🚨Uchambuzi Crownfm, Mazito kauli ya Kocha Fadlu akitimkia Aljeria kuwavaa Cs costantine, Akiri ugumu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 5

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 15 часов назад

    Kwa uwezo wa Mungu Simba itashinda.

  • @msabahaissa6201
    @msabahaissa6201 9 часов назад

    Hawa wachambuzi utawapenda wakichambua baada ya mechi,

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 13 часов назад +1

    Kwenye mechi ya simba na Al- Ahall Tripol mliongea hivi hivi, mkamsifia sana Mabululu mwisho wa siku mlibadilisha gia angani na kuanza kuisifia simba baada yakuwatoa akina Mabululu, hamueleweki nyie wachambuzi wa mchongo wakinongo.

  • @ThomasAssey-uq2ur
    @ThomasAssey-uq2ur 5 часов назад

    Ukweli Simba hii ni mbovu sana licha ya kushinda baadhi ya mechi zake Kwa kubahatisha
    Ina kikosi sii kipana tofauti na wengi wanavyosema maana wao wanaangalia majina
    Pia kocha anakosea uzoefu na mbinu mbadala ndio maana wachezaji wanacheza vilevile makosa yaleyale Kila mechi mbaya hawana maelewano, wanacheza kibinafsi, na wanasomeka upesi ndio maana wanapoteza pasi mno, pia ndo maana wanaelemewa kipindi Cha pili na wanashinda Kwa shida

  • @simonsigauke7924
    @simonsigauke7924 15 часов назад

    Wachambuzi Kuna mda mnaongea mnapitiliza kiukweli! Je mnataka kocha aseme mbinu zake au mnataka aongee nn, haya ni mashindano acheni kumaliza maneno