Huyu ndiye yule mmoja wa wana wa injili aliowateua masihi yesu kristo,kuinena injili na kuitetea bila ya uoga wowote!,ubarikiwe sana mtumishi wa mungu aliye hai hadi ushangae!,,kumbuka kuileta injili ya bwana hapa sirari,,tumekumiss sana dady!!.
Huyu Mtumishi Huwa nampenda sana ,Namfuatili Toka mwaka 1997 Mimi ndiyo nilimfahamuu kupitia nyimbo zake ,Huwa ananibariki sana , mwaka 2001 nafikiri nilionanae Arusha ,Niko Tz ,
ahsante belinda kwa kuniwakilisha, ipo siku nitatoka Iringa Tanzania kwenda Nairobi kumuona mch Kyande nampenda sana akiimba mpaka mwili huwa unanisisimka yaani, ....jina langu likisomwa siku ile nitaimba hosiana nitasema ahsante, baba na mama nikiwaona siku ile...
Apostle Mungu akubariki.! nyimbo zako zina ujumbe wenye Uponyaji. God Bless you... from Arusha Tanzania
Amen this is pure,un diluted gospel
Eliza kutoka kasarani,Nabarikiwa na nyimbo na maubiri sana,God bless you.
Apostle you are a blessing to us, continue with word
The day l watched you preach in ITEN KENYA everything changed in my life .
Ooh be blessed
Embarambamba msanii from Kisii enjoy
Niaje msanii from kisii.
Na upunguze bangi
Aaaaaaa kyande, mziki unaoimba unabariki, unaelemisha na kuburudisha wengi. Mungu akubariki
Nimefurahia sana weka na Mwokozi nakupenda kwa roho moja
nyimbo za ziko na ladha upande wakiroho sana be blessed man of Gos
May God Continue blessing you, Mtumishi,I used to listen to your songs while I was a very little boy🙏🙏
Asifiwe YESU
Baba yetu unatupa ujasili wakusimama na upandi wa YESU kabisa
Barikiwa sana Apostle.
Huyu ndiye yule mmoja wa wana wa injili aliowateua masihi yesu kristo,kuinena injili na kuitetea bila ya uoga wowote!,ubarikiwe sana mtumishi wa mungu aliye hai hadi ushangae!,,kumbuka kuileta injili ya bwana hapa sirari,,tumekumiss sana dady!!.
Amina Mtumishi. Nabarkiwa nkiwa Kenya- ktui
Eunice. Enjoying your songs and sermons from Saudi Arabia
Hae..
Hae..
Huyu Mtumishi Huwa nampenda sana ,Namfuatili Toka mwaka 1997 Mimi ndiyo nilimfahamuu kupitia nyimbo zake ,Huwa ananibariki sana , mwaka 2001 nafikiri nilionanae Arusha ,Niko Tz ,
Mungu akushushie baraka tele mtumishi ya Bwana
Wooow, I was asking when you will get to post another sharing.
tupo pamoja pastor Kyande ubarikiwe sana nipo Tanzania
God bless you apostle Kyande
Amen asante mtumishi wa mungu.
God bless you mtumishi kyanfe kindly play for me wachungaji
First here from Kenya
Watching from Manama kingdom of baharin pongezi Sana Ev. Kyande
May God sustain you and bless your ministry
Baba twende kazi,songa mbele
God continues to bless you and ur family bro🥰💙🙏
Love of word is good
Be blessed more abundantly
Yesu atakupigania
Nice melody
Very true.Still fresh
Powerful sana
Apostle naomba uniimbie nyimbo yako inasema,jina langu likiitwa siku ile...shukran
ahsante belinda kwa kuniwakilisha, ipo siku nitatoka Iringa Tanzania kwenda Nairobi kumuona mch Kyande nampenda sana akiimba mpaka mwili huwa unanisisimka yaani,
....jina langu likisomwa siku ile nitaimba hosiana nitasema ahsante, baba na mama nikiwaona siku ile...
@@Mwl_Sanga wau, kumbe pia wewe unautambua huo wimbo
Wachache wameishikilia injili kwa dhati, Baraka Apostle
Kabisa kabisa
So powerful
Pastor kiande ubarikiwe
Ezekil kasuku kutoka kigoma BWANA WAUZIMA AKUBALIKI SANA
Jaman kyande uko wapi
Amen and amen 🌈🙏
powerful sana
Amen
Apostle Kyande where can one get these songs?
Ulibarikiwa na sauti tamu
Hey son of Africa
Mm nabarikiwa nikiwa mkenya nikiwa saudia arabia.
Ubarikiwe mtumishi......nimekua nikisikiliza nyimbo zako yangu class 3 na ata waleo...na uwa natamani kukuona tu...John pipeline nrb
Kyande I so you 2011 in Nairobi dandora f4 na bado uko tu kijana 😆😆😆😆, nikama ndani ya yesu watu hawazeeki 😂😂😂
Shikilia hapo
Mimi.nimebarikiwa.nikiwa.saudia.yambu
Kyande injili vile ilivyo
Niko Tanzania apostor kyande uko wapi jamani
Wapi nitapata hii Albamu
Yaani you still look the same.wala nini mtumishi
NI ukweli mtupu mtume ujulikane.
mahina
Amen
Amen