Simba Queens 6-2 Gets Programs | Magoli | Ligi Kuu Wanawake Tanzania - 20/11/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 33

  • @BanjaminRomwadi
    @BanjaminRomwadi 2 дня назад

    Nakubari mupe mauwa yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jobmoffat7844
    @jobmoffat7844 Месяц назад +3

    Elizabeth a girl of the match

  • @PaulAmos-vb1is
    @PaulAmos-vb1is Месяц назад +1

    Ila simba🎉

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 Месяц назад

    Hií TIMU Mungu aibariki iweze kubeba kombe mwaka huu. 👸👸🦁🦁

  • @EliasBonephace-z8b
    @EliasBonephace-z8b 3 дня назад

    Kwakwel Simba queens wako good sana Koo kombe kama kawa

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Месяц назад +1

    Simba Queens ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @lumulyimage4826
    @lumulyimage4826 Месяц назад +1

    Huyu Elizabeth wamoto sana😊

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 Месяц назад +1

    Elizabeth 😂😂❤

  • @festusbokoro1615
    @festusbokoro1615 Месяц назад +3

    Game zavt nazifatilia lakn marefa munaboo Yan offside ya wazi apo BAO la pili na kila mtu anaangalia tu rekebisheni izo ndo mpira utapendeza ,,

  • @MustaphaHasani-u1v
    @MustaphaHasani-u1v Месяц назад

    Simba queens ubingwa wakwao msimu huu hakuna wakupinga

  • @mwalolove1553
    @mwalolove1553 Месяц назад +6

    Safu ya ulinzi bado ttz kila mechi tunaruhusu

  • @MaregesiMafuru
    @MaregesiMafuru Месяц назад +1

    Elizabeth mbwela vibaya

  • @Simonleonad
    @Simonleonad Месяц назад +1

    Kocha naona kama bado hatoshi,Simba ya mgunda ilikuwa inapiga mwingi,lkn huyu mmh haya ulinzi unakuwa hafif

  • @dejong360
    @dejong360 Месяц назад

    Hyo ishara ya Mimba vp

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v Месяц назад

    Mbona gsm hazamini timu za wanawake?

  • @HassanPandu-j7t
    @HassanPandu-j7t Месяц назад

    Magoli yote ya Simba ofside

  • @StephanoCharles-nq8tf
    @StephanoCharles-nq8tf Месяц назад

    Sem simba queen wanakata upepo mapem san

  • @MjiliJames
    @MjiliJames Месяц назад +1

    Huyu wa get queens aliefunga bao la kwanza mbona kama mwanume kabisa hata kukimbia kama mwanaume

  • @AthumaniSimba-ff8bg
    @AthumaniSimba-ff8bg Месяц назад

    Mabeki wa simba wame zidiwa kasi

  • @MikidadiKimilike
    @MikidadiKimilike Месяц назад

    Yanga highlights yake mbona siioni vp azam tv?

    • @AllyHussein-u1m
      @AllyHussein-u1m Месяц назад +1

      Kaangalie kwenye redio

    • @FredyKaitani
      @FredyKaitani Месяц назад

      😄😄😄😄😄🤪🤪🤪🦁🦁🦁​@@AllyHussein-u1m

    • @hajikhamis-od1no
      @hajikhamis-od1no Месяц назад

      Waburuza mkia wataekaje Nani ataangaria

    • @AmeirhajjRamadhan-e1h
      @AmeirhajjRamadhan-e1h Месяц назад

      ​@@AllyHussein-u1m😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

    • @CollimsBella
      @CollimsBella Месяц назад

      Kaangalie kwenye redio, azam haoneshagi huu Utopolo,

  • @rashidkalabi8212
    @rashidkalabi8212 Месяц назад

    Huyu aliyefunga goli la kwanza tumchukue huyu

  • @omaraonasir4361
    @omaraonasir4361 Месяц назад

    Simba queens inabebwa na Harambee starlets

    • @JobuMpembela
      @JobuMpembela Месяц назад +4

      nawee watafte hao harambe wakubebe

  • @EliasBonephace-z8b
    @EliasBonephace-z8b 3 дня назад

    Kwakwel Simba queens wako good sana Koo kombe kama kawa