Sija kusikiliza lakini kwa sababu unaleta fitna Sina ata mda wa kukusikiliza piga porojo tuh apo Shekh Othman Allah akupe umri mrefu wenye mafanikio tele,
Leo nimegundua kitu kua kuna kitu umekielewa wewe shafy maana zamani ulikua unasema kua mnamgawa mungu ni shirki lakini leo umeelewa kua tawhid sio mungu, tawhid ni ilmu hivo sibidaa kuigawa ilmu, hata vitabu vyenu mumeigawa tawhid
Mimi hushangaa sana na mtunkama.huyu....Sasa maana ya yeye kuwa amesoma iko wapi kama hawezi kutambua jambo kama hili....Iliyogawanya ni elimu....katika kuifafanua ili waislamu na wajue kuisimamisha tauhiidi....Sio kwamba Allah amegawanywa....Wao hawawezi kukubali hili kwasababu kuna mawalii wao wanawafanyia aina za ibada....walipofafanuliwa tauheed kwamba inawalazimu wampkwekeahee ibada Allah peke yake...ndio wakaja na mbinu hizi....Sasa ujinga wa mtu kama huo hauna dawa ila ni kumwaacha aelekee aliko elekea....Yeye anataka akisema Allah nimoja aachwe na watu wamwiitakidi kwba ni.muislamu na huku anaomba makaburi ya masharifu wakisema wanatawasali.....
Mm nilichogundua hawa jamaa wanachuki t hawazungumzii dini ata uwape aya hatopingana na aya watakwambia hawa mawahabi hawa mana sijajua kajib nn kwann zile aya wasirudie wakatufundisha lakin wanabaki kutoa kashfa t
We dogo tulia, utaweza kushindana na haki ? Zama hizi masufi Mambo yenu waislam tushayajua, mmetuchezea akili kwa mda mrefu ila siku hizi mmejificha kwenye matembele, tawhid ni tatu acha ushabiki, mmeshaulizwa Mambo mangapi katika Surat Maryam Aya 65 tumeambiwa Afanyiwe Allah peke yake? ila hamjibu chochote imebaki kutoka povu
Unaonekana unachuki tu na Ibn Taymia ila mbona, Shekhe Annawawy amegawanya kabla ya Ibn Taymia. Then kigawanyo cha Tauhiid sio Bidaa kwan Tauhid ipo zaman ila Vigawanyo ni miongoni mwa kurahisisha kuabud tu ni sawa na kueka nguzo za swali, Mtume amegawa? Hii ni njia ya kufanya wepesi wa Ibada na ufafanuzi wa Ibada tu, Tauhid sio jambo jipwa.
Sija kusikiliza lakini kwa sababu unaleta fitna Sina ata mda wa kukusikiliza piga porojo tuh apo Shekh Othman Allah akupe umri mrefu wenye mafanikio tele,
Watakiwa umradi bachu sio othmani maalim hebu mfahamu alivyo sema shekh othmani
Ilmu isyo manufaa.
Leo nimegundua kitu kua kuna kitu umekielewa wewe shafy maana zamani ulikua unasema kua mnamgawa mungu ni shirki lakini leo umeelewa kua tawhid sio mungu, tawhid ni ilmu hivo sibidaa kuigawa ilmu, hata vitabu vyenu mumeigawa tawhid
Mimi hushangaa sana na mtunkama.huyu....Sasa maana ya yeye kuwa amesoma iko wapi kama hawezi kutambua jambo kama hili....Iliyogawanya ni elimu....katika kuifafanua ili waislamu na wajue kuisimamisha tauhiidi....Sio kwamba Allah amegawanywa....Wao hawawezi kukubali hili kwasababu kuna mawalii wao wanawafanyia aina za ibada....walipofafanuliwa tauheed kwamba inawalazimu wampkwekeahee ibada Allah peke yake...ndio wakaja na mbinu hizi....Sasa ujinga wa mtu kama huo hauna dawa ila ni kumwaacha aelekee aliko elekea....Yeye anataka akisema Allah nimoja aachwe na watu wamwiitakidi kwba ni.muislamu na huku anaomba makaburi ya masharifu wakisema wanatawasali.....
Mshia na Tawhiid wapi na wapi.
Mm nilichogundua hawa jamaa wanachuki t hawazungumzii dini ata uwape aya hatopingana na aya watakwambia hawa mawahabi hawa mana sijajua kajib nn kwann zile aya wasirudie wakatufundisha lakin wanabaki kutoa kashfa t
Hatujibu pumba lete dalili ya utatu
Wewe ushaona wakifafanua ile aya iliyotolewa na Bachu...?...
Wewe waheshimu wezako hata ww hujui kilakitu ukamilifu niwamwenyezimungu ngoja nikufundishe na ww ukitaka kumnasihi mtu unaenda kwake siomitandaoni hukupata malezi yakiisilami
WATU WAMESHAAMKA HAMUEZI TENA KUAPOTOSHA
We dogo tulia, utaweza kushindana na haki ? Zama hizi masufi Mambo yenu waislam tushayajua, mmetuchezea akili kwa mda mrefu ila siku hizi mmejificha kwenye matembele, tawhid ni tatu acha ushabiki, mmeshaulizwa Mambo mangapi katika Surat Maryam Aya 65 tumeambiwa Afanyiwe Allah peke yake? ila hamjibu chochote imebaki kutoka povu
Wee shia huna ishu
Sasa wewe bwana mdogo uko Hadi Kwa mashia 😂so😂😂 we ni shia pia
Unaonekana unachuki tu na Ibn Taymia ila mbona, Shekhe Annawawy amegawanya kabla ya Ibn Taymia. Then kigawanyo cha Tauhiid sio Bidaa kwan Tauhid ipo zaman ila Vigawanyo ni miongoni mwa kurahisisha kuabud tu ni sawa na kueka nguzo za swali, Mtume amegawa?
Hii ni njia ya kufanya wepesi wa Ibada na ufafanuzi wa Ibada tu, Tauhid sio jambo jipwa.
Ko Imam Nawawy ndio dalili ya utatu au ndio dalili ya kisheria ??
Sasa wewe kafiri unalipi la kufundisha kwanza silimu uwe muislamu halafu ndo uradd watu wewe mwenyewe kafiri
Chuki zawaz kabisa ww unasema aloanzisha aqsam tawhid ni nimtu mwengne kabisa huyu alokuja kusoma ibn taymia ndio mkosa kweli!! Kisa wahabi ww vp
Wewe Shafi yatakiwa uwe na adab hukufaa kumradd Sh.Uthman Maalim yeye alizumzia tawheed kamil sio aksamu tawheed wala hakubaliani nalo hilo.
Vp ndugu othmani mwalim ni mtu mwepesi atafanyiwa ruddudi na vijana mpaka wa ibtiddaiyyah kwani yeye nnani