Herufi J wanaume kuweni makini kwenye haya.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 10

  • @SalumZengula-hu6jp
    @SalumZengula-hu6jp Год назад +1

    Shekhe asante sana naomba utuwekee umakini wa herufi S, muda sasa

  • @jumannenditi196
    @jumannenditi196 Год назад +1

    Unaeleweka vizuri sana na ni mwalimu mzuri sana,kwa sisi tunao kufuatilia tunafurahia uwezo wako wa kuzichambua herufi za majina pamoja na heri na shari zake, God bless you.

  • @KengeJose
    @KengeJose 5 месяцев назад +1

    J ukimpata mwanamke mweny heluf j vip apo mnaweza kuish

  • @zamdahassan7970
    @zamdahassan7970 Год назад +1

    Vipi j akiwa na herufi z

  • @PrinsesChami
    @PrinsesChami 7 месяцев назад

    Heruf j na y zinaenda?

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 Год назад

    ❤❤

  • @josephn765
    @josephn765 7 месяцев назад

    Ashante sana, kwani j na n vinaendana au? Ikiwa j ni mwanaume na n ni mwanamke.

  • @NIUX007
    @NIUX007 Год назад

    Nini Faida ya Kuvaa bangili La shaba Tafadhali

  • @Ledenta
    @Ledenta 9 месяцев назад

    Nataka kujua Elfi j na f

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 Год назад +1

    Na J na M ? Wanasikizana ? Kwa mapenzi? Mbona niko na rafiki yangu Wanapenda mpaka wamenunuwa nyumba pamoja
    Mwanamke ni M na mwanaume ni J