Christina Shusha, Rose Muhando, Essence of Worship, Boaz Danken, Good luck Gozbert, Dr.Ipyana, Clement Paul,Tanzanian Gospel artists we love for keeping the ministry of God 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hapo toa,shusho,gozbert,muhando.... Kuna worshipers na waimbaji Kina Boaz,Dr, Ipyana ,Gwamaka& Essence of worship... They are worshipers not jus singers
One of our most respected gospel artist,Mercy We love you and honor the work you do for the Kingdom of God! You have held your stand in your faith and proven to be real in this journey of salvation 🥰🇰🇪TZ we appreciate you our brothers and sisters🙏🏾
You have spoken the reality there is a great battle in the realm of the spirit once you worship GOD of heaven...let's change its nearly to the end of the age be alert!!!!!!!🙏
Glory to GOD. LOVE YOU MERCY MASIKA.....❤ Nasiwezi jizuia kusema wema wake na sio kama najigaba...amenitenda mema...amekuwa MWEMA KWANGU. HALLELUJAH 🔥 🙇♀️ LOTS OF LOVE MERCY❤ Mkenya amerikani 🇰🇪 🇺🇸 🙏
Amosi 5 21 Mimi nazichukia sikukuu zenu nazidharau, nami sitapendezwa na makutano yenu ya dini, 22 Naam, ijapokuwa mnanitolea sadaka zenu za kuteketezwa na sadaka zenu za unga, sitazikubali; wala sitaziangalia sadaka zenu za amani, na za wanyama walionona. 23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu
Soma Isaya 6:1-6 Mtajua jinsi ya kumuabudu Yesu Kristo, huu ni mzaha mbele ya Kristo aliyetufia.. miniskirts, shorts and seductive dances mbele za Yesu Kristo??? Labda ni kamungu kengine huko Tanzania, Hata Christina SHUSHO alianza vyema,katika Roho.. anamaliza kimwili
Awww...that she evangelized even in the midst of secular artists...this motivated me
I Admire Masika's Authority and Command...Been in one of her shows and I felt the same way
Christina Shusha, Rose Muhando, Essence of Worship, Boaz Danken, Good luck Gozbert, Dr.Ipyana, Clement Paul,Tanzanian Gospel artists we love for keeping the ministry of God 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwaipaja je?
Yesss
Joel, mwangila and bukuku😍
Hapo toa,shusho,gozbert,muhando....
Kuna worshipers na waimbaji
Kina Boaz,Dr, Ipyana ,Gwamaka& Essence of worship...
They are worshipers not jus singers
Congratulations my school mate back in Machakos you were a blessing in every assembly 🎉🎉🎉🎉
One of our most respected gospel artist,Mercy We love you and honor the work you do for the Kingdom of God! You have held your stand in your faith and proven to be real in this journey of salvation 🥰🇰🇪TZ we appreciate you our brothers and sisters🙏🏾
Seriously even Tanzanian we love Rose and Christina for really,and we wish God bless them more than the way they are
Thankyou Mercy masika hallelujah AMEN this is a woman of God,,,more grace of God ,,,God bless Kenya and Tanzania #yesu ndio form 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
proud of you artists you are really doing good job May our good Lord continue giving you strength💪💪💪💪💪 to overcome challenges and keep going🥰🥰🥰🥰🥰
Watanzania twawapenda Sana ..Mercy masika asanti Sana kuwakilisha ..Mungu akuinue zaidi
There is something with us Kenyans, full of cheers!
You have spoken the reality there is a great battle in the realm of the spirit once you worship GOD of heaven...let's change its nearly to the end of the age be alert!!!!!!!🙏
Mercy masika my favorite gospel artist from Kenya 🇰🇪 watching from 🇧🇭🇧🇭🇧🇭
Me too🇰🇪🇧🇭🇧🇭
Glory to GOD.
LOVE YOU MERCY MASIKA.....❤
Nasiwezi jizuia kusema wema wake na sio kama najigaba...amenitenda mema...amekuwa MWEMA KWANGU. HALLELUJAH 🔥 🙇♀️
LOTS OF LOVE MERCY❤ Mkenya amerikani 🇰🇪 🇺🇸 🙏
Thanks am proud to be Kenyan much love from Lebanon 🇱🇧
we love you dear 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Much love still Kenya 🇰🇪 our home land
We love u too,am in beirut
Me to in Beirut
Thanks so much Mercy for representing Kenya 🇰🇪 well. God bless you mightily.
Yani wew dada Mungu aendelee kukutumia huwa nabarikiwa sana na wew na umevaa heshima sana❤
Tunawapenda ndugu zetu wa Tanzania.Mungu azidi kuwainua na kuwatumia Kwa utukufu wake.Much love from 🇰🇪
Ameeeen asantee sanaaa kwa kutupenda twawapenda pia nduguzetu kwani tu ndugu kwa MUNGU mmoka
Ati super stars !waligeuka from worshippers to superstars .wah !
We love you Christina as Kenyan for all spiritual message you pass through your songs
love from Burundi 🇧🇮👏👏👏
Dada yangu Mercy,mimi ni Mkenya mwenzako na ninapenda nyimbo zako,lakini kurekebishana ni vizuri.
Hapo ya kiingereza haikufaa.
Kweli, unapofanya ya Mungu vita ni kubwa sana kuliko, wanaofanya vitu vya kawaida
Ameeen barikiwa xana mtumishi wa Mungu.Ahsante
Mercy Masika.
Wimbo wake sio nyimbo yake.
Nimependa backvocals hawajamuangusha🎉🎉🎉🎉
You look smart our Kenyan girl
Honestly I love Christina Bahati and Martha Mwaipaji they just lift my spirit automatically ❤❤❤❤❤ love Tanzania 🇹🇿
Rose for real your the fighter and your the chosen one let's God expand your boundaries, and also we enzi you as kenyan
Mercy masika*****"
Watanazania tunawependa sana madungu zetu mipaka isitutenganize, much love from Kenya 🇰🇪
Na sisi tunawapenda sana ndugu zetu KENYA MUNGU AWABARIKI SANA
Love you her
Nakupenda bure dada na uvaaaji wako tyu na kumsifu Yesu KUPITIA hapo 🙏😭💞🙌
Proud to be my creators daughter YAHWEH, YESHUA, ELOHIM, JESUS I TRUST IN YOU 📿❤️🔥✝️💜💟🌹🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Yesu Yu hai amen ubarikiwe mtumishi wa mungu umevaa kikiristo zaidi
Swali zuri Mercy e wangapi wanajua Yesu yu hai.Kweli Yesu yu hai nimemwona naishani mwangu
Proud to be a Kenyan live from Saudi Arabia blessed all❤❤❤
Amen
Martha mwaipaja will remain to be my best gospel artist forever.nuru na giza haiwezi kuambatana siku hata moja.nawashangaa Kwa kweli
Even me I was surprised, I have never seen this before
Wacha nikwambie hivi Yesu @Faith kavete.hakufuata watakatifu ..Yesu anahitaji kila mtu .
Yesu alikuja Kwa wenye dhambi siyo watakatifu
Stop judging guys
Toa mafillings hapa,
God bless you mercy kutuwakilisha.Amen.
Your mention of Jesus terrified the demons of some secular artists there; won't mention the name for today. Glory to the Lord God Almighty.
Nimeshanga adi Messi ameatend mutoko wa pasaka aaah kumbe mercy masika
Baraka nyingi na all safety from God Martha,❤🇸🇦🇸🇦am proud to be a 🇰🇪🇰🇪
Anaitwa mercy,Messi ni footballer
Woow just woow,,, watching from ASIA
Nakupenda da mercy masika
Watching my people from Buenos Aires Argentina
Congratulations mercy masika
Wee mkenya uko vzr huogopi kumtaja Yesu hadharani
Wakati wa mavuno upo karibu Yesu yupo karibu tuwe makini sana wana wa Mungu
Yaani akitoka Kenya alikuwa msanii akifika tanzania anakuwa mchezaji wa mpira....akiwa Kenya anaitwa mercy akifika tz anaitwa Messi....
Hongera kwa kuvaa vizuri
Mawigi ni ushetani
Hayo ni madharau sana who said TZ we don't know English. Kwa kuwa hatuongei na mbwembwe. That's ridiculous woman.
@@victoriamazula5592 kwahyo Tz nzima tunajua English si ndio??.. angeongea English pekee mngemaindi pia...mwacheniii mtuu wa watu kyaaa😆🙌
The first thing I also noted. Very well dressed
@@heritier5119 huko kwenu
Hongera mama gospel kwa kuvaa
Hakika Mungu nimwema akubariki sana na akuongeze mafuta!!Napenda wimbo na Mavazi mazuri ya kujieshimu!
Mungu akubariki
Umenfurahisha 😂😂😂😂❤❤et utaongea ki English uliskiawap😂❤😂😂❤😂 anway god bless you mamaa🙏🙏🥰🎉
Huyu Yesu my favourite song 😍may God bless you sister Mercy🙏🙏
Amina Mungu akubarik
Thanks for the gospel masika
Can someone help me ,is this lady from Uganda coz the name masika comes from western Uganda, thanks
Mercy Masika
God bless you more for keeping God presence 🎉🎉
Lahaula! Mercy kawa Messi leo..,Wabongo mtatumaliza😂😂
Wonderful minister Mercy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I just love her zeal and courage to minister before The secular artist . This is the boldness we need as we proclaim the gospel to the world .
Secular artist ni watu
Venye inafaa kua proud of Mercy Masika❤❤❤❤
Hongera messi
Proud Kenyan🇰🇪❤️🙏🏼
Mercy masika nakupenda dada
Congrats to our gospel Artist
sio messi MASIKA Good job mama my namesake
Mercy masika sio messi
Wacheni kuweka headings aziendani na kitu mnapost 😮anyway Mercy May God continue using you to higher levels 🎉
True aki nimepotozwa na hizi headlines😏
Ni mercy sio messi
🥰🥰🥰 our own representing kenya
Asante kwa kumsifu yesu
The lady in white and black knows it. Kabisa Yani yeye Na Yesu wamependana
Amosi 5
21 Mimi nazichukia sikukuu zenu
nazidharau, nami sitapendezwa na
makutano yenu ya dini,
22 Naam, ijapokuwa mnanitolea sadaka
zenu za kuteketezwa na sadaka
zenu za unga, sitazikubali; wala
sitaziangalia sadaka zenu za amani,
na za wanyama walionona.
23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu;
kwa maana sitaki kuzisikia sauti za
vinanda vyenu
YESU NI BWANA❤❤❤❤
NA Pia Kiswahili KITUKUZWE
Pliz uko TANZANIA 🇹🇿 Ongea Kisw hili🤞
We love you mercy
Duuuuuh 😳😳 Dunia imivurugika kweli Yesu yu karibu kurudia kanisa lake
Mimi nimengoja kuona Leonel Messi wakiimba na Diamond waapi, kumbe ni Our girl Mercy Masika mnaita Messi, wabongo hamna ubongo kabisa😂😂💔
Yan kumwabudu mungu imekua kusifia wa2 mnajipa utukufu wenyewe ,,,,,😢😢
Hongera sana ndugu.
This is great Mdm Rose muhando ,I wish I could be there,be blessed
Natamani niimbe naww kutoka Tz
Akisema ndio hakuna wa kumpinga🙌🥰🙏
Mercy si messi
Diamond anatamani kuokoka n kumfuta yesu nivile tu anashindwa ataanzaje
Amerinyu na nimempenda upya
Yesu kristo yu hai milele na milele Amin ❤
Dada yetu🎉 +254we loves you dear
Ni mercy si messi
Nikweli ongera ulivaa vizuri sana. Piya ana imba vizuri
Shikamoo kingerezaa
Sio Messi ni mercy
Nawapenda Sana ila wasani Kenya wanachukiana
More than talented in singing
"ringa ndani ya Yesu" while throwing the triple 6....chai,
Ukweli mungu anakutumia lakin usitake kumzidi
Soma Isaya 6:1-6
Mtajua jinsi ya kumuabudu Yesu Kristo, huu ni mzaha mbele ya Kristo aliyetufia.. miniskirts, shorts and seductive dances mbele za Yesu Kristo???
Labda ni kamungu kengine huko Tanzania,
Hata Christina SHUSHO alianza vyema,katika Roho.. anamaliza kimwili
Amesema kweli kama hii show ingekuwa Kenya watu wangefurika kupita kiasi.
Sio Messi ni Mercy Masika.
nikweli mimi waburundi nawapendasana waimbaji wamungu