Director Nisher "Hanscana ni Chips mayai tu" / Anapiga picha

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 июн 2021
  • Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 38

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il 2 года назад +3

    Nisher ni Director mzuri sana kazi zake nyingi zilikuwa kali labda tusubiri ujio wake kwa mara nyingine

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 6 месяцев назад +9

    Jamaa alikuwa na sifa sanaa na majivuno flan hv,,,,binafs ndo nimemfahamu now,,,Allah atupe mwisho mwema dunia sio yetu

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 6 месяцев назад

      kujikubali tu, nilikuwa namkubali sana

    • @kilimaentertainment1687
      @kilimaentertainment1687 6 месяцев назад

      Kuongea hivyo sio sifa watu wengi hatufanikiwi kwa sababu hatujiamini na tunachokifanya jamaa anajiamini pia kujiamini hakuwazuii wengine kufanya zaidi

    • @kelvinfussi5210
      @kelvinfussi5210 6 месяцев назад

      Huwez mfaham kila mtu bosss

    • @lilahdiyan468
      @lilahdiyan468 6 месяцев назад

      Huyo Hanscan mwenyew kapitia kweny mikono ya Nisher

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 6 месяцев назад +1

      Kashatolewa kafara sasa na baba yake

  • @husseingeer2150
    @husseingeer2150 3 года назад +5

    Wenzake wana fanya COME BACK na kazi nzuri. Yeye anakuja 😂 na MIPASHO....!!!

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 6 месяцев назад

    Mwamba kweli kweli full confidence

  • @arushaurbanmusicstyle3612
    @arushaurbanmusicstyle3612 2 года назад +4

    uyu jamaa anayo akili saanaa😃

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles 5 месяцев назад

    Migogoro mnailetaga waandishi wa habari, hata maswali mnayouliza ni ya kuwagombanisha watu. Nisher hakutaka kumtaja HANSCANA

  • @user-tf1xs2mo6k
    @user-tf1xs2mo6k 6 месяцев назад +1

    Maskin. Mungu. Allaze roho yake mahal pem

  • @_Nassor_said_
    @_Nassor_said_ Месяц назад

    Rip 🥹 legend

  • @FilbertHabashi-zn1qu
    @FilbertHabashi-zn1qu 6 месяцев назад +1

    Alikuwa smart

  • @happyestomih4300
    @happyestomih4300 6 месяцев назад +1

    Unajua wa tz hatuelewagi nini mtu anachoongea yeye anasema kilichopo msikilize kwa makini mtamuelewa

  • @edithinanga2595
    @edithinanga2595 Год назад +1

    Bro kwani ww nimsenge ivo unasubutuje kumsema hanscana vibaya.. I'm frm Kenya but ma director wenye nawakubali ni kama hanscana... Nampa 💯%

    • @Devoboy255
      @Devoboy255 5 месяцев назад

      inaonekan umesoma iyo title tu ila ujaskiliza iyo interview mpaka mwisho acha ujinga

  • @obbytouchez_pro9430
    @obbytouchez_pro9430 2 года назад +1

    Huyu ana dharau sana kila mtu anataka kuweka historia kwa sasa tuna Hanscana, kenny nk lkn yeye hayupo

  • @britonngale6644
    @britonngale6644 2 года назад +3

    Há há há haaaa Hascana kakuzidi mbali mno

    • @lilahdiyan468
      @lilahdiyan468 6 месяцев назад

      Ila yeye ndio kamfundixha huyo Hanscan vitu vingi ila Scana alianzixha dharau kw Nisher

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 3 года назад +2

    Jamaa miyeyusho saana🔥🔥😂😂🇰🇪

  • @kamilagwajuma8384
    @kamilagwajuma8384 2 года назад +1

    Nisha ana ongea ukweli shida ego bt ukwel mtu

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 6 месяцев назад

    RIp

  • @amanlenatus9067
    @amanlenatus9067 2 года назад +1

    Huyu nisher hana akili na anasifa nyingi,kiburi kingi ndo maana huonekani

  • @IreneMwanaa-zo2wz
    @IreneMwanaa-zo2wz 5 месяцев назад

    Huo ndio ukweli

  • @sorwasoudy6256
    @sorwasoudy6256 2 года назад +1

    Nisha huna kt.. ebu iga kw kina laiza mr t touch hawajbambii wale na ndo no1

    • @EzzyEddy-il3ce
      @EzzyEddy-il3ce 5 месяцев назад

      Sasa laizer na t touch hapa wanaingiaje?? Huyu alikua directer hao uliowataja wewe ni maproducers japo wote wapo niwamoja but Kila mtu na Engle yake hapo

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 года назад +1

    Ila wamekuzidi sasa acha porojo

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 6 месяцев назад +2

    Baba yako amewacha historia ya kukutoa kafara usidharau maskini kwa pesa za upako

    • @Devoboy255
      @Devoboy255 5 месяцев назад

      tatizo la maskin akiambiwa ukweli hataki kujifunza ni matusi na lawama

  • @rajumrecords711
    @rajumrecords711 3 года назад +2

    Kaka Nisher ni kama Mimi Tu huaga naongea ukweli mtupu atakayekasirika mpango wake

  • @allybobsaith
    @allybobsaith Год назад +1

    anaonesha chuki ya hali ya juu sana kama wewe unaona hanscana na wenziwe hawajui kwa nn usitoke akachukua kamera zako na wewe urudi kwenye game udhihirishe kwamba hanscana na wenzie hawajui? Mtu mwenye busara anaona kabisa huyu jamaa nisher anakijiwivu flani hivi acha peng’eng’e onesha vitendo 😎😎😎😎😎 tuziamini hizo statementbzako acha hizo mambo

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 Год назад

    Heeee kumbe ni mdodo wa babiii!!!!Kaz ipo!!!

  • @cleveronlinemedia820
    @cleveronlinemedia820 Год назад

    Sasa kama generation yako ilishapita unapanik nn