There is one thing that make me your great fan.... unaimba mapenzi ndio lakini sijakuskia ukiimba uchafu kama wale wasenge... aslay mimi shabiki wako mia kwa mia
Jamani watu ni waongo kama konki kasema eti huyu hana inshu lolote anacheza karata na huu wimbo je aslay baba tunakupenda nanyimbo zako uko juu sana endelea kujiamini wala usiwajali na hizo porojo zao kama za wambea na vijidudu mtu.
Kama unajua unaomba like we ni mshamba sanaa... comment kitu ambacho watu wakisoma wanajifunza kutokana na wimbo wakupe likes au mawazo gani positive ya ku push sanaa ..izooo likes sio sadaka waomba likes nyie🤣🤣🤣🤣 Tukubali kukoselewa na kujifunza
Asley asikutishe yeyote uko vizur, kuna watu hawajui mzki mzur yan wanashangilia matusi mda wote, ukisikiliza nyimbo zao hazina story hata kidogo,,, hata ukisema nyimbo zako uzitumie kutengenezea films unapata popote hata kanisan zinabamba. Achana nao endelea kuburudisha waache na misifa yao wakijenga choo wanaweka RUclips jinga xana hawa
Ninapo viskiag vi songs flani huwag vinan pigia kelele ila baadae najuw kuna song ambayo itakuj ku ondoa fujo na kelele hizo...kwang u the best artist dunia nzima nawal sijal umaarufu wama artist wengin.... #U_MADE_IT as i wish #AslayIsihaka #NguvuYaUma #DingiMtoto #SingleBoy
Mbona waafrika tunakuaga ivi saa zingine mtu ameng'ang'ana akatoa nyimbo badala mumpongeze kila mtu tu ni like anataka ata hardwork yake haionekani tena kazi tu ni kuomba likes tu izo likes zinawasaidia na nini sasa ama hua mnahisi raha kidogo, bana stop looking for validation from others kheeeeee. Congratulate someone and acknowledge them for their work, nobody gives a fuck kama wewe ndio wa kwanza kuona ama unatoka sijui wapi sote tumeona kazi yake nzuri mpongeze na we support good content, dont be selfish and egoistic its not always about you period. Congratulations Aslay nice job!! Kudos!!! Continue working hard and all the best with your lovely daughter. Cheers!!!!!!!!
Naomba like 20 tu! Kwahajili ya hii ngoma kali.
Nipo pende za Pennsylvania Harrisburg USA .
From congo
*Moyo ukiwa jeuri mie hata unazidi akili ila wangu niliupa moja sukuma tu damu mengine achia body parts zingine zifaidi🤗🤗... song ipo 💣💥🔥*
Tangu nianze ku Comment nyimbo za Aslay leo ndo nimekuwa wa 33 daaahh asante Mungu Sikutegemea🙏🙏💣💥 Enjoy mziki mzuri sasa
Issa Naseeb ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
@@Zanzibar_quiztv mbona nilishawahi ku Subscribe mzee kitambo
🔊🕪🎶🎵♩jaman uyu mtoto anajuaaa aseee🕪🎵🎶🎶🎶 ...kwama huamini usigonge like hapa🎺
Team aslay tujuane jmani niachen nisem nitambe na moyo wangu😍😍😍😍😍
Nakubaliiii sanaaaaa
Bro you're the best I wish one day you can come to visit Rwanda we can meet
Hamadi Rachid ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Moyo wangu kichefuchefu umegoma vitu vichafu unataka vitu nadhifu vya kuuridhisha mwili..aslay respect broo
from kijijini migori kenya si mnipee hata likes tumwomyeshe asley upendo nawapenda nyote💕💕💕💕
Hi ,kijijini sehemu gani uko Migori,mm nmekulia kijiji cha Osingo na kusoma Kokacha Primary School ,ila now npo kwetu uku Tz
AMOS OCHIENG 8j.
@@mkuurditv4227 nko suna east nyabisawa
@@Amosrock4321 sawa sawa kiongozi ,ukmpata mtu ambae yuko upande wa Osingo tuwasiliane
Kali sana
Asante Mungu kwa kuluhusu wazazi wangu wanizalie Tanzania nchi nzuri , nyenye wasanii na vipaji vingi vizuri.
Team kenya tuliopo ughaibuni tujuane..tumerauka huku .Wenye free wifi zenu na pia sisi wenye tuna unlimited internet tupo..
#MoyoKiburi
Ndani
Armour Hajj ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Tupo wengi
Niko ndani
Moyo kiburi
Kama umeona jicho la huyo mtot lilivyo zur😂😂😂😘😍
All the way from Kenya umekua msanii nimekupenda kwavibao vyako vyenye msisimko BIG UP
Mdogo wangu aslay hapa tuko pamoja ....leo mnipee like hata kama ni 100 tu jameni....
enjoyable vedios ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Sana
Hamonayz
Daah mozah amekua mung akuwekee mwaya mashaallh na nyimbo iko pw najua huniangushagi walah yaan wew ndo my favourite aslay so sweet👌👌👌💕💕piga kazi baba
Bup aslay naomba like zenu wa tz from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
✌️🇨🇩
Baba..... Umetishaaaaaaa sana dingiiii ungekuepo hapa ningekununulia nyagii ndogo kwanzaa
Jamani na mimi leo naomba likes...
Aslay Oyee 🔥🔥🔥
Is-haq Kippaya ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Is-haq Kippaya mh!!
Kila mtu gonga like sa Mi sitki hata moja soma comment tembea 💪👊ngoma Kali Asly
This is awesome
#KE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love aslay
KDG COMEDY ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
There is one thing that make me your great fan.... unaimba mapenzi ndio lakini sijakuskia ukiimba uchafu kama wale wasenge... aslay mimi shabiki wako mia kwa mia
Mbosso hana jipya kwako wanaokubaliana na mimi aslay karudi kwenye chati yake hakuna mbosso wala lavalav sasa nipen like jaman
Niachen nitambe mwenyewe na moyo wangu jeul ,Daaah mdogo umejua kunifuraisha jaman ipo vzr👏👏
Like nyingi kwa Aslay nyimbo Safi
Mungu aksaidie Sana aslay nataman cku tshushe timu za mbla wamiguu,ata awajui lolote wachaf 2!
*Rep team Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 register here tukisonga 👍👍🇹🇿🇹🇿*
👇👍👍👍👍
Kevoh Wa Pipeline Transami ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Respect from Kenya, mko wapi likes zenu
Tuko tuko
Jamni nampenda sana
Jamani watu ni waongo kama konki kasema eti huyu hana inshu lolote anacheza karata na huu wimbo je aslay baba tunakupenda nanyimbo zako uko juu sana endelea kujiamini wala usiwajali na hizo porojo zao kama za wambea na vijidudu mtu.
Weka 👍like yako apo kama wewe ni mshabiki kweli wa aslay 🏅🎤🎧🤙🏽🇹🇿🇹🇿
Amonaiz
Pamoja xna
Hie
Gonga like nyingi kea aslay maana anajitengenezea mashabiki wake yule mwenzake anatembelea mashabiki wa mtu
Wangap hawapend tabia ya watu kuomba likes😐😐iv mnafanyiaga nn hizo likes. Aslay nakukubali
Jamanii song nzulii salutii kwako asilay mwili mdogo Mambo makubwaa
Eeh nikama wanakula hizo like wajinga sana
Inachukiza sana
Aslay hodari
@@jenifferfalnadesseaus5671 mambo
Hujawahi kuniangusha blood...na Mimi like kama zote leo..
hongera kakangu kwa moyo ulionao wakumjali mwanao mungu akueke na akuzidishie upendo kwa binti yako mrembo.
Kama unajua unaomba like we ni mshamba sanaa...
comment kitu ambacho watu wakisoma wanajifunza kutokana na wimbo wakupe likes au mawazo gani positive ya ku push sanaa ..izooo likes sio sadaka waomba likes nyie🤣🤣🤣🤣
Tukubali kukoselewa na kujifunza
Aslay kweli unatisha shabiki wa aslay from 254nipe like
nikishaonaga tuu aslay siangalii hata kuna nn na like kwanza coz hukoseagii😘😘
Swamy Rashid ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
ILove you so much asley hauna goma mbaya,mungu akup maisha material💘💘💘❤️❤️❤️
Gonga like za kutosha kwa Aslay ✊️✊️✊️
Ditrick Nyamika ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
MARA THAT THAT 👊🇰🇪🇨🇿
Ditrick Nyamika mbona nyimbo yakawaida sanaa
😘😘😘😘😘🤔😘😘
@@yohanamasatya1548 acha wivu ww mpe makx zake dogo
Moyo huu anaouongelea Aslay ni wakwangu Mimi 100%
Anayekubali Aslay anatupa nyimbo za kuweka status gonga like hapa
Mziki wa bongo fleva umebaki sehemu mbili2 king kiba$ ASlay boss mtoto,nyimbo mzuri sana
Weka like zangu hapa
Kama unawakubali Asly,konde boy na fally ipupa Mzee wa Uno
Fabrice Mugheni ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Awo ndo watu mjombaaaaaaa..... Km ingekuw up uwezekan ningekup likes kam zoteeee
Dogo nakukubali sana, morrally, wapi like za dogo
kama na ww moyo wako kiburi kama aslay gonga like twende pamoja
Asley asikutishe yeyote uko vizur, kuna watu hawajui mzki mzur yan wanashangilia matusi mda wote, ukisikiliza nyimbo zao hazina story hata kidogo,,, hata ukisema nyimbo zako uzitumie kutengenezea films unapata popote hata kanisan zinabamba. Achana nao endelea kuburudisha waache na misifa yao wakijenga choo wanaweka RUclips jinga xana hawa
Tesi mama MUNGU akubariki usome mbaka chuo kikuu mama nakuombea AMEN
Moyo wangu jeuuri 😂😂moyo wangu kiburii💯✔️💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 I love soumach 👉hii song ❤️❤️❤️
Nakubali fundi aslay umetisha kinoma noma nakuona upo na mwana vizuli naomba usimtenge mwanao endelea kumpenda tu uyo ndio mama yetu Asante
Representing Kenya here, much love
Aslay kazi safii...
Ride on Aslay! From Toronto Canada we love YOU and your MUSIC. Wape vijembe vyao dogo!!
Aslay always uko juu likes za watu wajuu hapa zibambe
Jaman like za Mozah binti yetu zije hapaaa
Jerry Charz ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Aslay funza wabongo wenza kuwa mwanaume ni kuzalisha na kulea.sio kuzalisha tuu athawys Kaka upo juu 👌👌
Team Diaspora +49 tuko ndani👌🏾 lyrics 👏🏾
Rhouzie Ferdie Nyomindi ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Tuko ndanii,,,,,, +49
@@kaylizer44 kabisa💪🏾
Upendo wako kwa mwanao uko soo touching sio kila ndume anaikubali damu yake hasa nyakati hizi Big up Aslay and baby Mozzah ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪
I love how u always react to this mozzah...Wat a love? Congrats imeweza saaana.....
Asly ndio mkuwa wa yamoto band. Jamaaaa anaweza . achana na mbosso anaetungiwa nyimboooooo
1 st comment form USA 🇺🇸
Bado kofia navua kwa heshima za huyu jamaa bado ananibamba kabisaaa
Gonga like ya ngumvu afu usepe🏃
Nakuku bari sana dogo sana sanaty
Nakukubali San aslay kaza buti
Mfalme tz nakukubali sana dogo
Na mie nipeni likes jamani Leo 😭nampenda sana aslay😍❤
Binty Khana good
Hizo like zinakusaidia kupika nyau ww kutwa kuomba like
Recho Anthony j
Ngoma kali 🔥🔥🔥🔥🔥
From wingereza naomba like zenu basi anae mpenda aslay kama mimi dondosha hap tujuwane
Ngoma la kufungia mwaka Dogo anajuwa kama utowaza kudondoshe like gonga twende sawa
D m ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Comedy from P.M.B 🤣🤣🤣 umetisha nimeziona
Sanaa🌹🌹🌹
Nachokukubalia Aslay hunaga papala, unaujua mziki. Hongera kijana mwenzangu unaniwakilisha vema kbs
Aliyeikubarii hyo Location ya watoto LIKE HAPA
Hiii Nikisikilizaaa Naona moyo unatuliaaa nakua jasiriii zaidii Asantee kwa hii Song Jah akubless💥💥
UK vizuli Sana napenda Sana nyimbo zako ankoo
Aslay kiboko yao napenda sana
Likes za Aslay Isihaka from +254 hapa 🔥🔥🔥he never dissapoints
Niache nitaambe peke yangu.... Mungu ananipenda sana ata wanichukie
Aslay wangu mie wewewe 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪👏👏👏💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋🇺🇬
Metrine Bilunji wangu mm follow me instargram official_llyn_tz
Ukileta dharau,Moyo Utakusahau 100%
@@lilianilyaumi5707 hahahaha poa
Aslay,,nyimbo zako moto sana...mm huamka na kuziskiza moja baada ya nyengine...ziko na message....napenda sana
All the way from Kenya with lyrics❤❤❤ Subscribe To Kim Moseh
Niacheni niseme nitambe
Mwenyewe na moyo wangu
Ooh oooh lala lala ...
Ooh oooh lala lala ...
Moyo wangu unataka
Unataka unavyotaka
Unataka unavyotaka
Ila chunga usije leta maafa
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburi
Unataka unavyotaka
Ila chunga usije leta maafa
Unachagua pa kutua
Pa kuchutama pa kukaa
Pa kusimama pa kutembea
Pa kukimbia moyo
Moyo wangu kichefuchefu
Moyo umegoma vitu vichafu
Moyo unataka vitu nadhifu
Vya kuridhisha mwili
Moyo hauna shombo
Moyo bingwa wa nyodo
Moyo hutaki shobo
Shobo shobo shoboo
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Ukileta dharau
Moyo unakusahau(Moyo)
Ukijiona mzuri
Moyo unaleta jeuri(Moyo)
Moyo nakupa cheo
We ndo mmliki wa hisia zangu
Yaani kama mti
We ni shina langu (Shina langu ooh)
Wapo walotaka kushindana
Na moyo wangu wakafeli
Tena walisubiri kupigana
Na moyo wangu wako chali
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
KIM MOSEH asley big up
KIM MOSEH umekosea sehem nyingi ndugu
@@abdulahmustafakadila4992 nimejaribu
Hahari Sana Kaka 👍👍
Wow Aslay you are so good. Just listening to one Aslay song after another.
Hatari hii mbona moto @ASLAY ...nimeirudia kama mara 10
Napenda Jamaa avoimba kwasababu nyimbo zake zinafaliji😀😁😂😂
Unishindi mm
Duh....yani aslay hapa umeweza 💯👌👌 👌👌👌 bila kupinga👏👏👏👏👏.
Kama unaikubali safari tamu ya ASLAY tumpe likes nimeanza
33 GVNG ENTERTAINMENT ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Aslay Ako mbele bro pull-up your sock
kali safi
Bado sana kashaachwa mbali
Yani huu ni moyo wangu kabisa🥰
Ukoseagi nyau wewe 😂😂😂😂
Nakukubali sana bro....... Kali sana💯💯💯💪💪
Km unampenda asley km mm weka like hapo
Ninapo viskiag vi songs flani huwag vinan pigia kelele ila baadae najuw kuna song ambayo itakuj ku ondoa fujo na kelele hizo...kwang u the best artist dunia nzima nawal sijal umaarufu wama artist wengin.... #U_MADE_IT as i wish #AslayIsihaka
#NguvuYaUma
#DingiMtoto
#SingleBoy
Much love from USA 🇺🇸
Keep Bringing good music young star muziki hauna mwenyewe huu....
Wapi likes za Upendo wa Aslay kwa mwanawe Moza🥰
Shollen Faheem ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
😘😘😘😘
Aslay kila siku unazid kushuka tatizo nn
😍😍😍😍
Aslay wee ni nomaaa....ngoma kwa ngoma!!!
Weka like kama unamkubal aslay moyo kibur iwe 1 on trendng
Mbona waafrika tunakuaga ivi saa zingine mtu ameng'ang'ana akatoa nyimbo badala mumpongeze kila mtu tu ni like anataka ata hardwork yake haionekani tena kazi tu ni kuomba likes tu izo likes zinawasaidia na nini sasa ama hua mnahisi raha kidogo, bana stop looking for validation from others kheeeeee. Congratulate someone and acknowledge them for their work, nobody gives a fuck kama wewe ndio wa kwanza kuona ama unatoka sijui wapi sote tumeona kazi yake nzuri mpongeze na we support good content, dont be selfish and egoistic its not always about you period. Congratulations Aslay nice job!! Kudos!!! Continue working hard and all the best with your lovely daughter.
Cheers!!!!!!!!
Kama umemuona aslay akirembua gonga like kama zoteee hapo chini
Issa Ahmed ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
😂😂😂😂
😃😃😃😃
@@naamohamed9964 umemuonaeee
@@issaahmed853 😃😃😃we bwn umenichekesha
Nakupenda aslay rudi tena jamani naumia ww kijana mdogo pambania kipaji chako🥺💝
Kama unampenda Aslay Gonga like zifike 100 tyy💥💥💣💣💣💣
Mchepuko Tv Burudani na michezo ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Mchepuko Tv Burudani na michezo jamani huyu dogo mungu amlinde
Nakupenda asley nyimbo zako nzur like jamn twenden sawa
Aslay never disappoints all the love from 254 gonga like kwa aslay🤘🤘🤘🤘🤜🤜🤜
Mbona kiu Chris brown leo ? Endelea hivo bro
Moyo wangu kiburi moyo wangu jeuri nakubali baba lababa 🇧🇮
hizi ndo nyimbo sasa sio zile za domo na wenzake
Zinaishi,Na mafunzo,burudani pia
Zile ni fujo
Much love Aslay from Kenya
Safiii mtu na babake .pia mtu na mamake mungu hakuweke mwanao na bado ni mamako
Yeyote ambaye anamkubali aslay plz put ur comment down let support him
Judith Shabani ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Nimeipenda sana
Kaliii vitu vyakufuka mwaka nivitam hizi ndoo nyimbo ukisikiza wasikia vitaminic
Being a present father is awesome, nimefurahi kuona Mozzah, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪napenda mziki wako pia
Your talanten broo 🥰🥰
baada ya naenjoy ameleta kiburi kweli aslay ni bingwa wa bongo flavour