UTACHEKA🤣! LEONARDO KWENYE JUKWAA LA PILIPILI SHOW MOROGORO EDITION TU, KILA MTU HOI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 94

  • @SabrinaWiliam
    @SabrinaWiliam 9 месяцев назад +20

    Alie muona masanja akicheka leonardo alipo ingia tuu kabla ajaanza ongea gonga like hapa😂😂

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 Год назад +5

    Unachekesha na hakika unaweza... great man

  • @danielkidenya7009
    @danielkidenya7009 Год назад +28

    Aliyemwona bro akimwangalia mama kijacho wake tujuane 😅

    • @godfreyzenda9027
      @godfreyzenda9027 7 месяцев назад

      😂Nimehisi atakuwa kijacho yule alivyomuangalia😂

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 Год назад +10

    This guy is very funny😂😂😂, supporting him from +254

  • @shaban6644
    @shaban6644 Год назад +17

    Jamaa anajua then anajua tena 😂, Jokes zake zinahitaji akili kidogo ili uelewe.

  • @LadislausAloyce
    @LadislausAloyce 8 месяцев назад +4

    Upo vzuri bro l kuchekesha cyo kitu rahic wanaosema unarudia rudia awajui nakukubali sana

  • @hawaabdallah499
    @hawaabdallah499 11 месяцев назад +2

    Rudieni ninyi km mnaweza,,,mnadhani mchezo kuandaa jokes🏃🏃🏃

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 Год назад +1

    Weweeeeee!!!! Morogoro tupooooo!!!

  • @jesseruzige2813
    @jesseruzige2813 11 месяцев назад +5

    Hii shoo ilikuwa ngumu sana kwa host, naona audience turn up ilikuwa ndogo ikiwq hv unahitaji comedian makini sana kuamsha vibe😢😢 changamoto zipo kk, endelea kupambana. Leonardo una clever jokes ila unarudia sana mzee. Uko vzr

  • @jeskamasawe
    @jeskamasawe Месяц назад

    Jina la hiyo nyimbo jmn

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Год назад +3

    Leonardo nakukubali .. untajirisha watu .. you need your own special.

  • @IddyboyAbdallah-tq9gt
    @IddyboyAbdallah-tq9gt Год назад

    Nakubal Mzee upo vizur

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 6 месяцев назад

    Vichekesho va akil😂😂

  • @loveisallyouneed001
    @loveisallyouneed001 Год назад +2

    Cameraman kuna sehem kama alikua katarget au mimi tu nafikiria vibaya

  • @JoshuaEdwardMaleko
    @JoshuaEdwardMaleko Год назад +2

    Bro unarudiarudia baadh ya vi2

  • @ben_digital
    @ben_digital Год назад +2

    Taa hazijakaa poa.. Mchekeshaji haonekani

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Год назад +46

    Unatuboa sn unaporudia rudia joks coz cc tunakufatilia kila leo jaribu kua mpya day after day

    • @mr.nonino3629
      @mr.nonino3629 Год назад +17

      kaka kama unavyorudia nyimbo za diamond, rudia na jokes

    • @issackathman850
      @issackathman850 Год назад +4

      hahahaha mbona nyimbo unarudia

    • @Officialboysafi
      @Officialboysafi Год назад +8

      We mwenyewe unarudia rudia Nguo 😂😂😂

    • @minabuelysee8
      @minabuelysee8 Год назад +1

      Hahahaha😂😂😂

    • @jaxjaxon8838
      @jaxjaxon8838 Год назад +3

      Yaah ni sahihi anaporudia inapoteza mvuto

  • @IssaMbilikira-t4x
    @IssaMbilikira-t4x 7 месяцев назад

    LEO UNATISHAA.😅

  • @BestoneMwangailo
    @BestoneMwangailo Год назад +2

    Kakaaa umetixhaaa usirudiee sanaaa

  • @ramadhanirado4191
    @ramadhanirado4191 Год назад +1

    Unarudia sana mzee

  • @GodfreyJoseph-q4x
    @GodfreyJoseph-q4x Год назад +3

    Huyu jamaa noma

  • @FeisalSaid-b3v
    @FeisalSaid-b3v 7 месяцев назад

    Nice

  • @SporaCharles-zt2mn
    @SporaCharles-zt2mn 8 месяцев назад

    Kijana noma sanaaaa ❤

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 7 месяцев назад

    Hiyo ya slaa kwetu haifai

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 7 месяцев назад +1

    😅😂😂🎉

  • @barackamtwange1925
    @barackamtwange1925 Год назад +2

    Hyu ni htari

  • @misheckmrk8848
    @misheckmrk8848 Год назад +1

    Poa Sana 😂😂😂😂😂

  • @BrayoDimpoz
    @BrayoDimpoz Год назад +1

    Unaboa kurudia comedy

  • @stevenluvanza6177
    @stevenluvanza6177 Год назад +1

    Bibi togwa nimemkumbuka

  • @Ernestjacob2023-zx1kk
    @Ernestjacob2023-zx1kk Год назад

    Uko vzur jitaid

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 7 месяцев назад

    Kama playback 😊

  • @shabankagaju4220
    @shabankagaju4220 Год назад +4

    Huyu kijana anajua ila anapendaga kurudia jocks zake ajaribu kujilekebisha

    • @JninjaH2R
      @JninjaH2R 8 месяцев назад

      Hata kuandika hujui alafu una comment

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 6 месяцев назад

      ​@@JninjaH2R😂😂😂

  • @MercyMassawe-ju4uj
    @MercyMassawe-ju4uj 9 месяцев назад

    Mnunulie ww soksi kama umechoka

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 Год назад +3

    Hakuna audience hapo😂😂😂

  • @Alexmajaliwa-zt7vi
    @Alexmajaliwa-zt7vi 8 месяцев назад

    Watu wa dawa umewaonea sio woote wanasema hivyoo

  • @slujinama
    @slujinama Год назад +1

    Nice one

  • @matopacomedian
    @matopacomedian 7 месяцев назад +1

    Niko na content nichek tufanye biashara

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Год назад +8

    Leo umeniboa sn ivi hauna jokes mpya kwl mpk urudierudie jokes?

    • @TomasMvela
      @TomasMvela Год назад +7

      Co kila joke imesikilizwa na kila mtu.....ni sawa na mtu aliyeangalia movie...alafu anahis kila mtu kaiona...acha ambao hawajasikia wasikie....wachekeshaji wapo wengi.....soo unaweza kuwafuatilia ili upate vtu vpya...

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Год назад +1

      @@TomasMvela bro km msanii kila ck anatakiwa awe creative ucmtetee, Yan unapoongelea movie ivi ushawai ona ww muvi ikarudi wa mara ya pili? Movie n moja kila mmoja anaazama kwa wakati wake kwaiyo na joke moja kila mmoja aione kwa wakati wake

  • @reubenizengo4678
    @reubenizengo4678 Год назад +1

    Jaribu kutengeneza jokes mpya unarudiarudia saaana

  • @donardrafael1902
    @donardrafael1902 8 месяцев назад

    ♥️

  • @annasomi3828
    @annasomi3828 10 месяцев назад

    @LEONARDO unapapenda sana MACHAME GOOD

  • @th_14.
    @th_14. Год назад +1

    Mdada 3:48 kasahau style yake ya nywele🙄

  • @Gerrard937
    @Gerrard937 Год назад

    Mbon xku iz unarudia rudia jokes

  • @sylvanjosam3402
    @sylvanjosam3402 Год назад

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @hudhaifaathumani4253
    @hudhaifaathumani4253 Год назад +3

    Jgf

  • @kiezeraalfred4493
    @kiezeraalfred4493 Год назад

    😂😂😂😂😂

  • @bettyfuraha4796
    @bettyfuraha4796 Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Год назад

    Hiyo dini haina mahusiano na kupelekeana moto kwa mama yako mzazi mmmmh hapana umetukosea sana ,muige eliud huyo jamaa anajua kufanya comedy hata ukiwa na wazazi ,watoto mtaangalia wote

    • @JninjaH2R
      @JninjaH2R 8 месяцев назад

      Mnaona makosa tu

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 7 месяцев назад

    umemkosea mama yako