Halaf huyu mtangazaji juiz alitoa mawaidha na kukemea machafu yanayofanya na serekali Sasa Leo anafanya nin hebu watu wakae wafikirie wanataka mama zao wakae uchu mbele za watu mbele za wanaume ndio din inavoarisha hiv
@@NassirAliy kwakweli mtihani na ss waislam tumekosa dira wameona unguja wameshaimaliza sasa zamu ya pemba hatukatai utalii ila utalii wenye kuheshimu mila na silka na utamaduni wa ile sehemu sasa utalii wa kwetu zanzibar nibtofauti watu wanaangalia hela tu.Ewe allah tusaidie na utuhifadhi
Mashallah rais wa awamu hii nimfano wa kuigwa kwa maana anajua sana Allah ampe afya njema pamoja na walio nyuma yake amiin
Utalii kwetu ni tatizo Bora tu Ubak uko uko unguja.hatutak Kuja kuharibiwa dada zetu Na majitu Kutoka ulaya
Kuipoteza Pemba
Allah azid kutuma imani y dini ktk kisiwa chetu ila kiukweli tunapotea sas 😢😢
Tumeshapoteza dira ww umeona wapi?
Wamekuja kuiharibu jamii
Halaf huyu mtangazaji juiz alitoa mawaidha na kukemea machafu yanayofanya na serekali Sasa Leo anafanya nin hebu watu wakae wafikirie wanataka mama zao wakae uchu mbele za watu mbele za wanaume ndio din inavoarisha hiv
@@NassirAliy kwakweli mtihani na ss waislam tumekosa dira wameona unguja wameshaimaliza sasa zamu ya pemba hatukatai utalii ila utalii wenye kuheshimu mila na silka na utamaduni wa ile sehemu sasa utalii wa kwetu zanzibar nibtofauti watu wanaangalia hela tu.Ewe allah tusaidie na utuhifadhi
Wameogelea mijani ya mikoko na mikandaa cio ?
Pemba inaelekea kumalizika kwa maadili 😢😢
Kiukweli linapokuja suala la utalii pemba mimi naona ni mtihani mkubwa katika maadili ya dini tukufu ya uislam
Kuzidi shaufisadi
Kuwepo kwa maendeleo sio tatzo lakn tuangalie na hicho kinacholeta maendeleo. Utaliii ni hatari kwa jamii yetu ufisadi ni ukubwa