Mashahidi waeleza Mahakamani Manji alivyopimwa Mkojo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 авг 2017
  • Leo August 22, 2017 Mashahidi wawili akiwemo Naibu Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Ofisa wa Polisi, Ramadhan Kingai wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi Mfanyabiashara Yusuf Manji alivyopelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.

Комментарии • 202

  • @silwanosihha4394
    @silwanosihha4394 6 лет назад +21

    Kla lenye mwanzo lenye mwanzo lna....M/Mungu nakuomba mfanyie wepes Yusuph Manji

  • @hamisisheby8678
    @hamisisheby8678 6 лет назад +3

    inauma sana japo me ni masikini lkn anachofanyiwa manji Mungu anawaona

  • @josephmwakabungu8385
    @josephmwakabungu8385 6 лет назад +4

    Sikubaliani na mwenendo wa kesi ya manji,Mahakama tendeni haki kwa mtanzania Manji. Ni watanzania wangapi wanaadhirika kwa sbb ya boss wao?Manji ameajiri wafanyakz karibu 6000,jmn tulitazame na hili plzzzzzzzzz

  • @yusraalsein3274
    @yusraalsein3274 6 лет назад +2

    pole manji mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema atafanya njia pasipo na njia

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 6 лет назад +25

    Namuonea huruma huyu baba mie jmn dah mpka naumia kila nimuonapo Allah namfanyie wepesi yaishe yani

    • @luvangaluvanga2322
      @luvangaluvanga2322 6 лет назад

      sasa anafanana na marehemu Saddam husseyn kipindi anapokamatwa.

    • @sadakilona5031
      @sadakilona5031 6 лет назад +2

      Lail Meeea ...amina mm mpk natamani kulia jamani pole ndugu kaka

    • @mussashabani3345
      @mussashabani3345 6 лет назад +2

      +Sada Kilona mateja wamejaa mtaani mungu atamsaidia

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 6 лет назад

      mussa shabani ongea sana

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 6 лет назад

      Lail Meeea hata mimi nalia tu MUNGU ni mkubwa yataisha

  • @bakarininga6052
    @bakarininga6052 6 лет назад

    hivi manji ana makampuni mangapi ambayo imewaajiri watanzania na kuendesha maisha yao je ni kodi ngapi analipa Kw maendeleo ya nchi hii,, tuko nyuma ya wakati nw ana Baba wa watu hana dhaman ndani ya nchi hii mungu amwongoze amalize salama though inaonekana ina ugumu wake it's god hand amen

  • @salumkibwenzi515
    @salumkibwenzi515 6 лет назад +1

    omba mungu ndg yusuph manji yataisha na utabaki salama

  • @piusdmmosamba600
    @piusdmmosamba600 6 лет назад

    mungu amsaidie Yusuph Manji maana sidhani kama ana hatia ,anaonewa tu mungu yuko pamoja nae yatakwisha hakuna mkubwa zaidi ya aliyetupa pumzi naumia sana pole Manji

  • @aminasoud7797
    @aminasoud7797 Год назад

    Inshallah na ramadan ipokewe duwa hii Kama hukuwa na hatia malipo ni hapa hapa dunian utasahau yote

  • @marryjhon3768
    @marryjhon3768 6 лет назад +2

    Lia na Allah manji ndio suluisho lako Tanzania Hakuna haki pole sana

  • @jamalselemani9931
    @jamalselemani9931 6 лет назад +2

    jamani mmempiga picha ngapi waandishi? kacha,kacha,kacha hadi nmetoa earphones

  • @restynjau2740
    @restynjau2740 6 лет назад +8

    Duh Mungu amsimamie yataisha tu

  • @veronicasarvatory9516
    @veronicasarvatory9516 6 лет назад

    Mungu hufanya njia paspo na njia yataisha tu. Pole Sana.

  • @ramadhanitokwete8069
    @ramadhanitokwete8069 6 лет назад +1

    mungu akusimamie yusuph mehboob manji na hao wote wanaokufanyia maovu malipo yao hapahapa duniani na watakufa dhariri🙏🙏🙏

    • @rashidimau5814
      @rashidimau5814 6 лет назад +1

      Mungu njoo utuchukue tu maana hapa duniani hakuna jipya tuondoe ulete wengine tu.

    • @carrenkapia3921
      @carrenkapia3921 6 лет назад

      Rashidi Mau nmecheka had kulia et Mungu aje atuchukue!!! Dah kweli tz nzma wamemuona manji tu jmn!!!

  • @sankaelizabeth8718
    @sankaelizabeth8718 6 лет назад +1

    mungu atawalipa wanaomwazia manji vbaya

  • @asmahmohamedy407
    @asmahmohamedy407 6 лет назад

    Allah amfanyie wepes

  • @yusuphsamwel7949
    @yusuphsamwel7949 6 лет назад +4

    Kumbuken pia manji amesaidia Tanzania kias fulani, kwani nini sasa mnafanyia hivy

  • @abubakarissaissa3391
    @abubakarissaissa3391 6 лет назад

    Mungu mfanyie wepec manji inshallah yataisha kwa uweza wako

  • @stawakhan4341
    @stawakhan4341 6 лет назад

    Inshaa llaahh kwa Yataisha Tu kwa Uwezo wa Allaah

  • @omarinhomoudy
    @omarinhomoudy 6 лет назад +1

    Siamini ninachokiona, ila Ipo siku nitatambua ukweli. Mungu fumbua upeo mkubwa wa macho yangu..

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 6 лет назад

    Mungu anawaona

  • @mokhimji
    @mokhimji 6 лет назад

    Tumwombe mungu amzidishie Hekima bwana Yusuf kwa hayo yote anaepitia. Maishani mara zingine ni muhimum kalamba matope ila ujue umetokea wapi. Hayo yote yatamfanya awe Mtu na ufahamu zaidi, muda uta pita tu, muhimu ni utafikaje kwa bwana mbinguni.

  • @sarahnsama2922
    @sarahnsama2922 6 лет назад +2

    Kanifanya nikumbuke kesi ya babu seya,hivi imefikia wapi hio kesi jaman,Maana nahis kichwa kuniuma.

  • @issakapemba6115
    @issakapemba6115 6 лет назад

    mungu msaidie yusuph manji jaman

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 6 лет назад +1

    Manji Mungu akitangulie Ila nimeamini siasa mchezo mchafu sanaaa,TZ NZIMA WAMEGUNDUA WEWE PEKEE MBONA WENGINE WALIWAPA
    RUHUSA NA DHAMANA NA KUTOA M 10 KILA MTU WHY MANJI TU? Walikuwa wanakutafuta tuu hawa reason hukumsapoti katika uchaguzi ukamsapoti LOWASSA yani uongozi wa visasi una mwisho wake Na hizi nilaana katika nchi Ndiomaana mambo hayaeleweki katika nchi kwa roho za kuumizana bila sababu,swali sawa wanadai manji anavuta unga WHY WENGINE WALIOTAJWA NA KUKAMATWA NA UNGA WALIACHIWA TENA KWA FAINI YA M10 ?tuache visasi RULE # 1 ya uongozi ni KUA POSITIVE wanaowaumiza vijana wavuta unga nchini hawakamatwi Ila Huyu mnaedai anavuta mnampa mateso bila Sababu zisizoeleweka sheria kazi Yake nini ?zipo tusichokielewa WHY ONLY WEMA SEPETU NA MANJI kila Leo mahakamani? FUMBO WAFUMBIENI WAJINGA WEREVU WANAELEWA tuache chuki Alafu MUNGU MUNGU NYINGI mnadhani anapenda anawanagalia tuu kibao chake ni kimoja dk moja siku moja lakini kina effects ya miaka yako yote WHY ONLY WEMA NA MANJI KUBURUZWA MAHAKAMANI KILA LEO? Na kunyimwa dhamana ?duniani ukishakua mtu wa vinyongo tuu ata mambo unayofanya hayaeleweki wala kusonga ,sasa kesi za watu Wa unhappy wote makonda Hana mentioned why only ya manji?wao ndio wavuta unga tz nzima Na why mnawakatalia dhamana ?

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 6 лет назад

    maskini kafanyishwa kazi naona anajinyoosha mungu atakusaidia baba ang

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 6 лет назад

    Inshaallah yataisha tu akuna lizilo kuwa na mwisho ipo siku atafarijika inshaallah

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 6 лет назад +3

    Kwa staily hii Tanzania itakua nyuma maisha na maisha,yaani ni chuk,ubaguzi na ukandamizaji tu,kwa lipi kubwa hata mumdhalilishe huyo mtanzania au kwa sababu ya rangi yake na kabila? Basi mujue Allah ndie hakim muadilifu.

  • @mawaidhayetu7723
    @mawaidhayetu7723 6 лет назад +2

    Millard huyu reporter wako chenga hajui kutofautisha L na R

  • @josephmalisa3432
    @josephmalisa3432 6 лет назад +1

    Hivi ninyi waandishi wa habari na watangazaji hamoni aibu kutoweza kutofautisha 'R' na "L" kwenye maelezo yenu????? hicho ni kiswahili gani? mnatoa mfano gani kwa wale waonawasikiliza. ONENI AIBU SANA TENA SANA.

  • @janekimaro7952
    @janekimaro7952 6 лет назад

    Roho ya kulipiza kisasi na ufisadi ndani yake ndio matokeo ya haya yote. Mnataka kudhulumu ila maneno matakatifu yanasema Isaya 33:1 Ole wako uharibue wala hukuharibiwa utendae kwa hila wala hukutendewa hila, utakapokwisha kuharibu utaharibiwa wewe utakapokwisha kutenda kwa hila wao watakutenda hila. Ufunuo 13:10 achukuae mateka atachukuliwa mateka na auwae kwa upanga atauwawa kwa upanga hapo ndipo tumaini na subira ya watakatifu. kisasi ni juu ya Mungu. Mungu akufanyie wepesi ktk hayo unayoyapitia Baba Manji. Naamini umefanya mema mengi ktk serikali yetu Mungu akupiganie.

  • @daelizakevy5896
    @daelizakevy5896 6 лет назад

    daa naona huruma sanaa

  • @mondnumz7746
    @mondnumz7746 6 лет назад +10

    duh maskin manji naweza kusema mengi nikaishia sero bora twende tu zimbabwe

    • @HabibaKanona
      @HabibaKanona 6 лет назад

      Mond Numz nichukue na mm mana niko hoi nimechoka hatar tz giza

    • @mondnumz7746
      @mondnumz7746 6 лет назад

      +Habiba12 Kanona12 umeona eeh twende zetu

    • @bonnymsd8116
      @bonnymsd8116 6 лет назад +1

      mnpitie na mm

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 6 лет назад

      Ongea ushuzi wako usjali

    • @samwelmhagama9465
      @samwelmhagama9465 6 лет назад

      Happy lazima kuna kitu katikati sio kwa kumng'ang'ania huko pole manji mungu wa wote

  • @elizamasangula2935
    @elizamasangula2935 6 лет назад

    mwamini Yesu Leo ukolewe

  • @binthamisi2562
    @binthamisi2562 6 лет назад

    Pole manji amini mungu yupo yote hayo yatapita tu.

  • @ifozatv2513
    @ifozatv2513 6 лет назад

    mungu ni mwema

  • @bedabeda6348
    @bedabeda6348 6 лет назад

    Mungu nimwema atakufanyia wepesi kaka yataishaa tyuu

  • @bahatirobart3786
    @bahatirobart3786 6 лет назад

    hadi tumbo limeuma mungu atamfanyia wepesi

  • @doricefaridi1835
    @doricefaridi1835 6 лет назад +1

    Najuta kwann niliangalia hii video nimelia kwa kweli namuonea huruma bora apewe dhamana awe anakwenda tu kwenye kesi

  • @joycefelix9047
    @joycefelix9047 6 лет назад

    Nothing is permanent,yataisha tuu, tuzidi kumuombea

  • @babyprincess346
    @babyprincess346 6 лет назад

    mungu yu pamoja nawe atakusaidia yataishaa

  • @ayshaomary4183
    @ayshaomary4183 6 лет назад

    Duh! Inauma sana ila hakimu wa kweli ni allah pekee

  • @graceleonard6150
    @graceleonard6150 6 лет назад

    duh binadamu wanaona uovu tu wahuyo MTU jamani Mungu anawaona mnatukwa sana

  • @abuanfultv6702
    @abuanfultv6702 6 лет назад +1

    rudia uislam wako ALLAH atarejea kwako bro manji kuna maisha baada ya hapa je umesahau??

  • @astonmaringomaringo873
    @astonmaringomaringo873 6 лет назад +4

    sakata la madawa ya kulevya lote jumba bovu limemuamgukia huyu tu? walah mungu anawaona malipo hapahapa duniani

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 6 лет назад +2

    kama ni kweli hana kosa, na suala hilo limekaa kisiasa, mungu anawaona na uonevu wenu, mnayo yakujib hata kesho akhera...

  • @fredyleonardmaths2546
    @fredyleonardmaths2546 6 лет назад +1

    watanzania tunataka maendeleo tuache kuongoza nchi kwa visasi

  • @kezakimanafafa9147
    @kezakimanafafa9147 6 лет назад

    Manji mi sikufaham ila nafatiliya sana kesi yak kweny mitandao,mlio kamatwa pamoja wote walipewa Dhamana ila ww tuu hata sijuw uyo Makonda kama analaana ya Mungu,Umenitiya ucungu mpaka naliya ila usikati tama baada ya apo kuna maisha mengine Allah Karem akutangulie.from+255

  • @mohamednamnuma4074
    @mohamednamnuma4074 6 лет назад +1

    MBONA huku uswazi wapo mateja chungu mzima hamuwakamati hii ni. dhulma hii

  • @babamwenyemji3557
    @babamwenyemji3557 6 лет назад

    jaman manji usijal mungu atakufanyia wepesi had huruma

  • @saidsalmin1248
    @saidsalmin1248 6 лет назад

    Mmmh kweli hiii nooooma

  • @trinaadamu3106
    @trinaadamu3106 6 лет назад

    Duuuuuuh so painful

  • @rachelisack5348
    @rachelisack5348 6 лет назад +1

    Ugali wangu naupenda ila mungu ni wa wote, yatakwisha tu.

  • @shabanhamudu1875
    @shabanhamudu1875 6 лет назад +1

    mwenyezimungu atamlipia

  • @saidomary4950
    @saidomary4950 6 лет назад +1

    Tuna kwenda sio kuzuri kabisa visasi ndio vimeenea sana kosa la manji nini? kama kutumia dawa za kulevya mbona wengi wametajwa na wametolea tuambieni tujue

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 6 лет назад +14

    Hivi tanzania nzima mlaunga ni manji tu, na mbona zoezi la kusaka wala unga na waleta unga limesitishwa sio kama lilivyo anza ama main target alikua manji

    • @laibonimario6235
      @laibonimario6235 6 лет назад

      Qaboos said yeah uyo ndo alikuwa target maana walitajwa wengi lakini mpaka Leo hawana kesi ya aina yeyote

    • @minzamabula8552
      @minzamabula8552 6 лет назад

      Qaboos said alikamatwa halafu akaachiwa baadae akaja kukamatwa tena kwa kosa la uhujum uchumi sins uhakika km na LA madawa limeunganishwa tena kwa Mara nyingine

    • @josephmkinga7898
      @josephmkinga7898 6 лет назад +4

      tanzania nxhi ya kisenge

    • @abubakarissaissa3391
      @abubakarissaissa3391 6 лет назад +1

      Ndo hvyo tz hii acha tu mbona wako weng

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 6 лет назад +1

    Kwa hili wamemuonea.Inawezekana akawa wakala wa madawa ya kulevya lkn hatumii

  • @tamiridarous6663
    @tamiridarous6663 6 лет назад

    allah atakufanyia wepesi bro ndio yake mambo alisema tinduu lissu tikteta uchara unaweza ukafatwa na wewe usie na lolote ukenda kuishia jela bure Maustadhi wa zanzibar miaka 4 kwenda 5 sasa ila allah atawafanyia wepesi nyote na huu unga ni wewe tu naona cioni mtu mwengine 😳👏🏻🙏🏻

  • @abdallahshaaban1539
    @abdallahshaaban1539 6 лет назад

    one day will be yes

  • @saifalrajhi5001
    @saifalrajhi5001 6 лет назад

    Waeleza nini

  • @jolielopez2058
    @jolielopez2058 6 лет назад +2

    Inci gani isio samini wa hamiaji kwanini tanzania mnanyanyasa wasio kuwa watanzania wangapi wamekutwa na madawa za kulevya na leo wako huru

    • @fatumaomari8115
      @fatumaomari8115 6 лет назад

      Jolie Lopez ilo swala la unyanyasajii usiliseme tu tz wanaongoja kuachia waamianii huru kufanya vituvyovyote ila nchii nying za njee ukiwa muamijii uko huruu na uruhusiwii ata kuuza maandazii kazii mtakazo pesa ni za ndani tuu ila siwezii sema kuwa ndo chanz cha manji anyanyaswe ila ukwelii watanzania wanawasamini waamiajii sana kama sio kweli ajafanya au amefanya yote mtetezii wake ni Allah sisi atuwezii kitu

  • @the_Rock_2409
    @the_Rock_2409 6 лет назад

    mgh! hayaaaaaaa.....!!!

  • @veronicalugendo8655
    @veronicalugendo8655 6 лет назад

    Hapo dar walaunga ni wengi mbona ni huyu tu..au sababu ya mzigo alionao benk...au color yake wahukumuni wote waliokuwa wana tumia unga.....

  • @yusuphsamwel7949
    @yusuphsamwel7949 6 лет назад

    Mungu atakuwa na wewe

  • @mariamsuleiman3795
    @mariamsuleiman3795 6 лет назад

    Ni mitihani tu baba kua na imani iko siku yataisha japo inasikitisha pole yusuf

  • @emmyluambano2896
    @emmyluambano2896 6 лет назад

    God will make a way where there z seem to be no way

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper 2 года назад

    😭😭😭😭

  • @mondnumz7746
    @mondnumz7746 6 лет назад

    bashite ndo kaleta haya yoye mpka mtu wa watu anateseka hivi jaman mungu amsaidie

  • @astonmaringomaringo873
    @astonmaringomaringo873 6 лет назад

    Tanzania yetu ukoloni mambo leo

  • @veronicasarvatory9516
    @veronicasarvatory9516 6 лет назад

    Jamani tuishini kwa kumuomba mungu maana hakuna aijue kesho yake.

  • @joyeemollel2092
    @joyeemollel2092 6 лет назад

    we pray for you manji

  • @mkude
    @mkude 6 лет назад

    nimesoma commnt nyingi sanaa manji watanzania wanakupende na wanakuonea huruma,siku ukitoka ujue kwamba unakubadika

  • @omarkasim8369
    @omarkasim8369 6 лет назад

    msamehe aliekukosea na si kulipa kisasi kwake nchi yanngu nchi yngu Tanzania nakupenda ila wachache Kwa kutumia vyeo vyao wanatunyanyasa ila mungu atatulipa Kwa mabaya wafanyayo.kwan wanaonekana kondoo kumbe chui

  • @najjykerry9058
    @najjykerry9058 6 лет назад +1

    ushauri wng kwa manji ukifanikiwa kutoka jela hama nchi nenda ht kenya watu km nyinyi mnathaminiwa sana kutokana na mchango wenu serikalini

  • @kelvinjohn3905
    @kelvinjohn3905 6 лет назад

    Manji Mungu atakusaidia

    • @francissabatel3324
      @francissabatel3324 6 лет назад +2

      inasikitisha sana. pia inauma . mbona haya mambo hayakuwepo tangu uongozi awmu ya kwanza mpaka ya nne. imekuwaje Leo hii TZ kuna nn kinatokea jmeen. visasi tuu tutafanya maendeleo lini. ?????

  • @hamisindoki885
    @hamisindoki885 6 лет назад

    Jamani haya haya au kuna mengine niliwahi kusikiaga kwamba iddi Amin aliwahi kuwafukuza wahindi na kuwadhulumu mali zao

  • @ummulkheirzubeir6320
    @ummulkheirzubeir6320 6 лет назад

    Jmn magereza kubaya manji kachoka Sana😷😷😷

  • @sofiambaga9911
    @sofiambaga9911 6 лет назад

    Kweli hujafa hujaumbwa huyu ndiye Yusuph Manji wa Yanga

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 6 лет назад

    Allah akusimie manji yote hayo ni mapito yataisha tu😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @mussampambichile8647
    @mussampambichile8647 6 лет назад

    dah

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 6 лет назад

    Yesu anaanguka na msalaba mara ya tatu.. ee mungu tusaidie tuache visasi kwa kuwa wewe waweza kufanya mwamba kuwa mchanga muda wowote ukipenda

  • @christianmichael162
    @christianmichael162 6 лет назад

    wamfunge 2jue moja mbona kila kesi wanayomtafuti wanakosa kama nikisasi cha .........kuitwa mbwa enzi za uwaziri wake basi ifike stage waamue moja 2shaizoe hii serikali ya ccm alietoka kamuacha babu sea kwa kesi za kutengeneza diktetar ochwarwa kila mkiwa stejini mnasema mnamtanguliza mungu mbele niwapi pameandikwa namungu tuwe tunalipiza visasi acheni kutumia kivuli chamungu kutesa watu selikari uchwara

  • @jumamwinamila1587
    @jumamwinamila1587 6 лет назад

    poresana

  • @kanyinyitijo5817
    @kanyinyitijo5817 6 лет назад

    Anaejua hiyo kesi itaitwa lini tena naomba aniambie

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 лет назад +2

    msameheni bwana wakaanga sumu niwenyeji kashajifunza sizani kama atafanya makosa tena kwanchi yoyote sasa wafungen aliyoshilkiana nao

  • @saidzww
    @saidzww 6 лет назад +1

    mambo aya ndio aliyo kataa tundu lisu ha ha ha aliwaotea anaakili sana lisu lkn hata uyo manji hana kes MTU akikutwa anatumia madawa anatakiwa spate msaada ili aache as nyie tena ana kes ya nn mbona wengi wavutaji wapo hulu mtoweni jaman

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 6 лет назад

    Ngoja nipitie comments ntarud badae

  • @maulidiomalimazombwe5885
    @maulidiomalimazombwe5885 6 лет назад

    moyo uniuma xana ila.mungu yupo

  • @lisacocolin4139
    @lisacocolin4139 6 лет назад

    Minaona hii kesi ya manji angepewa wakili lisu jamani au mnaonaje???

  • @sondanzingulasondasam4029
    @sondanzingulasondasam4029 6 лет назад

    du mie huruma jamani duu

  • @musamusa1722
    @musamusa1722 6 лет назад

    Wakati mwengine pesa sio kila kitu jali utu mbona bakharesa fresh na wengine wengi hapa Africa unataka kutuektia

  • @richardmakao7488
    @richardmakao7488 6 лет назад

    daaaaa inatosha wanuachie sasa....ndo wanambabusea nini

  • @samyona7200
    @samyona7200 6 лет назад

    watanzani bwana mbona mafukara, watu maskini wakifungwa mbona huwa amuosheshi kuumizwa. kwa huyo manji kila mtu anamuombea dua acheni unafiki, au mnafikili kila siku jera ni ya maskini ? kama hausiki mwenyezi MUNGU atamtetea na kama wana msingizia Mwenyezi Mungu atwaadhibu. kama pia anahusika basi haki itendeka. Sina ubaya na mtu asanteni kwa kusoma ni maoni yangu tu.

  • @agneskigeme1197
    @agneskigeme1197 6 лет назад +1

    Ivi niaulize mbona mumekubari musahada kutoka kwa Bill get amukungoja kumuhuliza wapi anatowa pesa,uyu njo munataka zurumu mali zake vije pikawapita kwenye mapuwa

  • @stawakhan4341
    @stawakhan4341 6 лет назад

    Kwetu sisi ni kubwa lakini kwa mungu ni Dogo sana

  • @omarymehta7711
    @omarymehta7711 6 лет назад

    wacha sheria ifate mkondo wake

  • @AijazMohammedo047
    @AijazMohammedo047 6 лет назад

    AMISTAD 1

  • @joycefelix9047
    @joycefelix9047 6 лет назад

    Mimi ni yeye ningehama nchi

  • @jamilahjuma7759
    @jamilahjuma7759 6 лет назад +6

    Hawa viongozi uroho na ufisadi cjui wataacha lini"ndo Tanzania nchi ya Amani Hii???Mhhhhh

  • @mamababa6896
    @mamababa6896 6 лет назад

    kaka manji jipe moyo yanamwisho ndio mana Tanzania mackin roho zetu atupendani mchango wa manji tz umesaahulika Leo hii ww ni mla unga mungu yu pamoja nawe