Kiukweli serikali inaweza kuweka hata ambulance 10 lakini tu viongozi wetu hawana huruma. Kiukweli mimi sipendezeshwi kabisa na mambo mengi ya serikali. Haiwezekani watu walipwe mamilioni ya pesa kwenye serikali wakati nchi yetu ina mambo kibao hayajakaa sawa yanahitaji pesa.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Bibi wa marehemu Hassan poleni sana. Una uwezo wa kujieleza kiufasaha. Poleni !
Innalillah wainnailaih raajioun 😢😢😢 bondia wa pili uyo sasa mwezi mmoja
Mungu awasaidie jamani
Ule sio mchezo ,mchezo gani ushindi ni hadi umuumize mwenzo .tuacheni hee michezo ni ya kipumbavu ukiichunguza .
Hizi ngumi hizi daaah kijana wa ngapi huyu jaman, vipengele vya afya vinazingatiwa kweli? Au Ndio ajali kazini daaah
Mapambano ya vichocholoni ni hatari
Kweli ukubwa dawa yaan kama faka kuku ata ubridi akushiiki kweli kula chumvi nyingi uone mengi
😭💔 Allah amrehemu na awape subra kubwa wafiwa😭😭😭
Ambulance moja,da hiiii nchi bhana,mi kimya
Huduma zetu Jamani, hata gar
ajabu unakuta wnapanga mabilioni kla mwka kununua magari ya viongoz
Ambulance ziongezwe mwananyamala

Rip champion