sauti ya jangwani mmeanza kushuka kiwango watunzi wa nyimbo naona kam ujumbe ni mwepesi sana huo ni mtazamo wangu hasa huu wimbo mmekuwa kama kwaya vijijini.
natafuta wimbo unaosema …. ”….Achukue wanyama wale najisi,waingie wawili wawili safinani….Achukue wanyama walio safi,waingie wawili wawili safinani…”. kama yeyote anayejua ni volume gani au Title ya huo wimbo tafadhali unisaidie. Sina hakika kama ni Sauti ya Jangwani au Muungano
Mahubiri haya yanabatilisha maamuzi kuhusa chanjo yaliyochukuliwa na makundi ya uongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato ambao waliyaamua maamuzi hayo bila mamlaka ya kuyaamua. Maamuzi hayo yanabatilishwa, washiriki wakapewa rufaa ili kuwa wa kipekee. ruclips.net/video/UboEMJ6BR2I/видео.html
Nawaombea kwa mungu awape afya na baraka tele ktk utumishi wenu kwa kuchagua kazi iliyo njema.
Mungu awabariki sana ni ujumbe mzito
10-10-2020 mbarikiwe sana duniani kuna wengine hawajausikia wametungulia,kwa baba.nasi leo tumsifu mungu kwa shangwe.
Kila hatua Mungu Amina
Mungu awabariki Sana kwa ujumbe huu Mzuri wa wokovu 🙏
Ni nini kitakukwamisha ndugu yangu,kuingia mbinguni je!niajari au magonjwa,muite yesu
Wimbo mzuri naupenda sana
BARIKIWENI SANA JANGWANI
Amina nawe pia Mtumishi wa Mungu barikiwa
Jumbe zenu zinani bariki Mungu na awazidishie
Wonderful message
So strong Message, God bless you Sauti ya Jangwani 🙏
The Guitar-men are the Best. God bless you.
Mubarikiwesana,kwkaziya MUNGU.
It is a good audience and well arranged instruments .God give you power and maintain you thanks and be blessed.
God bless this choir , their songs really have a strong message
Heavenly God bless u ur songs r so touching
Amina
God bless this choir. Nautafuta wimbo wa Samu ya yesu by this choir
Andika huo wimbo Tena. Bwana akubariki
Bwana awabariki sana kwa kazi ya BWANA
Mungu awabariki sana
itakuwaje tukikutana ktk makao ya milele tukiimba wimbo wa musa namwanakondoo?
nawapenda saaanaaaaa toka Drc Goma. Niko mtangazaji wenu.
Weken nyingi watumish wa baba
So strong message.. we thank you for extending the gospel across boarders. May The Almighty God bless you abundantly🙏🏽
a tip : watch movies at KaldroStream. I've been using it for watching all kinds of movies these days.
@Damien Dalton yea, I have been using kaldroStream for months myself =)
nice song
Munatoa mawazo yote kwenye roho na damu
sauti ya jangwani mmeanza kushuka kiwango watunzi wa nyimbo naona kam ujumbe ni mwepesi sana huo ni mtazamo wangu hasa huu wimbo mmekuwa kama kwaya vijijini.
Ndugu yangu kwa Mungu hakuna cha Mjini wala kijijni
Ktk Nazi ya Mungu hakuna mashindano.Elewa hivyo Mtu Wa Mungu Musa Philip
Unapoona mapungufu waombee
My best choir. still using your songs to save hundreds in DRC through 98.9FM, AWR.
Ameniii
MUNGU awabariki
Muziki uongozao ibada ya kina
❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏
Amin
Amen
natafuta wimbo unaosema ….
”….Achukue wanyama wale najisi,waingie wawili wawili safinani….Achukue wanyama walio safi,waingie wawili wawili safinani…”.
kama yeyote anayejua ni volume gani au Title ya huo wimbo tafadhali unisaidie.
Sina hakika kama ni Sauti ya Jangwani au Muungano
Mahubiri haya yanabatilisha maamuzi kuhusa chanjo yaliyochukuliwa na makundi ya uongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato ambao waliyaamua maamuzi hayo bila mamlaka ya kuyaamua.
Maamuzi hayo yanabatilishwa, washiriki wakapewa rufaa ili kuwa wa kipekee.
ruclips.net/video/UboEMJ6BR2I/видео.html
Did
Nice song
Amen
Amen