UTENZI WA MAAFA YA MV.SPICE.flv

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 393

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 4 месяца назад +8

    9/9/2024 Allah awafanyie wepes uko mliko Baba i miss u😭😭😭😭

  • @jumasalum1414
    @jumasalum1414 7 лет назад +38

    Nasikitika sana kwan nilipoteza rafikizangu pamoja na mdogo wangu pamoja na waumini wezangu mungu walaze marehemu hao mahala pema pepon amina

    • @fatumamsuya518
      @fatumamsuya518 7 лет назад +1

      Juma Salum Dah
      Dah inauma Sana ila mungu ndo muweza wa yote mungu wasmehe madhbi yao ndugu zangu tuikumbukeni mauti muda wote lazima ulie

    • @talhiyashomar9546
      @talhiyashomar9546 6 лет назад

      Amin

    • @thabitnassoro2929
      @thabitnassoro2929 5 лет назад

      Polee Sana ndg yngu

    • @nusurakajubu8785
      @nusurakajubu8785 5 лет назад

      Amiin

    • @Qatar-vh5ff
      @Qatar-vh5ff 4 года назад

      Amiin amiin yaarab. Mugu awasamehe madhambi yao

  • @nadhifahassan168
    @nadhifahassan168 11 лет назад +22

    Innaalillah wainnaa ilaihi raaajiun.Tupo safari moja Mungu awasemehe madhambi yao na awalaze mahali pema.na waliopona wasiache kumshujuru Allah na ss tuliojionea pia tuschoke istighfar kwa mola wetu kwani hili ni fundisho tumejisahau sana waislam km kila shani ni zake yy M.mungu. Maashallah msomajii wetu umetulia na Mungu nawewe akupe kheir.

  • @mohamedasaa8274
    @mohamedasaa8274 4 года назад +29

    09.09.2020 still watching this tupia like km nawe waangalia

  • @mansurissa4459
    @mansurissa4459 5 лет назад +9

    Utenz mzri mashallah ila nikiuskia nkumbuka msiba mzto ulitufika allah atupe subra

  • @HassanAli-do9iz
    @HassanAli-do9iz Год назад +8

    Still in my mind 9/9/2011 😭😭😭Tumepoteza ndugu zetu wengi Allah awafanyie wepes Inshallah

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 4 месяца назад +2

    Tarehe kama ya leo Na Mwez kama waleo Ilitokea hii Kitu Allah Awajalie Khery katika makabur yao baba Nakukumbuka sana😭😭😭😭

  • @abubakarmohd1650
    @abubakarmohd1650 5 лет назад +13

    😭😭😭 allah ataeajaalia kila la kheyr katika safari yao ya akhera ameen inshaallah🙏

  • @Nassra_alzakwani
    @Nassra_alzakwani 13 лет назад +7

    Mashallah Tabarak Rahamani.
    Utenzi mzuri na uzuri zaidi alivyoulekeza kwa dini.
    Mtungaji pongezi kupita kiasi na msomaji kausoma kwa sauti nzuri na kwa hisia kubwa.
    Walahi umeniliza.

    • @jamilashaabani6406
      @jamilashaabani6406 7 лет назад +1

      Allah atukumbusha ss tunatafuta maisha na mauti yanatutafu allah atupe hatima njema

    • @zuhuramuhanga5400
      @zuhuramuhanga5400 4 года назад +1

      Amatunga mwenyewe huyo msomaji mariam wakigamboni dar

  • @SmokerAli-y1w
    @SmokerAli-y1w 7 месяцев назад +1

    Allah Akbar mungu awape kauli thabit kwangu mm hii 9 -9-2011 sitoisahau maisha yangu mpaka mwisho wa maisha yangu 22:42

  • @firdausmohammad393
    @firdausmohammad393 9 лет назад +11

    Ahhhh huzun lazima lkn ndio ALLAH alivyopanga kikubwa ni wenye kuwa na subra na pia ni wenye kufanya Ibada na pia tuwaombee dua wenzetu waliotangulia ma pia ni wenye subra na mwenyezi mungu kashaahid kila mwenye subra wataingia Pepon lkn ukiwa ni mwenye kufanys ibada

  • @rehemabakari6403
    @rehemabakari6403 6 лет назад +6

    Innallillah wainnallillah rajuun ni miaka 7 kesho tunatiza tangu tuwapotende ndugu zetu m/mungu awaalaze mahali peponi amiiin ,awaepushe na adhabau y kaburi

  • @SaifAli0-fj3oi
    @SaifAli0-fj3oi 3 месяца назад

    Huu utenzi umekwenda shule hongera mtunzi na aliye ghani❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SeekerMaulid
    @SeekerMaulid 2 месяца назад

    Hatutosahau daima ajali hii Allah awafanyie kheri waliotangulia mbele ya haki. 18.11.2024

  • @alawimussa9730
    @alawimussa9730 6 лет назад +21

    Inaniuma sana kila nikiikumbuka hii siku sote niwa m/mungu na sote tutarejea kwake

  • @aishaabdalla7624
    @aishaabdalla7624 3 года назад +2

    Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiun
    Dah ukweli haitosahaulika siku hii m'mungu awajaalie wawe minal-faaizina duniani na akhera

  • @RukaiyaHaji-p6b
    @RukaiyaHaji-p6b 4 месяца назад +1

    😭😭Bado tuna maumivu Allah awape nuru tulitaman tungekua tunadhuru hata makaburi yao lakin hawakuj juu maumivuu yaa Rabby

  • @seifkhatib4512
    @seifkhatib4512 2 года назад +3

    Kila nikikumbuka wallah roho inauma machozi yananitoka allah awape kauli thabit

  • @bintiothmani5369
    @bintiothmani5369 2 года назад +9

    Still in my memory i will never forget this day Ya Rabby 9/9/2011 😭😭😭😭😭

  • @Nassra_alzakwani
    @Nassra_alzakwani 13 лет назад +5

    Dunia twapita tu, kila mtu itafika siku yake ataondoka.
    Mungu kawapa subira na atazidi kuwasubirisha.
    Inshallah Mungu awakutanishe na familia zao katika pepo ya firdausi. (AMEEEN)

  • @kwabijokha
    @kwabijokha 13 лет назад +16

    Alaykum Al Sallam CHIA
    Hakukosea aliposema (kheri na shari ni zake Mola). Hiyo ni katika nguzo sita za imani ambazo kila muislam lazima amini. Kila kitabu na kila madhehebu tunaamini hayo
    Nguzo sita za imani
    --Imani ya Mola wetu na kuamini kua yupo
    --Amini kuna malaika japo huwaoni
    --Amini kuna vitabu vinne, lazima uvikubali Quran, Zabur,Taurat na Injili
    --Amini mitume bila kuwabagua
    --Amini siku ya kiama
    --Amini "qadari", mipango yake Allah kua Kheri zote na shari, zatoka kwake Rabana

  • @mansourabdi7262
    @mansourabdi7262 6 месяцев назад +1

    Allah atujaliye mwisho mwema Isha Allah

  • @SmokerAli-y1w
    @SmokerAli-y1w 7 месяцев назад

    Allah Akbar mungu awape kauli thabit kwangu mm hii 9 -9-2011 sitoisahau maisha yangu mpaka mwisho wa maisha yangu

  • @thuwaybah5679
    @thuwaybah5679 2 года назад +1

    Innallilah wayna ilaihi rajiuun Allah awasamehe makosa Yao ya dhahiri na ya siri na sisi atujaalie mwisho mwema🤲🤲🤲AMIIIN

  • @abdillahdhamir807
    @abdillahdhamir807 3 месяца назад

    Yaallah bihusni khatima😢😭😭😭 7 Oct 2024

  • @shekhajuyah8239
    @shekhajuyah8239 4 года назад +2

    Allah akbar mwenyezi Mungu awarehemu waja wote waliotangulia na tuliobak atupe mioyo ya iman tumsujudie yeye tu

  • @aminamuhammad553
    @aminamuhammad553 5 лет назад +7

    Inahuzunisha saaana kila nikisikia huu utenzi siwezi kujizuia kulia siwajui waloangamia lakini inaniuma ndani ya roho Allah awape kauli thabit

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 6 месяцев назад

      Kabisa niliwahi kufanya fishing game yale maeneo ambapo meli ya mv spice ilizama wakati nahodha ananihadithia namna ya walivyokua wakiokoa watu,alishindwa kuendelea hadi machozi yalimtoka nikajua ni kiasi gani machungu ya ndugu zetu yalivyowapata.

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 3 года назад +4

    Utez huu unaniliza Kila nilisikiliza ila Allah akulipe Kila la kher inshallah Dada yngu

  • @saidsoud5967
    @saidsoud5967 6 лет назад +20

    Dah machozi yanitoka wamekufa mashahidi hawa malipo yao peponi inshallah

  • @rizikiiddi2192
    @rizikiiddi2192 3 года назад +1

    Allah awasamehe na sis atufanyie wepesi

  • @khadujifuad9360
    @khadujifuad9360 2 года назад

    Huu utenzi huwezi kujizuia usilie..
    Walipotea watt 7 ukoo 1.. siwezi sahau..
    Allah atujutanishe soote tukiwa jannah
    Amin 2022

    • @mwanaamour4046
      @mwanaamour4046 Год назад

      Kweli lazima ulie,nimewakumbuka wanafunzi wenzetu walikufa,wengine hawakupatikana,Allah wasamehe uwalipe pepo inshaaallah aaaamin.

  • @fatoo1235
    @fatoo1235 7 лет назад +4

    hii story hatuwezi kuisahau milele😢😢😢😢inauma sana ila kaz y Allah haina makosa

  • @sein.208
    @sein.208 3 месяца назад +1

    Innah lillah Wainnah iley Rajioon
    Allah awalaze pema penye wema wote WALIOTUTANGULIA 😭🤲

  • @nnajmaalsmailiyya
    @nnajmaalsmailiyya 13 лет назад +4

    innaa lillah wa innaa ilayhi raaajiun!!!!! mungu warehemu na awasamehe madhambi yao wote waliofariki ktk ajali hiii

  • @MohamedMohamed-fc7vh
    @MohamedMohamed-fc7vh Год назад

    Allah akuzidishie kheri dada Kwa waadhi,,,unotuzidisha uchaMungu...

  • @mamuuthei-tx2et
    @mamuuthei-tx2et 2 месяца назад

    Nilimpoteza rafiki yangu kipenz hadi leo ni kienda pemba n kuwa mpweke xn wallah sema subra muhimu xn jmn

  • @muhammadabbuujibreel6816
    @muhammadabbuujibreel6816 2 года назад +1

    Poleni Sana watanzania pia Mimi bdo nko na huzuni

  • @tausikhamiss5933
    @tausikhamiss5933 2 года назад +11

    Still in my memory, I will never forget this day 9/9/2011

  • @fatmarashid0005
    @fatmarashid0005 3 года назад +5

    Amiiiiiiiin allah awafanyie wepesi katka makabri Yao na ss atujaalie mwisho mwema wa maisha yetu

  • @kwabijokha
    @kwabijokha 13 лет назад +1

    MashaaAllah
    Mw Mungu akupe kila la kheri msomaji na awape walokufa kweny ajali hii pepo ya daraja la juu kabisa. Na tulobakia Mw Mungu atupe subira na atusameh kwa makosa tunoyajua na tusoyajua. INNA LILAHI WA INNA ILAYHI RAJIUN
    Amin

  • @fatimaf5284
    @fatimaf5284 2 года назад +2

    tare..9.9.2011 ninalilahiwaninali.

  • @sendeuonlinetv7795
    @sendeuonlinetv7795 3 года назад

    Mm machuzi inani mwagika Allah awasamehe ndugu zetu na ss tunakuja hukohuko kama sio leo kesho inshallah

  • @hafidhsaleh9919
    @hafidhsaleh9919 5 лет назад +4

    Inna lillah wainna ilayhim raajiun ALLAH awalaze mahali pema peponi. Kiukweli inauma lkn kazi ya mungu haina makosa

  • @Khadijahissah-h7z
    @Khadijahissah-h7z 4 месяца назад

    Innalillah wainna ilayh rajioun 😢 Allah awajaalie pepo y darja y juu kabisa ndugu zetu walotangulia n sisi atujaalie khatma njema amiin

  • @binesiharuni2609
    @binesiharuni2609 8 лет назад +8

    pole sana kwa mkasa😭😭😭😭😭😭😭 ina uma sana Allah awape subri na utulivu

  • @samsonkipkoechronoh3590
    @samsonkipkoechronoh3590 6 лет назад +7

    abiria lengo lake afike safari yake lakini dah!!!!!!!!!!
    poleni tulobaki twahuzunika.
    mipango ya mungu hii

  • @salilubadi2331
    @salilubadi2331 9 лет назад +15

    INALILAHI WAINA ILAIHI RANJUUN

  • @dickensotiende6649
    @dickensotiende6649 2 года назад

    Inallilah wa inaillahi raajoon mola awape njema shufa waliotangulia inahuzunisha sana now is 11 years.

  • @abubakarkhamis4349
    @abubakarkhamis4349 2 года назад +1

    Dah leo nishakumbuka mbali

  • @IDRISSAHAMAD
    @IDRISSAHAMAD 13 лет назад +3

    Ni utenzi mzuri sana.... na msomaji pia Mashallah. Allah awape kheri waliotayarisha na awajaliye utenzi huu uwe ni kwa ajili yake. Allah awajaaliye waliotangulia pepo na waliobakia SUBRA na Amali njema na atupe sisi Khatma njema. Kuhusu kuwa shari na kheri zote zinatokana na Allah hakuna shaka..... pia Allah mahala mwingi amesisitiza kuwa matendo yetu, hata hivyo, YEYE ndie MKADIRIAJI NA MUAMUAJI. Huu ni msingi Tauwhidi.

    • @rehemabakari6403
      @rehemabakari6403 7 лет назад +1

      Inaniuma sn zaidi ya sn sina mengi ya kusema zaidi ya dua kuwaombea......maana mungu ndyo anajua wapi alipowahifadhi..... allaha awape kauli njema ww pamoja na mdogo wang kwa maana miaka 6 leo tangu mtupotee.

    • @aishaubalozi7088
      @aishaubalozi7088 7 лет назад +1

      IDRISSAHAMAD uteziwa hukumu walajiriba namaliza yatima

    • @fatmasalum1180
      @fatmasalum1180 7 лет назад +1

      tuwe pole wanzanzibar msiba huu ni wote sote

    • @fatmasalum1180
      @fatmasalum1180 7 лет назад +1

      inauma na hatuwezi kusahau

    • @mussakivumbi2930
      @mussakivumbi2930 7 лет назад

      Innalillah wainnailah rajiun,sote twapita tu ktk hii duni,Allah awasamehe na awarehemu,nasi pia Allah atusamehe na aturehemu,,,,..

  • @maryamhesein7284
    @maryamhesein7284 8 лет назад +4

    mungu awaweke pema wote jaman

  • @KipanyaKhamis
    @KipanyaKhamis 5 месяцев назад

    😭😭😭😭nmkumbk Leo so pouwa Allah awasamehe wote waliyo tangulia hiii SKU daa😭😭😭😭😭😭😭🙌

  • @aishaabdalla7624
    @aishaabdalla7624 3 года назад +1

    Allahumma aaammiin ya rabby kwa kila dua iloombwa humu ya rabby
    Kila nnapoisikia utadhani km tukio limetokea jana

  • @mariamkhamisi5575
    @mariamkhamisi5575 6 лет назад +2

    Allah ya Rahamani waughurie maiti wote waliotangulia, amiin amiin yarab.

  • @hanifasilima5560
    @hanifasilima5560 7 лет назад +3

    mungu awalaze mahali pema pepon amina ixhaallh

  • @m-barukhamad2734
    @m-barukhamad2734 6 лет назад +11

    Hicku cto isahau daima ktk uhai wangu 09/09/2011

  • @JohnCage-we6tp
    @JohnCage-we6tp 4 месяца назад

    9/09/2024 nipo hapa natazm hii

  • @nassormohd8820
    @nassormohd8820 5 лет назад +12

    Innalillah wainna ilyh rajiuon...8 yrs now...Allah awarehm waliotangulia n azidi kuwapa subra wafiwa wote, n cc atujalie khatma njema, tijitahd kuwaombea duaa waliotangulia amiin

  • @thuwaibashabani6959
    @thuwaibashabani6959 5 лет назад +2

    Mungu awalaze mahala pema peponi amiin

  • @keyla3641
    @keyla3641 2 года назад +1

    Hii siku kubwa sana kwetu mpaka Leo naona km jana yarabi wasamehe makosa yako ndugu zetu walotangulia

  • @rehemabakari6403
    @rehemabakari6403 7 лет назад +6

    Daaah.....sitaweza kusahau jmn maana nilimpoteza mlezi na mdogo angu akiwa na mwezi tu bora tungepata ata maiti tukazika

  • @AzzaAldahnani
    @AzzaAldahnani 7 месяцев назад

    Amni yarabli 😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲Daima milele sitosahau hiii sku mngu awarehem wote walotangulia na azabu ya moto

  • @zainabomar9139
    @zainabomar9139 4 года назад +1

    Allahu akbar allah awasamehe na awape mema maqam yarrab

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 12 лет назад +19

    UTENZI MZURI LAKINI UNASKITISHA SANA ALLAH ATAWASEMEH WALIOTANGULIA

  • @MariamMohamed-h4i
    @MariamMohamed-h4i 7 месяцев назад

    😭😭😭😭Amina ishaallah 😢😢😢😢😢

  • @kapituomary2344
    @kapituomary2344 2 года назад +1

    Aisee haita sahaulika

  • @rtxwalker
    @rtxwalker 3 года назад +2

    INNALILLAH WAINNALILLAHI RAJIUN

  • @JokhaKhatibu
    @JokhaKhatibu Год назад

    Munguu awalaze mahala.pema peponi ni tukio lisilosahaulika ,lilitukumba wapembaa 😭😭😭

  • @yusuphmalolo4792
    @yusuphmalolo4792 2 года назад +1

    Mungu awalaze Mahal pema peponi

  • @mdroman6547
    @mdroman6547 5 лет назад +2

    HII.TAREHE.9.9.2011.SITAISAHAI.KATU😢😢😢😢😭😭😭😭

  • @AtinaMukhtar-mr8yo
    @AtinaMukhtar-mr8yo 11 месяцев назад

    Haifiki wiki lzm niusikiliz utenzi huu😭 sijawah kuach kulia🥺😭 haitapona kovu hii😭😭 Allah awasameh makosa yao🤲😭

  • @mansourabdi7262
    @mansourabdi7262 6 месяцев назад

    Allah awape Kauli thabiti

  • @nasrajaamaguled1255
    @nasrajaamaguled1255 6 месяцев назад

    Natamani kulia😢😢😮

  • @RukaiyaHaji-p6b
    @RukaiyaHaji-p6b 4 месяца назад +2

    😭Familia yangu watu 5 na mmoja ni mja mzito anakuja nyumban kujifungua hakuja juu hata mmoja maumivu Yaarabby wape nuru ukatukutnishe tena kwa furaha

  • @lutfiamohd3493
    @lutfiamohd3493 7 лет назад +10

    9/9 never forgotten ...allahuma ghfirlahum warhamhum waskanahum filjanna.... today its 7.years

    • @aymanabdullah9496
      @aymanabdullah9496 6 лет назад +1

      amiin

    • @kanoa645
      @kanoa645 5 лет назад +1

      Inna lillah wainna ilyh rajiun, kila nisikiapo utenzi huu hushindwa kujizuia machozi yananitoka. SUBHANALLAH

    • @nasrahaji2197
      @nasrahaji2197 5 лет назад +1

      Death is inevitable .... Ameeen Yarab 😭

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 7 лет назад +1

    Innalillah wainnailaih rajiun Allah awasameh makosa yao haiwez kusahaulika ck hii Mana Si maskhara mama na watt au mama na watt na baba (Allahu akbar) huu ni ukumbusho tosha

  • @ashasuleimani2057
    @ashasuleimani2057 2 года назад +1

    Mungu awape kaul thabit innalillah wainnailayh rajiun 😭😭😭😭😭😭😭

  • @MariamMohamed-h4i
    @MariamMohamed-h4i 7 месяцев назад

    Nikweli😢😢😢😢

  • @zuchumamy8875
    @zuchumamy8875 2 года назад +2

    Allah awarehem 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @allykhamis6738
    @allykhamis6738 3 месяца назад +1

    Allaah awarehem

  • @fatimaf5284
    @fatimaf5284 2 года назад +1

    mungu atakujaliya salama

  • @RashidiSuleymankiluu
    @RashidiSuleymankiluu 3 месяца назад

    Allahu Akbar😢

  • @atfatnassor4393
    @atfatnassor4393 5 лет назад +2

    😢😓😭😭😭😭😭😭😭يارب حسن الخاتمة😥🙏🙏

  • @mtzmtulivu
    @mtzmtulivu 11 лет назад +1

    hili shairi limenikuna si utani.Huyu mshairi anafahamika au?Kipaji anacho na hongera kede kede kama nimemnunia vile nampa.Thank you for putting this up.Thare is a lot to be thankful for in this world even when we are dirty poor.Having the ability to push air in and out of our chests is all the wealth we ever really need.

    • @sheikhasalim1190
      @sheikhasalim1190 5 лет назад

      Anajulikana anaitwa Mwana. Akikaa kigamboni dar es salaam

  • @saharasheekh5073
    @saharasheekh5073 3 года назад

    Innalilahi waina illayhi rajiun.mwenyezi mungu awape kauli dhabit wote walio tangulia mbele ya haki amin 🤲🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭😭

  • @azizamohammedsaid3753
    @azizamohammedsaid3753 3 года назад +3

    Allahu Akbaar😭😭😭😭💔

  • @khadijamasoud7261
    @khadijamasoud7261 2 года назад

    Innalillah wainna ilayhi rajiun.
    Subhallah

  • @allymohamedi991
    @allymohamedi991 5 лет назад +1

    Mbona me nalia tu hata nashindwa kusikilza linalo ongelewa yaumiza Wallah Sote twarejea kwa Allah dunian twapita tu Allahu Akbar

  • @kanoa645
    @kanoa645 2 года назад +7

    Kila nisikiapo utenzi huu, lazima machozi yanibubujika, subhanallah

  • @nahdamohammed6201
    @nahdamohammed6201 3 года назад

    leo ni mwaka wa 10 tokea wametutoka ndugu zetu Allah awajaalie pepo na awasamehe zambi zao inshllh 😭😭😭

  • @aliidrisaxmad5169
    @aliidrisaxmad5169 4 года назад +2

    Siwezi kusikia najikaza nimi pango ya Allah

    • @asmarashidsaidsaid3818
      @asmarashidsaidsaid3818 3 года назад +1

      Hata usiseme ndgu yangu sitosahu mpk naingia kaburi ,Allah amsamehe mume wngu akhera alipo ilikua ndio kwnza biharus hata syajui machungu ya ndoa najua ndoa ni Raha tu ukaniacha kipenzi sitosahu

  • @naimahassan7386
    @naimahassan7386 7 лет назад +3

    inailah wainailah rajiunah
    Alhamdulillah a'alakul hal
    qadarallahu wamashaa fa'alla

  • @rehemabakali494
    @rehemabakali494 5 лет назад +2

    Huu utenzi mwenye nao naomba

  • @OmaryDanga
    @OmaryDanga Год назад

    Safi sana utenzi

  • @annayunus9764
    @annayunus9764 Год назад

    🥺😭😭😭😭 Mungu atunusuru jamani dah

  • @zanzimaore2148
    @zanzimaore2148 12 лет назад +2

    salam zanzibar je suis triste pour cette catastrophe mes ont vas les voir au paradis

  • @muhammadjabbir8857
    @muhammadjabbir8857 8 лет назад +6

    INNA LILLAHY WAINNA ILAYHY RAAJIUUN

  • @MariamMohamed-h4i
    @MariamMohamed-h4i 7 месяцев назад

    Amina ishaallah

  • @shamsahassan2586
    @shamsahassan2586 5 лет назад +2

    mungu awarehemu ndugu zetu

  • @Baynumberonee
    @Baynumberonee 6 лет назад +1

    Mungu atuepushe tuliobaki nvifo vyapamoja kamahvi