Yaani unaambiwa njoo uombewe upate pesa unatafuta pesa kwa nguvu zako ukipata unaambiwa njoo umshukulu mungu kwa kumpaa mchungaji pesa bado hatuoni kama tunapigwa
Raisi mchaguliwa wa unyamwezini atachukua ndege hivi karibu na yule wa kikofia na kanzu nae pia atachukua ndege na ndege zitaelekea kwenda kwa yule mwenye kuvaa kilemba na kanzu kule sasa ndio wanapanga mikakati yao. SALUTE GHETTO YOUTH.
Nawakubali sana ila kwakua serikari inapenda inapenda kuwaburuza matahila kwa kivuli cha dini mnaweza fungiwa make mnawasanua watu wasiendelee kuburuzwa....mimi kitambo nilishtuka lile andiko eti mamlaka yoyote imewekwa namungu ndo niliposhtuka
Chochote cha kimungu kina tabia ya kuunganisha sio kugawa . Dini ni lebel tu ambayo tunafundishwa itudifine lakini sisi ni beyond hizi label the only thing we have in common is Humanity na ndio kitu inatakiwa kuki embrace. Mimi ni mtu Huru sipaswi kuwekewa mfumo wa nini niamini na nini nifanye uwezo wa kufikiri na kutambua mema na mabaya upo ndani yangu. Migogoro yote ulimwenguni imeletwa na labels ambazo tumefunzwa kuzipokea na kuacha zidefine utu wetu. Labels hizi ni Dini, Rangi, ukabila etc
@@VictorMwashanula-z6w this is nonsense. Kaka we ni mweupe sana Kabla haujasema Imani inasajiliwa, elewa kwanza sababu ya kusajili makanisa ni ipi ! Ndipo uanze kuandika huo upuuzi
Sisi hatuna dini, tunaziishi tamaduni za watu Baada ya kuacha ukuu wetu wa kilimwengu , kuna hawa wavaa kanzu na kikofia wanakwambia dini ni njia, sasa Sijui njia ya kwenda wapi.
Napata shida sana Na watu wanaowaelewa hawa Jamaa, wanaodhani wao wanauelewa wa juu sana, binafsi hawajamaa hawaeleweki, wanachanganya sana mambo,bad enough wanaamini tunaowasikiliza tuna epeo mdogo wa uelewa. Hawa jamaa weupe sana, hawajui mengi ila wamemezeshwa vitu vingi vya hovyo Na kwa upeo wao Mdogo ( ambao wao wanaamini ni mkubwa) wameamini.
Watu kila siku nawauliza Basic reason ya kusema Mungu yupo ni nini? Yaan wewe unarealize vipi kama mungu yupo watu hawana majibu,wazungu hapa wametupotezea muda sana,kwa africa dini ni biashara,na mungu ndio bidhaa yenyewe
nashangaa, hw mwizi/(mtu akikusea) unamsomea albadir apatwe na majanga na inafanya kazi. oh fk that men, kwanini sasa unamwambia mungu amdhuru mwenzio na anakubali. Ah mameen si uchawi huo
Nimewaelewa vizuri..lakini naomba kama mnaweza kutoa maelezo kidogo.Kuna dini moja hairuhusu watu wake kupiga kura Wala kua na nafasi yoyote ya kisiasa (wanapinga siasa kwa ujumla)iyo pia ni sehemu ya kilainishi?
Mim ni Muislam ila najiulizaga u Cristo na Roman italie Vinamahusiano gani Mbona Yesu alikua Muyahudi naalishi pale Jerusalem alipozaliwa nando penye amefiya lakin dini inayosema yesu nimungu ikaanzishwa Kwenye inchi nyingine namakao maku Takatifu kwawacristo ni Vatikan kule Roma how come mwenye uwelewa plz naomba kunielewesha apa kwenye comment...
@@blueboybajos6880 hakukuwa na mtu halisi anaitwa yesu wala hajawahi kuishi hapa duniani. Mrumi (roma) ndio aliyetunga hiyo hadithi ya yesu na ndio mwanzilishi wa huu mradi wa ukristo.
Yaani unaambiwa njoo uombewe upate pesa unatafuta pesa kwa nguvu zako ukipata unaambiwa njoo umshukulu mungu kwa kumpaa mchungaji pesa bado hatuoni kama tunapigwa
Nawaelewa vizuri
Kazi nzuri wakubwa nawakubali sanaaaa❤❤🎉
Raisi mchaguliwa wa unyamwezini atachukua ndege hivi karibu na yule wa kikofia na kanzu nae pia atachukua ndege na ndege zitaelekea kwenda kwa yule mwenye kuvaa kilemba na kanzu kule sasa ndio wanapanga mikakati yao.
SALUTE GHETTO YOUTH.
Content hii iko level za juu sana!
Mkileta ideology za Dini ndo nakesha kuzisikiliza saa 24 keep good work wachokonozi
Keep hitting they hear you brothers
Dini zimetufanya kuwa mazezeta 😂😂😂
I'm watching this from south Africa geographical I wanted to let you know that I'm really proud of you guys keep teaching us one day we wanna wake up
😂😂😂 hapo tulipigwa sana hata serikali ni watu na watu ndo wenye dini 😅😅😅
Nawakubali sana ila kwakua serikari inapenda inapenda kuwaburuza matahila kwa kivuli cha dini mnaweza fungiwa make mnawasanua watu wasiendelee kuburuzwa....mimi kitambo nilishtuka lile andiko eti mamlaka yoyote imewekwa namungu ndo niliposhtuka
Chochote cha kimungu kina tabia ya kuunganisha sio kugawa . Dini ni lebel tu ambayo tunafundishwa itudifine lakini sisi ni beyond hizi label the only thing we have in common is Humanity na ndio kitu inatakiwa kuki embrace.
Mimi ni mtu Huru sipaswi kuwekewa mfumo wa nini niamini na nini nifanye uwezo wa kufikiri na kutambua mema na mabaya upo ndani yangu.
Migogoro yote ulimwenguni imeletwa na labels ambazo tumefunzwa kuzipokea na kuacha zidefine utu wetu. Labels hizi ni Dini, Rangi, ukabila etc
Weweeeeeeeee💪💪💪💪
Dini ni program tu.. za kibiashara na divide and concure ✅
Wameshaanza kugawa magari huko na maaskofu wameanza kutoa hotuba za kisiasa huko😅😅
Dini ni mifumo iliyoundwa au utamaduni ulioundwa ili watu waufate.
Na aihitaji dini ili uwe na upeo.
kijana ameniwakilisha vizuri sana.
sema hii content mngeifanyia sehem iliyotulia ingewafungua hata wenye masikio japo hawasikii😂😂
Sabuni ya ubongo 🧠🙌🙌
Mkifa mtamuelewa mungu ila sasa mtakua mmechelewa sana
mwenye akili lazima amuelewe mchokonozi much love ❤❤❤🎉
Muko sawa kabisa nyinyi nawaunga mkono kabiss
Ni kweli kabisa ......dini inapumbaza watu
Uyu jamaa anaemuhoji joseph mbona ana kihereerhere sana. Tunaaomba anyamaze joseh aongee tuppate ppoint
Yes...naunga mkono hoja ya kufungua group la Whatsapp ili tupate maono halisi bila kupoteza💯💯💯👏👏
Hii conversation yenu ya leo ni makin sana sana sema kwanini mmeifanyia kwenye makelele ya barabaran wazee wetu
Jamani ila ni kweli dini ni mchongo kabisa bnafsi nishaachana na mambo ya dini
Na ndio maana inasajiliwa,uliona wapa Imani inasajiliwa
@@VictorMwashanula-z6w this is nonsense. Kaka we ni mweupe sana
Kabla haujasema Imani inasajiliwa, elewa kwanza sababu ya kusajili makanisa ni ipi ! Ndipo uanze kuandika huo upuuzi
Serekali ndo inayo miliki watu imani zawo na mali zawo hatari sana
Tuko pamoja sana nyie walimwengu wenzangu Naendelea kuwafatria mda wote
Wachokonooozi aakili kuubwa kwa mwafrika
make kwanza ncheke😂😂😂,,afu kuna zwazwa hazijashtuka
Oa wachokonozi tufanyeni revolution hii nchi nyie ndo muiongoze
Dini inamiliki serikali
Tungewaomba muunde group la WhatsApp ili tue tunajifunza pia kiundani zaidi kiufupi tunashukulu Sana Kaka zetu
Dini zimefanya madhara makubwa kushinda ak47
Oya mlindoko,unaelimu Gani bwana?.
Bien sûr ❤
Sisi hatuna dini, tunaziishi tamaduni za watu Baada ya kuacha ukuu wetu wa kilimwengu , kuna hawa wavaa kanzu na kikofia wanakwambia dini ni njia, sasa Sijui njia ya kwenda wapi.
Mnatisha kak
Mtu akija kutukana apa aje na hoja so unatukana tu toa nondoo kichwani watu dini ni mafala sanaaa😂😂😂😂😂😂😂
Sasa inawezekana dini ikawa ni matokeo ya behavior na culture za watu lakin mungu atabaki kua mungu kwasabababu kila kitu kuna kilipoanzia
Mungu ni nan..!? au nan yupo nyuma ya hili jina la mungu...😂 Elim yako ya kifala😅
Ukiona wewe nimkubwa ujuwe kuna mwingine zaidi yako, we tembeya utaona dunia ina ficha mengi sana.
habari walimwengu fanyeni setup za sauti Zina mkwaruzo maana mnachotupatia hakijawahi kutokea
Let's Collaborate
Nyie upumbavu we utafika mwisho wenu nyie utafika tu
Ndugu zangu mko mbele ya muda kinoma dunia ya sshv na ijawo dini cyo vitu vyetu tenaa
Napata shida sana Na watu wanaowaelewa hawa Jamaa, wanaodhani wao wanauelewa wa juu sana, binafsi hawajamaa hawaeleweki, wanachanganya sana mambo,bad enough wanaamini tunaowasikiliza tuna epeo mdogo wa uelewa. Hawa jamaa weupe sana, hawajui mengi ila wamemezeshwa vitu vingi vya hovyo Na kwa upeo wao Mdogo ( ambao wao wanaamini ni mkubwa) wameamini.
Ishu ni, hoja yako ni ipi? Kama hao jamaa ni weupe wewe una weusi gani tuoneshe...
Leta hoja tuone wew upo deep kiasi gan bas yye kasema dini inalainisha mioyo ya watu ili watawalike kirahisi wew hoja yako ni ipi
Weka nao mdahalo kaka ukimaliza dak 10 niite mmbaa Niko paleee
@@wewa7329
Inalainisha how? Acha majibu ya kitoto bwana
Unateseka Ukiwa Mtaa Gan Toa Fact Na Ww Kama Unazo...
Watu kila siku nawauliza Basic reason ya kusema Mungu yupo ni nini? Yaan wewe unarealize vipi kama mungu yupo watu hawana majibu,wazungu hapa wametupotezea muda sana,kwa africa dini ni biashara,na mungu ndio bidhaa yenyewe
Today I'm the first one 😅
Wapumbavu nyie
Exactly
Nyinyi akili zenu ni 0 mpaka mukubali kuwa vitu vyote vimeumbwa na muumbaji yupo
Unachekesha
nashangaa, hw mwizi/(mtu akikusea) unamsomea albadir apatwe na majanga na inafanya kazi. oh fk that men, kwanini sasa unamwambia mungu amdhuru mwenzio na anakubali. Ah mameen si uchawi huo
Jidanganye siku ujidanganye kwenye dini nikikamilisha mpango wangu ndio utajua ukali wa dini Inshaalah
Hua mpo kivitisho zaidi 😂😂😂
Swala ni moja nyny watu wadini ndo watu pekee mnaoishi kwa hof ila sisi wengine buruda tu
❤
❤❤❤❤
✍️✍️✍️
Hapo wap mkuu
Nimewaelewa vizuri..lakini naomba kama mnaweza kutoa maelezo kidogo.Kuna dini moja hairuhusu watu wake kupiga kura Wala kua na nafasi yoyote ya kisiasa (wanapinga siasa kwa ujumla)iyo pia ni sehemu ya kilainishi?
@@magrethprosper3397 Rais wa nchi akifika kanisani kwao watamfukuza??😅
@@wachokonozi_ Ilo nalo meno !!🤣Ila walisema wanakaribisha watu wote Ila ukitaka kubatizwa lazma uache hayo mambo😂
wachokonooozi aakili kuubwa kwa mwafrika
Hiv Ni Nin Kinasababisha ,,Mtu Akipandishwa Cheo Popote,Na Tabia Yake Inabadilka %99,,Kisaikorogia
Sio anabadirika tabia baada ya kupanda cheo ,ni kwamba umaskini ulificha tabia yake asili
NyievilazA,kamavilazawengine
Mim ni Muislam ila najiulizaga u Cristo na Roman italie Vinamahusiano gani Mbona Yesu alikua Muyahudi naalishi pale Jerusalem alipozaliwa nando penye amefiya lakin dini inayosema yesu nimungu ikaanzishwa Kwenye inchi nyingine namakao maku Takatifu kwawacristo ni Vatikan kule Roma how come mwenye uwelewa plz naomba kunielewesha apa kwenye comment...
@@blueboybajos6880 hakukuwa na mtu halisi anaitwa yesu wala hajawahi kuishi hapa duniani. Mrumi (roma) ndio aliyetunga hiyo hadithi ya yesu na ndio mwanzilishi wa huu mradi wa ukristo.
Kuokoka ni lazima Kuna siku mtaokoka tu
Yanikatikawapumbavukumidunianinyiewatisa.
Explain kwa fact na siyo kutukana. Haya tupe fact zako binafsi kwa nini umesema hawa ni wapumbavu...?
😂😂@@michaelkonga2975
Umeandika au umechoronga
Wee ndo mpumbavu mkunduku wako
WewenimpumbavukabisaAa
We ziro
Kwa ndika kwenye kipengele
❤