangwani mubarikiwe saana kwantimbo tamu!Mubarikiwe sana!
Nabarikiwsga sana kwa hizi nyimbo za kale maana watunzi wao walikuws makini na hawana papala c wa sasa
Barikiweni saaana watumishi
Ahsante sana Sauti ya Jangwani! Twawapenda sana nchini Rwanda, pokeeni maamkizi mengi kutoka kwa washiriki wa Kanisa la wasabato nchini Rwanda!
Keep it up...❤❤❤
Mungu awabariki sana watumishi wa mungu kwa nyimbo nzuri ni somo zuri kwa watu wa mungu
Tunatamani sana kutoa ata sadaka kwa shukrani ya nyimbo nzr km hii
Toa kwa Kanisa lililokaribu nawe nauinenee sadaka yako Bwana akubariki
Amen watumishi wa mungu mungu awazidishie karama kubwa
Huwa nabarikiwa sana Na jumbe zenu za injili mbarikiwe sana🙏🙏🙏🙏
Asante saaa_na. Sauti ya jangwani mungu awabariki. Ni Laurent kutoka BURUNDI mkoani NGOZI mjini kati. Kutokana na nyimbo zenu nzuri ninajiandaa kuokoka kamiri na ku batizwa kwa maji mengi .ooooo.. Nawapenda waimbaaji wa tanzania. Yaani kwaya za tanzania za wa sabato mungu awa ongezee ngumvu nasi tuzidi kubarikiwa na tuokoke kamiri....amen_amen
Bwana na akubariki mpendwa
Ubarikiwe sana rafiki wape salam uko burundi
Bwana na akaubariki kwa kuweza kumkiri kama Bwana na mwokozi wako
Mungu awabariki Leo nimewaona kanisani katika kambi kwa kweli mmenibariki sana
Amina mtumishi tuendelee kubalikiwa sote
Àsateni sana kwa wimbo huu muhimu sana katika maisha
Jangwani Mungu awabariki sana.Mahubiri yenu kwa njia ya za imeokoa wengi sana
God bless very powerful spiritual song.
Mungu awabariki sana kwa huduma yenu watumishi wa Mungu
Ilikuwa safali ya huzuni kubwa
Wimbo mzuri hadi najihisi naenda mbinguni
Gitaa ni nzri sana naomba mczuaxhe waimbaji
I like the song.be blessed
Nimeusikia zaidi ya mara mbili unamafudisho mazuri sana mtuzi uriogozwa na Roho Mtakatifu Mungu akubariki pia nawaimbaji mbarikiwe sana
Moja ya nyimbo nzuri sana
Wimbo mzuri sana!!
Amen,sauti ya jangwani I am convinced,that you have contributed much in my life to glorification.also pastor mbwana aman of God I remember 2007 set lite preach,hope someday nitawaona mbinguni
halellujah
Naombeni muuweke tena wimbo wa ubatizo, siku hizi siupati you tube! Naamini upo kwenye ulbum moja na huu. Mungu awabariki sana Sauti ya Jangwani, huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu
Hata mie nimeutafuta sana sijui kwa nini waliutoa , wimbo mzuri sana huo
Saudi ya Jangwani mzidi kubarikiwa sana.
Amina ujumbe mkuu
mungu awbariki sana suti ya jangwan msi ishie kuimba hapa dunian tu bari hats binging muwe kama mrivo hivo itapendaza sana
Naomba nyimbo za zamani ukiwemo wimbo wa ujila wa watakatifu
very soon
Dhambi ni mbaya ee Mwenyezi Mungu tuhurumie tupe upendeleo tujekuwa kati ya watakao kula na wewe meza moja Kyle Mbinguni
Wonderful song from the book of Genesis 3:24
Yes. God Bless you
La leo wimbo huu umenibariki sana Mungu awabariki
Am blessed the more by this nostalgia song that talks of sin and garden of Eden....very much touching soul.
Hakika Mungu awaongoze zaid na zaid naamin mtamsaidia kuwaokoa wanadam wasio ijua haki
Yes good song blessings all v,you my dear singers,,,
Hakika, dhambi imetuweka mbali na uso wa Bwana. Asante Yesu kutupatanisha na Muumbaji wetu, Baba wa Mbinguni, Edeni hakika tutarudi tulikokuwa tumefukuzwa, Mbarikiwe waimbaji, nawapenda mno Jangwani.
Yes aksante kwake Yesu
Asante sana wimbo huu muhimu sana bwana awabariki sana
Nawe pia Bwana akaubariki
Asanteh Kwa mafundisho ya nyimbo Sauti ya jagwani 🙏 mbarikiwe mnoo
Naomba "mwokozi yesu uliniita" by sauti ya jangwani, sda dar es salaam
Rhythm,dressing,message glory to God.
i guess it is kinda randomly asking but does anybody know a good site to stream newly released tv shows online ?
@Ian Colin flixportal xD
@Keanu Dawson Thank you, signed up and it seems to work :D I appreciate it !!
@Ian Colin No problem :)
Musiki wenu ni bora, uimbaji wenu ni bora, mwonekano wenu ni bora na jumbe zenu ni amina. Wpotoshaji msiwasikilize. BWANA anatubariki mno kupitia huduma yenu.
Dambi Inawuwa Amen Accenti n’a mafundisho muzuri Shalom
Kazi hii itakumbukwa siku zote songeni mbele tu
Nice songs, may God bless you all.
soo lovely songs.jangwani
Mmesimama sio kwa juhudi zenu bali mungu amewasimamia sana mkiimba naona utukufu wa bwana ndani yenu
atuna chakuwapa mnatubaliki sana mtalipwa na baba
Mungu awabariki sana,wimbo wenye ujumbe mzuri
Amen
Mubarikiwe watumishi wa Mungu kazi tumeiona mmenibariki kwa wimbo huu
MUNGU awabariki sana watumishi wa BABA
Mubalikiwe sana ujumbe unafundisha
Amazing song indeed❤❤🎤🎤🎤
amina watoto wa baba
MUNGU kwanza
dhambi ni tamu unapo tenda lakini mwisho huzun,yaaaani ukweli mtupu
Audio
nice nabarikiwa sana
nawapenda sana Mungu awasaidie musonge mbele
Aki inabariki sana 👍 God bless you all
Saut ya jangwani kweli nikiwa Nina Mambo magumu yanayonishinda nikisikia nyimbo zenu namwona yesu pembeni yangu akinifariji Mungu awabariki mnoo awape maisha mema matakatifu
Tafakari
WIMBO HUU NI MBARAKA KWA WATU WOTE.
MUNGU AWABARIKI SAUTI YA JANGWANI SDA CHURCH. USHIRIKA. SHINYANGA
Assa
Sauti ya jangwani mko shinyanga sehemu gani, kuna sauti inanivuta nije nibarikiwe na uimbaji wenu nikiwa nawaona kanisani
Ushirika SDA Church Shinyanga Municipal Council
muziki wenu ni bora, uimbaji wenu ni bora, mwonekano wenu ni bora, mavazi yenu ni bora na jumbe zenu ni amina. wayumbishaji msijewasikiliza. Twabarikiwa mno na BWANA kupitia huduma yenu.
Mahubiri haya yanabatilisha maamuzi kuhusa chanjo yaliyochukuliwa na makundi ya uongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato ambao waliyaamua maamuzi hayo bila mamlaka ya kuyaamua.
Maamuzi hayo yanabatilishwa, washiriki wakapewa rufaa ili kuwa wa kipekee.
ruclips.net/video/UboEMJ6BR2I/видео.html
Tafathali karibuni Kenya mtuletee ujumbe huo hapa inchini Kenya hasa Sana jijini Nairobi mfikapo tuwasiliane kwa nambari hii +254724042993
Asante kaka madebe
Hakika, dhambi imetuweka mbali na uso wa Bwana. Asante Yesu kutupatanisha na Muumbaji wetu, Baba wa Mbinguni, Edeni hakika tutarudi tulikokuwa tumefukuzwa, Mbarikiwe waimbaji, nawapenda mno Jangwani.
Kasele Marco nabarIkIwa na yaKo
Kasele Marco nabakIwa na comment yaKo
mbalikuwe nababa wambinguni
Tunataman kusikia nyimbo mpya