Dudu Baya X Rayvanny - KONKI (Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 7 ноя 2024
- KONKI NOW AVAILABLE IN ALL DIGITAL PLATFORM
Enjoy KONKI Music Video Which Was Shot In Dar Es Salaam By @director_Kenny Under Zoom Production
Follow Rayvanny On:
Twitter : / rayvanny
Instagram : / rayvanny
For Bookings:
Call: +255677011134
Email: makamejumaa10@gmail.com
#DUDUBAYA #RAYVANNY #WASAFI #KONKI
Kama unaikubali Mistari ya Vannnnnnny Boooooy Gonga like Sisi +(254) kama mashabiki zako toka Kenya Hii ishatosha kufunga mwaka Nani kati yetu anakumbuka bifu LA Dudu baya na Mr Nice😂😂ama kweli kilicho na mwanzo kina mwisho.Have a blessed 2019 Fam💃
Prince Newton mm
Nice if you love this song like here
@@salumuswedi6884
💖👏
@@bontekavira1166 👏
konk
Ugomvi wa Mr.Nice na Dudu Baya...zili...hapo ndio imenirudisha
Konki Master🔥🇰🇪
Tunakusubiria wasafi festival kenya✌
VannyBoy🦅 Mungu acha atupiganie
Ngoma zetu hadi kwa mama ntilie
Bona Mimi sijawi kupata like nyingi
ChenirachVevo
Chukua dislike hiyo.
njoo ulale na mm ntAkupa likes kibao bby
Unatuwekea vitu vya uongo kwenye Chanel yako utasubir sana labda ujirekebishe
Ngoja tukupe sasa
Tha boi ako finest
konki! konki! konki! master!!
umetisha sanaaa!!
kama unacheki hii video ukiwa unasama comment gonga like yako hapa.
Iko mukideeee yaani dingireee Rey umetisha mule mule aseee arifuu
Embu gonga like ishara ya Gwara la chalii wa Arusha
Dudu baya ni konk kbs yani hii ves ya kwanza noma sana
Salut vanny boy kama chui
Dudu baya nipe like yako nime views wa kwanza 😇😇😁😁
subscribe kwa channel yangu..4
Dah Mamaeee walah Vannyboy Umeuwaaaaa Aiseeeee
Konki Master 🔥🇰🇪🇰🇪
Konki 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jmn jmn vany kwa mistarii qonki mmh noumah kwl vany unamarinda respect bro
Nimefurahi Buree mko vizuri
Before 10 million views💪💯🔥🔥🔥🔥
10M seriously???
U trippin 10 mil my ass
B4 1 m kwa sababu haipiti 1m
😂😂😂
It will take ages for this to happen
Mshamba sana #DuduBaya
Mpenda #Urembo juwa town utapakatwa...
Kwani una #Maziwa...
Wasafi konki big up ray na dudu Kenya 🇰🇪 tumekubali
Konki Master. Toto aaaaa!!!!
Natokea kenya jamani mnihurumie like tu moja
dah kweli inatisha
From kenya .Napenda mambaa
Unahurumia kwa shida gani
Sawa
Kwl bab nakubali
Watu wa Mwanza noma,, ukienda kwa fid noma ukija uku nako nomaaa,,,,, nice ad vby dudu 🤔🤔
Dudu baya uyu kweli 😂😂😂😂😂😂
Wcb 😍😍😍 ray always kills it....
#tupewe zetu za wakenya
konk konk konk master nakuaminia mwamba
Naomben na mm like jaman,,,kwa unyonge kbs naomba !!!
Yrsm Chaff23 😂😂😂
Aisha Lenatus 😀😀😀
babukubwa mwana
yechu baba
Tausi Johnson santeee
Wasafi ..konki..Goma imeweza hii..vannyboy big up
Lov da song... Nipeni likes mimi mKenya nasupport tanzania music
Kituuu konkiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
woow...nyc video
watu wote wa kwny hii video wako seriouc km na wao makonki..nmependa sana💟💟
Mimi mwezenu nipo huku kwenye ya Jocob zumma!
Hiiii nyimbo sijaielewa, ila nasikia tu Konki konki konki tu mpaka mwisho!
dudu umetisha sana dakika moja yakwanza ndio kari sana ukiskiliza audio vany kaua ukiangalia vidio dudu kaua kama umenielewa like hapa🔥🔥🔥 monk😊🏃
Kweli ni mzuri kabisa sio uongo
Konki ..hit made @rayvanny
My brother KONKi 🔥🔥🔥🔥umeumiza Sana 🔥🔥🔥🔥🇹🇿 KONKi KONKi KONKi master Kama unakubali kazi gonga like hapa twede pamoja🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
xan dudu bay
KONKI 💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
MAMA NAKUFAAAAA in mzee wa liquid voice🐊🐊🐊🐊🐊💪💪
Support 💪💪💪💪 always comes from 254 kwa list 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sisi konki twaingoje hiyo ngoma during wasafi festival Mombasa mchezo usiuchezee hamisaaaaaaaaa
WAPI LIKES ZA WAKENYA
Kumbe atukose kila pande hhahhaa
Rayvanny unapenda manguo yaa njanoo njano me nakufatiliaga sana karibu video zote
Kama umeikubali KONKI gonga like apoo za kumwaga
"uje ghetto, mi ni punda, yani donki donki!" multi-talented lad..! vanny you gat it all... ikija kwa rap, konki! ikija rnb konki! ... nakutambua mwanangu toka 254.
Koma unamkubal konk konk konk master gonga like hapa
konki konki master fire....hits
Rayvanny should get international recognition 🔥
Daaah! Safi sana Dudu baya kurudi back kwny game...Ngoma nzur sana Konki...big up sana kufanya kolabo ww na Rayvanny...Mko Vzr sana
Jameni Wa Tanzania nipeni like na mimi Mrundi, +257
Konki Master .......huyu jamaa namkubali 100% toka kenya
Vanyboy homeboy saiv upo level za international maana apo umeua😈😈😈😈Mzee baba gonga like kama unakubaliana na mm
Dudubaya anavutia jamani, muonekano wake kwenye hii ngoma kama vile umri mmoja na Rayvanny
Now that's swahili Rap I'm proud to subscribe to!
vanny ndio kamaliza hii ngoma...dudu dah! naaaaah kwakweli....chorus iko intimidating some how...haya bana konki
2019 watching konki Konki Konki master. Gonga like kama bado unaangalia
Mbona dudu baya kazeeka sana apa alikuwa kijana sana
Tuache UONGO video KALI IPO kilia sana KONKI konki
Jm Technology tz video nimeielewa
Ila sauti ya dudu baya ni nomaaaa
From Canada 🇨🇦 wa kwanza view dis clip #konk gonga like kama Na wew uko konk mwenzangu
KEENY director Bora Tz na east Africa kwa ujumla.
kama unaikubali wasafi gonga Like tujuane makonki wenye marinda
Wcb
Diamond. Nataka kuja jiunga. Nawewe Mimi. Jinalangu. Julia. Tafasali. thanks Nikubalie. Mimi nimm. tanzania. Lakini Mimi Niko kenya
safi sana chupa nzuri kabisah.
konki konki konki master.
yuzo b konki master.
Awesome to bring back the oldman Dudu Baya. S/o from Oman
Wcb wamemrudisha Dudu Baya na kumpa Maisha wana roho ya kusaidia Wakongwe Kubali Sana
Kiboko ya viboga.. Noma sana Mr Konk
DUDU BAYA umemuigiza gigy money kuimba Sema we umekaza sauti Sana
Kali hiyo👌🌟🔥🙏 nitupieni hata like mbili tatu plz!
Kitambo sana tangu kipindi cha mwanangu hunanidhamu nakupendatu sura kama nyani nakupenda tu. Tentemente kipindi hicho na dogo hamidu mkongwe wa bongo fleva napenda manundu sipendi vijipu tupa mawe bongo dukina. Leo yupo na vanny boy konky bado yupo vizuri ila kuna baazi ya media zinataka kumuua njaa jamaa baada wampe saport legend wanataka kumuua njaa kweli bongo sio poa
Aaah!!! Dudu Baya Kabadilika Saana 💯💯💯👊 big up Mond
🔥🔥🔥🙌 kichupa Konki
I'm here because of Rayvanny... Who else? 👍 up. 🇬🇭🇬🇭🇬🇭 Asonaba Kwabrafoso Obuasi.
KONKI KONKI KONKI MASTER 🐊🐊🐊🐊
Ha ha haaaa!!! Nimekubar mkuu WCB FOR LIFE
bila vani ngoma haijawa tamu..safi dudu fila konkiiii💪
Ngoma kali mwenyewe naipenda gonga like Kama zote
Daimond plutnum ubarikiwe na mungu akuongezee kwa jambo zuri ulifanyalo, dudubaya amerudi
Maisha bwana, Leo Dudubaya anang'aa kwenye chupa la kibabe😁😁
Please bring back all our Legend bongo fleva wanaweza wamewafukia wakiwa hai
Kweli ni konki master konki
Dudu Baya...Kali hii kusema na kutenda....Waonyeshe upo ni kutulia wajaribu kukonki...
🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪konki konki konki master.... Hamtupumzishi😂😂
Konky master anahasira kutokana Kuna watu wanabana kwenye sanaa
Mmetisha wakubwa so pigen kaz achanen namajungu yawatu
Official BlackoTz
Az
Dr come
oya vp
sas
Konki namukubali kuruka
Safiiiiii. Like naombaaa. Wcb4 life baby
I love Rayvany boy
Haki ya mungu shikamoo konki master
Vanny Gang! Naomba Like zangu kama zote
kaimba nn ety hta cjaelewa.....aliyeelewa jamn!!!
Dudu baya 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁 konki konki konki master no1 the best 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍
Nyimbo nzur mnoooo bigup Vany and Konk Master
Kama unamkubali ryvanny gonga like hapo
Halidi amrani Tanzania napenda sana ichi yangu Tanzania
OMG 😮 niachie like basi this video is amazing 😉 hell yea
s2kz kwa trap hakuna km ww bongo,kenny ukoseagi bro konkikonkikonkikonkikonkikonkikonkikonkikonkikonkikonkikonki
Kenya represented💯💯😌
Vanny boy Prrr tambua wewe konki
Vanny booooooy, eeeh Vanny Konk Konk Konk Master....🔥🔥🔥
Vannyboy killed it 💯 ✅ 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 💣💣💣💣💣💣💣💣🚀🚀🚀🚀🚀🚀
Motoooo.
Konki master
Dr mashking
GONGA LIKE KWA SANA KAMAUNAMKUBALI SANA RAYVANNY NA DUDU BAYA
kichupaaaaa
before a million views and a thousand comments
from +254
KONKI KONKI KONKI MASTER MAMBA. A..K..A..DUDU BAYA UMERUDI FIRE FIRE FIRE SANA BIG UP SANA RYVAN PIA NOMA.
Mambo kumbe ni konki konki niliisubiri kwa hamu sana ngoma ihi
mbaya hiyooo nyimboo
game ngumu broo nenda kalime tu
Rayvanny is going places
Kaliiiiii vany boy gongeya msanii
Impact of konyagi dudu!!😂😂