Waooooh!I don't know what to say about you guys but kiukweli napenda Sana nyimbo zenu kuanzia gusa Hadi ya sasa ya pazia MUNGU aendelee kuwainua na kuwapandisha viwango hadi viwango mtumike......nawapendeni sana na mbarikiwe sana
Mimi hubarikiwa sana na nyimbo zenu...hakika nazipenda sana kutoka gusa Hadi pazia la hekalu...siku moja nitawatembelea huko kanisani kwenu hata nibarikiwe zaidi...proud of you my favourite choir in the world
This songs for AICT Changombe Vijana Choir (CVC) DSM Usiku wa Manane Naye ni Nani Kwa Macho Ufalme Mikate Tulia Wastahili Kila Mwenye Pumzi Mwili wa Kristo Nyenyekeeni Siku ya Ajabu MBC HOT MEDIA Production Copyright 2014
2024 kama upo hapa ,Bwana yesu asifiwe
Mungu Ni Kila kitu kwny maisha yetu...huu wimbo unanibariki Kila niuskiapo🙏🙏🙏🙏
Aiseee nyie majembe ya Yesu Mungu awatunze na kuwabariki sana kwa baraka zote za mwilini na rohoni kwa jina la Yesu kristo...amen
Mbarikiwe na bwana, kwa huduma nzuri. Na mzidi kusonga mbele .
mungu awatukuze sana kwa kutunza album.hii inakumbuxha San mbali
Waooooh!I don't know what to say about you guys but kiukweli napenda Sana nyimbo zenu kuanzia gusa Hadi ya sasa ya pazia MUNGU aendelee kuwainua na kuwapandisha viwango hadi viwango mtumike......nawapendeni sana na mbarikiwe sana
Mimi hubarikiwa sana na nyimbo zenu...hakika nazipenda sana kutoka gusa Hadi pazia la hekalu...siku moja nitawatembelea huko kanisani kwenu hata nibarikiwe zaidi...proud of you my favourite choir in the world
wimbo unanibariki huu jaman yaan muda wote nataka kuusikia
Im so blessed with these angels. May God bless you as you serve Him
This choir blesses me so so much..keep it up guys
Wastahili , song of the decade, to God's glory.
mnaimba vizuri mungu awabariki
Wimbo huu umenibaliki sana akika MUNGU anapaswa kushukuliwa.
barikiwa sana aict mungu azidi kuwainuwaa
Ni 2022 naskiliza huu wimbo unanikumbusha mama angu😩❤️
mama mama amam mama ( uuuuuuh) nimependa kakipande ako aseee raha sana asante dada kwa kusolo
hajajajhahajj
Nikulipi nini jesus ❤❤❤❤
Love this song. From Kenya
wimbo mzur sana mungu awabarki sana chang'ombe vijana choir
Boaz Philip I p
mpo vizuri sana mbarikiwe
Nikulipe nini Bwana? 2020
na unanibariki sana uu wimbo
Unastahihi kuabdiwa BWANA MUNGU Mbarikiwe sana
Nawapenda napenda kazi yenu mungu awabariki
Nawapenda Sana CVC na huwa nawafuatilia Sana kutoka hapa Bunda mkoani Mara, Ushauri ongezeni ubunifu na pigeni vyombo live
Nawapenda sana jamani
my fav song til today
Napenda sana mapigo ya taratibu Mungu awabariki
This songs for AICT Changombe Vijana Choir (CVC) DSM
Usiku wa Manane
Naye ni Nani
Kwa Macho
Ufalme
Mikate
Tulia
Wastahili
Kila Mwenye Pumzi
Mwili wa Kristo
Nyenyekeeni
Siku ya Ajabu
MBC HOT MEDIA Production Copyright 2014
Mbarikiwe Sana, tuko tukiombea kazi yenu!!!, Ushauri wangu kwa mwl kiongozi Defa awape nafasi vijana kubuni vitu vya kisasa zaidi
i love your songs gus may God bless
Nice, mlivyo vaa kweli mnaonyesha kusifu na kuabudu
napend san hii kway na uuwimb nice
Kazi nzur
shalom mbarikiwe sana ,,,,,,
Mungu awabark 👏👏👏
barikiwa sana na YESU
Nice song, so much blessings
mungu azidi kuwabariki
Na atastahili milele yoteee
Amina Mungu awabariki
Asant Baba
Mbarikiwe sana
wastahili may lord bless you
I love this song tena sana...Hongerenmi Chang'ombe!
Hallelujah!
Good song
very song be blessed always
wooo Mrs lydia she sing good
Anapenda sana watu wa Mungu
N awapenda sana watu wa Mungu
be blessed
kweli hujaniacha jehova wastahili
Woow nice song
God deserve more than this
nice song
Asante baba MUNGU
Very powerfull song
Mbarikiwe
very Nice song
nikulipe nin BWANA kwa matendo yako makuu asanteee yesu wangu
Amen
Amina
😘😘🙏
Jesus lord
🙏🙏🙏🙏❤
nic song
Mnatubariki sana Mungu awapandishe viwango vingine
wimbo mzur sana mungu awabarki sana chang'ombe vijana choir