Huyu juma hana taaluma ya habari na ndio linaharibu kipindi na kishusha hadhi ya Media..,Kwann wasimfukuze maana hajui kumuhoji mtu vitu msing sasa maswali ya kumuuliza diamond una muuliza Momo wapi na wapi au aolewe yeye
Kitu kimoja about wasafi wanajua wanachokifanya na wanajua industry na watanzania wanataka Nini Zuchu yupo na album ila nikama hazingatiwi kivile and diamond pia anakuja na album woow wanajua wanachokifanya 🙌🙌🙌
Kwamba Tz kiki yamahusiano inazingatiwa kuliko kiki nyengine Yani diamond nimfanya biashara mzuri sana na ndiomana hajawahi kumcukulia hatua mtuu kama mwijaku kwababu anafaidi pia
ZUCHU ZUCHU ZUCHU zuia moyo wako. Nasibu anakupenda na inawauma Sana. ZUCHU hata iweje Nassib anakupenda kufa kupona......hiyo inawauma Sana watu wa. Kina Esma
Hivi inaamini kweli CEO Mwenyewe hahusiki kweli? Hebu fikiria wewe umeseme hivyo bosi wako unaweza kweli? Hapo kuna mtu anatafuta jinsi ya lutoka hapo si burem
mwachrmi Zuchu !! hamna kazi kwani yy diamond hang'gan'ganii 🤪🤪🤪🤪 mwambieni awaoe nyingi basi khaa🥰🥰 Zuchu kawazidi sana bg up young girl ❤❤❤❤ watch from Seattle WA
kuna watu walimtukana sana hamisa alivyokuwa anataka kuiroga familia ya Wasaf na nasibu ili atulie watu walimtukana sanaa hawakujua alikuwa.na.nia gani ...Yaan inshort Sio nasibu tu unafki ni familia nzima huwa wanaingilia mahusiano ya Nasibu...Zuchuuu acha kihereehereee ni kher fanya maamuz maana wanafk wapo hapohapo karibu yk na usisahau kama ulimpundua Aliya ukadhan ww utamuweza nasibu
Hapa ishadhihirika juma na diamond ni wapenzi, na juma anaelekea kuimaliza wasafi media. mashabiki wa diamond ndio wa zuchu na idadi kubwa wamesinywa na hiki kipindi. ZUCHU mastaa wengi wanakutaka, wenye nia ya kushirikiana biashara. toka hapo mapema anzisha biashara nyingine una kipawa.
Sasa Da zuuh kwani kume ongelewa kipi habacho ww hukusema😂😂😂 uliwatuma kabisa ukasema hata t-shirt tutengeneze... Tu achane na hizo mi nakupenda tu Dada❤
Ila wanakera kila mendia kila mtu yaani ni zuchu na daimond safi sana zuchu bila huyo mond mbona utaishi tuuu vizuri alafu huyo juma alisha kanywa ila hasikiii sijuwi anataka nini😢😢
Kuongelea mahusiano ya watu wengine kila siku ni kukosa kazi na ni mambo ya jikoni mbona hamuongelei mahusiano yenu kila cku ambayo yanawahusu hebu waacheni waendelee na maisha yao. Aibuuuuu
Binafs naona km juma hya mahusiano yanamuuma,ukiwa jicho la tatu ndo utagundua isije kuwa anafilwa na mond hyu??na zuchu km anapoteza mda kwa hya mahusiano hakuna muhoaji hapa angejaribu kuchek wengne walivyochezewa na kuachwa na uzur wao wote wameishia kuzalishwa jmn mmh sema mapenz upofu ukute yote hyo hayaoni😂😂😂😂😢
Msituchoshe na hao hawana mchango tena kwenye game la mziki huu wa sasa 2024 -2025 + Album zenyewe hamna kitu siwalitowaga walienda wapi washakua local tu watches kutuletea fujo tuko upande huu tumelala sisi
Hiyo wasafi wamezoea ujinga sana.kila mara simba akidate lazima wamsimange huyo binti.i love zuchu courage.this time wamepata their match.zuchu stand on your lane.
Zuchu kiherehere chake kimemponza, hakuna kosa hapo, yeye ndo alijichanganya kujiona yeye mama lao akaw anajicjoresha ovyo kweny media, na alitoa kauli CK ile et ooooh wafanyakaz wamwambie boss wao wamuoe.....😂😂😂😂😂😂
Naona hakuna wa kulaumiwa hapo kilichobaki Zuchu ajitambue na Apache kuimba nyimbo za mapenzi na usitafute mchawi lisemwalo lipo Daimond anakutumia fanya masmuzi tu ila ndoa hamna
Zuchu king'ang'anizi wewe mama yako alikuwa maarufu kweli lakini wewe aliye kufanya umaarufu ni Diamond. Na unajua Diamond siyo kama ndio kafa kwako ila hawezi kukuacha kwa sababu yeye ndie aliyekufikisha hapo ulipo na kwa vile Diamond ana wivu sana hatokubali kukuachia kirahisiii
Wanahanza tena kiki zao juwa nahona harmonazi na abby chams wanatamba acheni kiki zenu zaki jinga zuchu na diamond tume wachoka tuko buy na harmonazi na Abby chams❤❤❤🐘🐘
The interview was not even about Zuchu or diamond so why mentioning her? He just wants drama Shame on Diamond though that he can never protect his woman now I understand what tanasha meant 😩
😀😀😀😀 miye najuwa nipovu yakutoka kwa next Netflix ju huku kuna mambo kimnana na chibu.sasa ww zuchu wasikuongeleye kwasababu gani? Hizo ni redio nilazima wataongeya zari kashindwa hamisa hivo hivo tanasha nawengine hata wewe Umesha shundwa tu
Diamond and his Chawa family are just hater ,they haven’t posted Zuchu new Album to promote but quick to talk about nonsense . Regardless Zuchu album is doing great without them
Nyinyi mnanza kiki wakati mna msikia harmonize na biga Wana vuma mtanda oni 😂😂😂😂😂😂 kikiiiiii
Mpk sasa sijaona kosa La lokole 😂😂😂😂
Uyu zuchu anachamba nini wakati juzi to yeye mwenyewe apo apo wasafi juzi tu kasema waongee na diamond amuoe sasa juma kosa lake nini 😀😀😀
Hahaha
Exactly , Zuchu akae kimya, endapo yuko moyoni mwa Diamond atamuoa, ila aangalie huenda mwenzie yuko kibiashara zaidi kwani anajua Kimuacha tu ataondoka WCB. Zuchu atumie akili na so hisia. Mnaompenda mfungueni masikio.
Huyu juma hana taaluma ya habari na ndio linaharibu kipindi na kishusha hadhi ya Media..,Kwann wasimfukuze maana hajui kumuhoji mtu vitu msing sasa maswali ya kumuuliza diamond una muuliza Momo wapi na wapi au aolewe yeye
Safi sana zuchu👏👏👏👏
safi sana zuchu
Na si nikweli uwa anaomba ndoa kwani ni huongo😅😅😅😅😅mara ngapi amesema mwambieni mwambieni anioe jameni
Kwani haujaona wakinperform na diamond wanapiga free style kama simba amemwambia utanizalia yeye anasema wanioa lini sasa watu kutwa kumuaandama tuu
Sio kweli tatizo watu sisi ni wanafiki sana, kwani huyu Zuchu hana uke kiasi iwashangaze KUWA na Diamond? Au amuowe JUMA Lokole NDIO atakuwa sahihi
Kitu kimoja about wasafi wanajua wanachokifanya na wanajua industry na watanzania wanataka Nini Zuchu yupo na album ila nikama hazingatiwi kivile and diamond pia anakuja na album woow wanajua wanachokifanya 🙌🙌🙌
Ukimaanisha😮
Kwamba Tz kiki yamahusiano inazingatiwa kuliko kiki nyengine
Yani diamond nimfanya biashara mzuri sana na ndiomana hajawahi kumcukulia hatua mtuu kama mwijaku kwababu anafaidi pia
Zote ni makiki, hata mimi naona hivyo@@MaulidmtajiMaulid
Kweli kabisa..wanamharibia Zuchu album yake ni Kama wana sabotage album ya Zuchu
@@sylviaforest3001 Vraiment
ZUCHU ZUCHU ZUCHU zuia moyo wako. Nasibu anakupenda na inawauma Sana. ZUCHU hata iweje Nassib anakupenda kufa kupona......hiyo inawauma Sana watu wa. Kina Esma
Hivi inaamini kweli CEO Mwenyewe hahusiki kweli? Hebu fikiria wewe umeseme hivyo bosi wako unaweza kweli? Hapo kuna mtu anatafuta jinsi ya lutoka hapo si burem
mwachrmi Zuchu !! hamna kazi kwani yy diamond hang'gan'ganii 🤪🤪🤪🤪 mwambieni awaoe nyingi basi khaa🥰🥰 Zuchu kawazidi sana bg up young girl ❤❤❤❤ watch from Seattle WA
Safi sana zuchu..waambie waache kukusema vibaya...mbna wasiongelee album yako..wanaongelea ndoa ndoa .wanakuharbia hao
lokole ww usipo hangalia utafukuzwa wsf mi nipo hapa
Zuchu makasiriki sasa kawajibu uko mza khaaah 😂😂 umezidi kutaka ndowa na ww khaaah 😂😂
Sasa mnataka azini tu
Anaomba Ndoa halafu Diamond akimchit aombe talaka na nusu ya Mali, Zuchu analake jambo 😂
Zuchu hakuna ndoa hapo wewe unatumika na kupoteza muda fanya kazi tafuta mawasiano mengine acha kulazimisha ndoa
Nawe zuchu acha kuomba ndoa Kila siku jamani unajidhalilisha
Mlimsikia akiomba
Diamond ni shoga ,anapenda wanaume kama lokole
Ulijuaje mkuu au yashakukuta naw
Zuchu ❤️❤️❤️🔥🔥🔥
kuna watu walimtukana sana hamisa alivyokuwa anataka kuiroga familia ya Wasaf na nasibu ili atulie watu walimtukana sanaa hawakujua alikuwa.na.nia gani ...Yaan inshort Sio nasibu tu unafki ni familia nzima huwa wanaingilia mahusiano ya Nasibu...Zuchuuu acha kihereehereee ni kher fanya maamuz maana wanafk wapo hapohapo karibu yk na usisahau kama ulimpundua Aliya ukadhan ww utamuweza nasibu
Juma wewe ni mkorofi na unaonekana umemkamia Zuchu huoni shughuli nyingine ya kufanya mpaka umuandame Zuchu.
Mbona wameshakuwa mastaa, kwani lazima wapate kiki?? Woiiii ndo mana nampendaga Ali kiba. No kiki no drama
Mbona huyo lokole asionge juu ya album ya zuchu,kama juma unamtaka Diamond au una mwanamke unamtaka kuumpa endelea give zuchu peace
Maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge 😅😅😅😅
Kwan uongo jaman si Huwa anaombaga NDOA au 😂😂😂😂
Nani asiyetamani ndoa
Wanacho gombania lokole na zuchu kinajulikana vizuuri
Aaliyah anacheka😂 Zuchu si Ulimcheka Tanasha Sasa zamu yako Kaa utulie uchekwe
Hapa ishadhihirika juma na diamond ni wapenzi, na juma anaelekea kuimaliza wasafi media. mashabiki wa diamond ndio wa zuchu na idadi kubwa wamesinywa na hiki kipindi. ZUCHU mastaa wengi wanakutaka, wenye nia ya kushirikiana biashara. toka hapo mapema anzisha biashara nyingine una kipawa.
😂😂😂 juma na daimond ni wapenzi si wakiume hao
Bzuchu akitaka kuolewa muda watu wanamtaka sana ❤
Hii kiki wamepanga ukoo mzima
Hapana uchumba uliopo hapo sio kwa dini yeyote. Hatujasikia amemvisha pete wala hatujasikia ametoa posa.
Sasa Da zuuh kwani kume ongelewa kipi habacho ww hukusema😂😂😂 uliwatuma kabisa ukasema hata t-shirt tutengeneze...
Tu achane na hizo mi nakupenda tu Dada❤
Hakuna mwanamke asiependa ndoa jamani
Wasafi hawana adab, for real they need to leave this girl
It's a clout all planned diamond is about to drop his album
Mimi naona yeye zuchu nikinganganizi kweli na bola unyamaze tu
Aaa my dear don't stress, you will shout no reason. Just ignore the nonsense as tough as it is my sister
Zuchu king'ang'a pro max kwani watu hawajui??kma hataki kuongelewa atoke wasafi na aachane na mondi
Zuchu si aachane tu na huyo daimond
Mwanaume akiwa n mali halafu umnganganize akuoe watajua unataka mali zake. Zuchu atulie t afanye mziki . Itaonekana kalenga mali.
Khaa watu wamuache zuchu ukiamka zuchu ukilala zuchu Simba mwenyewe hana sifa za kukuwa mwanaume sijui zuchu alikifuata nini TUMECHOKA
Kojoa ulale
Diamond yeye mwenyewe anamgagania zuchu kwani hamuoni hayo, lokole mwache zuchu
Juma nchokonoe sijui anataka kuolewa yeye kila penzi la sadala lazima yeye awe kimbelembele olewa ww sasa
Ila wanakera kila mendia kila mtu yaani ni zuchu na daimond safi sana zuchu bila huyo mond mbona utaishi tuuu vizuri alafu huyo juma alisha kanywa ila hasikiii sijuwi anataka nini😢😢
KING'ANG'ANIZI KIMECHINA NA HAKITAKIWI KTK FAMILIA, LAKINI HAKIKOMI!
Kuongelea mahusiano ya watu wengine kila siku ni kukosa kazi na ni mambo ya jikoni mbona hamuongelei mahusiano yenu kila cku ambayo yanawahusu hebu waacheni waendelee na maisha yao. Aibuuuuu
Just kiki hawajaanzia hapa toka kitambo ukichafuliwa saana mwishowe zinakuwa kiki
hio ndio mshahara wa kuzini bila kutumia mpiira Yani kila MTU atajua umetoka kulala na mwanaume😅😅😅
Crown tv n FM.... Professionals wako pale!
Zuchu mpenzi usihagaike nahuyo huyo nimshege kwaza anamtaka yeye msege mungu aliwalani wewe humuezi mtu aliye laniwa nyamaza tu ikipigo 1
🔥🔥🔥🔥🔥
Kasongo yeye 🤸🤸♀️🤸♂️
Kwakweli NAMI nimekasirika sana kwanini mapenzi niyawawili jamani basi vhambo chake mwambieni amiache
Wewe juma vipi una oalini?
Kwa iyo zuchu unataka kuzini tu?
Hawaongei bure bure, wenzako tumia akili
Let her move on and do her. That relationship is unhealthy.
Kumekuchaaaa 😂😂😂😂😂
Binafs naona km juma hya mahusiano yanamuuma,ukiwa jicho la tatu ndo utagundua isije kuwa anafilwa na mond hyu??na zuchu km anapoteza mda kwa hya mahusiano hakuna muhoaji hapa angejaribu kuchek wengne walivyochezewa na kuachwa na uzur wao wote wameishia kuzalishwa jmn mmh sema mapenz upofu ukute yote hyo hayaoni😂😂😂😂😢
Uolewi hapo unapoteza muda dear kwanini Zuchu ujidharirishe kwanini hutaki kukubali kuwa ndoa inatoka kwa Mungu hivyo tafuta mume nje ya Daimknd
Msituchoshe na hao hawana mchango tena kwenye game la mziki huu wa sasa 2024 -2025 + Album zenyewe hamna kitu siwalitowaga walienda wapi washakua local tu watches kutuletea fujo tuko upande huu tumelala sisi
Zuchu fanya Mamuzi😂😂😂😂😂😂😂
hamuna kazi zakufanya kilasiku zuchu mkomeni mwanawamwazenu kumtia midomo tafutini kazi zakufanya ndowa yaandikwa mbiguni
Hiyo wasafi wamezoea ujinga sana.kila mara simba akidate lazima wamsimange huyo binti.i love zuchu courage.this time wamepata their match.zuchu stand on your lane.
Hiyo ni kiki wewe wamepanga wote
@Bravo-or8oysio kiki familia ya diamond haimtaki Zuchu wanampiga vita ili ajiondoe yeye mwenyewe!!
Sio Kiki hii...zuchu hangekasirika Ivo...wamezidi kumtaja zuchu
Zuchu kiherehere chake kimemponza, hakuna kosa hapo, yeye ndo alijichanganya kujiona yeye mama lao akaw anajicjoresha ovyo kweny media, na alitoa kauli CK ile et ooooh wafanyakaz wamwambie boss wao wamuoe.....😂😂😂😂😂😂
Naona hakuna wa kulaumiwa hapo kilichobaki Zuchu ajitambue na Apache kuimba nyimbo za mapenzi na usitafute mchawi lisemwalo lipo Daimond anakutumia fanya masmuzi tu ila ndoa hamna
Zuchu king'ang'anizi wewe mama yako alikuwa maarufu kweli lakini wewe aliye kufanya umaarufu ni Diamond. Na unajua Diamond siyo kama ndio kafa kwako ila hawezi kukuacha kwa sababu yeye ndie aliyekufikisha hapo ulipo na kwa vile Diamond ana wivu sana hatokubali kukuachia kirahisiii
Kojoa ulale hujui kitu kwani yeye ni mtoto wake eti hawezi kumwachia
Wanahanza tena kiki zao juwa nahona harmonazi na abby chams wanatamba acheni kiki zenu zaki jinga zuchu na diamond tume wachoka tuko buy na harmonazi na Abby chams❤❤❤🐘🐘
Hii ndio maana ya RADIO ya Familia Haina contents
Mshaurini Domo abaki mshauri kama Mbowe anae n'gan'gana na Hana ushawishi tena mashabiki wenyewe wakuunga mdahuu wcb 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila wamezidi kwani haramu kuomba ndoa
3:15 3:16 3: 3:25 3:29 😂😂😂😂😂😂😂
Hapo Sasa zuchu, wewe huja kosa mume
🤣🤣🤣🤣wakome
The interview was not even about Zuchu or diamond so why mentioning her? He just wants drama Shame on Diamond though that he can never protect his woman now I understand what tanasha meant 😩
Hahahah si fm ya kwao ama!😅😂
Zuchu keshagombana na Mondy 😂 ndio maana mdomo!!
Machoko wanataka waendeleee kufirwa ili mkuu aendelee kuingiza pesa
Kwel kbsaaa maana km juma anaonyesha anaumia sana na hya mahusiano atakuwa anafilwa na mond hyu😢
@LindaMbilinyi-n3n hakika......
@@mtzhalisi2232 huzuni😂😂🥲
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka
Shule shule shule ya uandishi wa habari!!!!
Hao washatoka kwenye upepo hamna lolote wamefika mwisho hata Kiki hawana kabisa upepo umekatika 😂😂😂😂
Kiki hawana wakati washaitengeneza hii na tuko hapa tunacomment?
Akanako😂
Hhhhhhhhhhhhh duuuuuuu zuchu atouchezewa tout hhhh na diamonde
We nawe kila siku maandishi hayo...ebu jifundishe kuandika Kwanza
😀😀😀😀 miye najuwa nipovu yakutoka kwa next Netflix ju huku kuna mambo kimnana na chibu.sasa ww zuchu wasikuongeleye kwasababu gani? Hizo ni redio nilazima wataongeya zari kashindwa hamisa hivo hivo tanasha nawengine hata wewe Umesha shundwa tu
Kwani wewe choko unataka kuolewa wewe mbona unatiashaka
Ushoga una kazi huyu juma lokole kila wanawake wakitaka kuolewa na mastaa yy anapinga sijui anataka aolewe yeye
Zuchu uamke wanakutumia mpaka media zao sio mziki tu bora umewapa makavu live
Maraya zuhura
😂😂😂😂😂😂😂
Yani wewe
Diamond and his Chawa family are just hater ,they haven’t posted Zuchu new Album to promote but quick to talk about nonsense . Regardless Zuchu album is doing great without them
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nasikia uchungu 😢😢😢😢Why they are doing this? Every minute it’s zuchu this zuchu that, We’re busy with the album afu wanaleta ujinga hapa nonsense
Tulia wewe hii ni kiki wote wamepanga hakuna hata kitu serious
Hiyo ni biashara
@Bravo-or8oy not Kiki hiyo ni serious 😢
Wamuache zuchu jamani
Zuchu should stop being desperate his family is already against her she should know that man won’t marry her she needs to move on with her life
Diamond is fraud .
Kiki
Hii radio hawamueshimu Zuchu. NONSENSE
Nadhani angeanza kujiheshimu yeye kwanza, ndo ategemee heshima kutoka kwa wengine,kuna vitu vimo ndani yafamilia huezi jua, juma hajitumi anatumwa
@@aairraahseif5648kwahiyo wewe umeona wap zuchu ajiheshimu ivyo unajitambua unavyo sema au unalopoka tu
@safarimusa5946 Yeye mwenyewe ndio kawafungulia njia hawa kwa kuomba ndoa mitandaoni
Wajinga sana hasa Jumalokole