Hongereni sana, inawezekana leo watu baadhi wasiwaelewe ila ipo siku watawakumbuka. Hakika ninyi ni wazalendo. Ni dua yangu mbele za Mungu aliye hai awatunze na kuwafanikisha katika malengo yenu kwa Taifa la TZ. Mungu ibariki TZ na Mungu wabariki watu wako hawa.
Ongereni na pongezi nyingi sana kwenu kwa wachache ni ngumu kuwaelewa kwa kile mnachofanya lkn kwa kina maana kubwa sana maana hkn serekali yoyote Duniani itakayofanya mipango yake ya maendeleo pasipo kujua idadi ya wananchi wake,M/MUNGU awasimamie........Amina.
Acheni kudanganya watu hakuna uzalendo wa kipuuzi Kama huo kwanza kutembea nchi nzima ni uongo na kutembea mme na mke sio mke wako inakuaje na Kwa Nini msitafute shamba shamba mkalime.
Mimi naweza kujiita mzalendo pale naisema serikali iliopo madarakani ikikosea na ikipatia kuipongeza lakini nchi yetu daima vyombo vya habari na wasani wanapongeza serikali iliyopo madarakani at kama inakosea ety kisa wapate kula na kusifiwa wapo pamoja huo ni unafki sema ukweli ukuweke huru
Kuna kila sababu ya kutoa elimu kuhusu UZALENDO. Uzalendo sio kujitesa! Uzalendo sio kubeba mabango au kutembea kwa miguu, baiskeli nk. UZALENDO ni dhana pana sana.
Tatzo sio uzalendo bali vjana wamekosa Kaz za kufanya mngekuwa nakaz za kufanya msinge pata mda wakuzunguka hvyo vijana tufanye Kaz kwa bidii tusipende kutegemea mafungu bro
Serikali nayo imelala unaangalia watu vitu azina Kochwa kwani technology yenu mpaka Leo iko Nyuma hivyo nashangaa hawa watu tangazeni Kwa station za radio Na runingaa,mtaamka lini lakini Aki acheni hizo
😂😂😂😂😂 Eti wanatembea kwa Miguu nchi nzima hahhahaahhaaaaaaa Ni nchi ipi iyo ! Tanzania imekua uwanja wa mpira nini ! Pelekeni ujinga wenu uko Na wapongeza kwa uzalendo ila pelekeni ujinga wenu kwa kunidanganya eti Tanzania nzima kwa miguu Nyoooooooooooooooooooooo
Mh by foot huo siyo uzalendo ni matumizi mabaya ya muda na icho ndo kinatumiza watu weusi me ningewaona wazalendo kama mngeisemea serika ukweli pale wanapo kosea na pale wanapopatia kuwapongeza acheni kupoteza mda mwisho mtapata maradhi muanze kuomba msaada wa kurejea mlipotoka
Vijana nendeni shambani Mkajiajiri kwenye kilimo Naamini kwa Tanzania hii huwezi kukosa kabisa eneo la kulima Naamini kinachowasumbua Ni ukosefu wa ajira na njaa Na si uzalendo !
Mbwa nyie hamna kazi za kufanya uzalendo gani upuuzi unailinda nchi ww mnalala wapi 🤣🤣msipotumia akili vzr ujanani na kujishughulisha mtaitesa Sana miili yenu baadae uzeeni endeleeni kupoteza mda usije ikamtia mimba dada wa watu mjinga we🏃🏃🏃
Bora mtangaze hayo mwingine lakini kuhusu CHANJO siwaungi mkono SEMA tu hamjui kilichomo NDANI yake hizo CHANJO Ila ipo siku mtàkuja kujua system inapoanza kufanya kazi
😁😁😁😁😁 Eti kitembea nchi nzima ivi mnatuona sisi wajinga Jambo mnalofanya nizuri sana tena sana lakini kitembea kwa miguu hapo mmetupiga kitu kizito kichwan
Mnapoteza MDA mkizeeka mtakuwa hoi Sana tembea bila kujiengeneza maisha yako
Ukisema ivo unakosea kwasababu sio wonte Nimatajili umemanisha wanapoteza Munda kutafuta maisha ety wanatembea naomba uteguwe kauli
Njaa sio nzuri
Hongereni sana, inawezekana leo watu baadhi wasiwaelewe ila ipo siku watawakumbuka. Hakika ninyi ni wazalendo. Ni dua yangu mbele za Mungu aliye hai awatunze na kuwafanikisha katika malengo yenu kwa Taifa la TZ. Mungu ibariki TZ na Mungu wabariki watu wako hawa.
Ongereni na pongezi nyingi sana kwenu kwa wachache ni ngumu kuwaelewa kwa kile mnachofanya lkn kwa kina maana kubwa sana maana hkn serekali yoyote Duniani itakayofanya mipango yake ya maendeleo pasipo kujua idadi ya wananchi wake,M/MUNGU awasimamie........Amina.
SUPER MTANGAZAJI,SIMPLE AND SHORT QUATIONS.... HONGERA
Heee njaa hizi lazma tuseme nazo jmn
Safi sana mungu awabariki mbona hujamhoji dd
Oooh allah hakika kila penye mwanzo pana mwisho hara wanadamu wafanyaje kama riziki ni ya mtu itabaki kuwa yake tu
Mashaallah nguvu moja💪🔥🔥🔥🔥
Kwa mabango hayo, lazima serikali iwape fungu la maana na huwenda wakawa mabalozi wa sensa na chanjo ya uviko- 19
Hasa dude lenyewe mmetengeneza naona kama ni zito mnatumia nguvu mtamaliza mikoa yotee kweli
Hii Ni Sanaa
Nchi yenye wapuuzi watupu wanasahau majukum yao wakiwa vijana
Mmmmmmh mimi huo uzalendo sina kwakweli
Mnalala wapi
Acheni kudanganya watu hakuna uzalendo wa kipuuzi Kama huo kwanza kutembea nchi nzima ni uongo na kutembea mme na mke sio mke wako inakuaje na Kwa Nini msitafute shamba shamba mkalime.
We unafikiri mda wanaozunguka wanakula nn? Na wanafaidika nn wanatuongopea ni mchongo huo
Hamna kaz mbwa nyinyi kalimeni mnajitesa tu hafu hamaambulii kitu shika jembe kalime
Kwa mwendo huo ni miaka5
Awana kz yakufanya Bangi mbaya sana
Kwanza nicheke mie😅😅😅😅
HAO HATEMBEI KWA MIGUU NCHI NZIMA WASITUDANGANYE
Huyo Dada kanuna au kachoka?
Anajikaza tuu
Hatakama iwekwe kipingamizi namna gani itarudi kuwa haki tu
wanatafuta rawama2 ili bdae waseme serikari haitujali haitupi chochote kwani mlitumwa
Madhara ya kutoajiri kwa mda mrefu ndo haya matokeo
Mimi naweza kujiita mzalendo pale naisema serikali iliopo madarakani ikikosea na ikipatia kuipongeza lakini nchi yetu daima vyombo vya habari na wasani wanapongeza serikali iliyopo madarakani at kama inakosea ety kisa wapate kula na kusifiwa wapo pamoja huo ni unafki sema ukweli ukuweke huru
Hakika we jembe nimebkukubali 🙏🙏🙏💕💕🇹🇿🇹🇿🇹🇿
huko maporini ngoja mkutane na MAJAMBAZI muuwawe, mna dhalilisha wasukuma
Kuna kila sababu ya kutoa elimu kuhusu UZALENDO. Uzalendo sio kujitesa! Uzalendo sio kubeba mabango au kutembea kwa miguu, baiskeli nk. UZALENDO ni dhana pana sana.
Hapo sawa
Mmekosa kazi
Vichaa nyinyi madishi yanayumba
Dada atafikia labor moja kwa moja ili azae tu ....dada mwenyewe kanuna kama kala ukwaju
Hapo hakuna kazi. Hapo ni ngoswe, penzi kituvo cha uzembe. Hakuna chochote kitakachotokea hapo.
Tatzo sio uzalendo bali vjana wamekosa Kaz za kufanya mngekuwa nakaz za kufanya msinge pata mda wakuzunguka hvyo vijana tufanye Kaz kwa bidii tusipende kutegemea mafungu bro
Safi sana kila kitu kinawezekana
Mpaka mmalize hiyo safari huyo Dada atakuwa tayali ana mimba ya miezi mitatu, jiandae kutoa mahali kabisa.
😄😄😄😄 mtakuja kuvimba miguu ukienda hospitali ndio mtajua kua hii nchi ngumu
Wako vzr
Serikali nayo imelala unaangalia watu vitu azina Kochwa kwani technology yenu mpaka Leo iko Nyuma hivyo nashangaa hawa watu tangazeni Kwa station za radio Na runingaa,mtaamka lini lakini Aki acheni hizo
Mtafia njiani, watu wanakula hela nyie mnajitesa tu
Kazi zenyewe akuna hichi ndio tulicho kiacha ni kubeba mabango ndio tumekiacha
basi ndyo maana hauchoki, mnalala wapi mkichoka 😂
Si wakachunge ng'ombe jaman🤣🤣🤣 desi shaur yako
Mmhhj,🤣🤣ety kwa mguuu. C wangebaki vipara kama tairi za gari... wazarendo wa michongo haoooo
Akili wameishiwa hao!
Hawana kazi hawa
Waongo
Uzalendo gani nawakati sisi teali ni Mali ya mzungu
mzalendo alikua Nyerere na maguli hakuna tenaa.
😂😂😂😂😂 Eti wanatembea kwa Miguu nchi nzima hahhahaahhaaaaaaa Ni nchi ipi iyo ! Tanzania imekua uwanja wa mpira nini ! Pelekeni ujinga wenu uko Na wapongeza kwa uzalendo ila pelekeni ujinga wenu kwa kunidanganya eti Tanzania nzima kwa miguu Nyoooooooooooooooooooooo
Hao waache umbea hawatopata kitu chochote wanajichosha tu kutembea waache ujinga warudi wakafanye kazi hatuna cofid hap
Kubwa tuu mtt wa watu asije akabebea mimba brbrni hiyo safari itakuwa ngumu sana
Wamefika wapi Hadi sasa jamani 🤣
Hawawezi tembea kw mguu nchi nzima
Washezi hawa hawanakazii 😏😏
Hakika nyinyi ni wazalendo wa kweli
Kuchanja ndio mkome kabisaa tangazani mengine
Mpaka unamalizia hiyo safar nadhan tutapata na kachanga
Mh by foot huo siyo uzalendo ni matumizi mabaya ya muda na icho ndo kinatumiza watu weusi me ningewaona wazalendo kama mngeisemea serika ukweli pale wanapo kosea na pale wanapopatia kuwapongeza acheni kupoteza mda mwisho mtapata maradhi muanze kuomba msaada wa kurejea mlipotoka
mnatumalizia bandoo milard
Daaaa
Niliwaona na mlikuwa nao na sio mmekitana
Kazi mnayo
Wanatfta kiki awa kw mama Samia ili wagange njaa
Alafu mbona host kawa mmbaguzi jamni...
Hajamuhoji dada mbona ama me ndo sijaelewa?
Niwashaurii mpige pichaa na mikoa. Yote muweze kushut na kutoa move ya history
Kutembea dar nzima muhimbil utapumua kidg
Daaaa sio poa
Ww unampango wako na uyo dem
Pesa za matumiz mnatoa wap Kula kunywa na n k
LENGO kikuamsha hamasatu kwa vijana kuipenda nchi yao
Duu nimejikuta nacheka tu kwa sauti
Mmeshakuwa wapenzi
Sasa kutembea kite huko
Mnakula kwenye vichaka Yale mambo yetu
Hawana kazi ya kufanya wanakula nini wanalipwaje hawana family😂😂😂😂
Bangiiiii
Bongo kwa kutafuta umaarufu na mwishowe jitu kitakwenda kimya barabarani
mafala hawa yani wamekosa kazi kwa kweli
Hahahaaaa kule raisi alisema awape zawadi eti kanga karamu na tisheti hahaaaa
Vijana nendeni shambani
Mkajiajiri kwenye kilimo
Naamini kwa Tanzania hii huwezi kukosa kabisa eneo la kulima
Naamini kinachowasumbua
Ni ukosefu wa ajira na njaa
Na si uzalendo !
😂😂kweli hawana kz
Kwaiyo wapo mtu na mke wake 😂 wajanja Sana hawa
Hahahaha 😆🤣🤣
Upuuzi huo
Kutembea wa mguu nchi mzima unafikir ni utani musitufanye sio mabwege,tena kwa mwendo huo..😳
😂
Na sutii
Jamani hivi vitu si vinatangazwa kwenye vyombo vya Habari huu muda si mngefanya kazi km kweli ni wazalendo 😒
Wastage of time uzalendo ni maisha sio tukio
Njaa tu Dada yangu!
Acheni uongo
Nyie mmechanja
kwaiyoo zanzibar mnapasua bahari kama musa
😂😂
😄😄😄😄😄😄 wamechanja wakachanganyikiwa😁😁😁😁🤒🤒🤒
Mhhhhhh
Wanajikuta vasco dagama
Hakuna Tanzania visiwani
Duh
Mbwa nyie hamna kazi za kufanya uzalendo gani upuuzi unailinda nchi ww mnalala wapi 🤣🤣msipotumia akili vzr ujanani na kujishughulisha mtaitesa Sana miili yenu baadae uzeeni endeleeni kupoteza mda usije ikamtia mimba dada wa watu mjinga we🏃🏃🏃
Dah
Kwa hiyo na hapo bado unaota?
@@patrickmsekwa7773 nikujibu nn
Uongo tu nyie
Mkamwambie mwiguru
Inahitaji moyo kusukuma damu kweli. Hamfiki hata mikoa 15mshazalishana, uzalendo shughuli pevu mjue. Ohooo
😄😄😄😄😄😄
Jamani jamani muda wa kufanya kazi mnazunguka muda mnaopoteza ungekuwa labda mmepewa fungu
Bangi hizi
Pumbavu wee uzalendo sio kuchanja uviko 19, unajua hayo madawa ya uviko 19 yamewekwa nini ndani yake? mabebelu sio wajomba zetu watuletee chanjo.
Watu wanapiga hela wewe unaburuza mkokoten eti uzalendo.Uzalendo? Nenda ukae na familia yako pumbvu zako!!!!
AWA YA KULIPWA MADENI YAKO m.ruclips.net/video/NzCJvpVkxHI/видео.html
Wameisha anza kuvimba mikono na miguu
Bora mtangaze hayo mwingine lakini kuhusu CHANJO siwaungi mkono SEMA tu hamjui kilichomo NDANI yake hizo CHANJO Ila ipo siku mtàkuja kujua system inapoanza kufanya kazi
😁😁😁😁😁
Eti kitembea nchi nzima ivi mnatuona sisi wajinga
Jambo mnalofanya nizuri sana tena sana lakini kitembea kwa miguu hapo mmetupiga kitu kizito kichwan
🙊🙊🙊🙊😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 waongo