Masele William Maige Nipo marekani jimbo la Kansas nimekulia kanisani kumbe nilikuwa sijaokolewa Maana nilikuwa siujui mkataba wa wokovu wangu .....Pr. Mbaga Ubarikiwe sana na sasa nipo huru kapitia mkataba wa Yesu.
Asante sana Pastor. Yaani kweli tunasoma biblia kijuu juu. Ungeniambia kuna mahali pameandikwa kuwa Adamu niwa Mungu? Mikataba ya ardhi iko wazi ndani ya Biblia duh! Ni kweli tunahitaji kubadilishwa. Hili somo duh! Asante Baba wa Mbinguni unayajua mahitaji yangu. Nilihitaji Chakula hiki leo. Mlinde mtumishi wako na familia yake na timu yake. Vuta wengi kuingia ktk channel hii na kusikia Neno ambalo halichakachuliwi kwa faida ya wahubiri. Utukuzwe Baba; wewe pekee yako
Mungu akubariki mchungaji akujazie palipo pungua nime barikiwa
Shetani umechemsha mimi naenda mbinguni....asante mch kwa somo nzuri MUNGU akubariki.
nimekulewa muhubiri ...Mungu ainuliwe na kupewa sifa
Barikiwa Mchungaji
Tunabarikiwa sanaa,,Mungu azidi kukuinua Pr
Be Blessed Pastor ❤️
Asante Yesu Mwana wa Mungu aliye hai kwa kuninunua.
Asante Pastor kwa kushare siri hii. Mungu aendelee kukutumia
Pastor mbaga napenda sana mahubiri yako.naomba kujua jina LA wimbo huu unao anza katika video hii
Masele William Maige Nipo marekani jimbo la Kansas nimekulia kanisani kumbe nilikuwa sijaokolewa Maana nilikuwa siujui mkataba wa wokovu wangu .....Pr. Mbaga Ubarikiwe sana na sasa nipo huru kapitia mkataba wa Yesu.
Mmbaga umenibariki sanana
MUNGU Bariki kazi hii
Thank you pastor you have realy blessed me this morning .May you and your family be blessed. God bless you for the word.
Amina 🙏 Amina 🙏
Amina somo tamu san
Amen💗
Asante pastor nimekuelewa
Lazima niende mbinguni kwa matendo mema ya yesu
Najikuta naitikia Amina ohh kweli sina matendo mema wala sitaweza. Yesu asante
Amen
Asantee sna Pr kwa mafundisho yenye kuimarisha imani.
hubarikiwe sana mchungaji
Kama watu wote wataingia mbinguni kwa matendo mema ya yesu ule moto wa jehanamu umewekwa kwa ajili ya nani?
Asante mchungaji nakupata vyema mungu asifiwe.naomba kuongezwa WhatsApp group kwa maombi je nifanyeje?
Alléluia
Niabie mahari nitakapo soma
Iri ni pone
Asante sana Pastor. Yaani kweli tunasoma biblia kijuu juu. Ungeniambia kuna mahali pameandikwa kuwa Adamu niwa Mungu?
Mikataba ya ardhi iko wazi ndani ya Biblia duh!
Ni kweli tunahitaji kubadilishwa. Hili somo duh!
Asante Baba wa Mbinguni unayajua mahitaji yangu. Nilihitaji Chakula hiki leo.
Mlinde mtumishi wako na familia yake na timu yake. Vuta wengi kuingia ktk channel hii na kusikia Neno ambalo halichakachuliwi kwa faida ya wahubiri.
Utukuzwe Baba; wewe pekee yako
Ameen
Amen may God bless you pastor,which choir is that plz I love their voice
THAT IS A CERTAIN GROUP FROM NYEGEZI MWANZA
Ukihitaji hizo nyimbo tunazo pia katika choir yetu unaweza pata
@@MahubiriPrMmbaga pst nataka kujiuga na whatsp group uko ya mao mbi
Ameeeen
Barikiwa paster