Mwigizaji Rammy Galis kafungua Mgahawa wake DSM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 89

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 7 лет назад +7

    Broo umeshtuka bora ulivoumiza kichwa na hii kazi kuliko kung'ang'ana na bongo movie tu big up

  • @goz-bbubex4466
    @goz-bbubex4466 7 лет назад +14

    Daah! Hongera Sana Msomali! Wenzako Wa Bongomuvi Wanawaza Kusaka Kiki Na Vichupi Tu😎😎😎😎😎😎

    • @mbarakfarid331
      @mbarakfarid331 7 лет назад +1

      Goz-B Bubex aahahahhahahahaa ucha za ovyoo kaka hahahaha usiwaponde sana watie moyo wafanya kazi kama #MsomaliBrazilian#

    • @goz-bbubex4466
      @goz-bbubex4466 7 лет назад

      Mbarak Farid 😂😂😂😂sawaa!

  • @abdulazeez7733
    @abdulazeez7733 3 года назад

    Natamanii jamnii daah Masha Allah hongera sana my

  • @seifhassan4476
    @seifhassan4476 5 лет назад +2

    Rammyy hongera sana kaka....
    Lakini ww mjaanjaaa unafanya survey za nguvu😜 den unaengeza mapishi nimekuona sana hotelini kwangu Zanzibar ukija but umefanya maamuzi mazuri congratulate bro 😊

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 7 лет назад +2

    hongera cn broo Allah aibarik kaz yako..wenzio kaz kutafta umaarufu tuu usio na faida wala maaendeleo...kaz nzur kaza butii tuuu utafikia malengo Inshaallah

  • @neemakanzo3702
    @neemakanzo3702 7 лет назад +2

    mungu abariki kazi yamikono yako kaka

  • @angelklistofa4914
    @angelklistofa4914 7 лет назад

    ASANTE sana Mpenz kazi nzuri it is good kwakweli hongera sana

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 7 лет назад +2

    hongera sana kaka na mm nahitaj kaz za mapish huku nilipo nashughulika na kaz za hotel tunavyopika huk kama hivyo ulivyo vitaja

  • @rahmaabdalha9315
    @rahmaabdalha9315 7 лет назад +3

    Nakupenda kwasababu unamaarifa safi sana ramy

  • @aswileadamson9482
    @aswileadamson9482 7 лет назад +4

    ongera sana brooo kitu kizuriii umetoa ajira kwa vijana na mimi naomba ajira

  • @mwasitihatibu9691
    @mwasitihatibu9691 6 лет назад +1

    mashaallah mungu aibariki kazi ya mikono yako

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 7 лет назад +6

    Kazi nzuri sana

  • @marwahlilah1006
    @marwahlilah1006 7 лет назад +3

    Ma shaa Allah TabarakAllah incredible

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 7 лет назад +2

    Jama ww kaka nii mzurii mashaallah

  • @happinessjillanga7267
    @happinessjillanga7267 6 лет назад

    hongera sana Broo,,Niki come dar nitakuja kula apo

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 5 лет назад +1

    Jamani kumbe ndoto zinaweza kufanana Tanzania nzima eee .mimi mwenyewe ndiondoto yangu hiyo tatizo nachelewa kupata msingi

  • @fatmahusain3773
    @fatmahusain3773 7 лет назад

    Hongera sana Kaka yangu Allah akufanyie wepesi ktk kazi yako hiii umejua jambo la kufikiria na kulifanya hili ni somo zuri Sana ulilolivumbua
    Ila na mm ningependa niwe mfanya kazi wako kwani nimzoefu Sana wa vyakula mbali mbali vya kitanzania ,kizungu , kiarabu , Philippines, Chaiynis ,Kihindi .n.k

    • @neymorc971
      @neymorc971 6 лет назад

      fatuma nicheck kwa jina La ney morc instagram tuongee kazi

  • @silimanta8360
    @silimanta8360 6 лет назад

    Mungu awe nawe akulindee na wasikutakia memaa dunianii amin

  • @asmamamakhailat6192
    @asmamamakhailat6192 6 лет назад

    Hongera sana kaka umejitahidi

  • @mrmrs4762
    @mrmrs4762 7 лет назад

    wao my brother hongera

  • @mwaijabakari4425
    @mwaijabakari4425 7 лет назад

    Siku nikirudi Tanzania Nita fika hapo uko vizuri sana kaka na kupenda sana

  • @baker6ix752
    @baker6ix752 5 лет назад

    Jmn kaka rammy hongera xan bexty

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 6 лет назад

    Hongera sana br

  • @maimunakasimu8755
    @maimunakasimu8755 3 года назад

    Naomba ajira kaka naomba ata kuosha vyombo

  • @munfatchichi2874
    @munfatchichi2874 6 лет назад

    Mashaallah kaka hata mm naipend san hiy kaz nataman kufungua kam hivy kwan ndiy kitu nikipendach mda sasa ila naamin ipo siku ndoto zang zitafanikiw thanks

  • @alimaalimaa6048
    @alimaalimaa6048 7 лет назад

    Ma Ansha Allah ongera sana broo

  • @shedrackjovin5861
    @shedrackjovin5861 7 лет назад +9

    Wamelipa lkn au ndo uzinduz wanakula bure?!

  • @bisharosheikhabdullah7347
    @bisharosheikhabdullah7347 7 лет назад +1

    congrats bro Mashallah

  • @cipladapretty8617
    @cipladapretty8617 6 лет назад +2

    Hao wapakuaj mbona wafup hvo jmn 😂😂😂

  • @jamalmageser9390
    @jamalmageser9390 7 лет назад

    Mungu akubariki sana,kuigiza ni kipaji tu mwanao anaweza rithi au asirithi. Ni bora wamepata cha kurithi,waambie na wengine vipi siku wakiugua sanaa italipa?

  • @sakinamsambala7443
    @sakinamsambala7443 7 лет назад +1

    Rammy niajiri mimi ninauzoefu wa chakula cha uharabuni hongera sana kwakufungua mgahawa msanii nawaona watu wanavyo jiramba

  • @mwandumazaoidrossa1702
    @mwandumazaoidrossa1702 7 лет назад +3

    Wasomali siyo vilaza ndizo biashara zao hizo

  • @trapeladise3716
    @trapeladise3716 5 лет назад

    Kama unamkubali Rammy gonga link twend 💪

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад

    Mashallah, nice Ramy, kila la khery brother, vyakula vya Ughaibu vyote vipo, umetisha kijana.

  • @rechok.k.m.5117
    @rechok.k.m.5117 7 лет назад

    Mashaallah hongera sana

  • @asiaamina3247
    @asiaamina3247 5 лет назад

    niajir na mm napika pitza very yummy😍

  • @lovenessloveness4508
    @lovenessloveness4508 7 лет назад

    Hongera sana

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 5 лет назад

    Jamani mapochopocho kama hayo harafu muanze kutuambia jinsi yakupunguza vitambi!!!??? Like seriously???

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 7 лет назад

    Safi sana kaka

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 5 лет назад

    Congratulations lkn mbona mm hujaniita kula mapochopocho na vinaonekana vitamu

  • @jessicabrown5885
    @jessicabrown5885 4 года назад

    Yan naangalia hii video then apa na njaa
    Dahh

  • @stellaalphonsa4884
    @stellaalphonsa4884 7 лет назад

    Hongera

  • @sahaladdy907
    @sahaladdy907 6 лет назад

    sawa abty iko vizur

  • @mariamomar2859
    @mariamomar2859 7 лет назад +1

    Mabruk Rammy

  • @erickmatari.3405
    @erickmatari.3405 7 лет назад +1

    Nicee

  • @ruqaiyahali8055
    @ruqaiyahali8055 6 лет назад

    Ongera sana Rammy

  • @deewallance9354
    @deewallance9354 7 лет назад +1

    Congratulations 🎊,

  • @gilbertalex1651
    @gilbertalex1651 7 лет назад +5

    Ongea kama mwanaume jombiii

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 7 лет назад +3

    Sasa hii ndo kazi ya heshima wacha tena ule ujinga wa kuigiza sana sana unajidhalilisha tu

    • @shedrackjovin5861
      @shedrackjovin5861 7 лет назад +1

      Wacha mawazo finyu wew kama anajidhalilisha mtaji wa kufungua kaupata wap kama xo bongo movie

    • @hasnnaalminjl4105
      @hasnnaalminjl4105 7 лет назад

      Matembele amna kaka😀😀😀😀

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 7 лет назад

      Wacha ujinga kijana kwani mtu akijidhalilisha ina maana hapati hela? Wale wanao ect ngono wahawati hela na je pale hawajajidhalilisha!

    • @frankjully5457
      @frankjully5457 7 лет назад

      unaongea ujinga kuigiza ndo kumempa mtaji heshimu Kazi za watu

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 7 лет назад

      frank jully
      Ama kweli njie muna akili chanya kabisa eti kuigiza kuna mpa mtu heshima tunaweza kusema mtaji ndio lakin sio heshima atakua na fedha lakin wamemvua vazi la heshima

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 лет назад

    Watakula bongo muv tu

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 лет назад

    Naomb kibarua😂😂ntakuj apo

  • @santodelove4351
    @santodelove4351 6 лет назад +1

    One of My dream job

  • @sabrinaayoub7032
    @sabrinaayoub7032 6 лет назад

    💕💕💕

  • @kulilyhassankulily521
    @kulilyhassankulily521 6 лет назад

    Wasomali tupo juu popote kambi Na Mara zote huwa tunatusua###

  • @queeniejoy3255
    @queeniejoy3255 7 лет назад

    Congratulations

  • @shishisalzshishibeb6803
    @shishisalzshishibeb6803 7 лет назад

    jamani hebu nipe direction nije

  • @ttec9431
    @ttec9431 5 лет назад +1

    Shishi nini

  • @erickhaule8680
    @erickhaule8680 7 лет назад

    huyo wa pembeni yako sio hamorapa kweli daah hongera kama umempa ajila mana kiki zilimtokea puani jamani sio kwa fujo zile

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 5 лет назад

    bado mpaka samaki mtakaanga

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 7 лет назад

    hiyo simu vp huna headphone

  • @Ally-rg8sk
    @Ally-rg8sk 10 месяцев назад

    I'm sure you'll make Somali food since you're Somali

  • @maryamalbahry1387
    @maryamalbahry1387 7 лет назад +1

    😋

  • @thabeethasheemthabeet4293
    @thabeethasheemthabeet4293 7 лет назад

    😂😂

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 6 лет назад

    dude

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 6 лет назад

    Safi sana kaka

  • @doreenmalesi6039
    @doreenmalesi6039 6 лет назад

    Hongera

  • @SakinaKigotwe
    @SakinaKigotwe 8 месяцев назад

    Hongera