Hadithi ya Santa Claus | Santa Claus Story in Swahili | Hadithi za Krismasi kwa Watoto

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 окт 2024
  • The Story of Santa Claus in Swahili | Christmas Stories in Swahili | Christmas Fairy Tales in Kiswahili | Hadithi Za Kiswahili Mpya 2021 | kiSwahili Fairy Tales | Hadithi ya Santa Claus
    Please Subscribe for more videos and stories like this:
    www.youtube.com...
    #HadithizaKiswahili #SwahiliFairyTales #HadithizaKrismasi
    Palikuwa na tajiri mmoja aliyeitwa Nicholas, aliyeishi katika ncha ya kaskazini.
    Alikuwa mtu mkarimu. Alipenda sana kufanya mambo ili kuwafurahisha watu na kuwashangaza.
    Nicholas alikuwa na mazoea ya kipekee. Alipenda kuchonga michongo ya kuchezea ila hakuna yeyote aliyeona hayo michongo.
    Ilikuwa siku ya krisimasi na Nicholas alitamani kufanya jambo la maana kwa watoto waliyoishi karibu naye.
    Akiketi asubuhi moja, alipata wazo zuri.
    Nicholas alikuwa achonge michongo ya watoto wote iwe kama zawadi kwao ya Krismasi.
    Aliamua kuwa angepanda juu ya dohani ya nyumba zote na kuteremsha zawadi ile katika kila nyumba ambapo kuna mtoto.
    Usiku wa manane, alipanda kwenye nyumba ya kwanza na kutupa zawadi kupitia kwenye dohani.

Комментарии •