Huyu ndio mmiliki wa Gugu Beauty Salon, alivyoanza utashangaa, ana wateja balaa! Hii ni siri yake
HTML-код
- Опубликовано: 14 окт 2024
- Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.co...
Huyu dada anajali hata wale walio nyuma yake si wa kawaida ana roho wa Mungu ndani yake, wengine wamebarikiwa ila hawawajali watu wanao wafanyia kazi, be blessed more and more - ameeeen
So inspirational 🎉nimejifunza uthubutu ndo kila kitu Kama unawazo lako kuliko kulifungia ndani we thubutu hujui ni Wazo lipi litakutoa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ninavyo waza kupambana kufungua kitu changu kumbe nita weza ngoja nikaze
Gugu ni mrembooo alafu anaongea vizuriii
Mungu azidi kukubariki ktk biashara zako
Ni hivi unapotaka kufanya jambo njema usimwambie kila mtu sio vizuri ya takiwa ufanye kila kitu kwasiri ,nime jifunza mengi kupitia huu dada
Safi sana Anna. Ni muda sahihi kukuona na strategies zako ni kabambe. Hongera sana
Napenda rafiki yangu awe mwajuma jaman usimuache ata akuuzi vipi nirafikibwa kweli
Njoo UK @gugu beauty utapata sana
Kabisa dear very soon
Ohooo my dear tunasuka sana ila connection za mbele hatuna tunaomaba msaada wenu
Very nice interview. Dada have you ever thought of opening a beauty school? Think about it. Just a recommendation. Diversify your brand. You would be great. The sky is the limit.
thanx dear ila beauty shool ipo dear nimesahau tu kuitaja ni @gugubeauty_trainingcentre
Hii ndio interview sky m2 anajitafuta mwenyewe anaanzisha biashara kwa hela yake sio biashara ya family au capital kapewa na wazazi
Ni kweli unachesema karibu sana 😊
Ooh My God!, wow , price-skimming Strategy… mfano wa kuigwa, big up sana sister, & thank you always Bro kwa kutupa productive Interviews.. Gid bless you 🙏🏾
Safi sana nimekupenda bure gugu wangu
Gugu nilijieleza hukunielewa nilipokuwa na matatizo ila yote yalikuwa ya Mungu...ila una roho nzuri. Na pia leo nimekuelewa leo
Nime furaia sana mahojiani yako na uyu dada tena dada ana ongea kweli ya kumfanya mtu asiogope majaribu ata akianguka malangapi
Na penda sana sauti ya huu mtangazaji
Mwanzo mgumu dah😢
nimekupenda bure
By the way ukwel tunavo vyakuelezea ila tu hatuna nafas
Hii interview ntaiangalia kila mwezi hadi nijione sehemu
Nimeipenda iyo naomba kujua hao wadada anawalipa mshahara au wanajilipa wenyewe
Daah nmekupenda dada gugu naomba namba ako bas
Hivi hakuna interview ya watu wanaopambana , ila bado hawajajipata? Naona interview nyingi dunia, waliojipata tuu
Wanaleta waliojipata ili tujifunze ,wasio jipata watatuvunja moyo
Utajifunza nini kwa ambao hawajajipata, hao ambao bado hajajipata saiv tutawaona baadae wakijipata
Hahaha
Mwanzo mgumu ila yajayo yanafurahishaaa
duuuuuuhhhh waaaaooooh
Huyu dada mbona sauti yke ni kma yule mwenye hu advice jinsi yaku care nywele kwa tiktok na ako na saloon,she might be the one kma sikosei
Gugu nakuelewa sana. Mungu akuzidishie
Kuna watu wanakojoa pazuri😢
Biashara n kuni2ma na kuto kula kula hela hovyo utajikuta kijijin 😂