NIMEPATA ZAIDI YA MILIONI 450 KWA KILIMO CHA PARACHICHI, FUATA HATUA HIZI: STEVEN MLIMBILA_NJOMBE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 98

  • @ildephoncentanchuti1176
    @ildephoncentanchuti1176 Год назад

    Wow! So nice to be honest I like it .

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 месяцев назад

    Hongera sanaa lakini mwafrica huwa anawaza kuowa wake badala kufungua kiwanda hilo ndilo tuliloshindiwa wakati zao hilo linapendwa sanaa

  • @bigchancesmallchance1958
    @bigchancesmallchance1958 3 года назад +2

    Jay Media na shida na wewe kaka nakupataje kwenye mawasiliano

  • @mwashabanirashidimitumba7788
    @mwashabanirashidimitumba7788 5 месяцев назад

    Nataka namba ya mawasiliano zahuyu mkulima tafadhali 🙏

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 4 года назад +2

    nice video tuleteeni fursa nyingi zaid kama hizi

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад

      Zipo Nyingi sana kama hizi, Tuna Videso zaidi ya 50

  • @ernestmudogo415
    @ernestmudogo415 4 года назад +2

    Vizuri sana. Keep it up.

    • @ernestmudogo415
      @ernestmudogo415 4 года назад +1

      Nitumie simu yenu: mobile phone iliyo na hudumu ya whatsapp

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад

      Follow IG @JayMediatz

    • @karimdaimu6977
      @karimdaimu6977 3 года назад +1

      0757688885 nahitaji mawasiliano

  • @geofreymwakasitu7658
    @geofreymwakasitu7658 3 года назад +3

    Naitaj namba ya uyu mtu!

  • @deborahmhanga188
    @deborahmhanga188 4 года назад +2

    Ninahitaji miche nampataje

  • @joakimumhagama6270
    @joakimumhagama6270 3 года назад

    Napataje miche Mimi nipo kijiji .cha ilininda

  • @tumainituya6789
    @tumainituya6789 4 года назад

    Kazi yako nzr kaka.tunakupataje kwa ushauri zai

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад

      0753 125 998 piga iyo

    • @herielagrifarmbusiness4088
      @herielagrifarmbusiness4088 4 года назад

      Na vp kuhusu sisi ambao tutakua mbali na masoko km ya huyo bwana nemes alivyopata soko la Kenya

  • @jofreyizeck3232
    @jofreyizeck3232 2 года назад

    Saizi siodiri

  • @revocatusbalashuha3209
    @revocatusbalashuha3209 2 года назад +1

    Ni vzr tuwe tunaweka njia ya mawasiliano ili iwe rahisi kufuatilia

  • @hamidanakuhwa7855
    @hamidanakuhwa7855 2 года назад +1

    Mtwara kinakubari jamani hiko kilimo

  • @utaani1
    @utaani1 3 года назад +2

    Parachichi mawili ni pound 1. 30 asda juzi nimeona kwa hiyo haifiki hata shillings 5000 za Tanzania

  • @angell906
    @angell906 2 года назад

    Kwa eka moja mtaji wake ni shiringi ngapi?

  • @lameckmathias1188
    @lameckmathias1188 4 года назад +4

    Tunaomba mchanganua garama za hata ekali moja

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад

      Tayari, Imeshafanyika.. Pitia Video zetu.. zipo Zaidi ya 30

    • @veniusstanslaus7521
      @veniusstanslaus7521 4 года назад

      Anayehitaji maeneo ya kuwekeza kagera yapo 0762639736

  • @marcelparesso1721
    @marcelparesso1721 4 года назад +5

    Tafadhali naomba namba yenu

    • @marcelparesso1721
      @marcelparesso1721 4 года назад +1

      Je mche na mche mita ngapi nastari mstari?

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад +1

      Njoo Instagram @Jaymediatz tutumie meseji huko

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад

      Njoo Instagram kupitia account @jaymediatz

    • @floramarwa249
      @floramarwa249 4 года назад +1

      Kaka steven naomba number yako

    • @yusuphsungura736
      @yusuphsungura736 4 года назад

      Naomba namba ya simu

  • @sammotv6920
    @sammotv6920 2 года назад

    Kamera man mshamba sana badala achukue maelekezo kwa vitenda anayoonesha jamaa yeye anammurika jamaa

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  2 года назад

      0753125998 pigs kujifunza

  • @husseinbenitho7379
    @husseinbenitho7379 3 года назад +1

    Naweza kupata namba zenu mkuu

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 2 года назад

    Namba yake jamani

  • @suleimanswaleh4446
    @suleimanswaleh4446 3 года назад +1

    Je haiwezekani kupanda mbegu yenyewe shambani moja kwa moja ?

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 3 года назад

    Muwe mnaweka namba za simu bc muache ufalao

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  3 года назад +1

      Ukitizama video utapata namba

  • @lightnessaminielimeenameen7756
    @lightnessaminielimeenameen7756 4 года назад +1

    habari Kaka mimi sio mkulima ila nahitaji miche miwili tu kupanda nyumani je nitapataje na kwa gharama gani

  • @christopherrweyendela3445
    @christopherrweyendela3445 4 года назад +3

    Aridhi ya kupanda parachichi inapatikana vipi? Maeneo ya kununua yapo? Kama sh ngapi kwa eka?

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад +2

      Maeneo ya kununua yapo, Bei zina varry kutoka eneo moja hadi lingine. Endelea kufuatilia, Tunaandaa makala ya hilo jambo Pia... maana wengi wamekuwa wakihojo hilo..

    • @veniusstanslaus7521
      @veniusstanslaus7521 4 года назад

      Unahitaji maeneo ya kununua nipo kagera
      Pga 0762639736 ekar moja inaanzia laki 5hadi 7

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  3 года назад

      0747905086

  • @teresateresa6905
    @teresateresa6905 2 года назад

    🇹🇿

  • @joakimumhagama6270
    @joakimumhagama6270 3 года назад

    Parachichi likisha zaa linachukua MDA Hani Hadi kuvuna

  • @gwanchelezacharia6846
    @gwanchelezacharia6846 4 года назад +1

    kwa wale ambao hatupo telegram nawezaje kupata namba za stive?

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад

      Namba zipo kwenye Video hizo

    • @omargedi7452
      @omargedi7452 4 года назад

      My name is Omar Mohammed .
      I'm an entrepreneur based in Kenya.
      I can supply freshly washed Hass Avocados and avocado oil (organic included) during the on seasons in Kenya.
      I can also supply freshly washed mangoes and natural mango puree (organic included) during the on seasons in Kenya.
      I can be contacted through my email
      @ogedi3@gmail.com

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  3 года назад

      @@omargedi7452 ok thanks well come 0747905086 check me on whassap

  • @salummasoud2567
    @salummasoud2567 3 года назад +1

    Mnapatikana wapi? toweni mawasiliano

  • @veniusstanslaus7521
    @veniusstanslaus7521 4 года назад +1

    Je sehem inayotuwama maji inafaaa kwa kilimo hiki?

  • @jumaadam956
    @jumaadam956 4 года назад +1

    Mbona hamuelezi matumizi ya mbolea kuwa ni kiasi gani Kila shimo

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад

      Tafadhali fuatilia Video zetu zote za Kilimo cha Parachichi..zipo zaidi ya 30+ . Lakini ukiweka debe 2-3 kwa shimo moja ni Vizuri kwa mavuno zaidi

  • @raybaz7407
    @raybaz7407 4 года назад +2

    Hi Steven,
    Naomba number yako ili tuwasiliane. Nahitaji kama miche 500

  • @dastanfussy4898
    @dastanfussy4898 4 года назад

    Shamba ambalo wakati wa masika linatuamisha maji linafaa?

  • @gracekulwa9322
    @gracekulwa9322 4 года назад +1

    Tunaweza pata namba za bwana steven

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад

      Ndg Grace, Unaweza kutu follow Instagram @jaymediatz

    • @gracekulwa9322
      @gracekulwa9322 4 года назад +1

      @@JayMediatz sawaa...asantee

    • @omargedi7452
      @omargedi7452 4 года назад

      My name is Omar Mohammed .
      I'm an entrepreneur based in Kenya.
      I can supply freshly washed Hass Avocados and avocado oil (organic included) during the on seasons in Kenya.
      I can also supply freshly washed mangoes and natural mango puree (organic included) during the on seasons in Kenya.
      I can be contacted through my email
      @ogedi3@gmail.com

  • @tonnyford5782
    @tonnyford5782 3 года назад

    Ninashamba ilula je ntapataje no za huyo mtaalam?

  • @mossesdaudi4617
    @mossesdaudi4617 3 года назад +1

    Vipi Arusha inakubali?

  • @geofreymwakasitu7658
    @geofreymwakasitu7658 3 года назад +2

    Namba yake tunaipataje uyu mtu

  • @exuperkamili5174
    @exuperkamili5174 3 года назад +2

    Nataka shamba njombe nitapata boss

  • @jumaadam956
    @jumaadam956 4 года назад +2

    Shimo moja samadi kiasigani?

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад +1

      Debe mbili hadi tatu (Lita 40 hadi 60) . Maelezo yoote kuhusu Kilimo hiki yapo kwenye Video zetu zaidi ya 30+ Unaweza tujia Instagram pia @jaymediatz

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  4 года назад

      Bonyeza Link hii Kupata Video zote 30+:
      Kilimo Cha Parachichi Kinalipa: ruclips.net/p/PLpKKGThn5OMiQCYAJzVVcvJWZrOipGH7d

    • @fidelayubu2175
      @fidelayubu2175 4 года назад

      Naomba namba yako mkuu

  • @anicetmuganza7070
    @anicetmuganza7070 4 года назад +2

    naomba namba, tuongee +243853087679

  • @justinemrope9394
    @justinemrope9394 4 года назад

    A

    • @euphraziacyriacus8769
      @euphraziacyriacus8769 4 года назад

      Safi Sana mie Niko mkoa wa kagera wilaya ya kyerwa nahitaji kujua hiyo mbegu bora na yenye sako naipaje na ni shs ngapi @ mche?

    • @JayMediatz
      @JayMediatz  2 года назад

      0753125998

  • @justinemrope9394
    @justinemrope9394 4 года назад +1

    Hg