Asante bwana yesu kwa saa hii na wakati huu Tena.. Naingia katika ulimwengu wako wa roho. Naingia kujiambatanisha na mtumishi wako uliyemteua kutuongoza. Nasogea mbele zako bwana yesu.. Nakuomba nipe cha kunena na kuomba. Nipe kibali cha kunena nawe jehova ameen
Kila gereza waliloniweka,gereza waliloweka watoto wangu ,uchumi wangu ,Elimu Yangu ,biashara Yangu ,huduma Yangu, likapasuke kuanzia sasa kwa Jina la Yesu
Amen kila roho za uharibifu kwa mikono yangu zikaniachilie roho ya madeni roho ya umasikini roho ya magonjwa kila roho zinazo nifamya nisisonge mbele kupitia haya maombi zika niachilie kwa jina la yesu kristo alie hai
Kila kaburi waliloniweka likapasuke sasa kwa jina la Yeau kila kaburi waliloweka watoto wangu likapusuke kwa Jina la Yesu ,kila mauti iliyoshikilia uchumi wangu ,biashara yangu Afya yangu ikaachie kuanzia sasa kwa jina la Yesu Kristo
Asante mgumu naomba roho mbaya za ajabu zilizoshikilia uchumi wangu ,kazi zangu na kujaribu uchumi wangu nakataa na vunja mara moja naktaa roho mbaya za kishetani sikubali
Roho mtakatifu Leo usinipite kupitia maombi haya mdogo wangu Fotunatus Leo akaondolewe kifungo cha ulevi uliopindukia,sioni haya kuomba kwa ajili yake,fungua mikono yangu,afya yangu,mine wangu, watoto wangu,mama yangu,amen
Mtumishi wa mungu bwana yesu asifiwe 🙌🙌🙌🙏,,Mimi nakuomba tu hivi naomba uniombee tu upande wa pesa nikipata pesa madeni yamejaa,,pesa zangu hazijawai Fanya kitu ya maana😭😭 nko gulf sai mwaka na Sina chocolate Kwa account 🤦🙆🙆🙆.. Alafu kitu ya pili roho ya kukataliwa💔💔 inanisumbua sana

Nakomboa mikono yangu katik Jina la Yesu ,Nakomboa Nyota yangu Kigali change kwa jina La Yesu Kristo
Amen kila roho za uharibifu kwa mikono yangu zikaniachilie roho ya madeni roho ya umasikini roho ya magonjwa kila roho zinazo nifamya nisisonge mbele kupitia haya maombi zika niachilie kwa jina la yesu kristo alie hai
Kila kifungo cha ulevi ,uzinzi,magonjwa vikaniachie kuanzia sasa katika jina La Yesu
Kila kaburi waliloniweka likapasuke sasa kwa jina la Yeau kila kaburi waliloweka watoto wangu likapusuke kwa Jina la Yesu ,kila mauti iliyoshikilia uchumi wangu ,biashara yangu Afya yangu ikaachie kuanzia sasa kwa jina la Yesu Kristo
Asante mgumu naomba roho mbaya za ajabu zilizoshikilia uchumi wangu ,kazi zangu na kujaribu uchumi wangu nakataa na vunja mara moja naktaa roho mbaya za kishetani sikubali
Utukuvu na sifa siludie mwenyezi MUNGU
Yesu nisaidie bariki kazi ya mikono yangu bwana yesu
Moto wa roho mtakatifu utembee kwenye kingo kikaachie sasa
Amina napokea roho mtakatifu kwa jina la yesu
Amen bwana yesu nibariki na mimi nimechoka mateso
Napokea Napokea moto wa roho mtakatifu juu ya mikono yangu kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤
Nimekataa hiyo kitu kwa jina la yesu,laana hiyo ibadilike kuwa baraka kwa jina la yesu christo mwana wa mungu
Asante Yesu kwa wema wako
Roho mtakatifu Leo usinipite kupitia maombi haya mdogo wangu Fotunatus Leo akaondolewe kifungo cha ulevi uliopindukia,sioni haya kuomba kwa ajili yake,fungua mikono yangu,afya yangu,mine wangu, watoto wangu,mama yangu,amen
Napokeya moto ya roho mtakatifu moyoni mwangu ❤
Amen Bwana nibariki nitoke kwanye roho za mauti
Hallelujah 🤲🤲🤲🤲
Asante yesu
Mtumishi kila nikishika Hela sijui zinapo enda
Amen Amen, huduma hii ni njema mno! Litukuzwe jina la Bwana wa majeshi❤
Amina sana, Asante roho mtakatifu
Haleluya Haleluya
Mtumishi naomba unisaidie maombi mume wañgu kakosa kibali cha kazi muombe
God bless my hand work in might name of Jesus
God bless my hand in might name of Jesus
Hallelujah hallelujah hallelujah Asante MUNGU
mt naomba uniombee naitwa mary mrosso
Amen 🙌 amen
amina
Ameen
Amen mtumishi mungu akuinue
Hakika Mungu mwema 🎉🎉🎉 kwanza nikifika siku ya kupokea mshahara mikono inakufa gazi kweli kweli Asante yesu
Ameeeeen
Amen baba barikiwa
Amina
Amen 🙏
amen
Mtumishi wa mungu bwana yesu asifiwe 🙌🙌🙌🙏,,Mimi nakuomba tu hivi naomba uniombee tu upande wa pesa nikipata pesa madeni yamejaa,,pesa zangu hazijawai Fanya kitu ya maana😭😭 nko gulf sai mwaka na Sina chocolate Kwa account 🤦🙆🙆🙆.. Alafu kitu ya pili roho ya kukataliwa💔💔 inanisumbua sana
Siuingie kwa Maombi Fanya fasting jitoe kwa midnight prayers hufanya kaz vipoa
Amen and Amen more blessings
Amen ❤
Amen Bwana Yesu nibariki changamoto n nyingi kwangu
Amina 🙏
Amen Amen
🙌🙌🙌
Ameen Ameen 🙏🙏
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
God bless my hands work in the name of Jesus Christ
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
🤲🤲🤲🤲
🙏🙏
Asante yesu
Mtumishi naomba unisaidie maombi mume wañgu kakosa kibali cha kazi muombe
Ameen
Amina
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Amen🙏
Amina
Amen 🙌
Amen 🙏 🙏
Amen 🙏🙏