#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 24

  • @ZengoMbogo
    @ZengoMbogo 15 часов назад

    Asante mtumishi Tunamshukuru MUNGU Kwa mkazo huu kuhusu kughairisha mambo kumetawala watu wengi sana 😮😮Tunaitaji neema ya MUNGU tu!

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 23 часа назад +1

    Amen sema nami bwana nangoja useme ndio.🙏🙏

  • @qeenimringo4136
    @qeenimringo4136 День назад +1

    Kila Roho ya kughairisha mambo haitakuwa kwangu 2025🙏🙏kwa jina la Yesu na kwa Damu ya Yesu kristo wanazareti aliye hai🙏🙏✨

  • @PatrickEdward-rv1xf
    @PatrickEdward-rv1xf 15 часов назад

    Ili somo linanihusu mimi

  • @NadraNadia-ed1bj
    @NadraNadia-ed1bj День назад

    Eeeh BABA MUNGU WANGU JEHOVAH NINAKUOMBA UTUFUNGUE MIMI NA FAMILIA YANGU TUENDE CANADA KWA JINA LA YESU NINAOMBA NIKIAMINI NIMEPEWA KWA JINA LA YESU KRISTO AMEN

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 11 часов назад

    MUNGU akubariki sana mtumishi kwa mafundisho haya ya kugairii kufanya jambo nimepata kitu ubarikiwe sana

  • @GeofreyJones
    @GeofreyJones День назад

    Asante Mungu wangu kwa kibali cha siku nyingne🙏🏽

  • @NeemaChristopher-u2m
    @NeemaChristopher-u2m День назад +1

    Amen mtumishi, mungu akuimarishe
    Undelee kutulisha chakula Cha roho.
    Asante🙏🙏🙏

    • @نيماخميس
      @نيماخميس 23 часа назад

      Amen amen amen amen napokea kwa Jina la yesu kristo wa nazareti

  • @NeemaMaiko-h3v
    @NeemaMaiko-h3v День назад

    Mungu akubariki mtumishi 😥🙏🙏

  • @annymallugu4287
    @annymallugu4287 День назад

    Nimepokea mkate wa Leo,Yesu uwe kila kitu KWANGU

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa День назад

    Asente mungu kwa kulituma neno lako

  • @Eastern_star
    @Eastern_star День назад

    Mungu akubariki mtumishi,

  • @josephmatuwa6341
    @josephmatuwa6341 День назад

    Yesu uwe kila kitu kwangu....

  • @SarahMugabo
    @SarahMugabo День назад

    Asante kwa mafundisho mchungaji🙏🙏 Mwenyezi mungu azidi kukufunulia mengi tuzidi kujua. MUNGU akubaliki. Tunakupenda MUNGU anakupenda zaidi🙏🙏🙏

  • @rosemukhwana2262
    @rosemukhwana2262 16 часов назад

    Amen and amen 🙏🙏🙏

  • @RebyMeredith
    @RebyMeredith День назад +2

    Naskuru kwa mafundisho Muchungaji. Piya kwa Maombi munayo ombea Congo/Goma

    • @ZengoMbogo
      @ZengoMbogo 15 часов назад

      MUNGU alejeshe Amani yeye ndo anatujua sote kibinadamu ni ngumu sana Amani iwashukie Congo

  • @FatumaMwaruwa-qf1wf
    @FatumaMwaruwa-qf1wf 23 часа назад

    Amen🙏🙏

  • @StellaMaruhe
    @StellaMaruhe День назад

    Amen

  • @evelynmbeyu8309
    @evelynmbeyu8309 День назад

    Asante saana Mtumishi Kwa MAFUNDISHO na MAOMBI UMBARIKIWA SAANA MTUMISHI UBARIKIWE SAANA MTUMISHI WA MUNGU

  • @godlistenlema6259
    @godlistenlema6259 День назад

    Ammen

  • @EugeneJovin-v8x
    @EugeneJovin-v8x День назад +1

    Tunaamini kuwa tumepokea maana aombae upokea

  • @evelynmbeyu8309
    @evelynmbeyu8309 День назад

    Asante saana Mtumishi Kwa MAFUNDISHO na MAOMBI UMBARIKIWA SAANA MTUMISHI UBARIKIWE SAANA MTUMISHI WA MUNGU