pov Truck driving Isuzu frr90 Kinungi downhill towards Naivasha.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 6

  • @tobiasochiengoudo3937
    @tobiasochiengoudo3937 5 месяцев назад

    Muko eneo gani niwata fute hata mimi nige tamani munifunze njinsi yakuendesha isuzu ❤❤❤❤

  • @wanguiimmaculate440
    @wanguiimmaculate440 10 месяцев назад +2

    Isuzu frr

  • @jeffwakamu175
    @jeffwakamu175 9 месяцев назад

    Iyo mteremko ndio ilinipee experience vile ya kuteremsha lori downhill 5yrs ago.niliteremsha kama car na mimii ilinishow dust almost passed tense😅😂
    Kwa bahati akuna gari ilinibreakcheck or kuovertake ikakuja kuslow mbele yangu
    Lori iliisha momentum iyo gradient ya mwisho nikastruggle nikaweka kando ya barabara
    Ilikuwa tu inasmoke migu hadi grease cap ikatoka yenyewe juu ya grease kuwa superheated na kumelt kama maji
    Ilipocool nikaingia pale shell nikafanya overhaul ya breaks
    Zilikuwa zimekuliwa hadi zikawacha mabati na karibu bearings zisieze juu ya grease kumelt na seal kuungua
    Since then mi na Lori Kushuka downhill nashuka na Gear 4 ama Ntulele 3 na 2 tu ikidai kukimbia nanyonga na freno kuslow down break ni kwa umbali na ni kuwekelea just for stopping breaks zangu sasa zinaendanga miaka bila overhaul they are rarely used unless coming to a complete stop ama kwa jam.

    • @Subaruleone69
      @Subaruleone69  9 месяцев назад

      Depending na mzigo kabisa... Hio ni. Poa izi Roads Hua na issues mingi Sana 😂 😂 😂 😂