Ndowa kama hizo mala nyingi hazinanga amani,funzo kwa wazazi na sisi vijana na ma binti.thanks donta plus kwa masomo muatufunza kupitia kwa kazi zenu za kuigiza❤❤❤❤ much love kutoka Burundi
Hapo mmezingua nyumba mmesema james kauza alf tena mnasema kuwa alivomuuwa huyo mwanamke kwa kuwa kaenda mripot polis akasepa sasa huo muda wakuuza nyumba kaupata wapi wakat amekimbia kuweni makini na stor ni nzur kuna space mnazingua na hivo saut zenu mkikosea msiwe mnaweka mnatoa radha ya movie
Namimi Leo wakwanza wenye loho mbaya hawato nipa like
Tamaa mbele mwisho ni kilio kwa kweli najifunza mengi kupitia tamthilia zenu
Movie nzuri always be thankful with the little you have
Mna kazi ndugu zangu mko vizuri aisee
Clam
Loveness kipenz changu jaman nakupenda buree
Donta tv you really give me love ❤❤❤❤ nawapenda bule
Mbna naskia mkikosea kila mda nasikia action
Kweli hata mm pia
hta c pke yko mwaya
I m tre frest on 😂😂😂 give me my liks
Ino Donta Plus ina shida gan mbona movie zote wapost mpka hyo sauti ya action mpka ijirudie jirudie
Kumbe mechezo yenu hamuedit mapema munafanya vizuri ksz zenu ila munakosea hapo hebu badilike
Tamaa mbaya Victoria 🎉🇰🇪
Iyi ni kama,mama nitiliye kabisa not kama wame badili title
kabisa
Kuozeshana kwanguvu bimepita nawakati jamani aceni watu wajicaguliye pesa zisiwatowe fahamu kikubwa nimapenzi pesa huisha
Kinzr aliji bila pesa sio tamaa watot wasasa iv nimaokot 🎉🎉🎉
Vya Rahisi vina madhara hata Mapenzi ukiona umependa mtu akakukubali bila Maumivu jua utaumia baadae ila ukianza na maumivu lazima baadae ufurahie
Nawapenda sana wana donta mko na mafunzo
Apo mmezngua muvi hii mmeludia ni saw na mama ntilie tu
Nimefrah Mariam kuongea kihehe jaman
Weeeee muheheee mwenzangu umejua kunivunja mbavu 😅
Yah huy James* macho yake yanaonekan muong muong axeeh
Vicky umekua shangazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tamaa ilimponza 😂😂😂😂😂😂,mashangazi wa hovyo
😅😅😅mshangazi kaachiwa kilio
viktoria tafuta kitu ya kupaka kwenye lipsi , paka lipbum, au hats mafuta , lips zinakuwa na utando
Ivani kina muunu😂😂😂😂😂ameniuwa na kicheko hio michanganyiko ya kiswahili na hizo lugha za kabila😅😅😅 ni lugha gani wenzangu
Achen pig za kixhamba sasa badal mcheki movie et mnaomba laik
❤❤Asante sana lovenes
Ndowa kama hizo mala nyingi hazinanga amani,funzo kwa wazazi na sisi vijana na ma binti.thanks donta plus kwa masomo muatufunza kupitia kwa kazi zenu za kuigiza❤❤❤❤ much love kutoka Burundi
Much love my people ❤❤❤
Much love ❤❤❤❤
Hapo mmezingua nyumba mmesema james kauza alf tena mnasema kuwa alivomuuwa huyo mwanamke kwa kuwa kaenda mripot polis akasepa sasa huo muda wakuuza nyumba kaupata wapi wakat amekimbia kuweni makini na stor ni nzur kuna space mnazingua na hivo saut zenu mkikosea msiwe mnaweka mnatoa radha ya movie
Mdawote unakaa hjna mawasiliano na mwanao. Mbona haingii akilini
Mariam tamaa imekuponza
Wou kazi poa 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Tama mbaya sana shikamo
Muna haribu bhana sas kwnn hamukati munapokeseaa sas iyo action hpo ndo nn manafeli tena mna feli kabisaaaaa
Tamaa imekuponza mariam
Tamaaaa imemuponza😢😢😢
😅😅😅 dada viki veve wina fituko bela
i like you lovely movie am paul likely frome kenya
Usimforce lovenes kuolewa na jems sio mtu mzuri jems
😂😂😂😂😂😂 Ila Sio mtu Mzuri
Vicki acha tamaa ya pesa utaulamba mwiko
Nawapenda sana ndugu zangu🎉🎉🎉🎉
Mama unatamaa kwenda zako huko
Ninapenda Sana kazi yenu🎉🎉🎉
Tamaa mbele mauti nyuma
Tafuteni watunzi mbona waigizaji wspo vizuri shid story zenu ni za sungura na fisi
Umtima ❤😂mweluuu🔥kabsa
Acha uongo kumdanganya
Kweli tamaa mbaya 😢
TAMAA MBELE MAUTI NYUMA
Action wapi tina wangu jamani
Love nakupendaa mnoo jmn
Vick tujuane wimunyaakwiya
Nîmes wapenda sana ❤
Viky nakupenda bure unajua unajua Tena nawapenda bure ❤❤❤
oya action kila mara ni ya nini? kuweni makini aisee
Kenya Watching, twapenda
Tamaa mbaya dadeki
Tamaa iyo mariam
Tamaa mbya 😢😢😢
Victoria acha kuchekelea majuto😂😂
Mbona kam inafanana na mama ntilie n nyie
Tamaa imekuponza
Mama anapenda hela Huyo 😅😅😅
Sasa walia na ulipenda pesa
Asanteni kwa kuja.
Action 😂
Loveness much love ❤❤❤❤
Donta wamelurudi ten jmn
Kazi nzur❤❤❤❤
Sasa Hii Na ile Ya Mama Nitilie Tofauti Ipo Wapi?
Tamaa mbaya shangazii vick😂😂😂
Nice movie 😂🎉🎉
James namkubali aiseeeh😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤ siushakula pesa cheka2
Vikitoria unapendeza
Hii tamaa ya Vicky angepewa diana😂 mana anaijua 🤣🤣
Mama tiliye alienda ka wapi wandugu haja fufukaka?
Na mumiss tina😢😂😂😂🎉
Yale yale ya kwa Dayana yanajirudia hapa 😂😢
ni kweli
Part 2
Loveness love🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mmi.nackia action tuuu😅😅😅😅
🎉🎉❤❤❤🎉🎉❤
Jamanii hii acount mmiliki ni naniii 😂
😂😂😂😂😂kumekucha
Nimeumia
We vicky Mungu anakuona kuowesha mutoto bila kutupa ubwabwa sisi majirani 😂😂😂❤🇧🇮
❤❤❤❤❤❤❤
❤🎉🎉
Apamumerudia adithi za sungula nafisi 😂
😅😅😅😅 20:48
❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂
😂😂😂❤❤
🤣Action
❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤