Elimu ya dini aina mwisjo kama dada etu apa mashaallah usikute kaolewa na anasoma madrasa madrasa za wakina mama zipo ndugu zangu twendeni wakina mama wenzangu
Habari zenuu napenda kujua Dada angu anapenda kujiungu na masomo hapo kwenu utaratibu upoje ,kuna bwen au tafadhan tafurai kama tajibiwa nipo kibiti pwan
Maashaalh mungu akujaze yalio mema upo vizuri sana tatizo ni Tunazuiwa wanawake tumezuiwa kutoa sauti zetu mbele ya wanaume du!mwenyezimungu atusamehe sana huu ni msiba mzito japo kinamama wengi hatupendi kuambiwa ukweli
Mcheni Allah wa akina mama, wallahi wallahi angekuwepo mtume Mohammed swala na salamu ZIMUENDEE uko aliko angelia KWAMAMBO haya ya MASUFI ni haramu mwanamke kudhihirisha sauti zao mbele ya wanaume muogopeni mola wenu mlezi
Mungu akuzidishie na uwe na mume mwema na maisha yenye kheri zote dah niwachache kina mama kuwa wa namna hiyo wengi wapo kwenye vigodoro na kutunzana mabeseni
Binafsi nilikua msomaji milango at 17yrs but kulikua na maadili..tuna maadili tunatiwa chumbani mic zinaletwa huko au tuna zungushiwa boma dogo la khanga au magunia. yani tusijulikane sauti zinatokeapi..kwa kweli siwezi kusoma wakati taa zina niangaza hivi na waume wapo hapo .sio sawa
Mashaallah Allah akujaalie lkn maulid hizi za wanaume na wanawake haifai namuona dada hapo kapita mikono yote wazi subhanallah Allah atustir na atuweke kwenye njia ya kheir
si support kabisa hapo mwanzo hawao mwanawake wanaomtunza wako uchi kabisa..tunaona tuko ndani ya dini lakni wapy...tufatee sunnah za mtume na tuache upuzii
Mwanamke mwenzangu umenikumbuka mahali sana, Enzi zangu nilikua nasoma Mlango huo, Mungu akujaalie InshAllah.
Maa shaa Allah. Bado hujachelewa dadaangu
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا ونبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
Thank you sister
Mashallah sauti nzuri dada yangu ALLAH akujaalie kheri wewe na kizazi chako
Masha Allah ..nakumbuka.kwenye harusi.ya dada angu alitupa raha wallah Allah atujaalie wanawake wote
Mashaaallah 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Elimu ya dini aina mwisjo kama dada etu apa mashaallah usikute kaolewa na anasoma madrasa madrasa za wakina mama zipo ndugu zangu twendeni wakina mama wenzangu
Allah atujalie tuelimike kabla ya kufa kwa kweli mambo haya n kinyume n mafundisho ya mtume wetu muhammad SAW (bidaa\uzushi)
Kumbuka walio mpokea mtume uku wakiimba kaswida walikuwa wanawake
Masha Allah.marhaba iya marhaba aseke rasul sa.
Wow much love from Albuquerque USA. She reminds me when I visited tamta tanga in the year 2002 I wish my children could recite like her
Maashaallah,ustadhat unajua kusoma barzanji,❤❤,Jazaa akillahi khayran!.
Subuhananlaa mtume asema nihalamu kuchanganyika wanawake na wanume halafu wanawake wasipaze saut maskh mrudien alla
Habari zenuu napenda kujua Dada angu anapenda kujiungu na masomo hapo kwenu utaratibu upoje ,kuna bwen au tafadhan tafurai kama tajibiwa nipo kibiti pwan
Mashaa Allah tabaarakallah 😘Allah akuzidishie kipaji Mashaa Allah nimependa sana .
Ungekua mke wangu ungekua unanitumikia vizuri sana
Allah akuzidishie kila la kheir marufuku kuwaza kutenda maovu
الله يحفظها!! طيب جدا!! ماشاء الله تبارك الله
Bismillah mashallah mashallah mashallah
mashallah Mungu Akuzidishie Rehma Achana Nahao wasoelewa Kitu Ati Unapandisha Saut Mbele yawanaume kwani Unaimba Taarabu Jamani Laatajasasu
Ma shaa Allah ma shaa Allah ma shaa Allah, Allah akujaalie mwisho mwema
Maashaalh mungu akujaze yalio mema upo vizuri sana tatizo ni Tunazuiwa wanawake tumezuiwa kutoa sauti zetu mbele ya wanaume du!mwenyezimungu atusamehe sana huu ni msiba mzito japo kinamama wengi hatupendi kuambiwa ukweli
Kakae jikoni
Mashaa ALLAH,,nakuombe kwa ALLAH kheir ikumbuke stara halisi yamwanamke uso wako usiungeuacha hivyo ungevaa niqab
Mcheni Allah wa akina mama, wallahi wallahi angekuwepo mtume Mohammed swala na salamu ZIMUENDEE uko aliko angelia KWAMAMBO haya ya MASUFI ni haramu mwanamke kudhihirisha sauti zao mbele ya wanaume muogopeni mola wenu mlezi
tuliambiwa kutakuja zama maovu yatakimbilia kwenye dini ndo hayooo sasa tujipe pole tujirekebishe wanawake
Q
Wajna asa wanawake wasome wapi?
Mungu akuzidishie na uwe na mume mwema na maisha yenye kheri zote dah niwachache kina mama kuwa wa namna hiyo wengi wapo kwenye vigodoro na kutunzana mabeseni
Fadhili Mgohamwelu m
hapo kafanya lipi jema sasa.
Mashaallah
ishaallah Allah awape wepesi wa kuifadh quraan
mashaallah ustadhat by sajad madrasat asswabiriina ibwera kwa sheikh muft said rutashobya
Jazak Allah
Maashaallah,!! Allah amhifadhi mwanamke huyu,!
Innalillaahi wainnaailayhi Raji'uun, Hakika huu ni msiba
Wamamako?ajabu gani wemjinga wivu na uswahili na machuki kimbuluruu were,msimuhusudu bule mwanawawatu.looohfyuuuuu
MaashaaAllah napenda dada tunakumbuka enzi zetu madrasa
Maashallah Naskilizaga kila sku mpk niijue
Mashallah 🙏🙏🙏🙏
Mashallah sauti nzur natural mungu akuzidishie
Allahuakbar...
subhanallah haifai mwanamke kupaza sauti yake tena mbele ya wanaume kisa maulidi kina mama tumcheni Allah
sii kweli
Mambo Ya bidaa Ndio Hivyo Tena
@@Asadiqmedia ni kweli ,wanawake hawaruhusiwi kupaza sauti zao, tuache ushabiki tukiishi vile allah anavyotaka siku ya kufa faida inakuwa yako
Mashallah
MashaAllah
Mashaallah ❤❤
Maasha Allah
Mashallh❤❤❤🙏🙏
Mashaaallaah❤❤
Maashaallah wa jina
Innaa lillaah wainna ilayh raaj-uun
Masha Allah
Mashaallah
Mashallaaaaaaaa,natamani siku zirudi nyuma
Nilikua na skilizia sauti tu sikuaa nakuona live mashaaalllaha
Maa shaa ALLAH tabaraka ALLAH
Masha Allah masha Allah mungu akubariki ♥️♥️♥️
Masha allah
Ma shaAllah
maa shaa allah allah akupe zaidi na zaidi
Allahuma bark
Bismillahi Ma Sha Allah from saudi Arabia
Bismillah mashallah ✌
Mungu akujaalie
Ustadhat mungu akulipe
sauti nzur mashaalla!
Bahati Yusufu twambien kwel kama ana mume kama hana tuko tunamwihitaji jaman
Binafsi nilikua msomaji milango at 17yrs but kulikua na maadili..tuna maadili tunatiwa chumbani mic zinaletwa huko au tuna zungushiwa boma dogo la khanga au magunia. yani tusijulikane sauti zinatokeapi..kwa kweli siwezi kusoma wakati taa zina niangaza hivi na waume wapo hapo .sio sawa
tumuombeni Allah amuogoze natuogoze allahsiratul mustakim
Tunaomba kaswida nyingine za nadhifa jmn tupate raha
Allah ho akbr mashallah
Bidaa itabaki bidaa tu ataikapambwa vip?
Huo wote niwiv dada ukovizur san ALLAH akuzidishie inshaallah mtume alie nin mnambeza kwakuwa ht alif hamjui mabichwa nyie
Wivu tu kwakweli roho mbaya atazikwa mayo naatafufuka nayo.
Bismillah MashaAllah
اللهم صلي وسلم على سيدنا محمد تاكبير ما شاء الله ما شاء الله🎤🎤🎤🎤🎤❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Innalillaahi wainnaailayhi raajiuun, ni msiba huo mama yangu
BISMILLAH MASHAALLAH ❤
Allohuma sholi alaihiwassaliim allaih
mashaallah mashaallah 🥰 I
Masha allah mungu awajalie kheri
Mashallah mashallah
Maashaaallah asma nimeipata
Msiba mkubwa wanawake wameva nguo za kata mikono
maanshaallah Dada yangu Allah akuzidishie
Nakuoenda San mama. Ubatikiwe mwanangu
Jazzakallah Allaha akuzidishie
masha Allah
Ziid ziiiiid alaih maqtub maqtub🙏🙏
mungu akuzidishie dada
Mashallha Mashallha
Aswaliwe mtume muhammad
Wanaume wanaka pamoja na wanaume haifai
Abass Jamal# haifai kumtolea matusi mueleweshe kwa kauli nzuri na maneno mazuri ni swadaka kwa muislam
Nimemtusi aje ebu nieleze kosa langu
Kusema wake na waume kuka pamoja haifai ni matusi
mashallah
Ya rrabi akuongoze.
Jamani waislam wenzangu jee yule dida nimwanaume sijawai kuona mkisema anaimba ivi haram inawatu maalum
ManshaAllah
Mashaallah.kila.la.heri.inlshaallah
Innaalillahi Wainnaailaihi Raajiuun
Wemswaili kwanini useme inalilah ?mbona minikiwa msichana nilijuwa nasoma mlango wa nne.tena napanda kwenye membari?shida iko wapi?wivuuu
😅😅
Sauti mbele ya wanaume .subhana Allah wengine wamevaa nguo zakukata mikono Allahu Akhbar aibu kwa mwanamke wa kiisllam tuelimikeni jamani
Njoo unisomee mimi tu
Manshaalah
Mashaallah Allah akujaalie lkn maulid hizi za wanaume na wanawake haifai namuona dada hapo kapita mikono yote wazi subhanallah Allah atustir na atuweke kwenye njia ya kheir
Bidaa Mambo Yake Ndio Hivyo
ramadhan salimu elm umesomea WAP,
Mashallhh
Mashallha
MAA SHAA ALLAAH
Aaamin
Mungu akulpe
si support kabisa hapo mwanzo hawao mwanawake wanaomtunza wako uchi kabisa..tunaona tuko ndani ya dini lakni wapy...tufatee sunnah za mtume na tuache upuzii
Kweli kabisa, hata Mimi nimeshangaa, na wanaume wanaenda kutunza eti
maashaallah Allah huakibar.
Mashaallah barakallah
jazzaka allah kheli
❤❤❤❤
Takbirriiiii
Mashaallah ukhty nadhifa
INNALILAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN!