BULAYA ALIAMSHA BUNGENI, MAWAZIRI WASIMAMA KUMPA TAARIFA AZIKATAA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 июн 2022
  • BULAYA ALIAMSHA BUNGENI, MAWAZIRI WASIMAMA KUMPA TAARIFA AZIKATAA!
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 131

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 Год назад +21

    Mungu akubariki sana Ester Bulaya yaan umeongea ukweli kabisa ndio maana wastaafu wengi maisha yao ni mafupi sana baada ya kustaafu wanakufa haraka maisha ya uraiani yanawawia magumu hatima wanakumbwa na maradhi hadi kifo asante kwa kuliongelea hili asante sana

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 Год назад +6

    Mungu akubariki sana Bulaya kwa kuwatetea wafanyakazi nyie ndio wakombozi wa wananchi wanyonge🙏

  • @gellangi9694
    @gellangi9694 Год назад +6

    Mh.Bulaya umelinena vema suala la wastaafu.Umelisemea kwa upole sana suala la kikokotoo cha wastaafu ingawa unakiri ubaya wake.
    Watumishi wa Tanzania hawana mtetezi japo ndiyo wanaotekeleza mipango ya maendeleo ya serikali.

  • @kulwasingija874
    @kulwasingija874 Год назад +5

    Safi sana Ester Bulyaya, viongozi Kama Hawa tunawahitaji sana👍👍👍👍👍

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Год назад +1

    Haya ni majembe, ni mabinti wanaojiamini na wanaoipenda nchi yao na kuitakia mema.. watetezi wa wanyonge, pia kuna mikopo wastaafu wanapewa ambayo riba yake inatisha chili nalo liangalieni!!
    Ni wazi Halima Mdee.... Ester Bulaya na wengine👏👏 wanawateteaga sana wananchi...kina mama ni watu wenye huruma..
    Mungu azidi kuwaongoza.
    Wanawake hoyee!!

  • @jimmundakega9480
    @jimmundakega9480 Год назад +3

    Bulaya MUNGU akubariki Sana kwa upendo wako kwa watanzania wote

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Год назад +6

    Esite Bulaya ni mtetezi wa wanyonge mimi ni CCM Esita Bulaya ni kweli kabisa anacho sema hao watu wawili waliyo simama ndio wanao kula sema za wafanyikazi ni wezi Dada Esita Bulaya wape vidonge vyao

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 Год назад +6

    Mawaziri tuliyo nao, ndani ya serikali yetu in wengi,walio na uchungu wa nchi hii ni wachache sana,Mungu atuhurumie,hali ni mbaya kwa watanzania.

  • @desolz3809
    @desolz3809 Год назад +5

    Big up sana Bulaya

  • @edgarelikana7204
    @edgarelikana7204 Год назад +1

    Bulaya Nakupenda Mnoo Yan Una Akili Hadi Zinamwagikia 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @gebrastemu5010
    @gebrastemu5010 Год назад +9

    Bulaya ni mtetezi wa haki za wafanyakazi. Msikilizeni na serikali itekeleze mapendekezo yake bila kutoa visingizio.

  • @linusdavis9072
    @linusdavis9072 Год назад +5

    Big up our Bulaya Wabunge wengi mi si waelewi kabisa wanajali matumbo yao tu

    • @eliudsinkala419
      @eliudsinkala419 Год назад

      Seems Mama wait mishahara Yao NI mikubwa hivyo Hilo haliwaumizi

  • @nestorylawrencemsoffe6539
    @nestorylawrencemsoffe6539 Год назад

    Hongera Dada Bulaya, Mungu akulinde. Hapa Arusha jiji kuna walimu wanadai mapunjo ya mafao yao kwa zaidi ya miaka mitatu wanazungushwa kila wanapoenda. Nawaomba CHADEMA wawafikirie upya watetezi wa wanyonge hawa. mawaziri wawe wakweli wamwogope Mungu.

  • @deograciakashaigili5973
    @deograciakashaigili5973 Год назад +6

    Huyu dada kaongea point sana sana. Ni mtetezi wa wafanyakazi huyu. Kuanzia leo namkumbali HUYU Esther. Ana akili sana kuhusu Uhai wa Taifa hususan wanfanyakazi. Kwa kweli wastaafu tupo pamoja na Esther !

    • @rehemajuma2202
      @rehemajuma2202 Год назад

      Sio wastaafu tu ni wafanyakazi wowote tunamuunga mkono

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 Год назад

    Nakupenda Sana bulahya very wisdom! Unaongea uhalisia HATA Kama kikokotoo Cha 33% sio rafiki KWA MSTAAFU. Piga galagaza mama yetu Samia Ni msikivu saana! Hatakubali katu unyanyasaji huu KWA watukuka wastaafu Hawa! No longer kitarudi TU 50% vinginevyo wastaafu WENGI watakufa mapema Sana KWA stress.

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Год назад +4

    Ester Bulaya, Bulaya, Bulaya.
    Hekima, Busara, Uzalendo, Akili, vyote unavyo Bint.
    Hongera sanax2.
    Wafanya kazi wamekusikia, umekua mtetezi wao!!
    Mungu Akubariki Sana.

  • @msolwasecondary1790
    @msolwasecondary1790 Год назад

    Dada Bulaya unatupenda sana kwa kweli tunavunjika moyo sana unapowaza kupewa mafao yako uliyotoka nayo jasho. Ubarikiwe

  • @eliuskivuyo7599
    @eliuskivuyo7599 Год назад

    Uishi mile mheshimiwa Easter bulaya mungu ayabariki maneno Yako.

  • @petromwashusa9948
    @petromwashusa9948 Год назад +1

    Uko vizuri sana. Ubarikiwe una upeo mkubwa wa kazi yako.

  • @allygii1012
    @allygii1012 Год назад +6

    Kwa kweli huyu dada ndio shujaa wangu Mimi silielewi kabisa hili swala la kikotoo hata hamsini halitoshi naitaji asilimia 70

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 Год назад

    Shukran sana Mh Bulaya kututetea jamani wengine ni roho mbaya wanakula wanashiba wana fear displine sio hiari yao ni kubanwa tu

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Год назад +2

    Mungu azidi kukulinda Ester...umuhimu wenu Bungeni ni mkubwa sanaa😍😍

  • @josephatchristopher9686
    @josephatchristopher9686 Год назад

    Wewe ni mwakilishi sahihi wa watu, wewe ni mbunge kweli , Jimbo lako limepata mtu , Mungu akusimamie, sisi watumishi Kama wasiporekebisha Sheria hiyo ya kikotozi hicho , kila mtumishi atakufa mapema tu ,

  • @silvesterndunguru2207
    @silvesterndunguru2207 Год назад

    Uko vizuri ndo maana hawakupendi mama!

  • @andrebikuba943
    @andrebikuba943 Год назад

    mh esther buleya hongera sana ww ni mama jasiri na kk bali sasa mama

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 Год назад +1

    Bravo Mh. Bulaya!

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 Год назад +1

    Barikiwa Ester

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 Год назад

    Buraya uko sahihi dadaangu watetee watumishi wa umma kwa nafasi ulionayo mnamuhimu sana kuwepo bungeni watu kama nyie mnaetetea masrahi ya watanzania hasa wanyonge nawaomba viongozi wa chadema hasa wale wa ngazi za juu wawasamehe nakuwaruhusu kwa moyo mmoja muendelee kuwepo bungeni kuwatumikia wananchi na kuwatetea

  • @producerema291
    @producerema291 Год назад +1

    Nakupongeza mheshimiwa Esther Bulaya

  • @mbotwambotwa2186
    @mbotwambotwa2186 Год назад

    Point sana Estar bulaya mpaka mawaziri wengine vichwa vimewasimama

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 Год назад +3

    Saf sana Ester,...wasiwapangie watu wazma,..kwann wabaki na hela yao nyng,kdogo ndo wawape!.hao wanawauwa wafanyakaz,..waongeze ziwe 66.7 wanazotaka kubak nazo ili wawalipe kidogokdogo kla mwez km penshen,na hzo 33.3%wanazodai watalpa kwa mkupuo ndyo iwe inalpwa km peshen,!..ester tunakutegemea tupambanie wafanyaz!!..waambie waelewe wasjdai km hawaelewi wakat wanafaham waz kuwa wanaumiza wafanyakaz!.kwann wabakze hela nying kulko wanayoitoa kwa mkupuo??..

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 Год назад

    Bulaya Mungu akusaidie sana.

  • @charlesesigira5418
    @charlesesigira5418 Год назад +1

    If Kikotoo is fair kwa wastaafu, please start with those members of parliament, tuone Kama hiyo agenda itapita.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Год назад +1

    Yes bulaya

  • @jeannemunezero8074
    @jeannemunezero8074 Год назад +3

    2022 !! Wanawake wa tanzanie munafanya kazi yenu vizuli sana .

  • @rashidabeid172
    @rashidabeid172 Год назад +1

    Wabunge wa CCM mnatuangusha. Esther anasema kweli. Pesa ni zetu kwann mnatupangia matumizi???? Mbona nyie hampewi 33% mngekuwa mngeona.

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 Год назад +3

    Mh Ester ... sisi wafanyakazi tunasema hata hiyo 50% hatutaki ...hao NSSF si wanamiradi wanaingiza pesa sisi watupe ela yetu yote na riba pindi tunavyo maliza mikataba au kustaafu...WAACHE KUIBA NA KUWEKEZA KWENYE MIRADI MIBOVU NDIO WATAPATA ELA ZETU ZA KUTULIPA NA KUACHANA NA HIZO LONGOLONGO ZA ASILIMIA NA MUDA MREFU ...

    • @gellangi9694
      @gellangi9694 Год назад +2

      Kuwe na options za aidha mtumishi alipwe 33.3%,50%,75% au apewe fedha zake zote.Siyo jukumu la serikali kutunza fedha za wastaafu ambao zaidi ya 50% hufariki kambla ya 5 years.Wabunge mbona wanalipwa 100% ya mafao yao kila baada ya 5 years?Hii mifuko ya nssf na psssf ni ya nani hasa?
      Tunahitaji Katiba Mpya itakayoweka vitu vyote walivyoharibu hawa CCM nchi hii.

  • @petronchalangi1033
    @petronchalangi1033 Год назад

    Waziri wa utumishi Mungu anakuona

  • @mlyambisipaul8399
    @mlyambisipaul8399 Год назад

    Ahsante bulaya

  • @leinaamos
    @leinaamos Год назад

    Na mpenda sana ESTA Yuko sawa

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 Год назад

    hongera sana mh buraya

  • @zebedayodiganyeck2046
    @zebedayodiganyeck2046 Год назад

    Upo vizuri Ila wataishia kusikiliza hao. Wabunge wao mbna wanachukua full hawana uzalendo hao 2025 wtz tufanye yetu MUNGU atafungua njia

  • @juliusmjema9574
    @juliusmjema9574 Год назад

    Big up Bulaya your right.

  • @petronchalangi1033
    @petronchalangi1033 Год назад +1

    Una daraja F unalipwa million 47 unaifanyia nn hii hela ndogo. Harafu kwa nn muandae mpango wa kutuua mapema? Mungu anawaona

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 Год назад +1

    Watu wa mkoa wa mara tuna akili sana …safi sana mbunge

  • @melejisekeyan9492
    @melejisekeyan9492 Год назад

    Mheshimiwa Bulaya nakuelewa Sana, Mama Mhagama sijui kwanini amebadilika hivi!

  • @exaverymtuta9978
    @exaverymtuta9978 Год назад

    Watumishi mnaongezewa mishahara wananchi wenu waliowapa dhamana wanaangaika maisha magumu.

  • @josephlushinge8156
    @josephlushinge8156 Год назад

    Tunamshamba ya ngano Arusha yanatosha kulisha afrika nzima tatizo wakimbiz wa 1956 ndio wAnaongoza taifa na wenyeji wAmeduwAa bulaya uko sawa

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 Год назад +1

    Ester kwa leo nmekukubal,nmekukubali sana,umeongea poit,..wape vdonge vyao wanaendelea kuwagandamiza watumish na kuwauwa haraka

  • @petronchalangi1033
    @petronchalangi1033 Год назад +2

    Hivi kwa nini Ester Bulaya huwa anashindwa kwenye Jimbo lake. Wananchi wa huko bunda mpeni Jimbo huyu. Ana uchungu na nchi

  • @godfreycharlessrarariae3619
    @godfreycharlessrarariae3619 Год назад

    Fact Mh. Ester Bulaya

  • @jacobyona2671
    @jacobyona2671 Год назад +3

    CCM sio chama cha siasa,ni genge la majangiri,wametumia pesa zetu,halafu wanajitetea ni upuuzi mtupu,hoja za mhagama ni upuuzi,na hana aibu kuongea hivo

  • @petronchalangi1033
    @petronchalangi1033 Год назад +2

    Harafu huyo Jenister Mhagama huwa anakitetea Sana kikotoo. Hana mapenzi na watumishi wa Tanzania. Mbona ninyi mafao yenu hayana kikotoo? kikotoo ni kwetu watumishi wadogo wadogo tu. Huo mpango ni kandamizi rudisheni ile ya zamani aslimia 50 au iongezwe zaidi. Kwa nini mbaki na asilimia 67 zote hela zangu

  • @mtumishiwasala7104
    @mtumishiwasala7104 Год назад +1

    Jamani wafanyakazi wastaafu tunanyongwa huku tunaona ushauri tupate wawakilishi toka wastaafu

  • @zakarianyakunga9207
    @zakarianyakunga9207 Год назад

    Ni wangapi hawajajenga huku mtaani kisa maisha magumu ninyi mnapigania mishahara mikubwa na KILA kitu mnalipiwa kwani hapo bungeni mnabeba zege? Tangulizeni maslahi ya taifa mbele na ya wanachi walio wachagua kukosa uzalendo kunaliumiza taifa.

  • @neliusnestory128
    @neliusnestory128 Год назад

    Hayo mawazo ya MH.BULAYA yachukuliwe na wah.Mawaziri kikokotoo hicho hakikubaliki.

  • @fatmamuyinga5195
    @fatmamuyinga5195 Год назад

    Mimi ni ccm lakini bulawayo umenena vema, mimi nawapenda sana napenda muendelee kuwa bungeni, maana munachangamsha bunge

  • @mkosianga6826
    @mkosianga6826 Год назад

    Esta bulaya sister yangu unaongea vitu vya maana kweli.ndgu mungu akubariki sana.serekali wamekuwa wezi sana

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 Год назад

    Bulaya hapa nakupa heko sana sana kwenye watumishi UPO SAWA KABISA

  • @mohamedindalo2663
    @mohamedindalo2663 Год назад +1

    Akili kubwa sna

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 Год назад

    Yaan ukiwaza sana mambo haya unaweza kulia

  • @rehemajuma2202
    @rehemajuma2202 Год назад

    Yaani huyu waziri ndalichako huyu ndo simpendi sana,eti MTU wastaafu halafu akae miaka 30 eti mungu akimjaaalia kweli miaka hii MTU aishi 90miaka!!!yaani tunakuelewa da Esther, wenyewe wanalithishana madaraka sisi wanatugandamiza,waziri muhagama nyamaza KBS yaani tunaelewa sana da Esther tutakupa kura zetu

  • @oscarmisiru9725
    @oscarmisiru9725 Год назад

    Taarifa taarifa keleleee tupuu

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 Год назад

    i hiki kikokotoo kiwahusu na Hawa mawaziri,kwakuwa hakiwahusu ndio maana wanasimama kutetea hicho kikokotoo

  • @CaptainFaudhiTz5383
    @CaptainFaudhiTz5383 Год назад

    Leo mtan Wang umeongea vzr San hakika busara imetawala

  • @mtumishiwasala7104
    @mtumishiwasala7104 Год назад +1

    Hao wafanyakazi na wastaafu ndio wengi wapiga kura haajaelimishwa yawezekana hawajapata tulsa sahii

  • @siasporttv7823
    @siasporttv7823 Год назад

    Hivi kwanin wabunge wasilipwe kama ambavyo WATUMISHI wanalipwa kwa kikotoo

  • @herbertlevery13
    @herbertlevery13 Год назад

    Yaani Esta bulaya na halima wakikosekana bungeni itakuwa si haki

  • @tinajoe5487
    @tinajoe5487 Год назад

    Kwa kweli hilo swala liangaliwe kwa undani sana hizo asilimia ni ndogo sanaaaaa

  • @innocentamedius4243
    @innocentamedius4243 Год назад

    Acheni siasa kwenye ukweli Bulaya kaongea ukweli

  • @siasporttv7823
    @siasporttv7823 Год назад

    Kikokotoo cha awali kilikuwa na shida gani? Mpaka kitolewe

  • @linusdavis9072
    @linusdavis9072 Год назад +1

    Bubaya ulitakiwa uwe waziri sema tu dadangu ndio hivyo dada

  • @neliusnestory128
    @neliusnestory128 Год назад

    Hicho kikokotoo hakikubaliki mh.Bulaya uko sahihi.Rudisheni Cha awali.

  • @piterlukumay1117
    @piterlukumay1117 Год назад

    Wewe bulaya amuoni wakulima , na wafanyakazi binafis au sarau

  • @mwanamatofali6981
    @mwanamatofali6981 Год назад

    Wazr kilaza kwel,yani kaona hiyo ni taarifa ya maana kutoa?

  • @sudymkele1648
    @sudymkele1648 Год назад

    Sasa uko chama gani hili bungee nalo ni la kihuni au kishetani km walivyowekwa

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Год назад

    Jenesta muhagama shwaini zake, Kwan Hawa wanaopanga haya madudu aloeleza mtani wangu bulaya sio watumishi wa seriakali au? Maana me sielewi wanabana watu namna hii alafu wao vp?
    Hebu bulaya njoo utueleze vzr inaonesha una Siri nyingi tu

  • @johnnyarara7425
    @johnnyarara7425 Год назад

    Wao ya kwao baada ya miaka 5 mmmmmm, mnyonge lkn haki mpatie duuuuuu

  • @bernardshayo5349
    @bernardshayo5349 Год назад

    Basi na ninyi wabunge mkiacha ubunge mlipwe 33%

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 Год назад

    Yaaaani!!!!!!

  • @janethjohn7053
    @janethjohn7053 Год назад

    Kwani wabunge hawastaafu ?

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 Год назад

    Ndio maana hawa wabunge wanatakiwa waendelee kukaa mjengoni

  • @mwatangakilangi3665
    @mwatangakilangi3665 Год назад

    Nimekupenda bure bulaya

  • @rowlandmrosso9465
    @rowlandmrosso9465 Год назад

    Hivi waziri unajua unachozungumza? Sikilizeni wawakilishi wa watumishi?!!

  • @jumakisailo1066
    @jumakisailo1066 Год назад

    Mungu akubariki mama, ulichokisema ni ukweli mtupu.

  • @josephrobertjohn4336
    @josephrobertjohn4336 Год назад

    Kaz kudai mishahaara tu matilion kuliko kuangalia masilahi ya nchi

  • @succesjabari4618
    @succesjabari4618 Год назад

    Nikiwa Mp natamani kua kama wewe!...

  • @josephnjella4919
    @josephnjella4919 Год назад

    Kikokotoo kitawaonyesha 2025

  • @herbertlevery13
    @herbertlevery13 Год назад

    Yaani hawa wadada huwa nawapendaga

  • @onesmominga844
    @onesmominga844 Год назад

    Nyie si mnashiba tufanye mnavyotaka

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 Год назад

    usajigweghe ubarikiwe kwarugha yetu

  • @kimbyarungwe4959
    @kimbyarungwe4959 Год назад +2

    Mawazili wa mchongo

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад +1

    Umeongea mheshimiwa, tunahitaji wabunge kama hawa. Wafanyakazi wanakosa ari ya kazi kwa maslahi mabovu

    • @gellangi9694
      @gellangi9694 Год назад

      Serikali haina viona mbali nchi hii.Tazameni trend ya watumishi wanaostaafu kabla hawajafikia umri wa miaka 60 sasa hivi?
      Hivi hapa kwetu Tanzania kuna sheria za kazi au mahakama ya kazi?

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Год назад

      @@gellangi9694 viongozi wetu wabinafsi Sana wao wanapesa nyingi hawajua na hawajali sio shida zao

  • @malandojames5151
    @malandojames5151 Год назад

    Hivi vikokotoo ni wizi Kama wizi mwingine tu.

  • @petronchalangi1033
    @petronchalangi1033 Год назад +1

    Magufuri alikikataa kikotoo ....kimeanzia wapi tena? 33 ni nn hii? Are you serious anyway. Mungu anawaona atawalipa muda si mrefu

    • @taturashid4167
      @taturashid4167 Год назад

      Hizi taarifa hazina mashiko ukweli mnawaua wastaafu BADILISHENI WARAKAHUO SI MSAHAFU,dhambi kubwa,acheni kuiga ya nchu ziloendelea wakati wastaafu hao ni watu maskini,kajibana,afya duni,anaomesha, kalipa kodi kwa asilimia mia kila mwezi,mazingira duni kazn LEO ANAPANGIWA Pesa yakel??kikokotoo kifutwe mtende haki

  • @rafikingango
    @rafikingango Год назад +1

    Hii ni Baraka sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼
    ruclips.net/video/cgb-mXBbADk/видео.html

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 Год назад

    Kwa hiki kikokotoo specialties hakuna atakae kaa nchini kufanya kazi

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 Год назад

    Hao wakubwa wa Tukta na Talgu ni kina yes tu hakuna kukataa na hawasaidii chochote wafanya kazi wanafukuzwa bila sababu na hawawatetei wamekaa kutukata pesa yetu wanashibisha matumbo yao na hao hatuwataki

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Год назад +1

    Bulaya wafanyakazi no wasomi Kuna wahasibu wachumi Wana vyama vyawafanyakazi wanashidwa kudai haki zao achana nahawo wajinga wanashidwa kudai haki zao pesa zao zinafanyamaendeleo ya taifa.ndiyo kusudi lahizofedha.watumishi wajinga achana nawo

    • @johnsinyinza7450
      @johnsinyinza7450 Год назад

      Naona kichefuchefu nisije tapika acha bulaya nakumbuka ulijitahidi Sana kupambana na mwenda zake.akailisha Sasa wameanza Tena.

    • @johnsinyinza7450
      @johnsinyinza7450 Год назад

      Watumishi wangalitambua kuwa wabunge wanapo maliza miaka Murano serikari inakuwa imewalipa karibu billion mbili mishahara pdm.usafiri pdm kwenda ulaya matibabu watumishi wangalijuwa pesa zinavyo liwa hakika wangeliya machozi najilaumu hero nisingesoma niwe Kama wapiga Kyra was ccm. .wasiyo juwa kinachoendelea

  • @josephngwega7398
    @josephngwega7398 Год назад

    Ndalichako unazingua