Kaka Tundu Lisu, nikutie moyo, kufa nilazima lakini kwa wakati Mungu alio upanga, uovu uliotendewa na kwanini hukufa, ni Mungu alitaka tu kuonyesha ukuu wake, pole sana... Mungu akulinde na Mungu atakulinda sikuzote za maisha yako wala mkono wa mwanaadamu hautakuweza, Hesabu 6 24-26.
Best interview genius ameongea fact nyingi sana👏👏mungu akulinde sana akupe miaka mingi sana🙏 thanks clouds kwa kuwa open sasa naanza kuuona uhuru wa vyombo vya habari.
Hongera ! Sana! Mh Mwakiembe haikika umeonesha UMAHILI MKUBWA .Inasikitisha sana kuona watoto wadogo dar 3 anafundishwa kuvaa kondomu.Wazazi walio wavivu wa kulea watoto has huko mijini mjue MAULIZWA.
Pole Sana mr Lissu Umepitia magumu mengi Lakini hujawahi isaliti Tanzania ww sikuzote husimama Na wananchi inatosha kusema Mungu nimkubwa mungu ni m/kuu Nawe ni mshindi
Et marehemu hasemwi me namsema hapa njooni mnishambulie,,magufur alishajionaga Mungu,,,na hii mbiinu yote yy alikuwa anaijua,,kiko wap aliyemtaka atangulie katangulia yy shwain,,,Acha Mungu aitwe Mungu
Wazanzibari kwa maelfu iliwabidi kutoroka na kulikimbia Taifa lao la Zanzibar na kuacha jamii zao kwa taabu kubwa sana sana tena sana basi kwa hivyo tunayafahamu Mheshimiwa Tundu Lissu
Umeuliza swali zuri sana ingetokea ukafa je wasingefanya upelelezi? Swali zuri sana sana Mh, wakupe Nchi uongoze we ni kichwa wa tz amkeni Mungu ana maksudi yake kutokumchukuwa Lisu. Kura yangu unayo baba🙌
Ukivaa viatu vya lissu ndio utajua kitendo alichofanyiwa ni kitendo cha kinyama Yani na msikiliza mpka mwili unasisimka kwa uoga .mungu akulinde na akupe afya njema
nimesikiliza interview hii mara 3 mpaka nimeganda Lissu ni mpango wa Mungu, pole sana kaka Lissu kwakweli walikuumiza sana Mungu awashughulikie wote walioshiriki kukutesa hivi.
Inauhuma Sana Tena Sana yani sema mungu atalipa muheshimiwa mungu yupo wata azibiwa aki ya mungu mbele yao nyuma yetu ashukuliwe Sana deleva mungu ambaliki Sana kwani mungu alimpa nguvu na upeo mkubwa wa kufilia alaka Sana na kuokoa maisha yako
Ukimsikikiza kwa makini utagundua lissu ni mtu makini na kama mtazamo wake juu ya Tanzania mpya haujamezwa , tutakuwa na ushindani wenye tija sana kwenye nchi yetu
Clouds mmepevuka Kwa kiwango Cha mawinguni, excellent interview hakika tumeguswa Tundu Lissu umetukwangua kidonda umetupa Panadol tusilie, Kazi iendelee Viva Tanzania
Poleni sn mheshimiwa kwa UOVU uliofanyiwa inasikitisha SN MWENYEZI MUNGU tunaomba aendelee kukulinda na WAOVU HAO,kwasababu unatetea ukweli na haki,NA MWENYEZI MUNGU NAPENDA HIVYO.MIKA 6:8.
Hatari sana.doa ambalo Magufuli alilipata utawala wake ni hili na kutekwa kwa watu ikiwemo kutofanyika uchunguzi.wakina Ben saa nane walipotea Azory na wengine wengi aisee hizi siasa
Tundu Lisu bado ni yule yule, nimefarijika sana....hata hivyo nimeona vile watangazaji walivyopigwa butwaa na kuingiwa kigugumizi baada ya kuona anatajwa Rais aliyepita wazi wazi...nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe...
Na asitokee mtu wa kuanza kumgombanisha Lessu na Dada Ake ambaye aliamua liwalo na liwe akaenda Hadi Nairobi kumjulia na akaenda Hadi ubelgiji kumwona ni nani kama Dada Ake? Nijibuni wa Tanzania bila kuzingatia itikadi vya vyama
Jamhuri ya muungano wa africa dunani makamu wa raisi alikuwepo kwanza kuuwa wenyekuleta maendeleo ni wa kuuwa ccmya kidikteta na mafisadi hakuna maelekezo ya kufuatia hili na ni raisi sasa na siasa ya muungano wa kuhamisha wazawa zawadi zikopo daring na mbarawa engineer wa Africa's kote wanatambua hataki kuelekeza kuelekezwa kuuwawa na kubambikizwa kesivin muungano mshegelwa wa angalie mafisadi waliokuwa protea wakulundika jela kwa kuona uongozi kuendeleza mafisadi walioachwa na jasusi wa africa duniani uraisi ndiyo huyoo aelekezwe kwa mablozi waiting to become Jesus ameshindwa uongozi amen
Safari hii watanzani wenzangu kura tumpeni lisu. Angalau tumpeni chance. Mama etu samia tunampenda tena sana sana mmungu amhifadhi. Lakini lisu tumuone vipi ataiendesha nchi.
Sio mpaka mtu awe mchungaji padri shehe au awe na kanisa au aubiri dini ndio mjue ni watumishi wa Mungu ..Mh Lisu anakazi Ya Mungu amepewa mpaka aitimize.. waliopanga kumuangamiza wataangamia wao.
Tulio rudia rudia kumsikiliza lissu tujuane✌️✌️✌️✌️✌️
Undeni group tujuane ili tujue namna ya kufanya mm nimependa sana maongezi yake
Yaani tuwape nguvu zaidi ili tupate katiba mpya
Clouds mkiwa mnamuhoji mh Lisu msiwe mnaweka lisaa limoja weka masaa kuanzia matano,uyu mh.ana ladha ya maneno.Tanzania tumebarikiwa kuwa naye🙌
Kaka Tundu Lisu, nikutie moyo, kufa nilazima lakini kwa wakati Mungu alio upanga, uovu uliotendewa na kwanini hukufa, ni Mungu alitaka tu kuonyesha ukuu wake, pole sana... Mungu akulinde na Mungu atakulinda sikuzote za maisha yako wala mkono wa mwanaadamu hautakuweza, Hesabu 6 24-26.
Best interview genius ameongea fact nyingi sana👏👏mungu akulinde sana akupe miaka mingi sana🙏 thanks clouds kwa kuwa open sasa naanza kuuona uhuru wa vyombo vya habari.
Yaani huchoki kumsikiliza. Lisu anajua kujenga hoja sana. Majibu yake yamekua ya ufasaha sana. Hongera sana kaka.
Unaweza kumsikiliza Lissu siku nzima bila kuchoka. Ahsante sana Clouds 360 kwa hii interview bora kabisa
Hongera Tindu kwa hoja zako zenye nguvu
Amtuze ilimfilane so
Hongera ! Sana! Mh Mwakiembe haikika umeonesha UMAHILI MKUBWA .Inasikitisha sana kuona watoto wadogo dar 3 anafundishwa kuvaa kondomu.Wazazi walio wavivu wa kulea watoto has huko mijini mjue MAULIZWA.
Nimeisikiliza interview nzima na nltaman iendelee kwa masaa matano zaidi. Tundu Lisssu amebarikiwa.
Lissu for President ✌️✌️
Uncle Tundu Lisu tunakupenda natunaamini wewe nizawadi kutoka Kwa MwenyeziMungu kwaajili ya wa Tanzania. Long life muheshimiwa
Pole sana MH kwa yaliyokukuta. Mungu ni mwema
Mungu ambariki huyo dereva.. dahh ahsante mungu we have a storyteller
Interview Pekee Niliyorudia Kuiona Na Kuisikiliza Mara 4 Bila Kukifu. Tundulissu Mungu Akulinde Daima
Amina... Magufuli katangulia yeye... kweli Mungu halali
Hakika Mhe. Lissu anauzalendo mkubwa kwa nchi yake. Mungu ambariki sana
Mungu akutunze Baba siku zote uishi ukimtumainia Mungu maisha yako ni muujiza pole sana Baba yetu
Pole Sana mr Lissu Umepitia magumu mengi Lakini hujawahi isaliti Tanzania ww sikuzote husimama Na wananchi inatosha kusema Mungu nimkubwa mungu ni m/kuu Nawe ni mshindi
Amen
Mungu akutunze baba yangu yaani hadi machozi yamenitoka
Pole sana Lisu kwa yote yaliyokukuta ,kweli maisha ni changamoto na tunamuhitaji Mungu kwa kila jambo
Mungu akulinde
Mwamba hyu noma
TUNDU LISSU..... GOD BLESS YOU!!✊
AKILI kubwa Sana T. Lissu
You are a walking miracle Lissu. God is always good
God bless you Lissu
Et marehemu hasemwi me namsema hapa njooni mnishambulie,,magufur alishajionaga Mungu,,,na hii mbiinu yote yy alikuwa anaijua,,kiko wap aliyemtaka atangulie katangulia yy shwain,,,Acha Mungu aitwe Mungu
Acha Mungu aitwe Mungu pole Sana,
Wazanzibari kwa maelfu iliwabidi kutoroka na kulikimbia Taifa lao la Zanzibar na kuacha jamii zao kwa taabu kubwa sana sana tena sana basi kwa hivyo tunayafahamu Mheshimiwa Tundu Lissu
Mungu ambariki sana, amejieleza vizuri sana, haswa swala la ushoga kalifafanunua vizuri
Umeuliza swali zuri sana ingetokea ukafa je wasingefanya upelelezi? Swali zuri sana sana Mh, wakupe Nchi uongoze we ni kichwa wa tz amkeni Mungu ana maksudi yake kutokumchukuwa Lisu. Kura yangu unayo baba🙌
Mungu atabaki kuwa mungu tu aliyetaka ufe kwa mtutu wa bunduki ukapona yeye mungu akamchukua
Mungu yupo LISSU leo upo hai kwa sababu yake
Amen
Mwenyezi Mungu amtunze sana Mbowe hakika sijaona mtu mwenye hekima na Busara Kama Mbowe
Ukivaa viatu vya lissu ndio utajua kitendo alichofanyiwa ni kitendo cha kinyama Yani na msikiliza mpka mwili unasisimka kwa uoga .mungu akulinde na akupe afya njema
Lissu, god be with you- ameen
Nimefurahi sana clouds mko free bila kuficha ficha maswali
Mungu akupe maisha malefu
nimesikiliza interview hii mara 3 mpaka nimeganda Lissu ni mpango wa Mungu, pole sana kaka Lissu kwakweli walikuumiza sana Mungu awashughulikie wote walioshiriki kukutesa hivi.
Wamekufa wao tena😁😁😁
Daaaaah! Nampenda sana JPM ila hapa alikosea sana 😔
Karma ya tundu lissu that's why kafaa before tundu
Nimekupenda hujawa mnafiki penye ukweli tuseme ukweli
Inauhuma Sana Tena Sana yani sema mungu atalipa muheshimiwa mungu yupo wata azibiwa aki ya mungu mbele yao nyuma yetu ashukuliwe Sana deleva mungu ambaliki Sana kwani mungu alimpa nguvu na upeo mkubwa wa kufilia alaka Sana na kuokoa maisha yako
Mungu kashalipa, alipe mara ngapi? 😁
❤
Nakufatilia mno
PJ yupo vizuri sana kwenye kuuliza maswali big up
💕 this media
Lissu you're welcome 🤗 our president
Ukimsikikiza kwa makini utagundua lissu ni mtu makini na kama mtazamo wake juu ya Tanzania mpya haujamezwa , tutakuwa na ushindani wenye tija sana kwenye nchi yetu
Ni yeye 2023
kabisa yani alafu eti kuna watu bado wanasema jamaa ni msalitI yani wanamkosea heshima sana lissu!
Karibu tena tz
Mimi nimekesha usiku wa manage nikiitazama hapa marekani 🇺🇸🇺🇸 na mimi mkenya…
@@TradersEasyWay lissu kwauwazi namisimamo isiyoteteleka munguakulehemu maishayakoyote, Mimi binafusi ninaumiasana kusikia maovu yamaccm yaliyokutendea kwasabbu yachukizakisiasa kiupumbavu tu,
Clouds mmepevuka Kwa kiwango Cha mawinguni, excellent interview hakika tumeguswa Tundu Lissu umetukwangua kidonda umetupa Panadol tusilie, Kazi iendelee Viva Tanzania
pole sana Lissu kwa yaliyo kukuta
Nice tundu lisu
Tundu Lissu
N mtu pekee na wa muhimu Sana kwenye Taifa lake. Nchi zilizoendelea zikifanikiwa kwa kutumia watu wenye Akili nyingi.
Pole sana liss pambanaaaa utupa haki
Best Interview Ever
Mungu akupe maisha malefu lissu
Mungu akulinde na akuongoze na maono yako
Poleni sn mheshimiwa kwa UOVU uliofanyiwa inasikitisha SN MWENYEZI MUNGU tunaomba aendelee kukulinda na WAOVU HAO,kwasababu unatetea ukweli na haki,NA MWENYEZI MUNGU NAPENDA HIVYO.MIKA 6:8.
Mungu.akubali
What a narrow escape!!!!!😢😢. .. God was indeed on your side.. live forever Lissu.. 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
P po hhh
Ooooooo9
@@patrickchomolla571àaA
Lisu mungu akupe wepesi
Mungu ana lake jambo katika kumweka hai na afya njema. Tuendelee kumtumaini Mungu kwa yote !!
Mweshimiwa Tundulisu umebarikiwa sana na mungu ataendelea kukulinda na mweshiwa Rais Samia suluhu Hasan atabarikiwa na yy kwa kuruhusu mazungumzo
Leo nimekata kiu kuhusu jinsi shambulio lilivyotokea ....pole Sana kamanda.
Hatari sana.doa ambalo Magufuli alilipata utawala wake ni hili na kutekwa kwa watu ikiwemo kutofanyika uchunguzi.wakina Ben saa nane walipotea Azory na wengine wengi aisee hizi siasa
"Mwovu akifa kuna ahueni "TAL 2023
Kweli kabisa
interview bora ya mtu bora na imara sana Mungu aendelee kumtunza
Pole sana mheshimiwa tupo pamoja kura zetu zipo tunakusubiria
Kwa nini watu waliokuwa wanabaa tsheti za Lisu wakati alipopigwa Rissington walikamatwa?
Huyu Mama hafai kabisa, kawekwa kutumaliza watanganyika, Rip JPM
🙏🙏🙏👍👍 one love broo
Pole Sana mweshiwa mungu akutangulie
Mungu ametenda🙏🙏
Pole sana lissu kwa yale uliyopitia, Mungu mkubwa
SHAHIDI LEO ANAONGEA HUKU, Dizasta vina
😁😁😁umetisha saana
Ee mungu naomba umlinde kaka lisu.
Amen
Tundu Lisu bado ni yule yule, nimefarijika sana....hata hivyo nimeona vile watangazaji walivyopigwa butwaa na kuingiwa kigugumizi baada ya kuona anatajwa Rais aliyepita wazi wazi...nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe...
Lissu hanaga unafki
Tuna maeneo makubwa Sana yakulima Mweshimiwa tukumbuke Sana tupate matrckta kwa bei nafuu
"Unaweza ukafikiria kwa sababu tunazungumza hapa ... ukadhani ni slow motion hakuna, slow motion ..." 😢 💧 🥲
A great man
ccm yeyote atakayekoment ukuma atakutana na mkono wangu wa chuma humuhumu kumamaye zao.
👏👏👏👏👏👏👏 piga za uso wote
Piga za uso wote
@@adolfmathew9698 noted mkuu
Daaah
Tunaiyomba serikali iunde tume yauchunguzi dhidi yashambulio lake naitupe taarifa nawahisika wajulikane na wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria
Kweli kwa kuwa wanasema kuna Mahakama ya mambo hayo na wanajua haki basi watende haki
Dereva wa lisu ni shujaa wetu
Najaribu kuwaza hzi risasi zingekufika kichwan ingekuwaje??dah achen Mungu aitwe Mungu
Kweli maisha haya ya hapa duniani ni ya Mungu tu.
Nakutunuku udaktari wa heshima, Dr. TAL
Mwenyezi Mungu alituonyesha wazi kupitia muujiza wa kupona huyu bwana kuwa Uhai uko mikononi mwake, hakuna awezaye kuutoa bila ridhaa yake.
Mwendazake alipoenda zake😄😀😀😀😀
Daaa Nimeumizwa Sana Na Story Ya Kupigwa Risasi . Mungu Ni Mwema
Pole ila wengi tu wamepigwa risasi so no big deal.
@@clementiddi5708 Laana tullah kwa hiyo unaona sawa watu kupigwa tisasi?
@@clementiddi5708 Inawezekana ni kweli kuna wengi wanapigwa risasi ila sio wote wanapata fursa ya kupona kuelezea kilichotokea baada ya matukio.
@@clementiddi5708 Kama wajulikana na kuongea kama hivi nadhani walipewa pole yao kwa wakati huo na watu waliumizwa pia. 🧠
@@farhiyaibrahim2053 hapana
Hii interview ilimhitaji Sana masoud
Yap, hawa jamaa imewazidi parefu
Clouds on trending beacause of tundulisu
🔥🔥🔥😁🙌
Lisu brother be blessed
Pole sana kaka Mungu akuponye majeraha ya moyo
Mheshimiwa MUNGU akupe maisha marefu,usimwache dereva wako aliekuokoa hataa kidogo MUNGU aendelee kuwashikamanisha muwe wamoja sana
Natamani siku moja angekuwa Rais
Waliotuma watu kumuua wamekufa wengine hawana madaraka tena wengine wameondoshwa nchini sambaratika .. lisu bado yupo hio ndo kazi ya allah
Kbsaaaa
Mungu anamakusudi namheshimiwa tundulisu lisasi moja inauwa je lisasi kumi nasita lisu nilaisi wa watnzaniya
Aiseee... Ilaa watu wana roho ngumuuuu sanaaa aisee
Mungu yupo pamboja na ww naatakupigania had mwisho
I was in tears 😢 😭 🤧 😪 when he said, "Walinitandika kweli kweli."
Acha tu my dia, interview ni nzuri ila imejawa na huzuni mno, baba wa watu ni mlemavu sasa, daah halafu ngoja ninyamaze tu coz ninamachungu mnooo😭😭😭😭😭
Lissu ni mtu na nusu hebu jaribu kuvaa viatu ndo utamuelewa
Noma sana ni mtu na nusu tatu
Na asitokee mtu wa kuanza kumgombanisha Lessu na Dada Ake ambaye aliamua liwalo na liwe akaenda Hadi Nairobi kumjulia na akaenda Hadi ubelgiji kumwona ni nani kama Dada Ake? Nijibuni wa Tanzania bila kuzingatia itikadi vya vyama
"Mpewa sumu hakufa mpishi yu kaburini."
Mheshimiwa.Rais Samia ni mtu mwenye huruma wakati wote M/Mungu azidi kumzidishia katika kutumikia Taifa letu pendwa la Tanzania
Ana huruma gani?? Mbona anazurura tu ameshindwa kudhibiti mfumko wa bei watu walio wengi wanashindwa ku- afford hata mlo mmoja kwa siku.
Jamhuri ya muungano wa africa dunani makamu wa raisi alikuwepo kwanza kuuwa wenyekuleta maendeleo ni wa kuuwa ccmya kidikteta na mafisadi hakuna maelekezo ya kufuatia hili na ni raisi sasa na siasa ya muungano wa kuhamisha wazawa zawadi zikopo daring na mbarawa engineer wa Africa's kote wanatambua hataki kuelekeza kuelekezwa kuuwawa na kubambikizwa kesivin muungano mshegelwa wa angalie mafisadi waliokuwa protea wakulundika jela kwa kuona uongozi kuendeleza mafisadi walioachwa na jasusi wa africa duniani uraisi ndiyo huyoo aelekezwe kwa mablozi waiting to become Jesus ameshindwa uongozi amen
Safari hii watanzani wenzangu kura tumpeni lisu. Angalau tumpeni chance. Mama etu samia tunampenda tena sana sana mmungu amhifadhi. Lakini lisu tumuone vipi ataiendesha nchi.
Kwa.nn
Summer, fiesta mexicana festival #linder @viongozi clubhouse
Sio mpaka mtu awe mchungaji padri shehe au awe na kanisa au aubiri dini ndio mjue ni watumishi wa Mungu ..Mh Lisu anakazi Ya Mungu amepewa mpaka aitimize.. waliopanga kumuangamiza wataangamia wao.
Nimependa Sana
Big Brain 🧠
Sana
Wanyama sana hao watu, Mungu atalipa
wengne awawez kukuelewa ila wenye hakili watakuelewa
Sawa ndugu lisu
Ma Role model