Duh!! Blue unatisha, uongeaji wako au interview zako . Unaonekana akili inachaji sana mwanangu. Hongera kwa tuzo ulopata badaa ya 20 yrs ndani ya gemu la bongoflava aisee !!!
Wewe mtangazaji wawapi ambaye ujui km raivany n'a blou km walisha himba kwapamoja alafu ule wimbo wa mama watangazaje wachanga kweli ajuwi ata kama walisha himba kwapamoja
Ndio maana huwa nasema watangazaji ni waongo waongo mno pia wanafiki sana, eti reyvan hajawai kuimba wimbo na mr blue 😂 😂 😂, nisiwe mnafiki mke wa mr blue ni mzuri mno kiukweli ila sauti ya chidi benzi 😂 😂 mtoto wa kike unatakiwa uwe na sauti ya kinanda bana
mtangazi huna hakili kabisa… unasema rayvan hajawai kufanya nyimbo na mr blue wala mr blue hajawai kufanya rayvan.. mama la mama ni wimbo ya mr Ebbo na Harmonize!?
Ni sawasawa na kuulizia polisi makofi,,, waaambie,,,,mafanikio kwako bro,,one love
Love rayvanny 4 surpot,,,
Muwe mnauliza sawa
Mama la mama ngoma ya van boy kqmshirikisha Mr blue kua na kumbukumbu vzr.
Nice Chuiii🐅🐯🐯🐯
You are Great!!!! You have beautiful wife!!
Blou akili kubwasana unahongea kihustarabu yani wewe blou mungu akulinde bb
Mtuu wangu sn ✊️
Nimependa sana
Leo niekuwa wa kwanza
PTV presenter I wish ungesomea hii kazi bro hujui kitu kabsaa ungetulia tu wenzako ndo waulze maswali
Chuuuuuiiiiiii foreva🔥🔥🔥🔥🔥
Eti haijawai onekani mr blue kufanya ngoma na Rayvanny uyu mtangazaji muongo sana
Tena mpuuzi sana na inaonekana ameanza leo kufuatilia music leo
Pumbafu zake uyu jamaa eti RAYVANNY ajawai kufanya collabo na Mr Bl
Duh!! Blue unatisha, uongeaji wako au interview zako . Unaonekana akili inachaji sana mwanangu. Hongera kwa tuzo ulopata badaa ya 20 yrs ndani ya gemu la bongoflava aisee !!!
Babu sema ujui walishafanya nyimbo hao
Who sang Mama La Mama???🤔🤔🤔🤔
Rayvanny ft mr bue
Chui ❤
😮 Oya nyie mkiingiaga RUclips andika reyvanny ft baisa tueshimiane
Mke wa mr blue duh so pw
Ww bizzzziiiiii
Abby skills kwa mbali namuona
Huyu jamaa
Wasafi yote watoto wadogo kwa blue
Acha uongo mre blue ananyimbo na Rayvan akiwa wasafi
We mwandishi wa p tv inabid ufukuzwe kazi ,,pumbavu kabsa kabsaa mr blue hajawah fanya kaz na rayvanny?
Mtangazaji hufuatilii mziki 😂😂😂😂
MTANGAZAJI ANDAZI KWLI SASA ALOIMBA MAMA LA MAMA NANI SHEEENZI KWLI😅😅
Mr bru
mtangazaji haufatilii mziki
Ndugu mtangazaji umekosea kusema. Ulisema eti ahijawayi kutokea rayvanny na mr bleu kufanya collabo Si kweli. Wana collabo moja inahitwa ''mama ''
Huyu anaumwa kweli et hawajawah kukutana huyu ni pumbu music huujui
Wewe mtangazaji wawapi ambaye ujui km raivany n'a blou km walisha himba kwapamoja alafu ule wimbo wa mama watangazaje wachanga kweli ajuwi ata kama walisha himba kwapamoja
Unasema uongo ba liimba mama la mama
Hujui unacho ongea
Wamefanya mama
Acha uongo ata kufatilia hufatilii hawana nyimbo ya pmj awo nyama weee
Hapo mtangazaji umetudanganya tafuta wimbo wa Rayvanny_ft_Mr Blue_Mama la mama utajua wamewai kufanya kazi pamoja au hawajawai😂😂😂
Zangu jamani
We jamaa hujui kufatilia mziki kaa ebu afukuzwe kazi
😂😂😂 uyu mtangazaj hajuwi anacho ongeya kbx
Pumbavvv zko mtangazaji mpuzi mkubwa....fuatilia mitandao sio kubwata hujui wa bwatia nn
Mtangazaji kimeo
We Kuma kama hujui vitu kaa kimya rayvanny kakutana na brue kwenye goma zaid ya moja labda tukupe iyo mkundu wako
Ndio maana huwa nasema watangazaji ni waongo waongo mno pia wanafiki sana, eti reyvan hajawai kuimba wimbo na mr blue 😂 😂 😂, nisiwe mnafiki mke wa mr blue ni mzuri mno kiukweli ila sauti ya chidi benzi 😂 😂 mtoto wa kike unatakiwa uwe na sauti ya kinanda bana
Waliimba pa1. Nyimbo ya MAMA LA MAMA. Mtangazaj acha uongo🤣🤣🤣
Amesahau😂
Huyo hajui mziki anajisemea2 vitu havipo mama la maaaa
Uyo mtangazagi ni follow follow 🤣
umexema ukwel kaka
MTANGAZAJI WA BEI NDOGO 😂😂😂
Alikibà shoga tu hatakikusapot
Likes zangu jamani
Waandishi wengine ni puuu sana yani hawajui nawala hawafatiliii eti hawajawahi kufanya nyimbo daaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Waandishi wetu kuhoji mtu Bado sana
Kweli hawajui kuhoji maswali ya maana
Ww nimtangazaji ila huijui industri ya mziki 😂😂😂 ngoma ipo Ray na blue
Ipo wewe mama la mama akutudanganya
Ile nyimbo ya MAMA wewe ndo uliimba na Rayvany..bro do your research well
Acha uwongo Wana nyimbo kibabao
Punguza maneno mengi mama la mama waaliifanya na wewe
Nimweu kweli kweli
mtangazi huna hakili kabisa… unasema rayvan hajawai kufanya nyimbo na mr blue wala mr blue hajawai kufanya rayvan.. mama la mama ni wimbo ya mr Ebbo na Harmonize!?
Ana akili uyu
Watazamaji Wana content na facts kuliko mtangazaji😂😂😂presenter fanya research kabla hujapost...rayvanny wamefanya Ngoma na Mr blue 😂
Wamewaiwi kufnya nyimbo wewe sio mtangazaji bali wewe mtanga
Sasa nyimbo ya MAWE waliimba nani ... Mtangazaji ovyoo
Nyinyi waandishi mnauliza mmaswali ya kijinga saana!!Eti kwa nini hujapewa tunzo really!!!