Magavana wakosoa bunge kwa kutoongeza mgao wa kaunti

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • Magavana Wamewakosoa Wabunge Kwa Kukataa Hoja Ya Kuongeza Mgao Wa Kaunti Kwenye Bajeti Ya Mwaka 2024/5. Gavana Wa Kakamega Ambaye Pia Ni Mwenyekiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Baraza La Magavana Fernandes Barasa Amewalaumu Wabunge Kwa Kukataa Nyongeza Ya Mgao Wa Kaunti Hadi Shilingi Bilioni 415 Licha Ya Maseneta Kupitisha Pendekezo Hilo.

Комментарии •