NABII GEO DAVIE ALIVYOMZUNGUMZIA MWANAE NISHER AMBAYE AMEFARIKI “NGUMU KUSEMA, ALIACHA BONGOFLEVA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2023

Комментарии • 378

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 5 месяцев назад +11

    Unajua kichaa anachekesha akiwa kwa jirani.R.l.P Nisher 😭😭 Poleni wafiwa 🙏

    • @user-gb5vz6wm2q
      @user-gb5vz6wm2q 5 месяцев назад

      Wengine wanamcheka kichaa aliyepo ndani ya familia yao

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 5 месяцев назад +8

    Pole sana Nabii mkuu Geordavie Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 5 месяцев назад +23

    Mungu ndiye ajuaye siri zote.

  • @rosedaniel1981
    @rosedaniel1981 5 месяцев назад +16

    Kwann watu mnakuwa wepesi wakutoa hukumu hv jmn 😢hamjui kuwa kifo ni lazima kwa kila binaadam

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 5 месяцев назад +21

    Pole sana Nabii mtumishi wa Mungu Bwana Yesu awafariji na awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu

  • @VeronicaMacha-pl3xt
    @VeronicaMacha-pl3xt 5 месяцев назад +19

    Anajua mwenyewe aliyeketi mahali pa juu palipoinuka kuliko vyote,🙏

  • @MojamojaMojamoja-lw2ph
    @MojamojaMojamoja-lw2ph 5 месяцев назад +18

    Pole sana baba ni gumu kulipokea lkn tumeumbiwa 😢

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 5 месяцев назад +11

    Pole nabii kwa mtihani wa msiba, mungu atakuvusha tu

  • @user-ho8xz6tx8t
    @user-ho8xz6tx8t 5 месяцев назад +11

    😢😢😢 mungu akuzidishie maarifa dady

  • @dullyblack38
    @dullyblack38 5 месяцев назад

    ni hv tu baba alikua superstar kuliko mwanae. hyo haikuwa sawa kimentalii. na chengine pia nisher ni kweli alikua mbele ya mdaa ila tatizo lilikua sapoti ni ndogo ya wasanii na media mapinduzi ya red camera zilipoanza iyo ilimfanya ajione kategwa na industry. all in all Rip young blood nisher

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 5 месяцев назад

    Pole sana Mtumishi Mungu ashughulike na hixo mbwa xinaxomshambulia Mtumishi kwa kashfa.

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 5 месяцев назад +3

    Poleni sana mungu ampumzishe kwa amani

  • @laurnyandwi-sb1gu
    @laurnyandwi-sb1gu 5 месяцев назад +11

    Ukila vya watu na vyako IPO sku vitaliwa..,

  • @ImanuelMwaipaja-wf7xq
    @ImanuelMwaipaja-wf7xq 5 месяцев назад

    Pole mzee jodave kwakipindi kigumu mungu atakulinda

  • @annamrema2861
    @annamrema2861 5 месяцев назад

    Pole Baba Mungu akupe nguvu kiukweli inauma

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 5 месяцев назад +11

    Tayari, unaanza kuvuna ulichokipanda. Hongera sana Nabii uchwara

    • @malichanda3146
      @malichanda3146 5 месяцев назад +1

      Hahahaha 🤣🤣🤣 umeona eeh mbona hajamfufua 😂😂😂

    • @ericmellau3783
      @ericmellau3783 5 месяцев назад

      Uktoa baba ake kua nabii bado mungu atabak kua mung tu hata kama maomb yake,yako, mm hayakujibiwa kama tulivokua tunataka, baba kua nabii aizui mungu kutenda kaz ake

  • @MawazoMwamba-fz5hr
    @MawazoMwamba-fz5hr 5 месяцев назад +6

    Pole sana Nabii 😭😭😭

  • @jacobmgao-hi7rj
    @jacobmgao-hi7rj 5 месяцев назад +1

    Pole sana mungu awatie nguvu

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 5 месяцев назад +1

    Pole sana kwa msiba mr davie

  • @DiannaMsekeni
    @DiannaMsekeni 5 месяцев назад

    Pole mtumishi kwa msiba wa kijana wako jina la bwana lihimidiwe

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 5 месяцев назад +8

    Mda wao huu wanazik watoto tu

  • @user-bw7df5km1u
    @user-bw7df5km1u 5 месяцев назад +3

    Pole sana mungu akutie nguv u,mshukuru mungu kwakila jambo

  • @kerrychristophers1595
    @kerrychristophers1595 4 месяца назад

    Pole sana Daddy

  • @camillah1097
    @camillah1097 5 месяцев назад +30

    Pole sana baba Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mwana

    • @advinofficial6570
      @advinofficial6570 5 месяцев назад

      Camillah

    • @samiraaindi
      @samiraaindi 5 месяцев назад +1

      R.I.PNisher 😭

    • @abbassaid9305
      @abbassaid9305 5 месяцев назад

      Mtumishi wa mungu watoto wakiume wanavaa heren na yeye kama baba anasapot kama sio ushetani ni kitu gani

    • @saturinimushi4746
      @saturinimushi4746 5 месяцев назад

      Someni Kitabu Cha Mathayo Ile Sura ya 16: Mstari wa 26-27
      Mtakuja kunishukuru❤

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 5 месяцев назад

      ​@@abbassaid9305Sasa yeye afanyaje

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 5 месяцев назад +8

    Pole Xan Nabii Kwa Kufiwa Na Kjn Wako Kwa Kweli Mungu Akupe Nguvu Na Ujasiri Katika Kipind Hiki Kigumu Mungu Amlaze Mahali Pema Peponi😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @ssam3385
      @ssam3385 5 месяцев назад

      Pole bb mungu amlazembinguni

    • @samiraaindi
      @samiraaindi 5 месяцев назад +1

      pole kwa msiba Davie.

  • @BahatiSunga-yk9qf
    @BahatiSunga-yk9qf 5 месяцев назад

    Pole sana PLOFET kwa kuondokewa na kijana wako

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 5 месяцев назад

    Pole mtumishi wa MUNGU

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 5 месяцев назад +1

    Pole sana baba yangu

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 5 месяцев назад +1

    Pole kwa wafiwa Ndugu jamaa na marafiki

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 5 месяцев назад +40

    Mungu awasamehe wote wanaoongea ujinga kuhusu huyu mtumishi wa Mungu. Mungu awabariki sana

  • @HappynessLevocatus
    @HappynessLevocatus 5 месяцев назад

    Pole sana nabii mkuu

  • @ahmedbashash3672
    @ahmedbashash3672 5 месяцев назад +10

    Kashamtoa kafara mtoto wake baba lenyewe shetani eti nabii mashetani wachaafu na matapeli

    • @AniaSawaki
      @AniaSawaki 5 месяцев назад +1

      😂😂😂😂 jameniiiiiiii

  • @salamakitule-3856
    @salamakitule-3856 5 месяцев назад

    Pole sana kea mitihani

  • @eliannko
    @eliannko 5 месяцев назад +11

    mungu mtie nguvu nabii mkuu katika kipindi kigumu hiki

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 5 месяцев назад

    Pole San baba yetu .

  • @user-ux8gd8mj2e
    @user-ux8gd8mj2e 5 месяцев назад

    Kufa kawaida wote tutaondoka tuache Iman potofu.

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 5 месяцев назад +37

    Huyu nabii muongo sana sema watu hawalijuity yupo firimasoni ndomna katoa kafara

    • @user-cw6kk2rw8f
      @user-cw6kk2rw8f 5 месяцев назад

      Huyu ndo mtumishi wa Mungu daa ama kweli dunia Mungu tuulumie sana

    • @glorymassawe5659
      @glorymassawe5659 5 месяцев назад +5

      Siku yakikukuta utafunga huo mdomo

    • @zainabumartin9520
      @zainabumartin9520 5 месяцев назад

      @@glorymassawe5659 lbda ukutane namizimu yako sio mimi

    • @zainabumartin9520
      @zainabumartin9520 5 месяцев назад +1

      Tuma nauchawi wenu waki frmasoni haunifiki

    • @zainabumartin9520
      @zainabumartin9520 5 месяцев назад

      Eti kufunga mdomo wako ndo utafunga munadanganya watu kuwatapeli eti munawaombea uongo mtupu

  • @febroniamsoma178
    @febroniamsoma178 5 месяцев назад +7

    Acha Mungu afanye kazi yake, mapenzi yake

  • @officiallugano8991
    @officiallugano8991 5 месяцев назад

    Daaaa pole sana

  • @priscamavura8135
    @priscamavura8135 5 месяцев назад

    Poleni Sana familia

  • @JONAISMARTINESAM-vs4jy
    @JONAISMARTINESAM-vs4jy 5 месяцев назад

    Daaah,,,, kafaje yaani???????? Poleni sana jmn!!! Inauma sana!!

  • @hilidentamale9778
    @hilidentamale9778 5 месяцев назад +4

    Na huo ndo mwanzo na bado tutaona mengi

  • @omarcarlos4595
    @omarcarlos4595 5 месяцев назад +3

    Hapo ndo utaelewa kuwa kifo ni haki kutoka kwa muumba.Hakuna atakayenusurika na kifo. Nii hi njia ambayo kila mmoja atapitia tu. Ni suala la muda bwana ametwaa

  • @RuthyTemu-ev5li
    @RuthyTemu-ev5li 5 месяцев назад +1

    Mungu akutie nguvu baba pole sanaa na wanaohukumu wajue wao sio Mungu waache Mungu ahukumu

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 5 месяцев назад +6

    Wangapi walikua hawaamini karumba hakua frmasoni leohii ndowana amini

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 5 месяцев назад

    Alikuwa andisamu jamani khaa❤❤❤😭😭😭😭😭😭

  • @imaniyohana
    @imaniyohana 5 месяцев назад +4

    Bro mbn hii interview ya mda sana af mbn Kam umeandk kuwa kamhoji baada ya msiba

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 5 месяцев назад +2

    Poleni sana familia

  • @agnessmalyeek9387
    @agnessmalyeek9387 4 месяца назад

    Baba hasa familia yangu inakupa pole sana

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 5 месяцев назад +4

    Innalilah wainnalilah rajiuun! Pole sana Nabii Dev!

    • @user-rd3zg5ze5k
      @user-rd3zg5ze5k 5 месяцев назад +1

      Nabii wa mchongo uyoo acheni kufuru

    • @SimbaSimba-fo9pd
      @SimbaSimba-fo9pd 5 месяцев назад +1

      subhanallah hivi wewe ni mwislam gani kwa kutoa pole kwa hili jiti jofavi laana za mwenyezi mungu ziwe juu yake

    • @drsilo
      @drsilo 5 месяцев назад

      Ww cio muislam acha kuposti mavitu yanayotia hila uislam ww

  • @ANNETTVSHOW
    @ANNETTVSHOW 5 месяцев назад

    😢😢 pole sana

  • @felistaantoni5446
    @felistaantoni5446 5 месяцев назад

    Pole sana babaangu kipenzi

  • @user-jc5oj6fw2c
    @user-jc5oj6fw2c 5 месяцев назад +1

    Pole baba yangu MUNGU wa mbigu na nchi akutie nguvu

    • @EliechiKimario-bv1gz
      @EliechiKimario-bv1gz 5 месяцев назад

      Hkn ch fremasoni kifo ni kifo hakuna mahali pameandikwa watumishi au watoto wao hawatakufa poleni sanna wafiwa

  • @user-ue3jx3by9i
    @user-ue3jx3by9i 5 месяцев назад +8

    Ndungu zangu wa Tanzania Tujaribu kutumia vizuri hii mitandao natupunguze ukari wa maneno sisi wa Tanzania jaman hatuja ubwa hv watanzabia tunasifika kwa ukarim na upendo hivi tumefikia handi kubishana na mungu kuchukua haki yake juzi Mme msema vibaya baba yetu mpendwa mpango mpaka mkawasha mishumaa ukasema mnavo jua lakin juzi mmeumbuka na baba wa watu alivo barikiwa kuanamoyo wa kuhimili uchafu wa midomo yetu wa Tanzania wasio na hekima aliwaombea2 kwa mungu awasamehe na mm naungana na makam wangu mungu awajalie mwisho mwema

    • @gmbrown1429
      @gmbrown1429 5 месяцев назад

      Kafara iyo

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 5 месяцев назад

      Usilaumu wananchi, kabla hujahukumu lazima ufikiri kwanza, watanzania yule ni kiongoziwao wanahaki yakuuliza kisha wajibiwe, kumbuka na kwa magufuri walidanganywa hivohivo kumbe mzee alituacha haya sasa je wajifunze nini sasa.

  • @wilsonlazaro4048
    @wilsonlazaro4048 5 месяцев назад +2

    Naomba wote mnao msema vibaya huyu baba mtubu na kuomba msamaha msipo fanya hivyo nanyie mtapatwa na misiba Hadi mshangae mtafiwa au mtakufanyie wenyewe ili iwefundisho m mekosa chaku sema kwani ni la zima mseme na tamani ni ngekua karibu nanyie ni wakate hizo dimi zenu

    • @gabrielkimario1891
      @gabrielkimario1891 5 месяцев назад

      Acha kutisha watu,,Wewe unayeona wamekosea waombee kwa Mungu,,na Mungu hayupo hivyo unavyofikiria ndugu

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 5 месяцев назад +8

    Hii interview haihusiani na msiba ni kabla ya mwanae kufariki

  • @RenatusLeonardMillambo
    @RenatusLeonardMillambo 5 месяцев назад +12

    Mbivu na mbichi...zitajulikana.........MUNGU NA ATUKUZWE....mana njia zetu anazijua vema....ziwe za kweli au lah!!!

  • @jacquelinefrankie5309
    @jacquelinefrankie5309 5 месяцев назад

    Pole nabii .rip broh nisher

  • @user-rq4jo8lb1l
    @user-rq4jo8lb1l 5 месяцев назад

    Pole xn

  • @fatma4628
    @fatma4628 5 месяцев назад +8

    Mpigie yesu simu Mzee 😂😂amrudishe

    • @user-rd3zg5ze5k
      @user-rd3zg5ze5k 5 месяцев назад

      3:37

    • @immajungu5190
      @immajungu5190 5 месяцев назад

      Acha kufuru fatma hzo kejel n mbaya sana plz omba msamaha

    • @fatma4628
      @fatma4628 5 месяцев назад

      @@immajungu5190 sasa msamaha gani wakati baba yake anasema alionana na yesu wewe acha mungu hataniwi bana ama pia wewe ushaonana na yesu

  • @AishaNgoyi-vi2ku
    @AishaNgoyi-vi2ku 5 месяцев назад

    Pole sana baba

  • @ibrahimnganyule5367
    @ibrahimnganyule5367 5 месяцев назад

    Hivi mnaocoment kejeli hamjawahi poteza ndugu zenu

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 5 месяцев назад +1

    Gwaji yuko wapi?

  • @user-dq4qr9bh5e
    @user-dq4qr9bh5e 5 месяцев назад

    mungu mwenyewe

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 5 месяцев назад +3

    Sinabii mbona hajarudisha roho yake kamakweli mponyaji

  • @SelinaPaschal-vq2iy
    @SelinaPaschal-vq2iy 5 месяцев назад +6

    Hivi mnazani kuua mtoto wake nirahisi acheni ujinga na Imani potofu

    • @Mkinga_og
      @Mkinga_og 5 месяцев назад

      Acha ukenge watu wanamuua mama mzazi sembuse mtoto, we unavohisi uyu mzee ni mtu mwenye imani gani, "yesu alinitokea live" we ulisikia wapi

    • @SelinaPaschal-vq2iy
      @SelinaPaschal-vq2iy 5 месяцев назад +1

      @@Mkinga_og bro pambana na hali yako akiri yako ukiijaza ushirikina basi Kila kifo utasema umelogwa mara kafara ashindwe kumtoa since akiwa mdogo aje amtoe now hayo nimapenzi ya MUNGU nothing else bro,,,,shame on u😏

    • @marthamollel9859
      @marthamollel9859 5 месяцев назад +1

      Ukikaa na maneno ya Mtandao utashindwa kufanya kazi huo ni uvivu wa fikira ukiona mtu kafanikiwa ooohh freemason . Kila mmoja atauonja umauti🙏🙏

    • @SelinaPaschal-vq2iy
      @SelinaPaschal-vq2iy 5 месяцев назад

      @@marthamollel9859 point,,,,,Yani watu huwa hawafikilii

  • @agnestemu8382
    @agnestemu8382 5 месяцев назад

    Aiseeee😢😢😢😢

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 5 месяцев назад +9

    Mshua wake anajua alichokifanya!

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 5 месяцев назад +3

    Nlijua wataanza freemason upuuzi mtupu

  • @user-iq1re6dj8n
    @user-iq1re6dj8n 5 месяцев назад

    Rahisi Sana kuwa unajuwa nini alifanya mpaka afike apo alipo

  • @StephanoAkyoo
    @StephanoAkyoo 5 месяцев назад

    Wakati wa mwisho kutakuwako...na manabii wengi wa uongo na kweli, na wapo kuwapoteza hata Walio wateule....watafanya ishara, miujiza, na maajabu ya kufanana kabisa na yake ya kimbingunii......IWENI NA AKILI🤏

  • @vaikaayagadiel520
    @vaikaayagadiel520 5 месяцев назад +1

    Ukiwa muislamu hufi/hufiwi, ndimi ndimi zichungeni

  • @user-rk8cf7cd5x
    @user-rk8cf7cd5x 5 месяцев назад +1

    Rip kuzimuuuuuuuuu

  • @eliamwakimage5389
    @eliamwakimage5389 5 месяцев назад

    Mtoto wa Nabii.... Ananda mziki wa Bongo fleva... Nabii wa mungu yupo tu anaangalia. Mungu mrehemu Nisher uko alipo. Revelation 14:13

    • @naigeorge7765
      @naigeorge7765 5 месяцев назад

      Uombee sana watoto wako unafikiri ni kazi rahisi.Au unaweza kutumia nguvu mtoto wako awe utakavyo wewe.Ni neema ya MUNGU tu ndio inaweza kufanya hivyo.Kwahiyo mtoto wako akiwa ana njia zake anabadilika kuwa mtoto wako.

  • @idrisamapesa2732
    @idrisamapesa2732 5 месяцев назад +13

    Tayar mambo yamekaa sawa kwa bwana mchungaji

    • @queenmollel6739
      @queenmollel6739 5 месяцев назад +1

      Acha ujinga Kila mtu anafiwa wewe, umaskini usikufanye kupayuka

    • @frankmlalila1705
      @frankmlalila1705 5 месяцев назад +1

      😂😂😂

    • @LailaLaila-kg2qd
      @LailaLaila-kg2qd 5 месяцев назад +1

      Ujakosea wng

    • @idrisamapesa2732
      @idrisamapesa2732 5 месяцев назад +1

      Mbona unaumizwa ktk hilo au ndo wale wale 😄😄😄 kenge ww

    • @malichanda3146
      @malichanda3146 5 месяцев назад +1

      😂😂😂 kabisa

  • @hadjamussa1626
    @hadjamussa1626 5 месяцев назад +1

    Tofauti Kati ya mtu na mtu ni ufahamu mungu ni mwema

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ 5 месяцев назад +2

    Sadaka ndio zina tuogopesha umeona sas alivyo mpoteza mtoto

  • @laxmajor
    @laxmajor 5 месяцев назад +1

    Dar siyo pow😭

  • @EmpireMoviesNseries
    @EmpireMoviesNseries 5 месяцев назад +9

    R.I.P mengine tumwachie muumbaji😢

  • @abnermailos8043
    @abnermailos8043 5 месяцев назад

    Hope Moyo mkuu

  • @franckswedi5664
    @franckswedi5664 5 месяцев назад

    Mungu ndo ana juwa ukweli

  • @user-cj5lo6pw2r
    @user-cj5lo6pw2r 5 месяцев назад

    Kamtoa mwanae kafala daah😢😢😢

  • @chrotildamathias9610
    @chrotildamathias9610 5 месяцев назад

    Pole nabiii wangu nakupenda

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 5 месяцев назад

    Hatari

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 5 месяцев назад +10

    Msiba ni ule wa kule manyara. Huo ni msiba wakawaida sana

    • @summahthedon3511
      @summahthedon3511 5 месяцев назад +1

      Wewe ni matako kabisa😢😢😢😢msiba ni msiba tu

    • @lizashagilliard2336
      @lizashagilliard2336 5 месяцев назад

      Shame on you

    • @EmmanuelNyinyigwa
      @EmmanuelNyinyigwa 5 месяцев назад

      @@summahthedon3511 kinge wewe

    • @queenmollel6739
      @queenmollel6739 5 месяцев назад +1

      ​@@summahthedon3511Bado haijamtosha mpe lingine

    • @summahthedon3511
      @summahthedon3511 5 месяцев назад +1

      Yaani wewe ningekupata Mikononi mwangu ningekufilimba mbwa wewe sura Kama chapati iliyo kauka kukamamake zako

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs 5 месяцев назад

    Mungu Wa mbinguni,akufariji,,,binadamu WA na maneno meng😂

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 5 месяцев назад

    Masikin wana hasila sana namatajili maskin akifiwa akaposti mtandaon watu wanasema Pole sana R.i.p ila tajili akifiwa akaposti mtandaon utaona hasila za maskin utasikia sadaka hyo katoa freemason hyo yote nihasila za umaskin

  • @amasmary3
    @amasmary3 5 месяцев назад

    Millard ayo anavyochonga nywele sasa 😂

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 5 месяцев назад +1

    Mwanae kafanana na USHER RAYMOND

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 5 месяцев назад +2

    Acha waseme ila mzee yuko ktk majonzi wao wanakashifu ila wote tutakufa

  • @limymasele21
    @limymasele21 5 месяцев назад

    Sipendi hii hali sasa hivi wa pili ndiyo anakuwa wa kwanza anaenda kubeba majukumu mazito sana yaliyokuwa yanafanywa na kaka wa miaka 34 alikuwa mkubwa huy😢😢😢

  • @user-or2xn4bp7o
    @user-or2xn4bp7o 5 месяцев назад +1

    ii dunia jamn 😥

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 5 месяцев назад

    Ritual??!

  • @Josephkp629
    @Josephkp629 5 месяцев назад

    Kumbe nisher alikuwa mwanae😊

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh 5 месяцев назад

    Huwa kabila gn huyu baba mashaallah mzuri na Pole kwa kufiwa

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 5 месяцев назад +9

    Mzee katoa kafara ndio stetani alivyo ukimtumikia lazma utoe kafara natamani watu wajue huyu jamaa ni muabudu shetani kabisa yani

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 5 месяцев назад

    Mungu akupe nguvu kipindi hiki Cha msiba wa mwanao nabii mkuu nakupenda nakupenda na nakupenda sana, wanaokuongelea vibaya wacha wajipe shughuli hawana yankufanya na ukiwachunguza wachovu ndio Wana maneno mengi yasiyo na maana Wala faida, mungu atawalipeni kwa midomo na maneno yenu machafu sisi tunasonga mbele. Viumbe km nyie hamkosekanagi jmn

  • @user-ks8oy9lt7z
    @user-ks8oy9lt7z 5 месяцев назад +4

    Hee nabii anashindwa kuzuia mwanae asifariki lakini wengine anawaambia anawaombea wawe salama makubwa

    • @faithjonesmeena4679
      @faithjonesmeena4679 5 месяцев назад

      Walikufa watoto wa ayubu na alikua mwema Sana mwachon pa bwana. Mitihan huja kwa njia mbali mbali

    • @user-ks8oy9lt7z
      @user-ks8oy9lt7z 5 месяцев назад

      Mjinga huamini kila neno lakini mwerevu huangalia sana aendavyo

    • @mwigarleysaid5406
      @mwigarleysaid5406 5 месяцев назад

      Kwani mganga wako hajafiwa?

    • @user-ks8oy9lt7z
      @user-ks8oy9lt7z 5 месяцев назад

      @@mwigarleysaid5406 alaa kumbe uyu mganga wenu sio?

  • @ahmedbashash3672
    @ahmedbashash3672 5 месяцев назад +1

    Haya sasa mrudishe sass awe hai tena wewe si nabii wacheni ujambazi na utapeli kula hela za maskini

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 5 месяцев назад

    Nabii Mashimo yuko wapi kwenye huu msiba ?