TANZANIA NA JAPAN KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU | KUJA NA MKAKATI WA KUPUNGUZA FOLENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 окт 2024

Комментарии • 7

  • @altentic8616
    @altentic8616 3 часа назад

    Hongera,tanzania kwa kushikamana na nchi za kidemokrasia kama Japan.. hii italeta maendeleo mengi kwa muda mrefu na kutakuwa na uhamishaji wa teknolojia.👏👏👏

  • @ramadhankisila452
    @ramadhankisila452 59 минут назад +1

    Jengeni flyover ndefu kidogo nasie tuwe proud mfano kutokea Morocco hadi mwenge,Tazara hadi ubungo.

  • @magazijuto7991
    @magazijuto7991 7 часов назад

    mngeanza kujenga flyover mwenge kwanza

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp 7 часов назад

    Sawa sawa lakini nyie Tanroads ngonjera za ujenzi darala la Jangwani zitakwisha lini??? Au inasubiriwa mvua zianze Iwe sababu?

  • @CharlesEdwardCvanoedward
    @CharlesEdwardCvanoedward 5 часов назад

    Mhe.umenikumbusha mbali sana nimefanya kazi na KONOIKE na ESTATES kwenye ujenzi wa Barabara ya mlima Kitonga

  • @donking-d4t
    @donking-d4t 5 часов назад

    Daah kweli kiswahili Tz hakuna, waziri mzima kiswahili kibovu namna hio

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 часов назад

    Mbona tangu zamani? Kwa kuonesha Rais kafanya maendeleo ni lazima mseme uongo?