Sekunde moja tu inatosha kusikia nguvu iliyonyuma ya sauti yako. Tuponile Ninakuombea Mungu akutunze. Na endelea kuchota kutoka kwenye hicho chanzo cha nguvu zako.
Swahili Hymns SIONI HAYA KWA BWANA (At the Cross) Sioni haya kwa Bwana, Kwake nitang’ara! Mti wake sitakana, Ni neno imara. Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo; Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo. Kama kiti chake vivyo, Ni yake ahadi; Alivyowekewa navyo, Kamwe, havirudi. Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo; Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo. Bwana wangu, tena Mungu, Ndilo lake jina! Hataacha roho yangu, Wala kunikana. Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo; Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo. Atakiri langu jina, Mbele za Babaye,
Please make other Christ Glorifying. music. God Has Given you the Grace to faithfully sing spiritual songs, unlike the carnal music which is presented nowadays that focus on material prosperity rather than Christ and His Blood Atonement. May God Bless you.
Nabarikiwa sana
Tuponile mama keep it up please,unatusaidia tuaozpenda tenzi na hatujui kuziimba
Iko vzr Mungu akubariki mtumish
Unajua kuimba sana nimekufatilia nyimbo zako zote nazipiga mpaka majirani wamenichoka naomba nitafute kwa ajili yakazi ya Mungu
Amen Asante sana utukufu Kwa Mungu 🙏
The good music arrived
Asanten san Mungu awabarik san maan mmenibarik San naomba Mungu awapeleke viwango vingine tens.
Ubarikiwe sana
Hongera Sana wimbo Safi kabisa
Hongera mnoo my sister. God bless you
Hongera classmate mungu akuzidishiee
MUNGU akuinue sana mtumishi
I love this 💞💞💞❤🍎much love from me👌👌👌 😪😪😪
Kazi nzuri sana dada Tuponile
keep it up dada
Hongera sana mamy wngu Mungu akubariki kwa viwango vingine
Mungu na akubariki sana kwa ajili yake.
Amen..Asante kwa Tupo
Jesus Christ king of Kings and Lord of Lords Amen Amen Amen
Nimeangalia nimesikia mwili kussimka sio kwa upako huo Binti sayuni hongera xanaa gob be with in ur life .....Amen
Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi dogo, hakuna linaloshindikana tukijinyenyekeza kwake!!
Mungu akubariki sana Dada Tuponile, karibu Shinyanga
Great voice
❤️❤️❤️❤️❤️ Glory 🙌
This is my sister....God bless you and may He bless you with overflow anointing 😇
I looove
Congratulations so big Tupo wetu, Mungu azid kukuinua, u have such a wonderful voice dear...keep going
Be blessed 💞💞
What a voice😘your amazing ❤❤🙏
Powerful minister of God....
I love you rommie....
😃😃😍😍 what a blessing to see you launching in greater glory everyday.
Hongera saana Dada.....mungu azidi kukuinua
Ameen kubwaa
Sekunde moja tu inatosha kusikia nguvu iliyonyuma ya sauti yako. Tuponile Ninakuombea Mungu akutunze. Na endelea kuchota kutoka kwenye hicho chanzo cha nguvu zako.
Tenx bro 🙌🙌utukufu kwa Mungu juu
@@tuponilealexander6673balikiwa sana Dada jina la Yesu linatukuzwa kwa sauti yako
Amen. Ndiyo kusudi kuu utukufu urejee kwake Kristo Mwokozi. Umenena vema na umejua hakika.
Amen, Mungu akubariki sana kwa uimbaji wako,
loooh,atu...may lord keep u for our deliverance ..matunda yako yapate kukaa.
God bless you my sister... good vocal range.... the song has blessed me
Very powerful❤✨
Amen utukufu kwa Yesu ubarikiwe
You ruined my morning with the song😭😭😭 Bless you darling 😘😘💚💚
I feel blessed by this song!
Sauti kali sanaaa
Ur blessed dada angu ! God be with you!!
congratulation and keep it up
Hongera sana
Fellow seminarian....
Ur blessed sister 🥰🥰
Hongera Sana dada
Hongera sana,wimbo mzuri
Sana mdogo wangu mimi
Hongera my dear
Safi sana
Umebarikiwa
🔥🔥❤ very beautiful
😍😍😊
Nzriii
Sioni haya kwa bwana
mbele endelea
Swahili Hymns
SIONI HAYA KWA BWANA (At the Cross)
Sioni haya kwa Bwana,
Kwake nitang’ara!
Mti wake sitakana,
Ni neno imara.
Msalaba ndio asili ya mema,
Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima,
Njoni kafurahini papo.
Kama kiti chake vivyo,
Ni yake ahadi;
Alivyowekewa navyo,
Kamwe, havirudi.
Msalaba ndio asili ya mema,
Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima,
Njoni kafurahini papo.
Bwana wangu, tena Mungu,
Ndilo lake jina!
Hataacha roho yangu,
Wala kunikana.
Msalaba ndio asili ya mema,
Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima,
Njoni kafurahini papo.
Atakiri langu jina,
Mbele za Babaye,
Mungu aendelee kukubariki
Powerful.
Good
Please make other Christ Glorifying. music. God Has Given you the Grace to faithfully sing spiritual songs, unlike the carnal music which is presented nowadays that focus on material prosperity rather than Christ and His Blood Atonement. May God Bless you.
Amen
Barikiwa sana