Barikiwa sana Mchg Silvanus, hakika tunajua Yesu anatuwazia mema hata tuliojikatia tamaa, asante sana kwa ushuda wa kujichonga upya, somo limeeleweka kwa kishindo ndani ya mioyo yetu, Yesu akuimarishe mwana wa Mungu
Wow Pastor Silvanus sp blessed by every word you have spoken, may God build am hedge of protection around you...the kingdom of Dark has lost badly and to God be all the Glory and Honour..

Matunda ya Eliyona Kimaro . Hongera sana mchungaji Eliyona Kimaro . Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen ,ubarikiwe mtumishi wa Mungu, hakika sitakata tamaa maana yup Mungu anayeniwazia mema
Ubarikiwe sana mchungaji kwa mafundisho mazuri na yatakayojenga familia zetu.
This man of God will change many lives, watu wengi watabadilika kupitia yeye.
Amen❤
Hongera sana Baba Mchungji Kimaro.Matunda yanaonekana.Mungu abariki sana
Glory be to God❤❤❤❤
Mungu awabariki sana
They sing so well, "sisi ni Mitume" naombeni mtuimbie huo wimbo wakati ukiruhusu
Wow Pastor Silvanus sp blessed by every word you have spoken, may God build am hedge of protection around you...the kingdom of Dark has lost badly and to God be all the Glory and Honour..
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Asante mungu kwa wema wakoni muujiza mkubwa sana
Mungu aliye kuvusha ktk jangwa la uharibifu azidi kukutunza 🙏🙏🙏mchungaji silvenus msuya naamin kwenye kuanguka kunakuinuka Tena Amina🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amina mtumishi wa Bwana Mungu Wa mbinguni akutunze daima
Mungu naomba faraja kutoka kwako hakika sitokata tamaa
Amen 🙏
Niko na ombi moja Dr kimaro be bringing pastor silvanus more often..
Morr anointing andorr Grace Sir.
I connect with the words of God
Mungu nisaidie kujichonga
I'm so blessed today.....
Powerful testimony man of God
hakika bwana huinua watu
Amen hakika mungu anayaweza mambo yote jina la bwan litukunzwee
Amen amen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Anna Godwin KWA Mungu yote yanawezekana .
Nimepokea kwa Imani Uponyaji ktk jina la Yesu Kristo .
Naamini kuna siku anayoijua Mungu yote yanawezekana
Hakika acha Mungu aitwe Mungu Barikiwa mtumishi wa Mungu.
Si mhako ninkwa mbonea du🙏
God will be God all over
Hallelujah.
Amina
Ameeer
Yesu ni bwana!
Hakuna mwanamke anabeba laana.
Amen❤❤
Ameeeeeeeeen
AAMEN NAPOKEA KWA JINA LA YESU
AMEN AMEN AMEN, 🙏🙌.
Amen
Ameeeni
Mungu unisaidie kujichonga
Amen