OMG ! What a blessing to have HE Mama Suluhu in EAC! May God bless you Mama Suluhu, sisi sote in EAC are very proud of you and pray that God guides you in your leadership.
wakenya jmni ni watu wanastaha na wema sana. Mungu bariki taifa hili jmni..dah nyie Kenya ni watu wazuri jueni hiloo..especially Rais wao Kenyatta. rais anapokuwa mzuri ina-casscade mpaka mtu wa chini kabisa. hongereni Kenya
"Deni la wema hulipwa kwa wema". Wakenya na Watanzania tulishike hilo kwa moyo mmoja. Hongera sana Mh SSH. Sauti ya upole yenye mafunzo mengi. Wananchi majirani tusijerudi tulikotoka tulipane mema tuu.
MashAllah, sina budi kumshukuru Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa kuzuru Kenya nchi yetu. Kiswahili chako kitamu zaidi🙌. Wewe ni Mama wa Kipekee💞. Allah akupe Maisha Marefu na Afya Njema InshaAllah 🙏. Hakika jina lako Suluhu💗 👉 Wewe ndiye utakayeleta Suluhisho kote Africa🌍. Tanzania twawapenda sana nyie ni Ndugu zetu 🇰🇪❣️🇹🇿
Wow may Allah akubariki, akutunze uishi maisha marefu na akuzidishie baraka tele. Suluhu may you always find solutions in everything that you do as your name suggests. You are very humble and kind..I can't get enough of your swahili. You could be my kamusi. Long live mama🤗😘😘😍🤗🙏🤲
Shukran Mheshimiwa Rais kuja kwako na kutuzungumzia ya MUHIMU. Mola akupe afya njema na uongozi mena na kuzidi kutushikanisha sisi Wa Kenya na Tanzania
Mama ni mama tu Hongera sana mh rais wetu kwa kutuwakilisha vyema Watanzania Sisi ni wamoja hongereni sana marais wetu kwa kutuunganisha na kuwa wamoja Mungu awape hekima ya kiuongozi Amen
We need more Mamas as Heads of state. Listening to Samia, it's like listening to my peaceful mum. As a mother, She wouldn't want to see people fighting and dying. Greater Somalia, in turmoil for decades, can try a female Head of State instead of the war lords
MashaAllah Our Mother President Samia Suluhu, your speech made me smile from the start to the end. ooooh My, you such a Brilliant Human being I love you, Mum. Don't look back be Strong and May Allah give you strength to Overcome the Waves of the leadership make you among the ones who will be given shade on the day of Qiyaama Ameen
Mfano mkubwa wa kuwa Rais aliye na heshima kwa wote, hongera mama Suluhu kwa hotuba ya kuchekesha na mafunzo kwa viongozi wengine wenye ubinafsi. Kweli jina lako Suluhu lina sababu kubwa, wewe ndiye Suluhu ya Africa. Hongera mama.
I will ever remember uhuri Kenyatta as the most humble, influencing and respectful leader with a heart to serve even though cartel takes advantage of it.
Wanaelewa sema wajifanya wasomi tu but kuna mda wanasahau kuwa kuna wanaichi wengine hawajui kizungu na hao hawaongei na wananchi kwa lugha ya nchi ni masikitiko makubwa sana
Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan kweli Kiswahili sio Lugha inayotumika Bungeni Kenya lakini wengi wao husungumza Kiswahili chenye Grammar lakini pia Kingeresa kwa Wananchi waliosoma
Other things you have said are ok. But saying mother is better than the father is something ridiculous. Give respect to fathers. Remember God is also the Father
it's a great opportunity to have the first female president in the East African Region. She deserves 'RESPECT' in her entire presidential term. BIG salute President SAMIA
LOVE TANZANIA NAVUNIA KUWA MTANZANIA KUTOKA ZANZIBAR ✌️ MARA HIII ZANZIBAR TUNAONGOZA NCHI YA JAMUHURI YA MUUNGANO NA HAYA YOTE SO MATAKWA YA VIONGOZI BALI NI ALLAH KAAMUA HIVO NA MM NINAIMANI CK MOJA RAIS ATATOKA MOMBASA ONE DAY MUSIKATE TAMAAAA 💪🙏HUYU MAMA HAKUINGIA KWA KUPIGA KURA BALI HIYO NDO KATIBA IMEWAFUNGA WENYEWE MAMA WAONYESHE NCHI HAIENDESHWI KWA CHUKI NA UBEPARI
Hamjakosea bali ni wakati wa kujenga foundation nzuri katika uongozi. Nawaombea kwa Mungu aitunze amani iliyoko Kenya, watanzania tuko pamoja na ndugu zetu wakenya, be blesed
Shida kubwa tulokuwa nayo kenya ni ukabila na ndio kidonda sugu mbaka wa leo tunashindwa kuiponya. Pale tutakapochagua kiongozi bila kuangalia kabila lake bali akachaguliwa kutokamana na sera zake hapo ndo mabadiliko itakuepo.
Kwanza ni wajibu kupanda mbegu za umoja wa kitaifa. Na hili litawezekana pale tu Wakenya mtakapoamua kuwa na siasa za kustahimiliana (kuvumiliana), mjenge generation itakayoona Kenya ni bora kuliko kabila lake, generation itakayoheshimu maslahi wa Mama mwema Kenya kuliko jambo lolote. Kutoka Malindi mpala Thika, Kericho mpaka Voi wote muimbe wimbo mmoja wa thamani ya mama kenya.
MashalAllah, Allah Awape Hekma kuongoza wananchi wote pembe zote za Africa, Allah mlinde Mama Rais Suluhu Tz kwa jumla na Kenya nzima,Ameen👏👏👏👏
OMG ! What a blessing to have HE Mama Suluhu in EAC! May God bless you Mama Suluhu, sisi sote in EAC are very proud of you and pray that God guides you in your leadership.
She is EAC mama God bless you mama 🇹🇿
wakenya jmni ni watu wanastaha na wema sana. Mungu bariki taifa hili jmni..dah nyie Kenya ni watu wazuri jueni hiloo..especially Rais wao Kenyatta. rais anapokuwa mzuri ina-casscade mpaka mtu wa chini kabisa. hongereni Kenya
Enjoying her speech till end...wapi like zake 😍
Nskwambia Yaani raha sana 👍👍
Jjb oiookoopooooq z
"Deni la wema hulipwa kwa wema". Wakenya na Watanzania tulishike hilo kwa moyo mmoja. Hongera sana Mh SSH. Sauti ya upole yenye mafunzo mengi. Wananchi majirani tusijerudi tulikotoka tulipane mema tuu.
Mtaveta wa wapi weye?ama mpare wa wapi? Moshi ama Taveta?
@@Be-Rean wakenya mnaroho mbaya sana
@@ayoubissa977 hata hujui natokea wapi, waanza kunitusi tu. Nani mwenye roho mbaya sasa? Tabia mbaya hio mtandaoni 😂😅😀😃 unatuaibisha
Hotuba nzuri sana, Asanteni Wakenya kwa kutupa heshima hii kubwa
kwa kweli jmni. namuomba Mungu nasi tumpokee rais Kenyatta vivyo hivyo
Darasa la kiswahili. Asante rais Suluhu kwa kutuelimisha sisi Wakenya jinsi ya kuongea lugha ya Kiswahili kwa ufasaha.
Unaeza hama uende huko
@@nyawina3431 limbukeni wakingereza
@@ayoubissa977 Hii lugha yako sielewi. Unasema?
Thank you mama Tanzania kwa kutufanyia ziara yako ya kwanza Kenya let our heavenly master bless you and your country
Amen 🙏
MashAllah, sina budi kumshukuru Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa kuzuru Kenya nchi yetu. Kiswahili chako kitamu zaidi🙌. Wewe ni Mama wa Kipekee💞. Allah akupe Maisha Marefu na Afya Njema InshaAllah 🙏. Hakika jina lako Suluhu💗 👉 Wewe ndiye utakayeleta Suluhisho kote Africa🌍. Tanzania twawapenda sana nyie ni Ndugu zetu 🇰🇪❣️🇹🇿
Wow may Allah akubariki, akutunze uishi maisha marefu na akuzidishie baraka tele. Suluhu may you always find solutions in everything that you do as your name suggests. You are very humble and kind..I can't get enough of your swahili. You could be my kamusi. Long live mama🤗😘😘😍🤗🙏🤲
Very True 👍
Safi Sana Rais, tunakupongeza kwa kujenga Umoja kati ya Tz na Kenya, Tunaamini biashara zitakuwa nzuri ktk nchi zote mbili
I commend you your Excellency Uhuru Kenya for your constant effort to build good relationship with Tanzania
Listening from Tz wapi like za
👇 wakenya
Eloquent, intelligent, humble and full of life. Go mama Suluhu.
@33:50 Lakini wengi wa wabunge wa Kenya walihitaji makalimani ndio waelewe Kiswahili sanifu
@M. Musa sio rahisi kwetu. Kiswahili sanifu lazima itupe shida kiasi. My written Swahili is pathetic.
😘😍
@@musa2843 - Kiswahili ama bila Kiswahili dugu yako ni dugu yako. Wacha Mambo ya KISWAHILI Bwana Tafathali. Ok?🇰🇪☻🇹🇿👍
MaashaAllahu Allahu akubarik rais Samia Mwenyezi Mungu akulinde .. Ameen karibu kenya
Shukran mh rais wetu mungu akulinde na kukuongoza inshaallah👍🇹🇿🇹🇿❤
OMG, charismatic, intelligent and Wise, Samia Suluhu indeed you are solution to EAC trade barriers. Good luck and Godspeed.
Madam Suluhu has all qualities of a leader.God bless you your excellence
John
Johk
,
Alhmduli'llah tunataka Amani mungu awaongoze viongozi wetu Amiin.
Shukran Mheshimiwa Rais kuja kwako na kutuzungumzia ya MUHIMU. Mola akupe afya njema na uongozi mena na kuzidi kutushikanisha sisi Wa Kenya na Tanzania
Tunamshukuru snaa Raisi wa kenya imani yetu sisi Watanzania kwamba tutashirikiana vyema Mungu ibarika Tanzania Mungu ibarika Kenya
Tunashukuru sana
Amen.
Amen.
Amiin yarabb 🤲
Mama ni mama tu
Hongera sana mh rais wetu kwa kutuwakilisha vyema
Watanzania
Sisi ni wamoja hongereni sana marais wetu kwa kutuunganisha na kuwa wamoja
Mungu awape hekima ya kiuongozi
Amen
Perfect👍👍 speech , May God bless you and your country.
Sijawahi kumsikiliza raisi zaidi ya dakika tano uyu mama nimemsikiliza mda mwingi Nina Imani na Samia suluhu hasani
Such an intelligent leader! Wewe ndio Suluhu la Africa mashariki Na Africa Mzima
Mama yupo vizur unafurahisha.Allah akupe afya njema na akulinde na Shari zote za dunia na husda iwe mbali nawe.ameen
That’s my president. Kiswahili safi kweli
Kweli 👌
Thank you mama Suluhu infact I learned something about Kiswahili thank you for your visit to our beloved country Kenya
Mwenyezi mungu atie mihuri kwa hotuba iliyosheheni na kusheheneza. Kutoka kwa MHESHIMIWA RAIS MAMA SAMIA MAMA WA WATANZANI NA AFRIKA . MUNGU AKULINDE.
Hongera Sana rais wetu mama Suluhu Hassan kwa heshima hiyo kutoka Nairobi Kenya. Japhet G4'S Ltd.
Tanzania na Kenya ni Kitu kimoja🇰🇪🇹🇿...Twawapenda sana ndugu zetu waTz
We need more Mamas as Heads of state. Listening to Samia, it's like listening to my peaceful mum. As a mother, She wouldn't want to see people fighting and dying. Greater Somalia, in turmoil for decades, can try a female Head of State instead of the war lords
"..ukiwa mpangaji mpya kwa maeneo lazima ijitaburishe kwa majirani.."..hii ni kiswahili dot Tz hapa..napenda sana..
Allaah Atazidiih kuwatangamanishaaa Kwa u undugu kuelewanaah na kushikamanaah Kwa maisha Milele.
MashaAllah Our Mother President Samia Suluhu, your speech made me smile from the start to the end. ooooh My, you such a Brilliant Human being I love you, Mum. Don't look back be Strong and May Allah give you strength to Overcome the Waves of the leadership make you among the ones who will be given shade on the day of Qiyaama Ameen
Mama Samia twakuenzi Sana hapa Kenya. Urafiki wetu uendelee kudumu kwani umelidhihirisha hilo kwa kuitembelea nchi yetu. Shukran sna.
Heshima na busara imekujaza mamangu! Mola akubariki sana!
Mfano mkubwa wa kuwa Rais aliye na heshima kwa wote, hongera mama Suluhu kwa hotuba ya kuchekesha na mafunzo kwa viongozi wengine wenye ubinafsi. Kweli jina lako Suluhu lina sababu kubwa, wewe ndiye Suluhu ya Africa. Hongera mama.
Usiano wakutuleta pamoja na sio kutufarakanisha asante Mama 🇹🇿 heri na Baraka zikufwate Mgungu akulinde na uongozi mwena.
Very intelligent president…. Her speech!!👌
She's an ebulient leader. I've fully enjoyed her speech .God bless her
Naomba useme kwa kiswahili ebulient
"Uchungu wa kujifungua na uchungu wa maradhi". Maneno yameitimu mafunzo. Nashukuru kwa hii hotuba. 🇹🇿🇰🇪
Kenya 🇰🇪 na Tanzania 🇹🇿 hatutatengana abadan.
Sote tuko pamoja ♥.
Nawatakia kila la kheri. 🙏
Mmh!
Nyie manyang'au pumbavu zenu.
Hongera Sana Raisi suluhu.Mnyenyekefu,hodari na mwenye suluhu kwa uongozi unaofaa.
She looks mature and motherly
Na mtoto wake ni mbunge pia
Yes ooh
& genuine 👍
Very true ✌️
Exactly
She is just too amazing. Its unfortunate Kenya doesnt honor women in leadership
Its coming slowly, lets remain hopeful 🙏
Seriously hawatoshi mboga ... wao ni vita tuu May be mum Reachel Ruto na Wa Ngina
@charity ngilu... @martha karua n @maggy wanjiru "pastors mlijichanganya na kuuza hekima zenu mngekuwa kama Mama Suluhu mwaka ujao....
Bravo mama
Kenya loves you.Keep soaring mama❤❤
Yes 👍
Masha Allah Mungu akubariki sana pia asante sana rais wetu Kenyatta
humility in public diplomacy. ufasaha wa luga na la kunena. God bless tanzania.
Kwa hotuba hii
Nakwenda kuoa kenya
Haya mabint wa kikenya
Like zenu hapa kwa mchumba wenu
Mtarajiwa
Maana nakuja kuoa!!!!!!!!
Hongera mama yetu kwa.spichi zuri
Karibu sana unakaribishwa ❤❤❤
Karibu sana Kenya Ndugu yangu. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu kila kitakachokuvutia na utakachokipata kiwe cha kheri 🤲🤲. InshaAllah
Karibu shemeji. Kuoa Tanzania sisi wakenya tulianza zamani.
@@cristalclear2499 🤣🤣🤣
Waw!! Mama wa Nguvu kweli.🙏🏽🙏🏽
Woow nice speech,,❤️,❤️❤️✌️Kiswahili 💯✔️👏👏👏
Catherine, contact me on WhatsApp please 🙏🙏 +25593073958
+255678511252 for friendship matters
Hongera MHESHIMIWA kukuza mahusiano kuongeza nguvu na hari mpya. 👍
Ino ni mama very understanding...she means well for 🇹🇿 and east Africa at-large...she will be a 2 terms president 🙏
Good
Pongezi kwako mama
Mashaallah mashaallah mashaallah
InshaAllah
If she continues JPM's legacy she might go for 14yrs as she was not elected in this term.
Hongera Raisi wa Tanzania kwa kutambua undugu wetu
Wonderful amazing speech Karibu Kenya Mama Africa 🌹🌹🌹
Tunakupenda,
Mama Rais wa Tanzania
Tuko ponja kenya na Tanzania tutafika mbali 🙏🙏
President uko juu juu sana Allah yuko nawe
I will ever remember uhuri Kenyatta as the most humble, influencing and respectful leader with a heart to serve even though cartel takes advantage of it.
Indeed best humble President,God bless our beloved President Hon.Uhuru Kenyatta.
Good
Hongera Mheshimiwa Rais Samia kwa hotuba yako nzuri. Mungu akubariki.
Fanya kazi mama yetu,tunahitaji ufanikiwe,kuhakikisha,ushirikiano wa nchi mbili,Tz na Kenya!
Kiswahili is a sweet language!!!
Did you taste it😂😂
Yahya lasting ungalijua matamshi,Mashairi Mzaha ungalitoa
Samahani laiti ndio neno
Mama ukimaliza mhula wa uongozi njoo kenya tukupe mingine tano uwe rais .... .mama oyeeeeeeeee..
Masha Allah Allah akuhifadhi Raisi wetu.
Tanzania 🇹🇿 na kenya 🇰🇪 tulikuepo tupoo na tutaendelea kuepoo ........ 😅😅 one love kenyaa
Kweli 👌👍
EAST AFRICAN UNITY. We are one, like if you agree
Asante Madam President Suluhu. Very good policy speech, nime enjoy.
barikiwa sana suluhu! Tunakupenda
Hongera sana dada yetu raisi wa Tanzania
Tanzania na Kenya 🇹🇿🇰🇪💪💪💪
Hope wanaelewa hicho kiswahili...mama nakupenda bure...be blessed.
Wanaelewa sema wajifanya wasomi tu but kuna mda wanasahau kuwa kuna wanaichi wengine hawajui kizungu na hao hawaongei na wananchi kwa lugha ya nchi ni masikitiko makubwa sana
.....na hapo kwenye communication ukabila ndipo unapopata pa kupitia. God bless Tz, Kenya and our beloved Africa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
GOD Bless you Samia Suluhu and East Africa at Large
Maongezi ni mazuri, tunasubiri vitendo. Asante Mama
Nampenda huyu mama na nina hopes kubwa na yeye
Asante MAMA LA MAMA 🇰🇪🇹🇿👏👏👏👏👏👏👏👏
"Wanyama pori wanapatia mimba Kenya na kwenda kuzalia Tanzania" Mmmh! Nimeipenda sana hiyo. Hugo ndiyo Mungu!!!!!!
Thank you Lady president nimependa mazzungumuzo yamana MaM thanks
Samia means,a listener, suluhu means, solutions, ama patanishi, Hassan means ,wema..God knew you mama before you were born. You are a blessing
Mashallah mtoto mariam. Hujambo?
Correct
Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan kweli Kiswahili sio Lugha inayotumika Bungeni Kenya lakini wengi wao husungumza Kiswahili chenye Grammar lakini pia Kingeresa kwa Wananchi waliosoma
Kizungu, Kiswahili 👍
Ameen Mama Na Rais wa Tanzania na pia Kenya Mola akubariki na kukuwezesha katika Uongozi sasa na milele
Tunakupenda bure mama ...mather is better than father..love your nice speech. humble 😍😍
Nakupenda bure mama
Other things you have said are ok. But saying mother is better than the father is something ridiculous. Give respect to fathers. Remember God is also the Father
Wonderful speech...on point...wish u well honourable
Asante sana MAMA Raisi kwa hotuba yako nzuri....Kwa kweli Makufuli yameondoka suluhu ya kutatua mambo kwa uhuru ikabainika.
@ Patrick Mutabari, unamaanisha nini unaposema makufuli yameondoka?
Magufuli alikua diktt na kivuruge
Alitawala kibabe bila kufuata katba
Alijiona yy Nibora kuliko yyt
Ukimkosoa unaishia gerezan
Alifikia kuburi chakusema atakua kiongozi wa malaika huko mbingu
Best speech for mama samia suluhu
I am sure, tutasikia mengi 👍
Hongera mama Saamia mungu akulinde na macho ya mahasidi
Mama kama mama jamuhuli ya muhungano wa tanzania kaziiendelee💪akuna kuludi nyuma mama yetu tunakupenda sana 🙏🙏
@@bigmanfish6346 sijambo...mzima ww
Zeinab vp please WhatsApp
@@زينابوو Mbona hunipi WhatsApp yako
Hakika samia yupovzuri
Keep going Rais Suluhu👍
Twakuombea kila la heri na baraka your Excellency
Hongera mama damia
it's a great opportunity to have the first female president in the East African Region. She deserves 'RESPECT' in her entire presidential term. BIG salute President SAMIA
Nice speech Mama God bless you
This is how diplomacy is done!
MAMANGU Mungu akulinde n akuongoze inshallwah
i have a feeling she will win a Nobel prize for something.
True
Asante sanaa...MAMA AFRIKA....
LOVE TANZANIA NAVUNIA KUWA MTANZANIA KUTOKA ZANZIBAR ✌️ MARA HIII ZANZIBAR TUNAONGOZA NCHI YA JAMUHURI YA MUUNGANO NA HAYA YOTE SO MATAKWA YA VIONGOZI BALI NI ALLAH KAAMUA HIVO NA MM NINAIMANI CK MOJA RAIS ATATOKA MOMBASA ONE DAY MUSIKATE TAMAAAA 💪🙏HUYU MAMA HAKUINGIA KWA KUPIGA KURA BALI HIYO NDO KATIBA IMEWAFUNGA WENYEWE MAMA WAONYESHE NCHI HAIENDESHWI KWA CHUKI NA UBEPARI
Hongereni hatuna chakusema tunafurahi kuongozwa na mama from ZNZBR
Wakwetu mama tunampenda sana atuna uzanzbar wala uzanzbar tunajivunia yeye
Sio maneno ya kuongea haya
@@TheDinhoDesign ALAAAAAAAA UKWELI UNAUMA MKUKI KWA NGURUE KWA BINAADAM MCHUNGU
@@TheDinhoDesign ALAAAAAAAA UKWELI UNAUMA MKUKI KWA NGURUE KWA BINAADAM MCHUNGU
Watanzania twataka tuwaazime Suluhu kwa kipindi kimoja tu anyoroshe nchi yetu na ndugu yake Uhuru. Twampenda sana!
Kiswahili safi kabisa👏........ maybe we need swahili teachers from tanzania 👩🎓
Specifically Zanzibar...
People from the coast we speak perfect kiswahili too
Even myself I'm from there...Mafia Island in Coast Region
All Tanzanians speak best Swahili. All qualified Kiswahili teachers from Tanzania wanaongea Kiswahili sanifu, Safi kabisaaa, sio coast pekee
@@AllyNgwame kuuliza tu dadangu,
Nchi Zanzibar huongea kiswahili?
Hi Mr president uhuru our father and president Samia suluhu God bless all over of the world Amen
Sisi watanzania wengine hatusemi kitu tunaangalia tu bado tunauchungu wa kuachwa na rais wetu kipenzi Rais Magufuli lala salama shujaa wa Afrika
Tulikosea wapi Wakenya jamani?? The kind of leadership that we are getting 🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Ngai noarituhe maiga corruption thii natugiye nawendo naurumwe
Hamjakosea bali ni wakati wa kujenga foundation nzuri katika uongozi. Nawaombea kwa Mungu aitunze amani iliyoko Kenya, watanzania tuko pamoja na ndugu zetu wakenya, be blesed
Shida kubwa tulokuwa nayo kenya ni ukabila na ndio kidonda sugu mbaka wa leo tunashindwa kuiponya.
Pale tutakapochagua kiongozi bila kuangalia kabila lake bali akachaguliwa kutokamana na sera zake hapo ndo mabadiliko itakuepo.
Kwanza ni wajibu kupanda mbegu za umoja wa kitaifa. Na hili litawezekana pale tu Wakenya mtakapoamua kuwa na siasa za kustahimiliana (kuvumiliana), mjenge generation itakayoona Kenya ni bora kuliko kabila lake, generation itakayoheshimu maslahi wa Mama mwema Kenya kuliko jambo lolote. Kutoka Malindi mpala Thika, Kericho mpaka Voi wote muimbe wimbo mmoja wa thamani ya mama kenya.
Makosa makubwa ni kuweka Kabila mbele kuliko taifa