NYIMBO ZA CHRISTMAS (MAJILIO) KWAYA KUU KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA 09/12/2022
HTML-код
- Опубликовано: 23 янв 2025
- NYIMBO ZA CHRISTMAS (MAJILIO) KWAYA KUU KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA
Kwa maoni na ushauri:
Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
RUclips: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com
Hongereni sana kijitonyama choir Mungu awabariki
Hongereni sana kwaya kuu K'nyama kwa uimbaji Tunabarikiwa .
Mungu mwema akafanye wepesi kwa kila aliye toa muda wake kumwasimisha kristo kumwimbia mtoto anayekuja na kuzaliwa kwetu
Hongereni sana Kijitonyama Kwaya Kuu kwa ubunifu huu wa kitaalam katika kuimba nyimbo zenye ufundi mkubwa. Kwa kweli mmetumika Madhabahuni inavyopasa. Mungu awabariki sana
Mwaka huu tunamwomba Mungu carols ziwe juu juu zaidi ya hapa na kumtumiza Mungu zaidi na zaidi
iko vizuri sana hii kwaya
Asanteni sana waimbaji. Sijasikia wimbo wenu wà ni nani anakuja tunayemngojea!!!!
Hongereni Sana Kijitonyama..
HONGERA SANA KWA UIMBAJI MZURI NA WA USTADI.
Hakika Mungu atawapigania
Mbarikiwa mmeimba no vzr mno lainess
Ubarikiwe Dada Lainess, tumekumiss sana
✝️🥰🥰🥰🙏
Hizi nyinbo baadhi zilikuwa kwenye caseti yenu enzi hizo iitwayo BWANA ni wa ahadi. Daaaaah nazitamani mno
Kwaya Kuu Kijitonyama mmebariki Siku ya mapumziko kwangu. Bwana awabariki
Asante.
Amen
tunaomba kwaya kuu ya kkkt usahrika wa kijitonyama mje kkkt usharika wa arusha mjini cathedral mtupe hizo nyimbo
Mungu awabariki sana. Nawezaje kupata copy Jamani.
Bado zinapatikana kanisani Kijonyama.?
Who prayed the organs!.....Dr.Mbilinyi still alive..
32:44